Тёмный

WHAT IS DEVELOPER UNIT( KAZI YA DEVO NA MAGNETIC ROLLER CANON IR 2520) 

mairaOnlineTV
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@greidonm
@greidonm Год назад
Kazi nzuri Sana , weka no ya simu utusaidie zaidi
@pascalcileya3842
@pascalcileya3842 6 месяцев назад
Fundi naomba num ya mawasiliano samaani Mina shida kidogo, mm pia ni fundi
@milde_services3516
@milde_services3516 2 года назад
Uko tanzania na weza kupata ya mupiya, ina beyi gani??
@needforspeedhotpersuit2007
@needforspeedhotpersuit2007 11 месяцев назад
Sorry but my magnetic shaft is quite difficult to rotate, can you tell me how to fix it?
@monatech_tz
@monatech_tz 5 лет назад
iko poa sana nimeipenda
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV Год назад
0656151515
@MarthetMasunga
@MarthetMasunga 5 месяцев назад
Upo wapi naitaji kuja kujifunza
@tungaraza7794
@tungaraza7794 Год назад
huo wino wa reserve unaotoka kwenye container la wino mbona kuna wakati huwa tunanunua developer tunaweka humo. naomba unieleweshe hapo
@majuramissana5431
@majuramissana5431 5 лет назад
uko vizuri sana bro tuko pamoja
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 5 лет назад
Pamoja sanaaa
@majuramissana5431
@majuramissana5431 5 лет назад
ok, naitaji kupata contact zako kwa mawasiliano zaid niko arusha ni IT nakuelewa vizur somo lako mkuu.
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 5 лет назад
Nipe namba yako ntakutafuta,au nipe email yako ntakutumia watsap namba yangu. Karibu,au email yangu simwanzacom@gmail.com
@majuramissana5431
@majuramissana5431 5 лет назад
ok, whatsap no.0682523795 gmail-majuramissana@gmail.com thank you.
@majuramissana5431
@majuramissana5431 5 лет назад
hey! friend hukunipa whatsap namb yako sorry.
@shedrackkayanda7704
@shedrackkayanda7704 2 года назад
Kaka machine inatoa maandishi kwa mbali faint sana nimejaribu kuweka developer nyingine lakin wap ir2520
@athumanimaziku8415
@athumanimaziku8415 Год назад
Umefanye ndugu kuliondoa Hilo tatizo nimekutana nalo leo naingia humu nakuta hii. Msaada plz
@KhamisAbdulwahabi
@KhamisAbdulwahabi 5 месяцев назад
Naomba namba yako ya sim
@athumanimaziku8415
@athumanimaziku8415 Год назад
Kaka nimejifunza kitu.
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV Год назад
Wakati wote unakaribiswa kujifunza Zaid..
@libentboniphace9599
@libentboniphace9599 5 лет назад
Asante Kaka mimi nina shida kwenye canon ir1022if inaniletea error code E010 ambayo nimejaribu kurekebisha kitu kinachofanya main motor isizunguke lakini bado nimekwama. Nafanyaje naomba unisaidie
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 5 лет назад
Pamoja dana kaka.
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 5 лет назад
Umejaribu kubadilisha motor?
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 5 лет назад
Motor huwa zinakufaga sana hizo japo sio sana kufa moto,ni mara chache sana kukuta motor imeungua.lakin huwa zinakufa,pale inapokuwa imepata over heat,
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 5 лет назад
Ngoja niicheki hapa indeep ntakwambia cha kujaribu kufanya.
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 5 лет назад
Ndugu yangu nakushaur tafuta motor nyingine funga hiyo motor imefail error hiyo huwa ni ngumu kurekebishika kama hauna mbadala wa replacement.
@h-plustechnologies.3738
@h-plustechnologies.3738 3 года назад
Habari yako Maira? Mimi naomba kuuliza kuhusu tatizo la line inayokuwa inacross kwenye copy. Tatizo linakuwa nini? OPC au blade?
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 3 года назад
Nicheki WhatsApp 0656151515 au nipigie sijakuelewa vyama hapo
@finestudio3539
@finestudio3539 3 года назад
Swali lako liko vizuri kimsingi kwenye organic photoconducter (opc) from imeundwa na layer ambayo inaitwa photosensitive ambayo ni laini sana sasa ilitokea mchubuko kidogo basi huo mchubuko uta apear kwenye paper
@tungaraza7794
@tungaraza7794 Год назад
@@finestudio3539 🤙
@gombatv7046
@gombatv7046 4 года назад
BRO USHAURI UNGEKUWA UNAANZIA MWANZO TANGU UNAANZA KUIFUNGUA KUTOKA KWENYE MASHINE SASA TUNAONA TU IKO MEZANI IMETOLEWAJE SASA
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 4 года назад
Ok sawa,nimeupokea ushari wako GombaTV
@yohanathobias197
@yohanathobias197 5 лет назад
Naomba contact zako mkuu,ninashida na na mlango wa kulia ule mdogo wa pale chini,wa mashine ya Canon ir 3300
@michaeldaudi4650
@michaeldaudi4650 3 года назад
Naomba unisaidie Nina Canon 2520 haitoi maandishi
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 3 года назад
Nicheki whatsap 0656151515
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 3 года назад
Lakn pia haitoi karatas inatoka plain kabisa?
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 3 года назад
Je fault hiyo hata ukiprint au kwenye copy tu?
@frankanthony9143
@frankanthony9143 4 года назад
Kwanini 2520 huwa tatizo lake malanyingi kutoa blank na solution yake iko vip
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 4 года назад
unamaanisha ukiwa unatoa copy inatoka nyeusi?kama ndivyo hapo kuna mambo mawili na huo weusi inategemea na aina ya fault kuna weusi kabisa inakuwa sababu ni drum haijapata signal ya charge au pia charging roller pia ikiwa haijapata signal ya charge lazima itoke nyeusi
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 4 года назад
ukiangalia ndani ya drum utaona kuna kibati ile ndio signal charging yake,sasa pale inapo ingia huwenda haigusi kwenye,kule kwenye machine,chunguza vizuri ukiona una fail nicheki kwa whatsap 656151515 untumie picha ya hiyo copy
@frankanthony9143
@frankanthony9143 4 года назад
Brother nimekuchek WhatsApp lakini sija kupata nomba nitumie sms kwa WhatsApp 0684576531
@j-phety3158
@j-phety3158 Год назад
Nahitaji namba yako
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV Год назад
Whatsap 0656 151515
@hijaabdallah1180
@hijaabdallah1180 3 года назад
Naomba contact zako mkuu
@engxidigyusufali9879
@engxidigyusufali9879 5 лет назад
Your title is english but your are speaking to it why
@suvratkandarkar725
@suvratkandarkar725 5 лет назад
Sleek in English language.
@senorinapaul2450
@senorinapaul2450 3 года назад
Hello inbox me
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 3 года назад
Whatsap 0656151515
@deepyandutta4687
@deepyandutta4687 4 года назад
NOT A GOOD PRESENTATION 👎👎👎👎👎
@KhamisAbdulwahabi
@KhamisAbdulwahabi 7 месяцев назад
Fundi naomba namba yako ya sim
@mairaOnlineTV
@mairaOnlineTV 7 месяцев назад
Whatsap # 0656 151515
Далее
Repair Canon IR2016 replacing magnetic roller
45:47
Просмотров 59 тыс.
skibidi toilet 77 (part 4)
05:20
Просмотров 12 млн
ИСТОРИЯ ПРО ШТАНЫ #shorts
00:32
Просмотров 300 тыс.
Monster magnet meets microwave magnetron...
17:44
Просмотров 41 тыс.
Canon photocopy machine 2520w cleaning and fitting
19:41
ir3045 Clean magnetic roller in toner unit of copier
14:35