Mimi nilibebwa na Taxi driver, na kwa mara hiyo hiyo akaanza kunitilia mastory za msee ambaye ni mrithi wa hoteli iko tao, vile ana kamata madem na wamama juu kuna vile ni yeye ndiyo alikuwa anambeba beba mamishoni. Akaongea non-stop bila kikomo tena graphically mpaka nilipofika home nilikuwa na mengi ya kutubu - Mungu nisamehe.