MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-r3gsfk3zbDQ.html MPWAPWA-DODOMA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka. Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita. Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu. Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full. Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻 Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻
Following from Kenya Nairobi am shedding tears because of the death of Marco as you are singing the songs The song Iko sawa Poleni sana mungu awatie nguvu
Nyimbo zitakozitolewa si Ni kama chai bila skari...kweli sauti yake ilikua pillar kwa nyimbo za zabron singers.. na hatimaye hakuna atakaye pata au kutoa sauti Kama yake 😭😭😭 mungu amlaze mwili wake mahali pema