Тёмный

WOMEN MATTERS - KUACHANA KWA SMS BAADA YA MAHUSIANO YA MIAKA 3 

Lillian Mwasha Tv
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 2,9 тыс.
50% 1

Karibu WOMEN MATTERS. Kwenye Episode yetu la leo tunaongelea suala la dada aliyeachwa KWA KUTUMIWA SMS na boyfriend wake baada ya kuwa naye kwenye mahusiano ya mapenzi kwa miaka mitatu
#women #womenmatters #wanawake #mahusiano #boyfriend #breakup #marriage #friends #sms

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@sophiakayumba5974
@sophiakayumba5974 4 месяца назад
Kipindi ni kizuri sana, hongereni kwa kazi kubwa ya uelmishaji jamii......maoni kama mdau wa women matters, nadhani itapendeza zaidi mkipeana nafasi katika kuongea mawazo yenu, yani mtu asimkate mwenzake akiwa anaongea ili tupate mawazo yake mpaka mwisho tujifunze zaidi, hasahasa mentor Deo Sukambi mnamkata sana, akianza tu kuongea kidogo mnamdakiza,
@cocotz1892
@cocotz1892 5 месяцев назад
Lilian unasauti nzuri sana kama BBC hivi tunasikiliza
@jabuali5739
@jabuali5739 2 месяца назад
Haki dalilian umenifanya nicheke mm 2yrs na mtu n i left in silent nilipojua anapretend haki nimejifeel vzr n more energy like i gained something
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 4 месяца назад
Mbona ize tu ukiachwa achika ukiona hivyo rizki yako imeisha kwako kwa hiyo usimlazimeshe mahusiano na ukitaka kuumia we ng'ang'ania upendwe
@lutfiamohammed7400
@lutfiamohammed7400 3 месяца назад
Yaani nyie Leo mmekaa mnaniongelea Mimi kweli sawa bwana what next maana ndio hivyo
@MaryMbwilo
@MaryMbwilo 2 месяца назад
Mimi naungana na liliy lazima nikutukane
@lutfiamohammed7400
@lutfiamohammed7400 3 месяца назад
Sasa hiyo sms angenitumia mie angekoma nahisi angetuma htr mia na nisingejibu
@lutfiamohammed7400
@lutfiamohammed7400 3 месяца назад
Hiki kipindi nimerudia zaidi ya mara 4
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 5 месяцев назад
Woow❤
@UpendojohnTango
@UpendojohnTango 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤mbarikiweee
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 5 месяцев назад
Vipindi navyo vipenda😊
@eleoncejohn3823
@eleoncejohn3823 4 месяца назад
Bro, unatoa code sasa jaman
Далее
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,4 млн
REV. DR. ELIONA KIMARO: UNA KITU GANI MKONONI MWAKO?
1:42:14
MAHUSIANO KATIKA MJADALA 1
54:32
Просмотров 47
LIGI YA MKE NA MUME, LILIAN MWASHA VS LUVANDA
34:22
Просмотров 2,3 тыс.