Тёмный

YAA LATIFU X129 Zinaondosha Shida / Soma Uradi Huu Kila Asubuh Na Jioni / Sheikh Walid Alhad Omar 

DARSA TV
Подписаться 109 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

YAA LATIFU X129 Zinaondosha Shida / Soma Uradi Huu Kila Asubuh Na Jioni / Sheikh Walid Alhad Omar
Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya YAA LATIFU X129 Zinaondosha Shida / Soma Uradi Huu Kila Asubuh Na Jioni / Sheikh Walid Alhad Omar
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
RU-vid @Darsa tv
TikTok @Darsa tV

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@leilahassan6731
@leilahassan6731 2 месяца назад
MashaAllah najifunza mengi kutoka sheikh walid
@KasalamaAlly
@KasalamaAlly 2 месяца назад
Shukran Allah akupe umri mrefu yaarabi aamina
@ashamazila542
@ashamazila542 3 месяца назад
Shukrani sheikh Walid❤
@FatmaHajj-z7s
@FatmaHajj-z7s 2 месяца назад
Allhamdullilah Alllah akubark yaani tunajifunza vingi
@asiamkindi7306
@asiamkindi7306 3 месяца назад
Shukraan sheikh walid ukumbusho mzuri
@shamzone388
@shamzone388 2 месяца назад
Alhamdulilah nasoma sana kila siku kabla ya kulala yalatif 129
@faizanassor6336
@faizanassor6336 2 месяца назад
MASHAA ALLAH
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 месяца назад
Shukran shekh
@mohamedisimai
@mohamedisimai 3 месяца назад
Inshallah
@ZaZa-ck9sf
@ZaZa-ck9sf 3 месяца назад
Ahsante
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 2 месяца назад
ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH
@humeiriyahibnbazz
@humeiriyahibnbazz 2 месяца назад
Mwana chuoni Gani wa kisalafi kajuzisha ivyo?
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 3 месяца назад
Hakika
@muhindiyondu3455
@muhindiyondu3455 2 месяца назад
Yalatif aliwahi kunifundisha mamayangu lkn hakunipa faida yake leo nmeipata😂
@mr.performance2533
@mr.performance2533 3 месяца назад
Hasa j3 ni mujarab
@abduljabbarmohammed4188
@abduljabbarmohammed4188 2 месяца назад
Idadi ya kusoma ya Latiff ni bidaa. Haina hesabu maalum unawexa soma idadi yoyote. Wacha kupoteza umma sheikh Walidi.
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 2 месяца назад
Sauti inakatakata inaondoa uhondo
@KarimuYusuph
@KarimuYusuph 2 месяца назад
😅😅😅tupe dalili na hojaa da wabongo bhana
@SaidKessy-f5p
@SaidKessy-f5p 2 месяца назад
Wewe hebu toa hoja na dalili kama sio mtoto wa nje😂..dini ni kuamini kwanza halafu ndio hoja..umethibitishaje kama tunatakiwa tusali sala tano kama hijafunzwa na wenye elimu😊
@ZaZa-ck9sf
@ZaZa-ck9sf 3 месяца назад
Shekhe naomba number ya whatssp
Далее
RC Helicopter Trick
00:13
Просмотров 6 млн
Chunga Ulimi wako - Sheikh Walid Alhad
24:06
Просмотров 10 тыс.