Song of Solomon 6:2 Mpendwa wangu ameshukia bustani yake, Kwenye matuta ya rihani; Ili kulisha penye bustani, Ili kuchuma nyinyoro. For everyone who's been wondering like me what the chorus is all about 😂❤
Kwenye matuta ya rihani ilikulishwa kwenye bustani ili kuchuma nyinyoro ameshukia ameshukia bustani yake mnapendeza kama jerusalemu sio wawili tena bali n mwili mmoja wa kutisha kama wenye bendera mungu awe nanyi maishani na awalinde milele