Aksante sana mtume Mtalemwa, umenifungua macho ya Rohoni,najua tangu leo linapotokea baya lolote lisilo la mwenyezi Mungu nishukuru,japokuwa limetokea nizidi kusimama katika imani.
Karibu Mtumishi kanisa lipo Makongo juu.ukija panda gari za Makongo Juu baada ya chuo Cha ardhi unapita vituo viwili kinachofuata unashuka kinaitwa Mashine au kanisani hapo hapo ukishuka kwa upande wa Pili utaona kanisa la ECG Dar Makongo Juu Karibu sanaaa kwa msaada zaidi unaweza kupiga cmu kwa hizo no zinatoa kwenye screen hapo
🙏 tafadhali mtumishi wa MUNGU ule ujumbe ulio niandikia asubuhi ulikua na namba yasimu lakini sikuiandika mahali nilisema ntaandika badaye kwasababu nilikua busy kurundi huo ujumbe umefutika tafadhali naomba tena huo ujumbe please 🙏🙏🙏
Siku zote mtu huongea vilivyoujaza moyo wake. Katika video yote ya zaidi ya nusu saa ulichojifunza na ukakiona ni hicho tu? LUKA 6:45 Kinywa cha mtu hunena yale yaujazayo moyo wake. Unaexpose na kuonyesha kilichojaza moyo na fahamu zako... sio vyema kufanya hivyo kwenye kazi ya Mungu
@@justinenjau7936 IMEWAPASA WANAWAKE KUVAA MAVAZI YA HESHIMA MSIJIPE FARAJA ZA KUTAABISHA, WEWE UNAEFURAHIA KUONA MAVAZI YA KIKAHABA MIT 7: 10 WAFUNDISHENI WATU KUISHI MAISHA YA UTAKATIFU, EFE 4;27 ICHO NDICHO KILICHOUJAZA MOYO WANGU 1 YOH 2:15 - 16, ACHENI UDUNIA KWENYE NYUMBA ZA IBADA 1TIM 2 :9-10 1PET 3:3 MSIKILIZE PAULO AMBAE TUTAHUKUMIWA KWA INJILI ALIYOIHUBIRI 1KOR 11 :5 MBINGU ni takatifu wataingia watakatifu siyo rahisi km mnavyojifariji, EBR 12:14. Marasta, kucha zakubandika, mawigi marasta, na vingine ni udunia Rum 12 :2 2Tim 4:3-4. Hubirini kweli watu waache udunia ili waingie mbinguni. 2KO 7:1
@@matildaf4875 Mit 7:10 tusivae mavazi ya KIKAHABA. Ukiokoka unatakiwa kuwa na matendo yapatanayo na toba Mdo 26:20 1Yoh 2:15 - 16 Kila kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu 1Yoh 5:4 hatupaswi kuifuatisha namna ya dunia hii Rum 12 :2 1Tim2 :9 ACHENI UDUNIA KWENYE NYUMBA ZA IBADA, 1KOR 11 :5 UTAKATIFU ni mwili na roho 2kor 7:1. mikucha ya kubandika mawigi, marasta, huko ni kupinduwa mambo ISA 29:16 MBINGU NI TAKATIFU WANAINGIA WATAKATIFU EBR 12 :14 Mchungaji anaekufundisha kuvaa vyovyote na kujipamba vyovyote huyo hana mbingu Rum 12 :2 , tutahukumiwa sawasawa na Injili ya Paulo mtume 1KOR11 :1 BIBLIA inatuonya, wala msiifuatishe namna ya dunia hii
@@shalomizrael667 Ukigeneralize kwa kusema kila kitu ni cha dunia na tuachane na ya dunia utakuwa unakosea sana, youtube unayocoment ni ya dunia, simu uliotumia kuingia online ni ya dunia, nguo yako uliyovaa sasa hivi ni ya dunia... utaishia kuwa extremist na kupita pembeni ya mstari na kupitisha hukumu.
NINAKUSHUKURU MUNGU KWA MAANA CHANGAMOTO YOYOTE INAYOTOKEA KWENYE MAISHA YANGU INANITENGENEZA KUWA MTU BORA, INATENGENEZA MAMBO MAKUU KWENYE MAISHA YANGU, YALIYOMBELE YANGU NI BORA ZAIDI YA NILIYOYAKOSA KWA UTUKUFU WA JINA LAKO.
All things worketh together for good to them that love God., to them that are the called according to His purpose.. Mambo yote yanatendeka kwa wema kwa wao wamchao Bwana... Nini maanake Apostle ???
Kindly, the verse does not refer to roots of plants. "Taking root" means growing in their foolishness, falsely thinking they are ok, being confident that they are safe and secure, when indeed they are going from worse to worst. God bless you.