Ingekuwa mm nipo kwenye circle ya management hiyo mistari aliyoanza nayo "na mkisikia nimedead etc." ndio ingekuwa Chorus. Ila basi tena wimbo umeshatoka ila uongo dhambi ni bonge la track. I love Yammi cause she is a very humble girl from far.❤❤❤
I like this girl sound yake ya upole imetulia sana wimbo mzuri wenye mistari noma Ila sasa hapa kwa amapiano anahitaji avuruge souti kiasi asiwe soft kiasi hicho Anyway big up we are growing together
Mashaalah hii ni hit song lakini ingekuwa wametoa hao wakununua views ingekuwa sahii iko 300k lakini usife moyo unajua kuimba na ukiitolea video itafanya vizuri keep it up sister
That sound of violin 🎻 in this amazing ♥️ song is something else....and about Yammi...we can't talk enough about her!!💯💯💯💯♥️....she isn't pregnant but she always delivers ❤️💥💯