Тёмный

Yanga SC 0-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 30/04/2022 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 755 тыс.
50% 1

KARIAKOO DERBY: Kwa mara ya pili msimu huukwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, derby ya Kariakoo, Yanga na Simba inamalizika bila goli lolote kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Licha ya kutokuwepo mabao.... ilikuwa ni mechi dume .... Tazama highlights uone baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri kwenye mchezo huo.

Спорт

Опубликовано:

 

29 апр 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 388   
@issasalim7688
@issasalim7688 2 года назад
From Mozambique 🇲🇿 I love Simb fc they are very good 👍 ♥ 👌
@sixteenyussufchampin7264
@sixteenyussufchampin7264 2 года назад
Walai sijaona watu wanaopendana na wenye ukarimu kama WATANZANIA❤️💯🤲🏾. Much love from Kenya
@rojasjonas6451
@rojasjonas6451 2 года назад
Wanayanga tutambe hapa kwa kugonga like hapa
@manzitite6036
@manzitite6036 2 года назад
This is match kbs from today am going to follow all match btn Simba na yanga Tanzania you are the best thank you for highlight us🙏
@reinherdomondi8424
@reinherdomondi8424 2 года назад
Am from kenya and i really love watching this derby
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunze quran kwa hukmu kuswali kwa vitendo gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojli
@authorepiscopereemmanuel964
@authorepiscopereemmanuel964 2 года назад
Yanga wame jitaidi sana one love from Canada 🇨🇦
@agnesskalima3731
@agnesskalima3731 2 года назад
Canada ya konyo
@shabaniabushiri9840
@shabaniabushiri9840 2 года назад
@@agnesskalima3731 uuuj
@shabaniabushiri9840
@shabaniabushiri9840 2 года назад
@@agnesskalima3731 uuuuuujuuuujuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@shabaniabushiri9840
@shabaniabushiri9840 2 года назад
@@agnesskalima3731 ujuuuuuu
@shabaniabushiri9840
@shabaniabushiri9840 2 года назад
@@agnesskalima3731 uujuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuiuuju Juuuuuu
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 2 года назад
Kocha mkuu hayupo lakini tupo fiti Yanga Tamu💛💛💛💛💚💚💚💚
@estergeorge8841
@estergeorge8841 2 года назад
Sio kweli👹👺👹👺❤️❤️❤️ Simba tamu asikwambie mtutuu Simba tmu
@dihnadeusi4733
@dihnadeusi4733 2 года назад
Kumbe nakocha huwa anacheza pia🤔
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 2 года назад
@@dihnadeusi4733 hapan. Kocha anakua anakula tuu bhas🤣🤣🤣
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 2 года назад
@@estergeorge8841 sio mbaya😂😂😂😂
@allyrajabu3854
@allyrajabu3854 2 года назад
Wa kwanza hapaaa
@fahadfahmy
@fahadfahmy 2 года назад
Mashaallah nimependa Marefa wanakunywa maji huku wamekaa,na hiyo ndio sunna ya Mtume
@sullehtz9327
@sullehtz9327 2 года назад
What a mechi...Well done my team💚💛💚✊ #timuyawananchi
@stanastana3199
@stanastana3199 2 года назад
Simba na Yanga huwa kuna tension sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@shahamemwidani8808
@shahamemwidani8808 2 года назад
Yanga SC kiboko yao 👍👍👍👍👍
@mustafamzee2399
@mustafamzee2399 2 года назад
Simba tunahitaji nguvu zaidi sehemu ya ushambuliaji na viungo
@alicenice1711
@alicenice1711 2 года назад
Mikia wanafurahia sare jamani 😂😂😂
@jaribiwarungwe1925
@jaribiwarungwe1925 2 года назад
Timu bila kupiga shuti langoni ?
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 года назад
21 Matches,unbeaten --- this is Young Africans.
@kiangoneema2979
@kiangoneema2979 2 года назад
Pongezi nyingi nyingi mno kwa Simba Sc nyinyi ndio nyinyi wala hakuna mwingine 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@atunuroo9596
@atunuroo9596 2 года назад
a wap simba hamn ktu
@rachellucas567
@rachellucas567 2 года назад
Enonga
@Rasi.wooden
@Rasi.wooden 2 года назад
This is the best dabi in eastafrica
@pastorbaharia598
@pastorbaharia598 2 года назад
Yesu ni Mwokozi,Mkubari Upate ondoleo la dhambi.
@busta_malik5971
@busta_malik5971 2 года назад
We amekuokoa wapi acha upumbavu wako
@abdallahyunus7538
@abdallahyunus7538 2 года назад
Acha wewe
@benjamindanielduday1542
@benjamindanielduday1542 2 года назад
@@busta_malik5971 mbona unamshambulia mtu bila sababu
@jayaron5991
@jayaron5991 2 года назад
Amina
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@benjamindanielduday1542 MUOKOZI NI MUNGU SIO BINADAMU.
@johnbupimali5019
@johnbupimali5019 2 года назад
Mwizi Nje, Fundi wao nje, msokota ugoro Nje, hapa nicheke kwanza😂😂😂😂😂💚💚💚💚✅✅✅✅
@johnbupimali5019
@johnbupimali5019 2 года назад
Kuna watu wanateseka kweli! 💚✅✅✅✅
@angelkavishe5240
@angelkavishe5240 2 года назад
Inonga Umejua Kunikabia Mayele leo 🥰🥰🥰🥰🥰🥰♥♥♥♥
@nadymhamad2655
@nadymhamad2655 2 года назад
najuw mlifurahi san ndio ushind wenu
@godfreyfredrickmbajo1147
@godfreyfredrickmbajo1147 2 года назад
Hapo ndipo Uwezo wenu ulipoishia
@saimonijonas1471
@saimonijonas1471 2 года назад
Hakika Simba imepoteza mvuto.Timu nzima na mashabiki wote wanacheza na Mayele.Hakika Simba yote mpaka muwekezaji, Mayele anawatosha.
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 2 года назад
@@godfreyfredrickmbajo1147 nyie uwezo wenu umeishia wapi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@nadymhamad2655 VP LILE DENI ANALODAIWA KALIPA??? MAMA YOOYOOYOO FC NYINYI.
@salehngwebaldinhos
@salehngwebaldinhos 2 года назад
Yanga big up
@jumakassim8718
@jumakassim8718 2 года назад
Daaah makolo mna bahati sana 💚💛
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
AHSANTE MAMA YOOYOOYOO.
@gavethhans5242
@gavethhans5242 2 года назад
Mashabiki wa yanga sisi maboya sana tumeshindwa kujaza uwanja
@wamakolo1963
@wamakolo1963 2 года назад
Yanga bingwa
@isaackiswaga3736
@isaackiswaga3736 2 года назад
Unbeaten matches 21 we are Young Africans sc 💛💚
@thejhaikals5921
@thejhaikals5921 2 года назад
Na hatupigwi tenaaaaa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
KWELI MAMA YOOYOOYOO.
@eliacmkoko6620
@eliacmkoko6620 2 года назад
Tunawataka simba fainal ya fa
@migeto4721
@migeto4721 2 года назад
Highlight nzuri inatakiwa imezidi Sana dakika 9. Unaweza ukawa unairudia rudia hata sio hzo dakika 19 Tena zingine zina 27. Mnakera
@ackimibrahim2973
@ackimibrahim2973 2 года назад
Highlights ya hovyo sana hii...kama hamjajipanga si mngetoa hata kesho
@allynguzo1209
@allynguzo1209 2 года назад
Tatizo sio highlight. Mpira ukochezwa kiujumla ni mbovu
@wanyooshetv9987
@wanyooshetv9987 2 года назад
🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁 #NguvuMoja
@manager_bambo5974
@manager_bambo5974 2 года назад
Simba🦁
@chamballaally8767
@chamballaally8767 2 года назад
Huyu Nkane atulize mapepe katujima ushindi !!
@mbuxhiekimoda4421
@mbuxhiekimoda4421 2 года назад
Ufalume kwenye mech hii ni wa Henock Inongo, Vallane kwa mambo anayofany bhna hatar xna, bakar nondo akasome !!!!
@majeshinyamihela3514
@majeshinyamihela3514 2 года назад
Ramadhani Kayoko pia ana damu na nyama kwahiyo pamoja na sheria 17 za mpira wa miguu lkn bado anao mwili mimi mechi za Yanga zikichezeshwa na Kayoko sinaga imani na yeye kuna maamuzi anayafanya yanakupa kukufikirisha unakosa majibu.
@harounkiyungi7288
@harounkiyungi7288 2 года назад
Uzuri Leo alikutwa amefunga ilikuwa vigumu kuendelea angeharibu swaumu yake tumshukuru mungu mechi hii imepagwa kipindi Cha Ramadhani
@allykaisi2520
@allykaisi2520 2 года назад
simba ndoo kilakitu 💪💪💪
@shushubaby5097
@shushubaby5097 2 года назад
Simba huwa hkamii kumfunga yanga anachoangalia ni kucheza mpira ili aende kujitangaza kimataifa zaidi kuroga mmeloga na sare tumetoka uchawi bila kiwango ni bure 🤣🤣🤣🤣
@edyicoyigombeye5120
@edyicoyigombeye5120 2 года назад
Ntibazonkiza 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@benjamindanielduday1542
@benjamindanielduday1542 2 года назад
Sijaona sababu ya kocha kumtoa chama pamoja na kwamba bwaliya alikuwa mzuri pia
@salmamustapher5611
@salmamustapher5611 2 года назад
Chama ni mtu wa slow sana mwalimu alikuwa sahihi kumtoa dabi hii ilikuwa Kasi mnoo ilihitaji mtu mwenyemguv na ambaye hajivuti yuko fasta hukuon alipotoka tu yeye na Morrison mpira ukawa wa Kasi Zaid bira hivyo tungefungwa
@ministereliwafrica8715
@ministereliwafrica8715 2 года назад
yani washabiki wasimba awafulaihii yangu kutowa nao sare wanacho furahi nikwamba mayeree ajafunga😂😂😂😂😂
@enockabumba7513
@enockabumba7513 2 года назад
Ndio nawashangaa
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 2 года назад
Sasa wewe mtangazaji hiyo royal tour unailetaje humu mpirani? Ama kweli Tz bado sana
@KTMediatv
@KTMediatv 2 года назад
We ndo huna akili kwani mpira unachezeka taifa analoliongoza nani na hiyo royal tour anaifanya nani? Huoni akiitaja hapa ataitangaza kwa asiejua akahamasika kutaka kujua ni nini. Acha ushamba wa kuitoa akili nchi yako
@anithajaphet4587
@anithajaphet4587 2 года назад
Ivi mumeona Henock Inonga alivyo mtolea mayele mpira mguuni 😂😂😂
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 2 года назад
Hivi Man united inasubiri nn Kwa INONGA BAKA? Si wamsajili wapunguze Vipigo
@anithajaphet4587
@anithajaphet4587 2 года назад
@@kakorejrboyz6447 kwa kweli yaan wamchukue tu anastahili
@chazzvannylaurent3677
@chazzvannylaurent3677 2 года назад
Sawa
@raymondlivigha4015
@raymondlivigha4015 2 года назад
Kwa hizi mechi zilizobaki Yanga akipigwa mechi 3, halafu Simba akishinda zote Simba Bingwa.
@hermanjulius3709
@hermanjulius3709 2 года назад
Atakuw anakuzid point 1 bado
@chaliiyawenger2331
@chaliiyawenger2331 2 года назад
Mahesabu ya kishamba sana
@abdulaabdula2631
@abdulaabdula2631 2 года назад
Wew jp hsbu mbovu. Kwaiyo simb yey atshnda zote 😂😂.. Ht uwanze kumuhsbia yanga. Maan simb kadro n poles Tanzania 😂😂
@bupomwamwala1402
@bupomwamwala1402 2 года назад
Ndoto za mchana
@mussamakange7421
@mussamakange7421 2 года назад
Mpumbav we kaa na mahesabu yako ya kisenge
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 года назад
Yani leo nimeamini mayele ni mkubwa sana na ni mshambuliaji ambae hajawahi kutokea bongo😁 yani watu wanashindwa kuongelea habari nyingine za mechi wamekazana eti ooo mayele kashindwa kufunga leo ni kama vile ilikuwa ni mayele vs simba na sio yanga vs simba😁😁😁😁😁
@oscarkilangi1187
@oscarkilangi1187 2 года назад
Yeye ndy alijisifu atafunga ndy maana wanamsema
@japhetrobert1728
@japhetrobert1728 2 года назад
Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe.
@jtv3494
@jtv3494 2 года назад
Uwezo wamayere niwakawaida sana kutokana kucheza gemu zote na idadi ya magol aliyo nayo bado hajawafikia washambuliaji wote walio cheza simba na yanga
@safinagasper6698
@safinagasper6698 2 года назад
Ndo alieibeba yanga mayelee
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
SIMBA VS MAMA YOOYOOYOO LEO.
@jumakassim8718
@jumakassim8718 2 года назад
Daaah tumewakosa sana makolo 💛💛💚💚
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
MAMA YOOYOOYOO MIMBA INAKUSUMBUWA HUONI.
@jumakassim8718
@jumakassim8718 2 года назад
@@salimmalaka256 kuwa na adabu na timu za watu kolo wewe
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@jumakassim8718 MIMBA NDWII HASIRA JUU JUU BQDO KULA UDONGO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kinyanyaonline3658
@kinyanyaonline3658 2 года назад
Alhamdulillah
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 2 года назад
Beki Bora Msimu huu ni INONGA BAKA 😆😆😆😆😆
@directorrey8665
@directorrey8665 2 года назад
Kwa kumkaba mayele ndo awe bora??? Hahahaaa hapo kwanza ncheke
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 года назад
KAKORE, sio Ligi hii tu, hata kwao ndie aliekuwa BORA msimu uliopita. UTOPOLO wanajua ila wanajishebedua 😀😁😂🤣😃🙄😅😄😂💪💪💪
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 2 года назад
@@directorrey8665 asa ulitaka amkabe referee au kumkaba mayele ndo kazi alotakiwa kufanya na ame win asilimia zote big up kwake
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@directorrey8665 MAYELE SI MUME WENU NYIE NG'OMBE FC.
@ramsonramadhan4156
@ramsonramadhan4156 2 года назад
Ni wa Mwanzo Kukoment Leo..🤣😅#Simba nguvu moja
@salumhiyari8906
@salumhiyari8906 2 года назад
kibwana shomari=Morison +sakho+kibu Denis
@ramahaji2395
@ramahaji2395 2 года назад
Inonga mmoja sawa na nyeto, bangala, aucho
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 2 года назад
Highlight ya Leo ya hovyo sana
@mamaan26
@mamaan26 2 года назад
Mshamba ww
@joramgobness5281
@joramgobness5281 2 года назад
simba is 🔥🔥🔥🔥🔥
@mtazisalum2984
@mtazisalum2984 2 года назад
Instrumental song ya CAF nackia kwa mbali... Ina maana NBC pl hawana nyimbo yso 😢
@KTMediatv
@KTMediatv 2 года назад
ile imepigwa ndani uwanjani ni jambo la kawaida ila kwenye video hii unayoiangalia mwishon utaona instrumental ya NBC
@JacksonMbilo-pb4tq
@JacksonMbilo-pb4tq 2 месяца назад
iyo atat
@worldstartz
@worldstartz 2 года назад
Yanga tuko vizuri
@rejinakweka2469
@rejinakweka2469 2 года назад
daa yanga raha sana
@omaryomary8745
@omaryomary8745 2 года назад
tatizo mpila haujuwi ila upo upande wa timu Simba ndo walioucheza mpila
@crownseven7889
@crownseven7889 2 года назад
Derby mbovu sijawai ona
@zunnahmohammed4719
@zunnahmohammed4719 2 года назад
Yani. Hapo kutoka Morrison na kanute na chama. Mngekoma basi mmemroga kocha wetu awayowe kiboko yenu
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 года назад
Morrison utaolewa na Yanga ukileta hashuo. Hapo upo kwa wananchi
@maghfirachambale9000
@maghfirachambale9000 2 года назад
Hi
@michaelmichael7095
@michaelmichael7095 2 года назад
Niatar
@azizamihungo9659
@azizamihungo9659 2 года назад
Cha ajabu Simba ndo waliojaza uwanja kushinda mwenyeji
@jombiwise5287
@jombiwise5287 2 года назад
Aziza mihungo
@leilahasani3118
@leilahasani3118 2 года назад
Yanga oeeeeeeee.....!! Naona tulivyowachezech mchaka mchaka hao wazembe
@jikelasimba4178
@jikelasimba4178 2 года назад
Hamna timu ya kushindana mnatimu ya fujo hata Ali mayai kakuoneni
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 года назад
Yanga ndiyo mmechezewa mpaka mkaanza kulala lala hovyo
@leilahasani3118
@leilahasani3118 2 года назад
@@victorsanga2229 😃😃 Nyie Haya tu Simba wabishi nyie akati mchezo tumeuona wote. Tungewafunga kwanza ndie Msengesema sana
@johnbupimali5019
@johnbupimali5019 2 года назад
Makolo et wakapewa 50:50 Kipindi Cha kwacha make hapa nicheke kwanza😂😂😂😂😂😂😂 kwa Mpira gani waliocheza
@titomakanda993
@titomakanda993 2 года назад
Hatali
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 года назад
Still unbeaten! Kweli kwenye mpira kila mtu ana kipaumbele chake, Yanga anaumia kutopata point 3, ila Simba anashangilia mayele hajafunga! Hongera sana Kibwana shomari tafadhali upewe ulinzi maadui ni wengi
@ahmedame9336
@ahmedame9336 2 года назад
Ni kweli kipaumbele cha yanga 0.5 ni kuifunga simba 28
@ibrahimchatila4945
@ibrahimchatila4945 2 года назад
Yaani team ambayo haujapiga ht shot moja on target ukasirike kutoa sare. Team iliyopgwa mashuti makasrike. Dunia ina vtuko hii
@emmadora7848
@emmadora7848 2 года назад
@@ibrahimchatila4945 tena vituko haswaaaaa, hawa jamaa wasipoangalia msimu huu tena mapema watarudi kuwa mapokezi
@damianocostantine9042
@damianocostantine9042 2 года назад
Yanga ni mafala tu hamna kitu subirien kupokea wageni
@ahmedame9336
@ahmedame9336 2 года назад
@@damianocostantine9042 ukiwachunguza wananch utabaini kuna sehem wamepungukiwa na uwelewa lkn bado tunapaswa kuwavumilia kwn ukisema wananchi bado utayagusa makundi yote ya wenye akili na wale punguani
@betramraphael7219
@betramraphael7219 2 года назад
ipo siku moja kipigo cha gori 4-1 cha 2020 kitarudia tena kwa yanga tutawafundisha adabu mana mnaongea sana yanga subiri wakati wa simba kufurahi utafika tu
@estergeorge8841
@estergeorge8841 2 года назад
Kama Leo mmetushindwa B's amta Pata nafasi hiii tena ndugu yangu Pol sna😆😅😆
@cutebaby3247
@cutebaby3247 2 года назад
@@estergeorge8841 akakojoe alale😂😂😂😂
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 2 года назад
Chukua ubingwa uchekwe
@subiramussa1428
@subiramussa1428 2 года назад
Maneno ya mkosaji hayo😄
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@cutebaby3247 WE USHAKOJOWA.
@gaudencehaule7398
@gaudencehaule7398 Год назад
Mayele hawez kufunga goli pale Onyango na Inonga wakiwa pamoja
@emmadora7848
@emmadora7848 2 года назад
Yanga msimu huu pia kimataifa mapema mtarudi
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 года назад
Sawasawa Mtabiri
@hidayamakuka7876
@hidayamakuka7876 2 года назад
Sawa mfalme ndovu .chefuuuu
@fortunatafelician5625
@fortunatafelician5625 2 года назад
Fyuuuu
@estergeorge8841
@estergeorge8841 2 года назад
Yanga Amna kituleombk mayele ,, amekabwa na baby sio pw yanga amtuwezi jmn 🙆🙆🙆
@cutebaby3247
@cutebaby3247 2 года назад
@@estergeorge8841 haya kakojoe ukalale basi😂😂😂😂
@faridahassan106
@faridahassan106 2 года назад
Manila it is man
@gototheantyousluggard2035
@gototheantyousluggard2035 2 года назад
I'm from South Africa and I enjoy watching these two Tanzanian FCs It seems like I'm leaning more the green n yellow one , maybe because I support mamelodi Sundowns with similar colours 🤦🙏🏿🤦🙏🏿
@williammagembe8436
@williammagembe8436 2 года назад
💛💚😻😻💥💥
@salmakhalifa4793
@salmakhalifa4793 2 года назад
Kuna watu wamecomment hapa siyo watu wa mpira ni mashabiki wa mpira
@harounmbwana4890
@harounmbwana4890 2 года назад
Simbaaaa,,💪💪💪💪
@salmakhalifa4793
@salmakhalifa4793 2 года назад
Yanga wanajua wametengeneza nafasi nyingi sana ila bahati ya nafasi kuwa magoli haikuwepo
@deniselias6890
@deniselias6890 2 года назад
Wa pili
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 года назад
Ni bahati mbaya kwa MAYALE kwamba,alikosa huduma nzuri.nadhani Luna baadhi ya wachezaji wenzake hawjaielewa mikimbio yake,mfano,Nkane na Djuma shabani,walipaswa kumpa V -- pass-- zilikuwa no nafasi ambazo angeweza kupata goli.
@misungwimpanduji2336
@misungwimpanduji2336 2 года назад
Kwer sitaika wetu Leo akua napahat
@KTMediatv
@KTMediatv 2 года назад
Umeongea kitu sahihi, sio kama hawajui tatizo ukubwa wa mechi walikua na tamaa ya kutaka wafunge. Mipira ya kutoa V pass wao wanapiga golini
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
KUMBE MAMA YOOYOOYOO FC NYOTE MA COCHA 🤣🤣🤣🤣🤣
@emmanuelkasoga8194
@emmanuelkasoga8194 2 года назад
Kwakweli kulikua na uhaba wa v-pass Mayele angefunga, sasa hapo kila mmoja alitaka kufunga mwenyewe, kosa kubwa Sana kitimu
@chb5367
@chb5367 2 года назад
Mayele na makambo walipaswa kucheza pamoja mbele
@fralex_1276
@fralex_1276 2 года назад
SIMBA SC 🔥
@kibokutiwanatanyika1540
@kibokutiwanatanyika1540 2 года назад
Mayele kamlinda ndugu yake mkongo kwa kutomsababishia madhara ya kuondolewa simba kwani yupo hatarini kupoteza kibarua chake kwa kukosa penati na Orlando. Jaman tafadhali sitaki post ya matusi huu ni mtazamo wangu tu.
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 2 года назад
Mbn uwezo wako ni mdogo sana kutambua vitu penalty alikosa inonga tu😅😅😅 ww ni 🚮🚮🚮
@enockabumba7513
@enockabumba7513 2 года назад
Kabisa
@nuhuswalehe6690
@nuhuswalehe6690 2 года назад
Utopolo shorts on target zero😂😂
@tangataunyake3948
@tangataunyake3948 2 года назад
Kaangalie Tena, mf. hyo ya nkane Mwisho Ni nin... Zpo zngne...hata possession tuliwazd...
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
MIGOMBE FC 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@emmadora7848
@emmadora7848 2 года назад
Afu wanatarajia kuwafunga ah ahly, vita, mazembe ahahaaaa yanga bado safari wanayo
@emmadora7848
@emmadora7848 2 года назад
@@tangataunyake3948 ila wewe bwana ahahaaaaa
@ashabakari1448
@ashabakari1448 2 года назад
morrison nataman siku moja upate kipigo mbwa ww unaleta ubabe nyoso alitaka kukupiga ukaponea
@jaribiwarungwe1925
@jaribiwarungwe1925 2 года назад
Unateseka ukiwa wapi
@fortunatafelician5625
@fortunatafelician5625 2 года назад
Yn mi ndo cmuelewagi ht kdg Morrison
@ashabakari1448
@ashabakari1448 2 года назад
@@jaribiwarungwe1925 🤣🤣kuteseka tena
@fredikayenze4219
@fredikayenze4219 2 года назад
Sawasss
@petertembo2341
@petertembo2341 2 года назад
Wanabahat yao
@mbisajafar7601
@mbisajafar7601 2 года назад
Still unbeaten
@omaryomary8745
@omaryomary8745 2 года назад
hahahaha hapo nimeamini Amna kuonga wachezaji huwo ndo mpila wa yanga walioucheza Leo
@chaliiyawenger2331
@chaliiyawenger2331 2 года назад
Wewe ambae hujahonga Una nn
@hamdanabdallaslum4165
@hamdanabdallaslum4165 2 года назад
sawa
@jamesjigalu9146
@jamesjigalu9146 2 года назад
Nimepanda sana
@simonjnrmabula3785
@simonjnrmabula3785 2 года назад
Inonga analeta burudani sana 😃😃😃
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 года назад
Burdan tena kwa HERUFI kubwa. Mechi ya pili MAYELE ametolewa ili akaswage NG'OMBE wake kaingia Shamba la Mkulima. Chezea INONGA weweeeee💪💪💪💪💪
@raymondlivigha4015
@raymondlivigha4015 2 года назад
Yanga kaanza na suluhu kwa simba halafu kabakisha michezo 9, ugenini atapona? na timu za ugenini zinavyotaka sifa , posho, rushwa na majina.
@juliusmagoti5650
@juliusmagoti5650 2 года назад
Kwani hii ni sare ya kwanza kwa Yanga, au unaraka kufariji moyo wako. Subiri mechi ya kigoma utapata jibu
@shivoly8098
@shivoly8098 2 года назад
@@juliusmagoti5650 kigoma nn kilitokea,
@mariamrashidkarubirashid5893
@mariamrashidkarubirashid5893 2 года назад
Makolo Leo wanabahat
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
AHSANTE MAMA YOOYOOYOO.
@CHITUS
@CHITUS 2 года назад
Ifahamike tu huyu mtangazaji ni zaidi ya mpenja
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 2 года назад
Marefa watched kulea wachezaji kama Morison hovyo sana hasira kama tuko kwenye ngumi
@prriya507
@prriya507 2 года назад
Ndio mana Kaumizwa mapumbu
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 2 года назад
ally wangeyapasua tu mapumbu ya Efue qmamae 😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@prriya507 MA MAMA YOOYOOYOO MNAFURAHI MORISON KUUMIZWA.
@prriya507
@prriya507 2 года назад
@@salimmalaka256 Kama Mamaaako Hana nishamsamehe ila kama Anayo Kawembegu Ili uje kupata kumtombea mamako uyouyo kwaiyo Alipotaka Kupigana na kipa We ulichukia Au Niondolee makasiriko yako em Tafta paka likuhemeee kama Huna kzi We unamenywa nin
@prriya507
@prriya507 2 года назад
@@salimmalaka256 ulitaka tufrahi Akiumizwa Mamako au dadaako Kabenuliwe Uko em
@6thedj-255
@6thedj-255 2 года назад
Sasa wimbo wa caf unapigwaje kwnye league yetu
@josephkulija293
@josephkulija293 2 года назад
Hivi hawa askari wa kwetu huwa hawaangalii mpira wa nchi nyingine kwamba wanapaswa kulinda watu siyo kutazama mpira?
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 года назад
Ww unasemaje ludia tena 😡😡😡😡
@electronicsermon6589
@electronicsermon6589 2 года назад
Waamuzi wameharibu dabi
@ezeedi871
@ezeedi871 2 года назад
Sasa waamuz wameharibu nn hapo na nyie mashabik daaah hamjawah kosa lawama yaan mm Kama shabiki wasimba nasema waamuz walikua vizur kiwahi kutokea katika gemu za derby,mwamuz kachezesha vizur sana
@jumamahamoud2022
@jumamahamoud2022 2 года назад
Huyu dogo kayoko hanagashida sana hata kama anayo ni kidogo sana anawashinda hata waamuzi wazee!
@bethcharles1794
@bethcharles1794 2 года назад
Leo mafahari 2 wakae kwenye zizi 1 niugomvi tu
@richarddavid7667
@richarddavid7667 2 года назад
Varane
@georgenorasco1705
@georgenorasco1705 2 года назад
Yanga waliomba mpra uishe
@harounkiyungi7288
@harounkiyungi7288 2 года назад
Kwa lipindugu mbona umekoswa mara nyingi zaidi wewe ni like kuchwa Cha Mugalu basi
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 2 года назад
Pumziiiiiii..... 'fei voiceee'
@sarhafrancis8824
@sarhafrancis8824 2 года назад
hv hawa wachezaj wa simba kwa nn wanakua wanaleta hasira uwanjan?? yan kun mda djuma anapiga mpira morison anakimbia kwenda kweny miguu yake kwa nguvu na djuma akamkandamiza na miguvu lakn hakubweka sialiona huyo sio wa kutania😂😂😂😆😆😆
@itareitare6251
@itareitare6251 2 года назад
Kwan kocha wao humuoni?
@ayubumbise3075
@ayubumbise3075 2 года назад
Kwani umelewa ww
@prriya507
@prriya507 2 года назад
Daah mpira umechezwa
@dadyidrismayten1967
@dadyidrismayten1967 2 года назад
😢
@fatmabakura2105
@fatmabakura2105 2 года назад
Simbaa kama simbaaaaaa
Далее
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
Старый Дим Димыч вернулся😱
00:16
SIMBA vs YANGA NGAO YA JAMII TAZAMA PENATI ZOTE
6:40
Messi & Garnacho💔🇦🇷
0:18
Просмотров 9 млн
Master the hip throw with the dopa band!
0:15
Просмотров 555 тыс.
But how??
0:16
Просмотров 11 млн