Тёмный
No video :(

YANGA YA MSIMU HUU NI BORA ZAIDI YA MSIMU ULIOPITA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 29 тыс.
50% 1

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 2 месяца назад
Pacome ni bora klk Chama 😮😮😮
@Bampele
@Bampele 10 месяцев назад
Yanga hii bora sana
@ImaniMethod-en7re
@ImaniMethod-en7re 9 месяцев назад
Baba levo na Oscar mnabahatishavsana maana mpira unamatokea matatu ,,kumbukeni juzi mlisema mashujaaa anashinda na azam atoboi ebu acheni kibatisha
@bakarimbelwa2398
@bakarimbelwa2398 10 месяцев назад
Rejea mechi ya mwisho ya ligi dhidi ya yanga mara kadha anawapita mabeki wa pembeni na kupiga pass ndani ya box ilikuwa ni utulivu wa baleke tuu vinginevyo ingekuwa msiba mkubwa
@bakarimbelwa2398
@bakarimbelwa2398 10 месяцев назад
Chama kwann hana uwezo wa kukaba, tushaona mara kadhaaa anafanya pressing kuanzia juu na anapora mipira mfano mechi ya away msimu uliopita na raja casablanca ikapelekea goli lolifungwa na baleke, yule ji kiungo mshambuliaji unataka akabe kama inonga
@bakarimbelwa2398
@bakarimbelwa2398 10 месяцев назад
Huyo pacome tufanye ana spid imemsaidia nini speed yake mpaka saivi!
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 10 месяцев назад
Wao watulie tu week hii ndo tutaona u YANGA wao😂
@bakarimbelwa2398
@bakarimbelwa2398 10 месяцев назад
Mpira unachezwa kichwani, kama spid tuliiona kwa kisinda lakini imemsaidia nini, usijaribu kumfananisha chama na kiumbe chochote hapa tanzania, record zake ni hatari kwenye ligi na hata nje ya ligi! Mpira sio riadha!!
@leo-us9es
@leo-us9es 10 месяцев назад
chama hamna kitu kabisa
@bakarimbelwa2398
@bakarimbelwa2398 10 месяцев назад
@@leo-us9es ukiongelea ushabiki sawa, lakini namba zake si zakawaida...na yupo top 15 ya wafungaji bora wa muda wote kwenye cafcl km sijakosea
@bakarimbelwa2398
@bakarimbelwa2398 10 месяцев назад
@@leo-us9es kama rais wa Yanga amekili chama is best midfield in tz ever happen wewe hutaki kukubali kwanini?
@mikehjackson8146
@mikehjackson8146 10 месяцев назад
​@@bakarimbelwa2398wafungaji wa muda wote wa cafcl wew ndugu unatumia bangi ya wapn😅😂
@mwinyilupindo5082
@mwinyilupindo5082 9 месяцев назад
Mbn umekazia hapo kweny spidi tu zimetajwa sifa km 4 apo za ziada 😅😅😅😅
@bakarimbelwa2398
@bakarimbelwa2398 10 месяцев назад
Mwanzo mlimfananisha na azizi key badae mafuta na maji yakajitenga saivi tena mnamletea pacome ndio ujue huyu ni mtu hatareee
@eliezerfletcher975
@eliezerfletcher975 10 месяцев назад
Sio mtu hatari, ina maana Simba mna mtu mmoja tu ambaye anauwezo mkubwa. Subiri tutakuletea na mwingine tena
@bakarimbelwa2398
@bakarimbelwa2398 10 месяцев назад
@@eliezerfletcher975 sio simba tuu, hata Yanga hakuna anayefikia record zake ndani na nje ligi yetu yani cafcl kiujumla.
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 10 месяцев назад
Chama Hana uwezo wa kukaba wala Hana spidi kama PACOME na Simba asipokuwepo Kibu uwanjani viungo huwa wanasumbuka kwani hakuna mwenye uwezo wa kurudi chini na kusaidia kukaba kama yy. Chama timu pinzani ikicheza kibabe hawez hiyo mechi
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
Просмотров 144 тыс.