kwaya ya Mtakatifu mikael Malaika mkuu kutoka parokia ya Mtakatifu Yakobo mtume -Mhandu,Mwanza ,Jimbo kuu katoliki la Mwanza Wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa YATENGENEZENI MAPITO
Song Description
wimbo: YATENGENEZENI MAPITO
Mtunzi:M.C.MABOGO
Audio: RAJO PRODUCTIONS
Video:MOZEN PRODUCTIONS
Mawasiliano kwaya +255686131305/+255766656631
kwayayamtakatifumikaelmalaika@gmail.com
studios: MOZEN PRODUCTIONS :+255746775116
RAJO PRODUCTIONS +255758988827
"Onyesha upendo Kwa ku "subscribe,share,like and Comment"nawe utakua umeshiriki katika utume huu na mungu aendelee Kuku bariki maradufu"
#mozen productions#moyo Mtakatifu wa yesu #kwaya katoliki
16 сен 2024