Тёмный

YESU DINI YAKE IPI? KIJANA ASILIMU MBELE YA WALIMU WAKE LIVE.... Sheikh yahya Issa &Dr Odare 

KENYA DAWAH TV
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 135 тыс.
50% 1

MDAHALO JE IPI DINI YA MITUME?
ASKOFU MWANGI LEO NITAWATHIBITISHIA UKRISTO DINI YA KWELI.
SWALI;
WAPI ANDIKO UKRISTO DINI?
ASKOFU MWANGI UKRISTO NIKUMUAMINI YESU NA KUWA ALIMWAGA DAMU YAKE KWAAJLI YETU.
DR GERISHON UKRISTO NI UPAGANI, NA HIYO JINA IMELETWA NA WAABIDIO WA SANAMU WA ANTOKIA.
SWALI;
MUSA ALIKUA DINI GANI?
ASKOFU MWANGI MUSA HATUWEZI SEMA ANA DINI.
SWALI;
YESU ALIKUA DINI GANI?
ASKOFU MWANGI YESU HANA DINI.
SWALI KAMA YESU HANA DINI NYINYI MLITOWA WAPI DINI?
ASKOFU EBU PLZ TUWACHE MAMBO YA DINI, SISI TUMEJENGWA JUU YA IMANI TU WALA SIO DINI.
PASTOR GERISHON SISI WAMESAYA HATUNA DINI NA KUKOSA DINI HAITUFANYI KUWA MAKAFIRI.
PASTOR GERISHON YESU HATAMBUI KANISA ALIKUA AKIABUDU MILIMANI.
ASKOFU MWANGI JE UNAKUBALIANA NA PASTOR GERISHON KUWA YESU WAKATI YAKE KULIKUA HAKUNA JENGO KANISA?
ASKOFU MWANGI NDIO KWA MJIBU WA VITABU YESU HAJAWAHI INGIA KANISA.
SWALI;
MBONA YESU ALIKUA ANAINGIA MSIKITINI NA NYINYI MNAPINGA?
ASKOFU MWANGI YESU ALIKUA AKIINGIA MSIKITI HAO MFARISAYO WANAMPIGA.
PASTOR GERISHON YESU ALIKUA AKIINGIA KWA SINAGIGI KUNATOKEA VIRUGU MECHII KWASABABU SIO WATU WA MUNGU.
ILI UPATE RAHA USIKOSE KUTIZAMA VIDIO HII.
LIKE NA SHARE KWAAJLI YA ALLAH.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 500   
@ukhtyhalima6342
@ukhtyhalima6342 5 лет назад
Sheikh yahya Allah akuvuke vazi la afya na akupe maisha marefu Na Akhera akulipe janatul firdaus pamoja na mtume s,aw. Kama unamkubali sheikh yahya piga like hapa.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin
@haskayulempole3358
@haskayulempole3358 5 лет назад
Even me I love sheikh yahya walai God bless.him
@minaminaa1669
@minaminaa1669 5 лет назад
Aamiin
@fulbetybenedito4319
@fulbetybenedito4319 Год назад
Muhamad ndie kaleta wislam, inakuwaje mussa awe muislam????
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 года назад
Shekhe upo vzul sana Yahaya Uislam nidin kubwa tena Ya mwenyez mungu
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 года назад
Naam 👍👍
@bentybenty2343
@bentybenty2343 4 года назад
Alhamdulillah proud 2 be a Muslim
@walkermiller3684
@walkermiller3684 3 года назад
Sorry to be off topic but does anyone know of a trick to log back into an instagram account? I was stupid lost the login password. I would appreciate any tricks you can offer me.
@drsaidihasaniwwunajuwaubal379
@drsaidihasaniwwunajuwaubal379 5 лет назад
Allah karimu.mngu akulinde shekh wngu
@princessafrash8757
@princessafrash8757 3 года назад
I love Allah I love Muhammad (s.a.w) I love Qur'an I love Islam I love Muslims, I proud to be Muslim الحمد لله
@sheemaryam
@sheemaryam Год назад
U can say that again
@ElizaNjeri-zn2nb
@ElizaNjeri-zn2nb Год назад
Innalillahi wainnailahi rojiun.msiba kweli
@princessafrash8757
@princessafrash8757 Год назад
@@sheemaryam why not??
@princessafrash8757
@princessafrash8757 Год назад
@@ElizaNjeri-zn2nb msiba gani kuupenda uislam au upi umemaanisha
@ahmedsharif7089
@ahmedsharif7089 4 года назад
Mashaallah! I realy appreciate u highly 4 doing dz Dawah as leisure. I urge u to keep going ahead en neva give up esp. with dz bishops,congrats sheikh Yahaya حفظك الله
@hassanmradi153
@hassanmradi153 5 лет назад
Alihamdulillah nashukuru kuzaliwa katika nehema hii ya uslam
@mwanaidiramadhan3919
@mwanaidiramadhan3919 5 лет назад
Mungu akuzidishie neema inshallah
@hassanmradi153
@hassanmradi153 5 лет назад
@@mwanaidiramadhan3919 Amiin🙏
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 года назад
@@mwanaidiramadhan3919 amiin
@famidaramadhan3362
@famidaramadhan3362 2 года назад
Nawaombea kwa ALLAH awafungue namjue dini yakweli
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 5 лет назад
Akufunulie maandiko ya Qur,an hongera sana
@mamymdogo4161
@mamymdogo4161 5 лет назад
Alahmdulillah kwa kuzaliwa kuwa musilam
@jainaboman8952
@jainaboman8952 5 лет назад
Mashallah shekhe allah akuzidishie kipaji zaidi wakristo pole sana asikofu wen anapiga Kelele tu utasema kameza memoricad
@hamastien5439
@hamastien5439 5 лет назад
Mashaallah ya shekh din ya kwel.ni ya kislam honger san kijan kwakujua din ya haq niip mbel ya mwenzimung allah akulipe.kher fiduniy waliakher kamal inshaallah
@maryanomar5443
@maryanomar5443 5 лет назад
Mash allah my brother ,may Allah make it easy for them to see
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Amin
@ibrarito2116
@ibrarito2116 5 лет назад
Alhamdulilah nimezaliwa uislamu
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 года назад
ALHAMDULILLAH
@shamimnkungu8771
@shamimnkungu8771 5 лет назад
Mashallah, mungu akulipe kila l khery shekh Yahya
@wahidawahida6675
@wahidawahida6675 5 лет назад
Mimi nasema shekhe yahya endelea kuwa mpole ivyoivyo ili uwanase ndege tunduni kwani nimtu mwenye hekima sana Allah akulinde daima
@Awatee
@Awatee 3 года назад
Amiin
@mammymim3909
@mammymim3909 5 лет назад
MashaAllah kipindi kizuri ningeshauri mkaboresha mfumo Wa sauti upo chini
@ramadhankiponza6730
@ramadhankiponza6730 5 лет назад
Sheikh YAHYA Kazi Unayoifanya Mwenyezi Mungu Akuwekee Katika Mizani Yako Ya Kheri IN SHA ALLAH.
@aliomarmakame7250
@aliomarmakame7250 5 лет назад
Mungu akuongoze sehemu iliyo sahihi
@mshambawamjini2671
@mshambawamjini2671 5 лет назад
ALLAH AIHUDUMIE HII REDIO KWANI NI WENGI TUNA FAIDIKA SHEIKH TUWAOMBEE DUA WAKRISTO ALLAH AWAZINDUE KATIKA KWELI NA ALLAH ATAWAFAHAMISHA MIMI NAWAPATA TZ
@salummsusa5254
@salummsusa5254 5 лет назад
They wll never believe until they get back to death, I am proudly to be Muslim.
@sumahtanzania4991
@sumahtanzania4991 5 лет назад
Din ya haki ni wisilamu namushukuru allah subhana wataghala niko mwisilam
@shadyaadam8919
@shadyaadam8919 3 года назад
Karibu sana ktk dini ya Allah ewe kijana uliyosilimu. Allah akuongoze uijue dini ya haqi
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 года назад
Maa shaa Allah mdahala umeenda kirafiki kabisa. Karibu kaka yetu ktk dini ya kiisilam, Dini ya haq. Allah akuhuishe akufishe na akufufue hali ya kua ni muisilam, Amiin.
@mariamum350
@mariamum350 5 лет назад
Mashallah jazaka Allah kheir
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin
@fatumaabdullahi7689
@fatumaabdullahi7689 Год назад
Asc sheikh, mungu akuzidishiye imani, na akupe subra kwa kuendeleza kalima ya mwenyezi mungu baarakallahu fiik.
@truckerally1358
@truckerally1358 5 лет назад
sheikh nakushuru jinsi unavyo introduces wenzako kwa debate .. InshaAllah Allah akupe Jannatul firdos
@abdullahoman568
@abdullahoman568 5 лет назад
Assalaam alaykum warahmatulillah wabarakatuh nafrahia saana sheikh yahya Issa na Yusuf wambogo na suleimani mazinge na msomaji mzuuuur saana Saidi mwaligi Allah awape pepo kabra hamjafa Insha Allah kutokana na kazi mnazo zifanya Mimi Niko omani muskat nafrahia saana mhadhala yenu Allah awape nguvu zaidi ili hao maaskofu waweze kua waislam bi idhi llah
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Waalykum Salam WarahmatuLLAH Wabarakatuh Alhabib,Allahuma Amin shukran kwa dua.
@faridabakari8511
@faridabakari8511 5 лет назад
Din ya hakkh pekee Islamic ..ALHAMDHULILLAH....MASHALLAH kazi nnzuri na alie slim Allah amfanyie wepesi katka dini njia hii yahakh INSHALLAH karibu sana ya ibrahm aleih salam
@biramsakh9212
@biramsakh9212 5 лет назад
Tatizo hawana hoja ao dini hawana ni makafir. Shekh yahya Allah atakupa malipo yako amin
@ahmedsharif7089
@ahmedsharif7089 4 года назад
I realy liked da venue bcz it is cool 4 dem 2 understand dem clearly en ur method z realy best so Sheikh Yahya may Allah (sw) ease 4 u Dawaah.
@simonkaggwanjala9597
@simonkaggwanjala9597 4 года назад
Dah shekh nilikua nasubiria sana jibu la kuhusu shahada kwa mitume waliopita kabla ya Muhammad (S A W)🙏ila hukulitoa naomba unielimishe
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 5 лет назад
Kijana mungu akuongoze duniani na akhera kwa kuujua ukweli akunulie maandiko uyajue nakuombea kila cku
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin, tayari yuko Madrasa
@mariamsaid1093
@mariamsaid1093 5 лет назад
Amiin
@rudathekaka699
@rudathekaka699 3 года назад
Ameen
@abdulzuhura1257
@abdulzuhura1257 3 года назад
Ivi ndio nime amini kuwa ukristo nijina sio dini🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@othmanhajj636
@othmanhajj636 5 лет назад
Mashallah shehe Yahaya Mwenyezi Mungu akuongoze
@mustafasuleiman1725
@mustafasuleiman1725 4 года назад
Maaaashallah
@learnonline8033
@learnonline8033 5 лет назад
Hawa makafiri tatizo wanakuwa wakaidi na ukweli washaujua. Jamani yesu si mungu, mungu hawezi kuwa mtu kama weye. Namshukuru Allah kwa kunijaalia kuzaliwa katika neema ya uislamu
@zamzamabdi5279
@zamzamabdi5279 5 лет назад
Amiin.amiin.yarabulcalaamin
@rechelmtemekelr1044
@rechelmtemekelr1044 5 лет назад
namshukulu mungu kuzaliwa kwenye ukiristo,na naomba nife nikiwa kwenye ukiristo,maana sioni wakunipenda zaidi ya yesukiristoo
@neemaisaya
@neemaisaya 5 лет назад
Ubarikiwe
@jenifajulius7814
@jenifajulius7814 5 лет назад
Rechel Mtemekelr. ameni ubarkiwe mtemekelr
@jenifajulius7814
@jenifajulius7814 5 лет назад
Rechel Mtemekelr tuwa same he bure watu hawa maana awajui wanacho kisema
@rechelmtemekelr1044
@rechelmtemekelr1044 5 лет назад
amina wapedwa
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 года назад
Ndugu yangu yesu hakupendi usijipe moyo na kasema watu hawa huniabudu bureee. Pia katumwa kwa waizraili tu na nyie wamataifa anakuchukieni kakuiteni Mbwa. Weye mbwa kwa yesu. Pia yesu kasema ni mnyenyekevu tumfuate. Anaemfuata anaakili asiemfuata mpumbavu. Sasa yesu kaingia msikitini je kwanini unaingia kanisani?
@salmajuma4015
@salmajuma4015 5 лет назад
Mashaallaah nashukur kijana Allah akujaalie nkeri
@petermpunga2843
@petermpunga2843 3 года назад
Yesu ndio njia na kweli na uzima
@jamalathman6219
@jamalathman6219 3 года назад
Hongera sheikh yahya Allah akupe umri mrefu akuzidishie elimu, kwa kweli hao waskofu wapo na imani potovu hawajielewi wapo Nje ya mada, najivunia kua muisilamu neema kubwa walahi.
@nasraelmi6970
@nasraelmi6970 5 лет назад
masha Allah! Allah akubariki sheikh.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Wellcome sister
@absameosman9113
@absameosman9113 4 года назад
Sheikh yahya ManshaAllah yaani ile suali uliuliza muhimu saxa. Imagine hadi saizi mm nangoja andiko inasema ukristo diini waache kutapatapa n kuongea lugha haileweki. Askofu alikiri kwmb yesu n musa hawakua n diini n hvo ndio anakujua kikuwli. Alf hyu mwngine anasema hatuna diini
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 года назад
Allah awalipekher mashekhe wetu kwakazi mnayo ifanya
@shadyaadam8919
@shadyaadam8919 3 года назад
Mashasllah Allah akupe umri mrefu Na malipo yako ukayakute mbele ya Allah sheikh Yahya
@happyarooun6037
@happyarooun6037 5 лет назад
Allah akupe iman thabit kwenye moyo wako karibu ktk dini ya haki
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin, tayari yuko Madrasa
@peteraugustino8281
@peteraugustino8281 5 лет назад
Mchungaji.uko.sawa.kabisa.imani.nndio.kilakitu
@yasinamiri7649
@yasinamiri7649 4 года назад
Mashaallah
@jashisham6280
@jashisham6280 5 лет назад
Subhanaallah Allah swt tu ndie Mola wa kweli Alhamdulillah biniimal Islam
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Alhmndulilah thuma Alhmndulilah
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 5 лет назад
Mashallah tabarakallah Nimetokwa na machozi hongera kaka Allah akuongoze hil na jengine na awaongoze waliokua bado hawajaukubali uislam Alhamdulillah alaa niimatil-islam si ujanja wetu bal nimapenzi yake Allah subhanawwataala Allah atujaalie tufe hali yakua ni waislam Ammin ammin ammin
@haskayulempole3358
@haskayulempole3358 5 лет назад
Mashallah sheikh wangu
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 5 лет назад
mashaAllah
@saidkhan6174
@saidkhan6174 5 лет назад
mashaallah
@suleimantsanje8904
@suleimantsanje8904 3 года назад
Mola akuzidishie maisha marefu shekhe
@mamasamihamama2127
@mamasamihamama2127 5 лет назад
Inshallah Allah atawaongoza kwenye njia ya haki. Msichoke kuwafahamisha iko siku watafahamu ukweli wa dini ya khaki.
@janetjackson9586
@janetjackson9586 5 лет назад
Yesu hakua mfia dini, Bali alikufa msalabani kwa ajili ya waliopotea kama waislamu
@janetjackson9586
@janetjackson9586 5 лет назад
Kuruhani ni samary ya biblia pinga usipinge mungu hana dini, dini yake ni moyo wako ukiwa safi, na ukitenda mema kwa jirani yako nakusihi warabu walikuletea kuruhani ili wakupoteze? Kwanini kitu chochote kilicho kitakatifu kisiletwe na mwafrika kila kitu mzungu au mwarabu?
@mohamedkitalima7546
@mohamedkitalima7546 5 лет назад
Pole umepotea
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 4 года назад
@@janetjackson9586 yes
@sulealim7336
@sulealim7336 4 года назад
@@janetjackson9586 hakuna kitabu cha waislam kinachoitwa jina hilo na wala hakuna kitabu cha mungu kinaitwa bibilia
@sulealim7336
@sulealim7336 4 года назад
@@janetjackson9586 tuamin vp yes aliwekwa msalaban kwajili ya dhambi zetu ama kila mtu atakuga kwa dhambi yake ?
@Heroes122
@Heroes122 3 года назад
Napenda sana mahubiri yenu. Naomba niwakaribishe Tanzania. Ntakupa wageni wangu. Tuendeleza kisomo
@yussuphmwiwindi9445
@yussuphmwiwindi9445 5 лет назад
Jamani mie nimecheka sana kwa kweli hivipindi nivizuri na amazing wallah nawapenda bure
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 5 лет назад
Bishop uke wenza mzuri sana natamani niolewe na mwenye ako na Bibi
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Ya salam nakuambia katika hilo hata madada zetu wamefeli mtihani Rabii awape moyo kama wako.
@salmatz1tz731
@salmatz1tz731 5 лет назад
hviii haya mambo mpaka lini?mtabishana hd kiama kifke nanitacimama mbele yakit chaenz nakusema mm nikua dini flani kila mtu ashike alichonacho haikutetei dini bali matendo yako pole san waislam
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 5 лет назад
@@salmatz1tz731 unamaanisha nini sielewi
@abdulabass5808
@abdulabass5808 5 лет назад
@@kenyadawahtv90 naitaji kujua namna yakujibu hoja na kujenga hoja kama ww ,naomba msaada wako
@abdulabass5808
@abdulabass5808 5 лет назад
@@salmatz1tz731 hunaelim bibi
@mtindially96
@mtindially96 5 лет назад
Yaani hawa watu hawana akili kiufupi iyo dini yao iko kibiashara zaidi so ukristo ni duni yakibiashara so nawaonea huruma wale wafuasi wao, naomba mungu awajalie waujue ukweli na mungu awajalie kila lakher nakuaepushia kila lashari mashekhe zetu Amin
@sakinamubaraka1246
@sakinamubaraka1246 5 лет назад
Kwel
@upendogeorge8206
@upendogeorge8206 5 лет назад
Njia salama islamiki kijana yupo sahihi
@siwajibufarida3428
@siwajibufarida3428 5 лет назад
Ma shaa Allah
@didohassan9932
@didohassan9932 2 года назад
MashaAllah sheyk yahya Allah akuhifadhi
@astridkids4252
@astridkids4252 5 лет назад
Insh'allah Mwenyezi Mungu nimkubwa jameni makanisa elfu na muskiti moja awaone mshangao kunasiku watakubali ukweli
@ramadhanabdullahi6650
@ramadhanabdullahi6650 3 года назад
barakallahu lak ya sheik yahyah...may Allah continue to give you life so wasilimu wengi nasi usitusahau kwa dua..🙏🙏🙏
@juliasalifredi4092
@juliasalifredi4092 3 года назад
Wote watumishi wa mungu ila Sasa Apo kwenye din sio kwenda mbinguni matendo yako ndio yatakayo kupeleka na atakae fumilia mpaka mwisho
@juliasalifredi4092
@juliasalifredi4092 3 года назад
Nilisikiliza shehk mmoja akisema alienda Congo akaulizwa na wanajeshi wa huko kuuwa ni alali akasema ni alali naomba msilam anipe andiko linalo ruhusu
@mohammadalfani8004
@mohammadalfani8004 3 года назад
Jazakah Allah sheikh Mungu akupe umri uzidi kuelimisha
@jumjumsaid3552
@jumjumsaid3552 5 лет назад
Allah Akbar
@mselemhaji1969
@mselemhaji1969 5 лет назад
Masha Allah
@chuchulampa9324
@chuchulampa9324 5 лет назад
MASHA ALLAH
@siwajibufarida3428
@siwajibufarida3428 5 лет назад
Nashukuru kuwa mwisilam Alhmdhuliallh
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Alhmndulilah thuma Alhmndulilah
@salmatz1tz731
@salmatz1tz731 5 лет назад
sis tunachojua yesu nijia yakwal nauzima mtu hij kwa baba kupata kwa yesu amina
@UMMYYFATMA
@UMMYYFATMA 11 месяцев назад
MASHA ALLAH...
@guyogalora2736
@guyogalora2736 9 месяцев назад
Masha Allah, Allahu Akbar,
@zuberiabdurahmani499
@zuberiabdurahmani499 5 лет назад
Sheikh Yahya Allah akupe umri mrefu uzidi kuutetea na kuunyanyua uislamu na iwe sababu ya kuingia peponi.
@abdullrahmanwazir4603
@abdullrahmanwazir4603 Год назад
❤❤❤❤❤,.
@hassanambarakmbarak8759
@hassanambarakmbarak8759 4 года назад
Assalamu alekum shk yahya nakuomba umualike na Alhabib mazinge muwe pamoja katika hii mijadala
@hassanambarakmbarak8759
@hassanambarakmbarak8759 4 года назад
Shekh yahya inshallah Mungu anijalie nikuone nanihudhurie mjadala wako
@mohamedmohamed-fs1tl
@mohamedmohamed-fs1tl 2 года назад
mashaallah Allah bariik my brothers
@user-pz8cb9cj3i
@user-pz8cb9cj3i 5 лет назад
masha llah allah awaogoze masheikhi wetu ila huyu mwegine ameogea lugha gani ama ndio maombi ya dini yake yarabi
@ruu6592
@ruu6592 3 года назад
Mwenyezi mungu awajaze na awaoneshe njia wenzetu inshallah
@rbagha5280
@rbagha5280 2 года назад
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
@suleimantsanje8904
@suleimantsanje8904 3 года назад
Mungu akubariki sana kijana ,Allahakbar.
@yusuphweston3966
@yusuphweston3966 4 года назад
Mashallah
@mashallhashekhemohamedi327
@mashallhashekhemohamedi327 5 лет назад
Mashallha Shekhe Yahaya
@sierabravo848
@sierabravo848 4 года назад
مشا الله
@nahoranenimanadaudi4374
@nahoranenimanadaudi4374 4 года назад
Takbir
@chapadenge4085
@chapadenge4085 4 года назад
Nakukubali San shekh yahya Allah akuzdishie kher ktk kaz unoifanya unatufurahosha waislam kwn unaongea kwa point nzur
@bonifacenaaly6414
@bonifacenaaly6414 5 лет назад
Yesu ndiye njia ninyi binadamu,kushinda mdahalo au mawazo ya Mchungaji mmoja hayafanyi kubadilisha ukweli Wa kazi ya YESU msalabadi chakufanya tubuni na kuiamini injili na kukiri kuwa yeye ndiye mwana Wa mungu,mbinguni haiingii dini Bali ni mtu na matendo yake nisawa lakini kumbuka nikwawale walioamini nguvu ya msalaba tu na si vinginevyo,ndugu zangu ujumbe huu nimewapa Leo aliye namacho na masikio sharti afuate mtaumia Sana siku yamwisho maana kila goti litapigwa na kukiri yeye ndiye
@hamzamankanga9978
@hamzamankanga9978 5 лет назад
wakirto kasomeni bibilia wakorinto wakwanza 15 15 namkasome isaya 57 10
@hamzamankanga9978
@hamzamankanga9978 5 лет назад
sikilizeni wakirsito mungu anasema amelaaniwa atundikwae juu yamti nayesu anasema kilamtu atabeba msalabawake mwenyewe eti nizini mimi zambi apate babayangu hiyo haipo niibe mimi akamatwe mamayangu iyonayo haipo niumwe mimi vidonge anywebabayangu eti ndie nipone huwo niuwongo
@nswilayella3295
@nswilayella3295 5 лет назад
Nataka mniambie ni haya zipi mnazotumia kufanya uganga ,kuloga na kuita majini ikiwa sio haya za quraan bas mtaenda mbingun ikiwa zenyewe bas nyie motoni na kama hujui waulize mashekh wenu wawambie ukweli kma satanic varses
@bonifacenaaly6414
@bonifacenaaly6414 5 лет назад
Hata wamseme vibaya mungu ni mungu tu,hata wamkane mbele yako bado yesu atabaki kuwa mungu tu,Ukitaka kufahamu hayo usienende katika hali ya kibinadamu enendeni katika roho neno linasema wataijua kweli na kweli itawaweka huru na kweli ni neno la mungu yaani bible sasa Kama hamjui bible tunabishana nini wakati bado hampo huru?mungu awape Neem awafungue macho ya rohoni yesu anawapenda wote na kwakupigwa kwake wote tumepona hata wew unaye mkana Leo bado anakupenda alikuja kwaajili ya wadhambi Kama wew na Mimi alipigwa msalabani kwaajili yako muda ndo huu mpendwa mrudie yeye upate uzima Wa milele
@sokakilumbi9293
@sokakilumbi9293 5 лет назад
@@nswilayella3295 kuwa mkiristo sawa na 1+1 =7 yaan uwongo mtupu.. wewe nswila ukiona maandish ya kiarabu unahis ndio quran!!! waganga wanatumia mijitabu yao iliyo andikwa kwa kiarabu wala hawatumii quran.. quran ndio kitabu pekee kinachokataza ushirikina, uchawi, mazingaombwe.. na uislam ndio dini sahihi na dini ya manabii wote. izo dini nyingine za ku actia movie.. wewe chunguza utaona ukweli..
@allymaster7524
@allymaster7524 5 лет назад
Takbir waislam
@issackhassan7297
@issackhassan7297 5 лет назад
ALLAHU AKBAR
@bentybenty2343
@bentybenty2343 4 года назад
Allahu Akbar
@safiakara1868
@safiakara1868 2 года назад
MashaAllah..TaqbaAllah
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 4 года назад
Kwakweli maajabu makubwa! Kwamba hata viongozi waao hawana wanachojua, wamejikaririsha uongo mtupu! Msiba huu
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 5 лет назад
Doh..Wakristo leo mmethibitishiwa na Wachungaji wenu kwamba Ukristo Sio dini na Yesu hakuwa na dini na mitume wengine hawakua na dini Kwa mujibu wa Wachungaji wenu.....INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN...! Kwa kuongezea tu’ kuna swali moja Huyu mmesaya hakusaidiwa ‘ kuhusu SHAHADA’ Kwa maana anavyosikia Watu wanasilimu zama hizi na kumtamka ALLAH na MUHAMMAD Swalla llahu Waalayhi Wasallam basi anajua hata kabla yake Watu walikua wakitamkishwa hivyo ‘ Na Ndio maana aliona ilikuaje ikiwa MUHAMMAD Swalla llahu Waalayhi Wasallam hakuwepo..? Kwanza utambue ‘Ukirudi Kwa Baba yetu ADAM ...Alikua MUISLAM Kwa Sababu ALLAH alisema ndani ya QUR’AAN...BINAADAM WOTE WALIKUA NA DINI MOJA ALIYOKUJA NAYO NABII ADAM...!..kwa hiyo usifikiri Adam alitakiwa ASILIMISHWE kama shahada tunazowapa hawa wanaosilimu sasa hivi ili awe MUISLAM ’ hapana..!..maana Tayari Aliumbwa na UISLAM’ .! Lkn pia hata kipindi MUHAMMAD Swalla llahu Waalayhi Wasallam hayupo uislam ulikuwepo kisha Watu wakaikhtilafiana Kwa kuabudu MIUNGU mingine ‘Ndio ALLAH akateremsha MANABII ‘MITUME..ili kumtangaza ALLAH pekee ..!..Ndio unaona huo utaratibu wa Mitume na vitabu..! Pia Ujue Gerrison MUISLAM wa kuzaliwa hatamkishwi SHAHADA’ maana yeye kazaliwa kwenye UISLAM’ hawa ambao WANASILIMU zama hizi Wanatamkishwa SHAHADA Kwa sababu DINI zao walizokua wanazifuata ni za KUFRU Kwa maana walikua wanaamini MASANAMU’ MTU’WANYAMA ‘ kama Ndio miungu yao’ Kwa hivyo WAKISILIMU tunawatamkisha SHAHADA ‘. na maana ya SHAHADA ni kuwafutia zile Dhana mioyoni zilizokua za Kikafiri ‘ Na Kuwaambia waamini mioyoni mwao na watamke vinywani mwao kwamba‘ MUNGU NI MMOJA NA MUHAMMAD Swalla llahu Waalayhi Wasallam ni Mtume wake na Yesu pia ni Mtume wake Sio MUNGU wala Mtoto wa MUNGU...! Pia haihitaji TOCHI kujua MITUME walikua WAISLAM’ vitabu vyote ukivichambua TORATI ‘ZABURI ‘INJILI’QUR’AAN vyote vinaonyesha IBADA zao zilivyokua ‘ NYUMBA ZAO ZA IBADA NI MISIKITI na Walikua WANASWALI KWA KUSUJUDU’ WANAJIOSHA VIUNGO KABLA YA SWALA’ WANAVUA VIATU KABLA YA SWALA au MAHALI PATAKATIFU’ WANAFUNGA SWAUMU’ na Ibada za namna hiyo hufanywa na WAISLAM tu..! Wakristo Msiwe WACHOYO na WAVIVU wa kuwasikiliza MASHEIKH wetu kwenye MIHADHARA mbalimbali ili mpate Faida..! ALLAH akupe Afya njema Sheikh Wetu YAHYA IBN ISSA uendelee kuitumia TELEVISION yetu Kwa kuwaongoa Waliopotea ....ALLAH atakulipa’ tunakuombea IN SHAA ALLAH..!
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin
@janetjackson9586
@janetjackson9586 5 лет назад
Aliyekwambia adamu alikua muislam nani na wakati biblia ni ya kwanza kumzungumzia adamu mnapotea waislam Mohammed mwenyewe alikwisha enda kuzimu tayari bisha usibishe na kuruhani ni samarry ya biblia.
@omaryally198
@omaryally198 3 года назад
@@janetjackson9586 we nenda kapigiwe story zako kanisani ili wazidi kukupoteza.
@hopekahamba2571
@hopekahamba2571 5 лет назад
Huyu mchungaji hajielew hata ,,,,hata anachokiongea hakijui,,,,,, namshukur Allah kwa kua muislam..
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 4 года назад
Allahu Akbar Kabira Walhamdulillahi Kathira Allah akupe umri mrefu na akupe afya njema ili uzidi kuitangaza dini ya haki.
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 3 года назад
nashkulu mungu kwa kuniletea izi clip yan nimekuta imekuja tu na naona kuna faida kubwa sana.islamic is the real religion
@knifensharper2725
@knifensharper2725 4 года назад
Shekhe yahay maashaalla h Taibe nungu akuondolee husda
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 4 года назад
Kazi KUBWA unaifanya Sheikh mungu akujaalie
@ishaq9925
@ishaq9925 5 лет назад
nimechekaaa wallahi unatoa Kibano mpaka mtu anavurungwa Povu linamwisha mchungaji kapatikana yesu Hana dini
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Naam ana ushuhuda mwingi zaidi ya ushahidi ndio maana najaribu kimiweka sawa ili aeleweke na watazamaji.
@hamzafadhili5800
@hamzafadhili5800 5 лет назад
Ajatoa andiko shekh
@sanuramakame5122
@sanuramakame5122 5 лет назад
Hakika uislamu ni njia ya haki. Amin
@mohammadalfani8004
@mohammadalfani8004 3 года назад
Uislam raha walah... Mungu atuzidishie imani
@mamymdogo4161
@mamymdogo4161 5 лет назад
Mm nkisoma hizi community za hawa wakiristo wallah usikia kichevuchevu
@ibraimodinodino828
@ibraimodinodino828 5 лет назад
orgulhoso de ser muçulmano all'hamdo lillah rabilaallamin..
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 лет назад
Ibraimo Dino Dino lugha yako inafanana na kitaliano duhh orgolio di essere mussulmano
@abdulrazaquemaulana6041
@abdulrazaquemaulana6041 Год назад
@@Pedeshee01 ni kireno
@obedilizer3412
@obedilizer3412 5 лет назад
Hajui chochote haelewi hata Kama Yesu alikua na dini wala hajui Kama Musa alikua na dini Kweli MUNGU amsamehe hajui hata amri zilitolewa za nini
@mariammammu9641
@mariammammu9641 4 года назад
ProudMuslim
@aminaamulavu1338
@aminaamulavu1338 3 года назад
ALLAH WAKBAR!!
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 5 лет назад
Uyu bishop fala kweli Yaani nimecheka hadi basi
@TeamKRX
@TeamKRX 4 года назад
Shekh hutaki mke mashalah 😂😂😂😂mi nimekupenda kwa uislam
@simonkaggwanjala9597
@simonkaggwanjala9597 3 года назад
ACHA UJINGA
@yassirashur1934
@yassirashur1934 3 года назад
Barakkallah
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 года назад
Allah akulipekher ustadhi
@suleimantsanje8904
@suleimantsanje8904 3 года назад
Happy to be born Muslim , kutoka Ibrahim mpaka yesu dini zao gani ...
@kadunawewe7248
@kadunawewe7248 3 года назад
Nashukuru kuwa mkiristo
@samirahassan3212
@samirahassan3212 3 года назад
towa andko wapi kwenyebibilia imeandikwa kuwa ukiristo ni dini? sema unashukuru kuwa kafiri dinihuna
Далее
Simple Flower Syrup @SpicyMoustache
00:32
Просмотров 1,1 млн
ОБЗОР ПОДАРКОВ 🎁 | WICSUR #shorts
00:55
Italians vs @BayashiTV_  SO CLOSE
00:30
Просмотров 4,7 млн
DAAWAH MITAANI KIBERA SHEIKH YAHYA AND PASTAR ODARE
34:22
IPI KITABU CHA MWENYEZI MUNGU kATI QURAN  NA BIBILI?
1:03:41
HABIB MAZINGE | NI IPI IBAADA SAHIHI | DEBATE YA MASASI
1:48:31
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
MAZINGE vs GERISHON ODARE..JE PAULO NI MTUME?
1:34:19
Просмотров 138 тыс.
Simple Flower Syrup @SpicyMoustache
00:32
Просмотров 1,1 млн