Baada ya kusubiri Kwa Muda mrefu... Sasa Kwa Utukufu wa Mungu... Ubarikiwe na video hii ya wimbo wetu pendwa wa #Nakutegemea baba... Usisahau ku #subscribe chanel yetu pia ku #share# na ku #like... Ili wengine wabarikiwe pia... Nawapenda katika Kristo
Mungu akubarikiye akuwogezeye nawa kenya doté mungu awabariki nimeyishi Kenya Mombasa myakatanu sikuwa navitambursho arakini wakenya awakunisumbuwaa mungu awabariki ichiyenu iyendereye vizuli ❤❤❤❤❤
MUNGU akubariki sana Mtumishi Yona Chilolo, hakika kazi yako ni njema sana Mimi nimefurahi sana kukutana na wewe hapa Gairo maana nilikua nakusikia tu kwenye Mitandao 🙌🙌🙏🙏
Asante sana,God bless you Maana nimepigiwa sim na mtu ananipa hongera sana nimeisikia nyimbo Yako,nikamwambia Mimi umekosea number,nilpokata simu afu napenda sana kuimba nahisi Mungu ananikumbusha Leo nimemuuliza ni nani huyo kanambia Ayse nimebarikiwa sana🎉🎉🎉🎉🎉
I remember last year I was in a worse situation my workmates and my boss to never wanted to see me near them yaan wivu to ya biashara hadi wakaniitia chairman wa soko I was almost giving up jụ nmepitia mengi mabya but whn I listened to this song I felt like crying but God is great yaliisha and now am doing my own bussines