Тёмный
No video :(

YOUNG LUNYA NA WAKAZI KIMEUMANA LIVE TIMES FM 

TimesFMTZ
Подписаться 538 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 79   
@godsson5954
@godsson5954 2 месяца назад
hiki kizazi hakina talent, case closed
@bongetimwa4948
@bongetimwa4948 2 месяца назад
Mtu wa maana kabisa ww
@waziribushiri9134
@waziribushiri9134 2 месяца назад
Kuna dizasta vina
@EllyMhoja
@EllyMhoja 2 месяца назад
nakubali young lunya✌
@mohamedilukwaya2713
@mohamedilukwaya2713 2 месяца назад
They not like us team mbuzi Yan me napenda mambuzi wote duniani .LUNYA🐐 .Ronaldo🐐 .kendrik🐐
@PaulNgoroi-xv3eq
@PaulNgoroi-xv3eq 2 месяца назад
Mbuz humuwezi bebelu sababu kumbuka msingi ambazo umekufanya uonekan Leo Hapo kunamabroo ambao hutakiw kuwa diss lespect mfano kama nyigi danyik Uuuunju mexcortizy fresh like unh kamusi mbwa mzee mbeya boy chuma lugombo kadigo kwaiyo angalia unachokiongea unapo stay on media
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 2 месяца назад
Mwambieni Lunya apige kazi wakimkataa hao wasanii wenzake sisi tulio waajili ndio tunamtaka Lunya na sio hao wasanii wenzake piga kazi mwamba mimi nakukubali sana na uku mtaani una fan base yakutosha❤🎉🎉
@djfunk255
@djfunk255 2 месяца назад
That's true, hauezi kua km wao na wao hawawezi kua km wewe.
@donlee9992
@donlee9992 Месяц назад
Motoo sana
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 2 месяца назад
Kiukweli mimi sio shabiki wa hip hop nyimbo za Lunya nazifahamu lakin huyo wakazi siijui ata nyimbo yake moja
@emmanurichares6589
@emmanurichares6589 2 месяца назад
kweli wewe sio shabiki 😂
@Cheusimedia
@Cheusimedia 2 месяца назад
Ni kweli kama hujui hip hop ni sawa kutokumjua wakazi relax tunaomjua wakazi ni fire
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 2 месяца назад
@@Cheusimedia ivi huyo wakazi alisha wahi kuwa ata top nini huyo
@demask3423
@demask3423 2 месяца назад
GOAT kwangu ni;- Fid q Mwana FA Prof Jay Afande One the incredible Roma Wengine wote ni Sungura tuu
@Issamuemede
@Issamuemede 2 месяца назад
Mi kwangu si kutarajiya kama the got of all time anashindwa ku free style in punch line
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d 2 месяца назад
Mbona lunya mkali asee wakazii maneno tuu mengii
@DellizzyntackuendaNtackuenda
@DellizzyntackuendaNtackuenda 2 месяца назад
Lunha mbuzi
@AugustinMuswabantu
@AugustinMuswabantu 2 месяца назад
Akuna rapper apa
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 2 месяца назад
Kwa wakazi namtetea Lunya wakazi hata kuimba hajui
@phinaphina3201
@phinaphina3201 2 месяца назад
😂😂😂
@samwelmasssawe1767
@samwelmasssawe1767 2 месяца назад
Wakazi ana rap haimbi. Umesikiliza Beberu declaration? wewe ndio hujui muziki
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 2 месяца назад
Tunajua hajui chochote aliabisha sauti za busala beat ilimuacha kijana hujui muziki ww kwa rap sio kuimba
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 2 месяца назад
Aimbi wakazi ni tapa au mwana hip hop ila anaongea fact sana
@shadrackdebora8436
@shadrackdebora8436 2 месяца назад
You are best Lunya, be you as you men...
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 2 месяца назад
Shout out to country wiz🎉
@mohanmashine3518
@mohanmashine3518 2 месяца назад
sasa hapo wakazi umekosea nn kengee wew
@stonestz8815
@stonestz8815 2 месяца назад
Kuna rapa anamashavu kama chura...😂 sema umezingua ku-freestyle huwezi ila kutoa mistari kwenye ngoma yoyote imekushinda 😂 GOAT rudi bandani
@user-rp1ly4xc8k
@user-rp1ly4xc8k 2 месяца назад
Mbora wa mda ote kwenye kizazi cha lunya ni Dizasta
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 2 месяца назад
Hivi kwanini Huwa mnapenda kuwataja watu ambao hata hawana hit song hata Moja ndo mnasema Bora? Dizasta anajua kuandika sawa lakini kujua kuandika hakutoshi kufanya uwe rapa Bora, ishu ngoma zako unazotoa zinafika wapi?
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 2 месяца назад
​​@@Oldskulgemini9991Huo ni mtazamo wako ambao it's not true kwenye level za hip hop.. hip hop sio hit song, it's about misingi l, being real and deliver the real msg to society
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 2 месяца назад
@@hafidhhemed1514 Bado upo nyuma Sana ya muda Mzee, Enzi za misingi zilikuwa miaka ya 90 mbaka miaka ya elfu mbili, Duniani hakuna rapa anaesifiwa kwa Sasa kwa sababu eti anafata misingi, hell no! Watu wanataka hit songs, hip hop ni aina ya muziki huwezi kunambia eti havihitaji hit song😅 kama ni hivyo hip-hop marekani ingekuwa imeshakufa kama ilivyo bongo huku asengekuwa Lunya hii Leo nani angekuwa anajadili kuhusu hip hop bongo? Marapa wote Duniani kwa Sasa wanafanya muziki wa biashara wanatengeneza hit song, hii kupenda kishikilia misimamo iliyopitwa na wakati ndo inafanya marapa wetu kutojulikana nje ya bongo, imagine utamsikilizisha nani ngoma za Dizasta vina nje ya bongo akazielewa kama humu humu tu ndani Hana wasikilizaji wa kutosha!😃 Mtu unaimba rap ya miaka ya tisini huko Enzi za kina B.I.G unategemea utatoboa mwaka 2024? utasota Sana, na utakuwa unapoteza muda tu sababu unafanya kitu kisichokupa faida ya maana kwenye kipato chako
@user-rp1ly4xc8k
@user-rp1ly4xc8k 2 месяца назад
@@Oldskulgemini9991 mtazamo zaifu kama miguu ya dogo janja Kama hana hit song umemjuaje?
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 2 месяца назад
@@user-rp1ly4xc8k kwani kumjua msanii ni mbaka awe na hit song?😃 Sasa mbona unaniaibisha Mzee, basi naomba nitajie hit song Moja ya Dizasta
@samwelamon7672
@samwelamon7672 2 месяца назад
Kuna watu wanaitwa KICHWA KUMZIDI that's WABIRO WAKAZI , time ya mwenzio haijalishi anaimba nini wewe inakujaa CHUKI inakutesa,, even wewe hujui kuchana niwakawaida sana kujificha kwenye kimvuli cha wachanaji wa TAMADUNI MUSIC na mwamvuli wote wa ukanda ule sijui kikosi kazi an all dat, ndio inakurembeshea wewe kujiita mcee,, ila mwenyewe mwenyewe na kingereza chako na majigambo yako WAKAZI WEWE SIO MCEE MKALI WA KUMDISS DOGO HATA KIDOGO,, Chuki inakutesa,, nimda wake, haijalishi anaimba nini,,, Ana hit JAIVA na sauti lake baya akiimba matusi eti MTOTO KAUTAKA utafwananisha na anachoimba LUNYA..? ushamba flan kutaka kujiona unaijua sana RAP, Cake ya taifa ni kubwa sana changamka Ukate kipande chako,, time unayotumia kusema lunya anakata kubwa unatushangaza..!wakati na wewe ni mcee fanya nawewe KAMA WASEMAVYO KIKOSI KAZI
@JacksonSambo-wg1rt
@JacksonSambo-wg1rt 2 месяца назад
Lunya hawakuwezi miaka mia
@mohanmashine3518
@mohanmashine3518 2 месяца назад
alafu na wew jr huna misingi ni mbeyaa tu km anaakili mbona alifeli form 4
@omarypetro3207
@omarypetro3207 2 месяца назад
Lunya on 🔥🔥🔥
@MaliaLazaro
@MaliaLazaro 2 месяца назад
Kwa iyo story yako tu nimekukubal my boy
@user-yb3ku1ou7r
@user-yb3ku1ou7r 2 месяца назад
Wakazi mrembo tu wewe achana na rapa wa kisasa young lunya
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d 2 месяца назад
Kwanza wakazii ni mshua bwana amuchee lunya mzee kale Marathi huko boya ww
@NoelChambo
@NoelChambo 2 месяца назад
LUNYA NDIYO KING WA RAP KWA SASA, HATE NDIYO INAWASUMBUA WATU.😂
@DannyPhillip-bj2bl
@DannyPhillip-bj2bl 2 месяца назад
Wanaelew ndo maana Wana diss
@saluuhans
@saluuhans 2 месяца назад
Hizo ndio dalili zakuwa msanii mkubwa lazima litokee kundi kubwa likupinge sana na ukiweza tu kumaintain nakuwa bora zaidi basi unakuwa msanii mkubwa zaidi mfano mzuri ni kwa #diamond_platinumz
@LESMANBOE
@LESMANBOE 2 месяца назад
Mbuziii🎤🎧🔥🔥🔥
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 2 месяца назад
Bhana eeeeh lunya ovyo tu kelele nyingi habadiliki
@DEEJAYCLIQUE
@DEEJAYCLIQUE 2 месяца назад
KINAITWA KIZAZI KIPYA KAMA WEWE NI ZAMAN ACHENI NA VIJANA WASEPE
@UniqueFurnitures33
@UniqueFurnitures33 2 месяца назад
Wasio mjua wakazi watapatanae tabu ila uyo jamaa ni kiherehere
@user-fb2kv5uc3m
@user-fb2kv5uc3m 2 месяца назад
Wakazi alimpa Sana stress kingzillah
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 2 месяца назад
Woote Mnajuwa Jay moe Yupo Mabegani 😅😂
@JacksonSambo-wg1rt
@JacksonSambo-wg1rt 2 месяца назад
Kwann kila siku lunya? Na sio wengine
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d 2 месяца назад
Yule kule ni mtangazajia au ni msikindikizaji wakuu
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 2 месяца назад
Uwiiiiii umezingua shule wapi ww ata lugha ovyo tu hahahaha
@Jordan-ov4yc
@Jordan-ov4yc 2 месяца назад
Anaesema wakazi ajui kuchana uyo niwa mwaka 2000
@meshackdauda4315
@meshackdauda4315 2 месяца назад
Heat song Yake ipi jombaaa I 😂
@omarypetro3207
@omarypetro3207 2 месяца назад
Hip hop damu hapa ila wakazi ni MAMA kama ma mama wengine 😂😂😂 maneno kibao kila siku hana tofauti na KHADIJA KOPA - Kujisifia mbona hata yeye anajisifia tu.
@Jordan-ov4yc
@Jordan-ov4yc 2 месяца назад
@@meshackdauda4315 😇😇 npe heat song ya dizasta
@Jordan-ov4yc
@Jordan-ov4yc 2 месяца назад
So kilamtu anak2 akpendacho na sababu zake
@KapistoloBwetete
@KapistoloBwetete 2 месяца назад
WAKAZI KAKOSEA WAPI? IKO REALLY..
@meshackdauda4315
@meshackdauda4315 2 месяца назад
Heat song ya wakaz ni ipi au NI mshauri Tu yeye 😂😂😂
@husseinkombo-3447
@husseinkombo-3447 2 месяца назад
Uyu jamaa anajuaga maisha ya watu tu ila yy sijui anafanyaga nn
@mohanmashine3518
@mohanmashine3518 2 месяца назад
nilichogundua huhusu huyu mbuzi cjui paka ni kweli hana uwezo kufanya music ya maana coz hita hii interview kuna maswil msingi yamemshinda kiukwel hiki anachofanya ndo uwez wake.
@meshackdauda4315
@meshackdauda4315 2 месяца назад
Wakaz Hana LOLOTE NI maneno tupu
@ChochoteTv
@ChochoteTv 2 месяца назад
🎉
@jangfuajabir1404
@jangfuajabir1404 2 месяца назад
Swali kuhusu young killar akapoaaaaa😅watapata Zerooooo
@user-cg3cm4qv4q
@user-cg3cm4qv4q 2 месяца назад
Dogo unafanya sanaa, hufanyi hiphop
@brain_ujazo
@brain_ujazo 2 месяца назад
Ahah duhh mbona 😂😂
@hajimlaponi1900
@hajimlaponi1900 2 месяца назад
Appreciated 🙏🙏
@mackjr5291
@mackjr5291 2 месяца назад
Hahaaa
@SidniAlly
@SidniAlly 2 месяца назад
😅😅😅400
@user-tf2bz8ou1c
@user-tf2bz8ou1c 2 месяца назад
Dogo ananyimbo 400 dah hatari dana😂😂😂
Далее
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 257 тыс.
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
Просмотров 74 тыс.