Тёмный

zafa la kumtangaza na kumnadi bwana mtume muhammad (s.a.w) 

MARKAZI ANNOUR ISLAMIA KWEMBE DAR ES SALAAM
Подписаться 1,8 тыс.
Просмотров 422 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 169   
@Abuumuqbil4994
@Abuumuqbil4994 Год назад
Pole ni sana watu wa bidaa hivi ndivyo mwamswalia mtume nyinyi na diomond hamna tofautie
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Год назад
Wantia kichefu chefu
@abuukaraxmed873
@abuukaraxmed873 Год назад
Hii sio kumpenda mtume kama mnapenda mtume amani na rehma iwe juu yake nendeni msikitini mswali na mfunge na uamke usiku wa manene mwoombee mungu
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io 10 месяцев назад
Hivi HAWA WANAJIELEWA KWELI ? Hivi watoto WENU mnawafunza UJINGA huu ? Hakika siku ya hukumu kutakuwa na mambo , Alla atunusuru na mtihani huu ,
@ibrahimgonsotube4598
@ibrahimgonsotube4598 Год назад
Huu si uislamu subhana Allah
@kahiyemohammed8556
@kahiyemohammed8556 Год назад
Subxanallah subxanallah... hii biashara ya mtu , sio diini Ugumbafuu toweni makansu
@allysalumu9344
@allysalumu9344 Год назад
Alla awaongoze mthibit katika hakk maana mmemkhalifu mtume
@HuseniAthumani-xt9mj
@HuseniAthumani-xt9mj 3 месяца назад
Acha roho mbaya hutaki mtume akisifiwa
@MohammedArif-yz8yj
@MohammedArif-yz8yj Год назад
This is cultural event and not required by the religion of Islam. May Allah SWT protect brothers.
@maherzain989
@maherzain989 2 месяца назад
Hii imezidi sasa khaaaaa!!
@hamadyhashimu9784
@hamadyhashimu9784 8 месяцев назад
hiv hawa ni watanzania au ni kabira gani sisi ktk uisilam wetu hatuna vitu vya hovyo kama hivinuisilaam wetu nikumtukuza mwenyezi mungu na mtume wetu lakn sio kwa njia hii hawa ni vijana wa hovyo
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Sub'haana Allaahi, enyi Waislamu ndugu zetu ankeni na zindukeni jamani, Dini yetu ta Uislamu haitambuwi nawala gaija fundisha ujinga na upumbavu wa namna hii
@manilabona
@manilabona Год назад
Dunia imebadilika bila kufanya hivo kufanana na kizazi hiki, walengwa wanaweza wasihamasike kuelewa ujumbe uliokusudiwa. Hakika yataendelea kuona mengi maana utandawazi umepenyeza hadi kwa watoto wadogo
@myibu
@myibu Год назад
alikufundisha kutumia mitandao ya kijamii
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Dah
@almasimrisho3394
@almasimrisho3394 Год назад
INNALILLAH wainnalillah rajuun
@harithsaid1834
@harithsaid1834 Год назад
Acheni uzushi kuna siku mtaulizwa mtakua na majibu gani mbele ya rasulillah
@salmanjaveed8830
@salmanjaveed8830 Год назад
Astagfirullah astagfirullah astagfirullah inna lillah
@traelomoimerd
@traelomoimerd Год назад
سفهاء
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Год назад
...wainnailayhi rajeun
@Omarsadid
@Omarsadid Год назад
Wainna ileheimrajjiun
@Omarsadid
@Omarsadid Год назад
​@@fatmasherallysherally537 ❤ I love
@jameschengwali1051
@jameschengwali1051 Год назад
Waislamu wa mombasa kenya wanamchezea Muhammad wao, wanasema amefufuka
@MussaHamadi-s5c
@MussaHamadi-s5c Месяц назад
Nyinyi muna chombeza moto acheni Mila zenu na tamaduni mbaya izo mtume hakufundisha hivyoooo
@AjuMiraji
@AjuMiraji 11 месяцев назад
Mnamtaja Allah,Mtume kwenye kigodoro
@kasozimatovu5810
@kasozimatovu5810 Год назад
Islam is about the observing the 5 pillars of islam 1 TAWHEED 2 FIVE SWALAH 3 FASTING HOLLY MONTH 4 PAYING ZAKAH 5 IF ABLE PERFORM HIJJA , that is all, so other acts are your wishful thinking or act
@abdallakidim1662
@abdallakidim1662 Год назад
Innalillahi wainna ilayhi raajiun Allah atuongoze katika njia iliyonyooka. Iwe Maswahaba ndio wamefanya hivi?? haiwezekani kabisa hii ni laghawi na haikubaliki katka dini ya Haqqih.
@manilabona
@manilabona Год назад
Kila nafsi itahukumiwa kutokana na matendo yake, tusichoke kukumbushana kwani kila mtu atabeba mzigo wake
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 Год назад
Jamani lo nyinyi ni wa Karne gani mko tu katika mambo hayana maana
@abdallakilesho6254
@abdallakilesho6254 Год назад
Maulid ni Ngoma kama Ngoma zingine SI dini
@aishaayatu8653
@aishaayatu8653 Год назад
Subhaanallah my Allah forgive us
@husseinhamza4819
@husseinhamza4819 Год назад
Mimi sikubali hii mnatuaibisha Sana ki ukweli
@naamajid
@naamajid Год назад
Innaa lillah wa innaa ilyh rajiun
@adammkambi5139
@adammkambi5139 Год назад
huu ni ukafiri dhahiri
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Год назад
Kabissa
@saidmohammed2830
@saidmohammed2830 Год назад
Subuhanallah mungu na mtume Muhammad SWS mwawafanya sijui kama nn
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 Год назад
Msiifananishe hii na dini hii ni ngoma ndiyo maana wako kwenye viwanja wanaruka majoka.
@خديجهبرندو
@خديجهبرندو Год назад
Innalilah wa inalilah
@kadeyihawa7873
@kadeyihawa7873 Год назад
Innalillah wa inailah rajiun haina tafaut n'a daimond
@dulaabdallah6127
@dulaabdallah6127 Год назад
Abubakr,Umar,Ali na uthman,laiti wangeliusambaza uislamu na kumnadi mtume hivi tungelikuwa Bado tupo katika ujahiliyya.Barzanji imejaa shirk.Tizama Shirk katika maulid ya Sheikh Aboud Rogo,na Sheikh Muhammad Bachu ndio utanielewa
@amunikibiriti
@amunikibiriti Год назад
Acha ujinga kasome
@dulaabdallah6127
@dulaabdallah6127 Год назад
@@amunikibiriti the way you react to comments it's a clear prove that you are illiterate
@Alakhyasirabuammar
@Alakhyasirabuammar Год назад
mihemko ya pilau duh. ahlulpilau wa birr
@issahassan8361
@issahassan8361 Год назад
Inawezekana hawajui wanachokifanya kwaza waelekezeni ndio muwatie motoni Allah atuongoze katika njia ilionyooka . وإنما الأعمال بالخواتيم.
@hawahamisi223
@hawahamisi223 Год назад
Hongereni sana mashekhe wakubwa sawa
@muktar1474
@muktar1474 Год назад
Nyinyi mmepotea mbali kabisa
@Hussayn21
@Hussayn21 Год назад
HII DINI SIO YA MADUFU ILA YA DA’WAH
@aminahamza5386
@aminahamza5386 Месяц назад
Hao wanasherekea masufuria ya wali mtume answaliwa hivo
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul Месяц назад
Kumamamazenu
@hassanowgennogenno5740
@hassanowgennogenno5740 21 день назад
Mnapatia mawahabi nafasi ya kututukana.maulidi ni taratibu jamani si densi!
@hamadefaye1937
@hamadefaye1937 Год назад
What country is it?
@Jamila-cz5ge
@Jamila-cz5ge Год назад
Mwisho wa dunia mumeitoa wapi hi bidaa
@SadickWazili
@SadickWazili 5 месяцев назад
Hii kazi kweli kawaida zamiaka hii du
@alouisejohn7752
@alouisejohn7752 Год назад
Mungu wangu dunia imekwisha kabisa
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
Masufi hawo katika dance sijui uislamu wa wapi huuu!! Hapo hata uumpe Aya wala hadithi akuelewi wakaidi hawa
@rashidhamadi5806
@rashidhamadi5806 Год назад
Wapuuzi Nyi ivo ndo mnautangazia umma km uislam wetu upo ivo kwel!!??? Kumbukeni km mtaulizwa juu ya uislam mlojitengnezea kwa matakwa ya nafs zenu kinyume na alokuja nao Mtume saw
@abdillahidayah4886
@abdillahidayah4886 Год назад
Subhana allah bidci bidci
@abuasya2595
@abuasya2595 Год назад
Hapo lazima wakatishe viuno, maana ubavuni naona kwa fuka moshi
@sahibuturab7279
@sahibuturab7279 Год назад
Wa pumbavu. Muwache kutaja jina ya Allah na Mtume wake hali Muna fanya na kinyume cha maagizo ya Allah
@sofiaabdalla7590
@sofiaabdalla7590 Год назад
Sawa wacheza kwaya.
@ah3069
@ah3069 Год назад
Subhana Allah ati hii ndio dining!!??
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Год назад
Kweli usufi ni upumbavu
@Wastara001
@Wastara001 Год назад
Je, iwapo Khalifa Abubakar, Umar, Uthman na Ali wangefanya upumbavu huu, dini ingetufikia??
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul Месяц назад
Mtume hawasifiwi ngoma
@MohammedRaza-ru8bk
@MohammedRaza-ru8bk 8 месяцев назад
Whats this?
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Inalillahi wainailahi rajuun. Mtume ndiyo alifanya hivi kweri. Badilikeni. Kidukutu mafifaida
@Abdulkarim_1991
@Abdulkarim_1991 Год назад
من اين لك أن تدعي ان الرسول صلى الله عليه وسلم رقص مثل ما ترقصون. راجع تاريخ السنة النبوية، لم يكن فيها رقص أفريقي.
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 День назад
​@@Abdulkarim_1991ما فهمت قصده ..هو ضد هذا الرقص
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Год назад
Na BAKWATA wanaona huu upuuzi na bado wamekimia
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Год назад
Bakwata are just puppets with no vision
@ismailtarimo3974
@ismailtarimo3974 Год назад
Ivi Hawa watu hawajui kuwa Holi wanalofanya halipo ktk dini yetu, au hawajui wanachokifanya!!? Au ni ubwabwa inawatia uwazimu? Mm nikitoka kwenye ukristo lkn niligundua mapema kuwa maulidi sii sahihi, Hawa mbn wanaharibu dini yetu? Mbn Mtume wetu rehma na Aman zimfikie hakiliacha Jambo Hili? Ndg zangu tumche Allah.
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 Год назад
Mbona mwazisha ndipo?
@aminoabadir6886
@aminoabadir6886 Год назад
Subhanallaah, what kind of actions came to in islam?
@salimnazir6000
@salimnazir6000 Год назад
Sisi ni waislamu sio galatiya mna katika kiuno wallahi sio nzuri hivyo someni maulidi sifia mtume sio namna hii
@odaamirsaab9185
@odaamirsaab9185 Год назад
Kweli njaa ni tabu
@adanisakoibrahim
@adanisakoibrahim Год назад
Mujriminti
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed Год назад
Amiina
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 10 месяцев назад
Mtume anatangazwa kwa matendo sio kwa ushenzi na ufirauni huo
@ChapowK.E
@ChapowK.E Год назад
Kwani, ndivyo kunaenda.
@chellamnarayanan4929
@chellamnarayanan4929 Год назад
I could not understand the language but very good voice and dance. May Allah bless u all.
@Bantu12023
@Bantu12023 Год назад
Kwani mtu e yupo Mara ngapi? Ama maulidi hii
@kumbashitv2275
@kumbashitv2275 Год назад
من مات في هذه الطريق دخل النار
@abdimwinjuma3281
@abdimwinjuma3281 Год назад
Huu ni puuzi,
@hamadefaye1937
@hamadefaye1937 Год назад
C'est dans quel pays ça ?
@abdallahniyonzima1600
@abdallahniyonzima1600 Год назад
naishi ichin rwanda hawa.nimapumbafu hi mutume alkataza.ni.bida
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Год назад
Allah awahid
@mewatimedicalhub6769
@mewatimedicalhub6769 Год назад
Brelwi firka yaha bhi pahunch gaya
@hazalioinvester3362
@hazalioinvester3362 Год назад
Upuzi nothing like this in our religion.
@Hussayn21
@Hussayn21 Год назад
Tatizo Njaa Hapa sio dini bali Njaa
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed Год назад
Alhamndulillah
@neemafatu471
@neemafatu471 Год назад
Hatari kubwa ni ni kwamba mnaona kuwa huo nidio uislamu au hayo ni ktk uislamu.. Naamini watu wakiacha mambo ya msingi lzm watafanya upuuzi tu
@allymziray5179
@allymziray5179 Год назад
Hawa vijana
@enssaceesay712
@enssaceesay712 Год назад
Sub haan Allaahi😭😭😭😭😭😭😭😭🤭🤭🤭🤭
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Год назад
Majanga tupu
@fatmasaleh8910
@fatmasaleh8910 Год назад
Kiac mukate mauno kumbe kunasufuria nne hazijapakuliwa endeleeni kuserebuka ila MTUME SW hakufundisha hivo
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Mtihani hawawatu wa maulidi
@pembaspices377
@pembaspices377 Год назад
Wakibeana hawa Au vipi? Hawana adabu
@Grataaaaa
@Grataaaaa Месяц назад
Mtume hanadiwi ivo eti migoma 😂😂😂😂😂😂😂 apo msikiti haujulikani migoma na ubwabwa tuu
@AnwarAli-vs9mp
@AnwarAli-vs9mp Год назад
Lahaulah
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Год назад
Walakuwatta illa billah
@adeyemikebeidris6622
@adeyemikebeidris6622 Год назад
Sollaallau aleyhin wasalsm
@zaidouharouna7788
@zaidouharouna7788 Год назад
😭😭😭👈☝️
@saidamursal7085
@saidamursal7085 Год назад
Subxaanallaah 🙄
@emjey284
@emjey284 Год назад
Malaika na majini wa kishetani wanadance ivi Tu kuzimu😜
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 Год назад
الله مستعان
@gopalsamykannan2964
@gopalsamykannan2964 Год назад
Dance dance Y dance?
@evacekasaija3912
@evacekasaija3912 Год назад
Barakalau fiku
@kenz-ihafiye2456
@kenz-ihafiye2456 10 месяцев назад
Where is it ? I wanna go there
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 10 месяцев назад
Niwaislamu wanasema wanamfurahikia mtume wao lakini wanafanya mambo kunyume na mafundisho ya yule wanamsherehekea
@kenz-ihafiye2456
@kenz-ihafiye2456 7 месяцев назад
​@@matendupiterngoge8707hmm. You meant this way is not correct ?
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 7 месяцев назад
Shukran nimekufahamu ukht
@kenz-ihafiye2456
@kenz-ihafiye2456 7 месяцев назад
@@matendupiterngoge8707 ooh l wish l can speak african language but l can't ..sorry can you pls write english
@kenz-ihafiye2456
@kenz-ihafiye2456 7 месяцев назад
Oo l see you said şukran
@AL_shahada
@AL_shahada Год назад
Shaqada iibadatay maradeyda cadestay boqolshego waa markoda waa markena hada sorawaxdan hori usoqata bug sheko qosaskin halawadagina sheko
@libetztanzania-kiswahilina2845
HII ni QASWIDA ??? 😂
@allysharifu6536
@allysharifu6536 Год назад
Nashangaa nikwanini dini yetu inachezewa kiasi hiki hvi sisi waisilamu misimamo yetu tumeipeleka wapi?watu kama hawa ilitakiwa wakamatwe kisha wapatiwe adhabu kali ili haya wengine watakao taka kukuchezea dini yetu waogipe ikiwwzekana wakamatwe wachinjwe tu hawa ndio wapotoshaji ikiwa hawa wanafanya hivi je makafiri watatuheshimu? Uisilamu sio ni dini tuliyoumbiwa nayo kwa haki sio mchezo wala mzaha na upumbavu yaan hawana hata aibu mimi nipo tayar kupambana nao kwa njia yoyote
@clememallya4257
@clememallya4257 Год назад
🤣🤣🤣 yamewashinda makafiri pekee yenu. Naona mmechanganyikiwa kweli vituko gani msituni huko sema wanaangalia tu waoste chovhote hapo heri ht wangeanza kuswali au kutuombea dua na kusoma Quruan wangemwenzi mtume Mohamad. Hspo vituko vya mende ubwabw uwe tayarii🤣🤣🤣🤣🤣🤔
@clememallya4257
@clememallya4257 Год назад
Mlikuwa mnasubiri heshima kutoka kwetu. Wakristo tunamheshimu Mungu siyo nini.
@abuukaraxmed873
@abuukaraxmed873 Год назад
Hii ni mambo daimond na reveny sio dini wala karibu yake
@musiliulawal
@musiliulawal Год назад
Lovely ❤ 😍, ....
@paapnjaay1586
@paapnjaay1586 Год назад
🤭🤔SUBXAANA'LLA ! Call this whatever you want BUT NOT ISLAM! This is even a total lack of respect not only towards Islam, oneself but also to all Muslims wherever they are. May ALLA guide you! Amiin!
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Год назад
Ignorance of the high order. Subhanallah
@ralatifra81
@ralatifra81 Год назад
???
@ushindiushindi5749
@ushindiushindi5749 Год назад
Halafu wanatetea maulid et ni jambo nzur kwa ujinga huu
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Год назад
Wajinga wa hali ya juu
@balublue5793
@balublue5793 Год назад
Toruk moruk tribe
@MADRASATISWADAQALLAHUNYARUGUSU
Safi sana
@islander3191
@islander3191 Год назад
Them are those ignorant people to ecxept the truth, this kind of dancing people, setan is already inside their head, and dignified wrong to right, like those maulid people, for example prophet mohammad s.a.w, come a live on his grave and see those ignorant dance shake their ass, what he is gonna say, did they think that? no, their brains is totally blinded, they see and believe want they want to see and believe period. Ujinga wa mwisho ambao wanaufanya, wanawanyima watoto wao chakula na kuwambia wake zao wanakwenda kufanya ibada pesa wanachangia upumbavu huu, yaani hakuna ibada ya kufanya zaidi ya hii, upumbavu wa juu kabisa wanaoufanya. Allah awahidi wazinduke.
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 Год назад
Yani uyo mtume angekuoneni apo mnavofanya angekupigeni mawe apo kila mmoja asingejua mwenziwe kapenya kichochoro gani Mliona wapi mtume akatangazwa kwa kukatiwa viuno wajinga wakubwa
@libetztanzania-kiswahilina2845
Ha ha ha KWAYA IMEUPIGA MWINGI
@ابوبكرالمدريدي-ز2غ
هههههههه ههههههههه هههههههه ههههههههه هههههههه ههههههههه هههههههه أهلي بدعة الصوفية
@boubacarsamb91
@boubacarsamb91 Год назад
🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣
Далее
ТАЙНА ТРАВЫ #shorts
00:22
Просмотров 721 тыс.
Maulid nabawi vua tanga 30/10/2020
7:33
Просмотров 40 тыс.
Swiffat Nnabawiat (Dar)- Kasida, Nausia Nafsi!
17:07
Просмотров 26 тыс.
ZIKR  KIDOTI  ZANZIBAR
11:54
Просмотров 66 тыс.
ТАЙНА ТРАВЫ #shorts
00:22
Просмотров 721 тыс.