Тёмный

zafa lakufamtu tazama ufundi huo 

Ust Nurdin Hemed
Подписаться 1,9 тыс.
Просмотров 103 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 185   
@AishaMateru
@AishaMateru 9 месяцев назад
Subhannaallah tutaona mengi kweli na watu kusoma diyn hawataki tumesimamia bida'a tuu allah awaongoze
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 10 месяцев назад
Subhanallah Allah awaongoze katika njia iliyonyooka hayo manayo ya fanya sio katika dini yetu Allah atuhifadhi mana hakuna mkamilifu isipo kua yy pekee
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 6 месяцев назад
njia ilio nyooka ni Yesu kristo peke yake,yohana 14:6
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 10 месяцев назад
Innalillah ,Subhanallah ,Astaghafirullah ,Yaa Allah tusameh nautuoneshe njia sahihi ,hawabila hizingoma wasingekua Waislam au ,kati yamitihani yakidunia 😢
@Maryammadafa
@Maryammadafa 10 месяцев назад
Naona mpaka style za kutetema😭😭jamani jamani
@hamenyimanasalum7289
@hamenyimanasalum7289 10 месяцев назад
Kweli bangi sio dili
@IsmailMketo
@IsmailMketo 9 месяцев назад
🎉subahna llah nyie kweli mwaweza kuinusuru dini ya Allah kwa staili iyo
@NilahIsmail
@NilahIsmail 9 месяцев назад
Mtihani mkubwa huu
@AbdulMbega
@AbdulMbega 10 месяцев назад
Nyie ndio maana watu wa ansali suni hawa watak, kwa ajir ya upumbavu wenu
@rahmasaleh1984
@rahmasaleh1984 9 месяцев назад
Unaona eeeh hawana elmu hawa
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Месяц назад
Anhaaa!!sasa mmeamka mnacheza kama kwaya eenh! Hiyo ndiyo sifa,siyo habari ya kutikisa kichwa tu.😂
@geitagewoma7112
@geitagewoma7112 9 месяцев назад
Bwana yesu asifiweee uhuru wayesu hamna mlichobakiza innalilah
@kondempya
@kondempya 9 месяцев назад
Mungu haendi chooni na kutawaza na kulala
@Gamba177
@Gamba177 9 месяцев назад
Mnachanganya ngoma za kienyeji na dini au mmefundishwa na Bakwata kukata viuno ????
@abubakarijuma1283
@abubakarijuma1283 9 месяцев назад
Jaman tujifunze kitu.hivi kina Umar,abubakari .....walikuwa ivi wanakatika njiani
@abdulkarimukusaga3617
@abdulkarimukusaga3617 9 месяцев назад
Haya mamba yanazaliliasha dini Allah atawazalilisha nanyie
@mwanahussein5935
@mwanahussein5935 9 месяцев назад
Mdundiko😢😢Allah atunusuru na vizazi vyetu
@ATHUMANIJUMA-h2k
@ATHUMANIJUMA-h2k 10 месяцев назад
Wametoroka singelini
@shazyahya4121
@shazyahya4121 9 месяцев назад
Ndio maana mashoga wanaongeza kila siku kutokana na mambo ya bi'dah na ukichunguza utakuta ni watoto wa familia za bi'dah sasa upumbavu huu mzungu akose imani ya kuoa mmoja hapo
@fauzeia976
@fauzeia976 9 месяцев назад
Unajielwa unacholiongea?
@shazyahya4121
@shazyahya4121 9 месяцев назад
​@@fauzeia976 bi'dah itakupeleka pabaya acha bi'dah umbwa wewe mtawaletea wezenu shida tubia kabla hujafa kenge mmoja rudi Madrasa na ukasome kweli uko vitabu utokane na ushirikina
@bakariomarimndeme6059
@bakariomarimndeme6059 11 дней назад
Hivi kweli hivi kumsifia mtume wetu sawa kucheza kuwapiga manaswara
@hassanowgennogenno5740
@hassanowgennogenno5740 18 дней назад
Jamani maulidi kwa utaratibu.hii ya densi hapana
@abuumunyrelbatwaawy7490
@abuumunyrelbatwaawy7490 9 месяцев назад
Subhaanallaah, kumbe watu wapo mbali sana na dini yao, allaah awaongoze
@bashiruamri2167
@bashiruamri2167 9 месяцев назад
Hawa sio mashekh nina mashaka pia juu ya uislamu wao nimawakala wa shetani
@dauddaud-xm2wc
@dauddaud-xm2wc 10 месяцев назад
Innaa lilillah wa innaa ilayh raajiun kweli zefe la kufa mtu
@HamadHamad-oy7mp
@HamadHamad-oy7mp 9 месяцев назад
Mh! Haya bwana labda mm ndo sijasoma na kuelewa dini vizuri ngoja inyeshe tuone panapovuja
@fundimsema4037
@fundimsema4037 9 месяцев назад
Ufundi Gani huo?,Au ufundi wakucheza Mdundiko pumbavu mnapotosha jamii Pumbavu zenuu
@muhsinsalim6257
@muhsinsalim6257 9 месяцев назад
Mambo gani hayo Astaghfirullaah, ALLAH awasamehe hawatu wamepotea na njia mustaqiim,hawa eako wafuasi wa shetani
@AbuuYasri
@AbuuYasri 9 месяцев назад
Ni zaidi ya upuuzi,jifunzen dini acheni mambo ya kishenzi,hivi ni kweli mtume aliletwa kutufunza haya😢
@HusnaAbdallah-jm6tq
@HusnaAbdallah-jm6tq 10 месяцев назад
Astaghfirullah mcheni Allah musichezee dini
@salehmussa9371
@salehmussa9371 9 месяцев назад
Huhitaji elimu kubwa kujua kuwa huu ni upuudhi na Shetani ndio anatianguvu juu ya haya mambo. Mfano. Mnamjua Khalid bin walid,RA. Ivi km yeye alicheza viuno hii dini ingekuwaje ,cjataja wengine Omar Alii Abuu Bakar Allah awaridhie. Nduguzanguni tumche Allah.
@kwekwetsuma3524
@kwekwetsuma3524 8 месяцев назад
Wow mashallah
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Месяц назад
Hawatakuwaradhi Mayahudi naManaswala mpakamfatemirazao
@ShakiraAdam-bh6fm
@ShakiraAdam-bh6fm 9 месяцев назад
Ndomana waislam tuko nyuma kimaendeleo kwasababu ya tofauti zetu
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 10 месяцев назад
Mpaka staili yamayelee kweli nishidaa
@ramamganga6440
@ramamganga6440 9 месяцев назад
Sijawahi kuona upuuzi kama huu, acheni kuiga ukafiri, uislamu sio huo mnaunda dini yenu mpya, majahil
@MnyageJuma
@MnyageJuma 9 месяцев назад
Namtaka mmoja aje kucheza ndani kwangu
@hassanabdullah2191
@hassanabdullah2191 10 месяцев назад
Subhanaalah hii ni ujahiliya
@ramadhanmjela9868
@ramadhanmjela9868 9 месяцев назад
Mungu akuzdishie kher kwamaneno yako kwakutukana wakubwa
@abdihassanomar5648
@abdihassanomar5648 9 месяцев назад
Haya ndio yanayosababisha watu wanaona ansar sunna wabaya hivi wapi katika dini tumeruhusiwa huu uchafu wa sheitwani watu badilikeni.
@hamisimkulupalile9461
@hamisimkulupalile9461 10 месяцев назад
Huku ni kuudhalilisha uislam
@AbuuSaad7
@AbuuSaad7 10 месяцев назад
90% ya hao madrasa zao ziko nyuma kwenye masomo ya dini. Quran hawajui vizuri wala hifdh hawana, fiqh hawajui, sira, hadith na sunnah. Muda wa kusoma hivyo hawapati maana muda mwingi wanatumia kupiga dufu na kujifunza kucheza. Muda wa kusoma dini wanapata mchache au wanakosa kabisa. Angalizo: Usimpeleke mwanao kwenye aina hii ya madrasa kama kweli unataka mwanao aijue elimu na maadili ya kiislam. Kama umempeleka basi mtoe haraka asije pata hasara kuɓwa. Hapo unaweza kuta ustadhi kwa mwaka anafundisha mara mbili siku zote ni dufu
@rahmasaleh1984
@rahmasaleh1984 9 месяцев назад
Kweli kabisa
@YusufOmary-c8c
@YusufOmary-c8c 9 месяцев назад
Bado hamja sema povu lina wayoka
@alisaid7742
@alisaid7742 9 месяцев назад
Kwanza wahabi Hana dhehebu haya matwari ni ya msimu sikweli yakwamba eti wanao soma maulid hawana kazi au hawasomeshi illa zefe na dufu huo ni uongo hayo masomo mlio yataja hapo hayakueko zama. Za mitume wote ikiwa. Mtapinga maulid basi hata mswahafu uondoeni qur an irudishwe kwenye duks mwisho hata hata nyinyi wengi wenu mlipitia kwa hawahawa mnao waita wajinga mkapiga magoti kwa elimu au wazazi wenu lakini Leo mnawatusi ole wenu siku. ya malipo
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 6 месяцев назад
ata na ww ujui quran maana ni kitabu cha waarabu na si kitabu cha Mungu!
@AbuuSaad7
@AbuuSaad7 6 месяцев назад
@@JeanMuzaliwa-bs6qh kama sio kitabu cha mungu wambie watu wote duniani watengeneze sura moja katika quran kama wataweza. Usisikilize maneno ya watu tafuta quran kwa kiswahili usome ndio utajua hichi ni kitabu cha Allah au binadamu
@karimambosanga4290
@karimambosanga4290 9 месяцев назад
Akheru zaman
@seydouside4081
@seydouside4081 10 месяцев назад
Wasaniiii waleeee...watatoboa tu
@AbdulMbega
@AbdulMbega 10 месяцев назад
Wa Allah Mtume angekuwa anawashudia zama hz yaani angeweza hta kulia
@khalidjmaftah9449
@khalidjmaftah9449 9 месяцев назад
Ovyo kabsa
@MesalimRashid
@MesalimRashid 9 месяцев назад
Hawa ni kama lejomaria ..hamuachii c juu hamuelewi hili c ni densi.
@HamadFakh
@HamadFakh 10 месяцев назад
Hawa ni wapumbavu kama wapumbavu wengine
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 9 месяцев назад
Halafu hapa handeni unajulikana kama shehe mkubwa sana unayeheshimika lakin upuuz huu unaofanya daa
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 9 месяцев назад
Nilikuwa nauliza hii ni ibada au upuuzi? Na kama ni ibada ni ya dini ipi? Kwasababu ktk uislamu hii sio ibada, wala hakuna aya wala hadithi pahala popote ktk vitabu vyote vya dini ya kiislamu kuwa kupiga ngoma na kucheza kama wanamuziki kuwa hio ni ibada, mnapoteza muda, bora mngekaa mkaamua kumswali Mtume kwa idadi yoyote au mkasoma subhanallah na alhadulillah na Allah Akbar mtapata faida kubwa sana sana sana, kuliko huo upuuzi tuliuona hapo, hii hata sijui uite ibada gani labda ibada maandazi na pilau
@FatmahSaeed-l7k
@FatmahSaeed-l7k 7 месяцев назад
Subhanallah 😢😢
@hassanussi1747
@hassanussi1747 8 месяцев назад
التقوى الله يا أيها الناس، ذاك تضييع الأوقات
@ZAMZUNZAMIRU
@ZAMZUNZAMIRU Месяц назад
Kama mtaiona pepo basi na Diamondi Platnumz nae yumo
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 4 месяца назад
Singeli
@allysaidshaban7734
@allysaidshaban7734 10 месяцев назад
Mashekh hiyo Sasa sio din bali ni muziki na muziki niharam
@allymzee-m2s
@allymzee-m2s 10 месяцев назад
Sasa seye dini waijua😅😅😅
@medimisi6930
@medimisi6930 10 месяцев назад
@@allymzee-m2s kwaiyo ww unasapoti huo uhuni hadi leo, iv mtume gani afundishe huu ujinga. mnatuharibia uislamu
@hassannduwimana8025
@hassannduwimana8025 10 месяцев назад
Duuh hao wajenge kanisa tu maana sijaona tofauti wao na wa galatiya
@umsaidmohamed102
@umsaidmohamed102 9 месяцев назад
Dini gani hii tena
@salimsibabu9027
@salimsibabu9027 10 месяцев назад
Km ni hivi maulidi hayafai
@ibrahimabdallah6237
@ibrahimabdallah6237 9 месяцев назад
Waislam mnaenda wapi??? Allah awaongoze
@Adhanatwaibu
@Adhanatwaibu 9 месяцев назад
Jamn yamekua hyo tena
@mpoka_Tv2023
@mpoka_Tv2023 10 месяцев назад
Huu upuuzi unao nasibishwa na dini sijui utaisha lini?
@muttribumkwanga7593
@muttribumkwanga7593 9 месяцев назад
Misso misondo
@mustaphamatelefone-lc9pr
@mustaphamatelefone-lc9pr 9 месяцев назад
Hao ni wanafunzi wa mashia hao
@MnyageJuma
@MnyageJuma 9 месяцев назад
Kateni mauno midume mizima bado muolewe tu
@nassleydady5783
@nassleydady5783 9 месяцев назад
Majab ya watu wa dufu ukiwauliza watakwambia ibada ukiwambia hii ibada tukaifanye msikitin sehem patakatif unambiw zambi kupigaduf msikitin😂😂😂😂
@muttribumkwanga7593
@muttribumkwanga7593 9 месяцев назад
Nimadras singeri iyo
@HalimaNenga
@HalimaNenga 10 месяцев назад
Mashallah shabibun jiddah
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر 9 месяцев назад
Subhanallah allah tuongize ktk haki
@MohammadJumah-qk2xc
@MohammadJumah-qk2xc 10 месяцев назад
Man haji mbovu kabisa tena waufananisha na dini ??????? Ewe allaah taala zibadishe nyoyo zetu ktk ubovu ziweke sehemu salam kwenye man haji ya wale wabora walio tutangulia
@nurdiniHashim-z6k
@nurdiniHashim-z6k 10 месяцев назад
Amina
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 10 месяцев назад
Ama kweli utwariqa ni uvundo ,,ukimbie ndugu yangu utakuangamizia njia ya mtume swallallahu alaihi wasallam
@alajamiyonlinetv3526
@alajamiyonlinetv3526 10 месяцев назад
Sio kweli ni tabia tu za watu bali twariqa ipo sawa kabisa
@sajumahege4903
@sajumahege4903 9 месяцев назад
​@@alajamiyonlinetv3526masufi mcheni Allah
@YusufOmary-c8c
@YusufOmary-c8c 9 месяцев назад
Uvundo ni babaako fala wewe
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 10 месяцев назад
Unajua Kuna mambo ambayo yameingizwa kwenye uislamu na wakati asili hayaapo kabisaa 😢haya wanayo yafanya Hawa wamevuka mipakaa Wala si katika dini
@JumaHusseni-o4r
@JumaHusseni-o4r 10 месяцев назад
Kanzu kama madela huo upuuzi tu
@khadijabuberwa3362
@khadijabuberwa3362 9 месяцев назад
Masikini msiwaraani muwaombe watoke uko waliko zama nimeisha wanatafuta kula Yani mnadhani awa wanafuraiya nawayo yafanya basitu
@AbuuIshaqaMusa
@AbuuIshaqaMusa 10 месяцев назад
Sasa si mziki tu huo jamani
@ابوذر-د8ك
@ابوذر-د8ك 9 месяцев назад
Mhm allah awaongoze kwenye kher hii sio dini
@amirasman8044
@amirasman8044 9 месяцев назад
Uache ubuzi mko nao nyinyi
@MnyageJuma
@MnyageJuma 9 месяцев назад
Hawa ndio wanosababisha uislamu huonekane dini ya mashoga wakata viuno barabarani
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv 10 месяцев назад
Ufundi au upuuzi mtupu wajinga wakubwa nyie mwajiata masheikh au mashekhena watuwazima akili hamna
@rahmasaleh1984
@rahmasaleh1984 9 месяцев назад
Yaan hawa ni masheheana tena wapotofu wakubwa,Allah awaongoze wafuate yaliyo ya haki
@Gamba177
@Gamba177 9 месяцев назад
Wanakata viuno wajinga hawa
@YusufOmary-c8c
@YusufOmary-c8c 9 месяцев назад
Wapuuzi ni nyinyi yani vado hamja sema
@KhabariAbdallah
@KhabariAbdallah 9 месяцев назад
Watu wasunna kwa matusi! Sasa hao wanakosea na hayo matusi ni sawa!
@Abdul-azizAthuman
@Abdul-azizAthuman 9 месяцев назад
usiwa tukaan waombee dua waongozeke
@glorymungure7753
@glorymungure7753 9 месяцев назад
Alafu et tunasema mashoga amna kwa namna hii kweli
@modesterchristophermodchri4233
@modesterchristophermodchri4233 6 месяцев назад
Kwani wamefanya Nini jamani
@MnyageJuma
@MnyageJuma 9 месяцев назад
Kama hujavuta bang huwezi kufanya upuuzi huu
@nixonmwanguni3094
@nixonmwanguni3094 9 месяцев назад
Upuuzi mtupu eti mashehk
@LUGEMASINDE
@LUGEMASINDE 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤🎉🎉
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 9 месяцев назад
Mwanaume unakataviuno mbele yawanawake ?niuchoko naushoga unatiksamaziwa hiisiyodini huniukafiri naushenzi
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 9 месяцев назад
Safari hii mmekwisha habari yenu,mnatufuatisha kucheza eenh! Halafu mnatuita Makafiri sasa uchezaji huo na wa kwetu hapo Kafiri nani?? Makafiri ni nyinyi, kucheza gani huko??Wenzenu huwa tunasifu kwa kuimba na kucheza kwa Stile ya kueleweka siyo kama mna majini!!😂🤣
@bihusiMshuza-ri7cz
@bihusiMshuza-ri7cz 9 месяцев назад
Fateni sunna acheni madufu hayanaishu kabisa
@yasinkishama6455
@yasinkishama6455 10 месяцев назад
Eti ufundi!!ujaahili huo ndo ufundi!? Hata wenzenu wa twariqa wamewazarau kwa miziki yenu hii
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 10 месяцев назад
😢😢😢😢😢😢😢 duuh!!!!!!!!! Kweli haya maaansay sunnat ndio mana wansemaga Hawa jamaaa wanamambo yakijinga sana
@rashidysekione1868
@rashidysekione1868 9 месяцев назад
Ina maana huu ndio uislam aliotua chia mtume achani ujinga huu ukafari rudini ktk uislam
@yoliswabontsa8469
@yoliswabontsa8469 9 месяцев назад
Innalilahi wa innalilahi raj,uun
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 9 месяцев назад
Nimefutilia comenti za watu zote 98 wamecomenti watu hata 20 tu sijui mmelipwa sh ngapi ili kututukana
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر 9 месяцев назад
Tia kwenye akili omar al faruk acheza cheza kama ivo
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 10 месяцев назад
Hamna dini kama izo nishirk
@fatuma5208
@fatuma5208 9 месяцев назад
Makubwa
@khalfansaid4756
@khalfansaid4756 9 месяцев назад
Mashehe ubwabwa utawajua tu pumbavu zenu
@DirectorRich2024
@DirectorRich2024 9 месяцев назад
Ikfk night hao ndo akna misso misondo wazee wa makot
@abuukauthar525
@abuukauthar525 10 месяцев назад
Jinga sana
@Assalafiyyat
@Assalafiyyat 9 месяцев назад
Ufundi wa upumbavu
@kijingitilengwale2279
@kijingitilengwale2279 10 месяцев назад
Uchafu kwa dini ya Allah imekuthiri
@amirasman8044
@amirasman8044 7 дней назад
WE'RE Full sometime what is this .....????????? Inalilahi wa inaalehi rajiunnnnnnnñnnnnnnnnnii
@mjanaomari5025
@mjanaomari5025 10 месяцев назад
Vikao vya sira na hadithi zake zinatosha
@seifserenge3340
@seifserenge3340 9 месяцев назад
Acheni ujinga up ndio nini,
@saidmsham-uy7py
@saidmsham-uy7py 9 месяцев назад
allah awaepushe na upotofu huo
@راشدالنعماني-ن9ف
@راشدالنعماني-ن9ف 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂Wajinga njoo😂😂😂
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 10 месяцев назад
😂😂😂😂 hayaa ndio mambo yanayotakiwaa yakatazwee wamezidii tenaa😂
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 10 месяцев назад
BIDAA KWA HERUFI KUBWA 🔞❌❌❌❌❌❌❌🚭🔞❌🚭🔞❌🚭🔞❌🚭🔞
@tunnungereza6251
@tunnungereza6251 9 месяцев назад
Acheni kuaibisha dini nyie
@ahmedsalim9463
@ahmedsalim9463 9 месяцев назад
Hii ni nini
Далее
ZAFA: Maawal Isilam Viti - Lushoto
4:26
Просмотров 19 тыс.
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24
SIMANZI NA MAJOZNI KHUTBA YA BABU DUNI
15:30
Просмотров 47 тыс.
MUIGIZAJI TAUSI NA PACHA WAKE WAKIIMBA KANISANI
7:28
PENTECOSTAL ASSEMBLIES OF GOD DANCE LIKE NO OTHER
8:03
zafa
2:24
Просмотров 3,3 тыс.
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24