Тёмный

#ZaNdaaani 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 32 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@DonDaudi
@DonDaudi 27 дней назад
Yani mzee wa zandaAAAni upewe maua yako! Hili swala. Mimi mwenyewe lilikua Linaniumizaa? Mchezaji kama Dickson job kweli asiitwe Tim yatafa ya Tanzania kweliii?
@FrankKajwaula
@FrankKajwaula 27 дней назад
MCHEZAJI JITAMBUE UKIITWA TIMU YA TAIFA HITIKA NIDHAMU KWANZA
@manaseobed8023
@manaseobed8023 27 дней назад
Kwani Dick hana nidhamu, wangapi hawana nidhamu na wapo timu taifa? Acha akili za Jemedar wewe
@DloveAfrika
@DloveAfrika 27 дней назад
Yani aitwe mechi ya mwisho alafu apangwe kwenye nafasi ambayo hachezagi then akubali tu kisa aonekane ana nidhamu? Hivi una akili wewe? Vp akicheza vibaya unahisi atakua amegharimu career yake au taifa zima? Acha ujinga kalina heshima yake na taifa so km kulinda heshima ya taifa ni kukosa nidhamu basi aadhibiwe
@benshark3212
@benshark3212 26 дней назад
Hitika ndio nini?
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 23 дня назад
Umemsikiliza vizuri ntangazaji?
@MwajumaFundi-ex5tj
@MwajumaFundi-ex5tj 26 дней назад
Safi Sana ✅✅✅
@HussenMadimbwala
@HussenMadimbwala 27 дней назад
Mtumie angekuwa wa timu nyingine ndio mgeona viziri tulieni nyie wawili tunawajua
@MfukunyukuMfinyute
@MfukunyukuMfinyute 27 дней назад
DIC JOB DAAAAAH
@samsonmwingwa364
@samsonmwingwa364 27 дней назад
Ndio mzur uyo kiongozi
@elrachum3866
@elrachum3866 27 дней назад
au ananizungumzia mimi.😄
@user-kf1yr3kx2o
@user-kf1yr3kx2o 27 дней назад
Mmh hii code ngum
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 27 дней назад
Huyu ni Hemed Moroco
@antonjohn134
@antonjohn134 27 дней назад
Nidhamu kama auna nidhamu sehemu yoyote unakuwa ufai
@yuahahmad6651
@yuahahmad6651 27 дней назад
Code ya Leo ngumu aliyeelewa anyooshe maelezo 😂
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 27 дней назад
Job
@stn4873
@stn4873 27 дней назад
Suratul Ad dhuha...aya ya 11 "Na neema za mola wako zisimlie" "Wa amma bi ni'mati rabbika fahadith"
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 27 дней назад
Hiki kipindi cha Wasafi kimekosa ubora wake wa kuchambua mpira kimekua kma tawi la Yanga.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 27 дней назад
KWELI BRO ANGEKUWA MCHEZAJI WA SIMBA WANGEFURAHI NA WANGESEMA HANA NIDHAMU WASAFI MACHOOKO KWELI.
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 27 дней назад
@@saidmasoud9004 sahihi kabsaa issue ya team ya Okrah kuidai Yanga ingelikua ni Simba ndio wanadaiwa wangekesha hapo kuinanga Simba lkn ni team yao wamefyata mikia yao
@HERIDZUGWEH
@HERIDZUGWEH 27 дней назад
Karia ama moroco
@samwelrobertmwakatobe6467
@samwelrobertmwakatobe6467 27 дней назад
Tuone na kibu akifungiwa maana aliitwa timu ya taifa hakutokea.Karia na Morocco roho mbaya chagueni Toka Tanga,mnangamiza vipaji.hebu tuone mtafungia wangapi!
@DonDaudi
@DonDaudi 27 дней назад
Bora huyo kiongozi aondokee Dickinson job aitwe Tim ya taifa ya tanzania#
@ZaituniNyenzi
@ZaituniNyenzi 27 дней назад
Kweli kabisa au aende akacheze kiongozi hy .kaka kitenge na Ricardo Momo mtajeji tumpatie maneno yake Aachen ushamba na roho mbaya.Je angekuwa mwanae angemuacha asicheze?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 27 дней назад
ANGEKUWA MCHEZAJI WA SIMBA MNGEFURAHI NA MNGESEMA HANA NIDHAMU MACHOOKO WA UTOPOLO NYIE 😂😂😂😂😂😂 SHENZISTAN NYIE 😂😂
@SADIKIMAPESA-yn7mo
@SADIKIMAPESA-yn7mo 27 дней назад
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@charlesmustafa8998
@charlesmustafa8998 27 дней назад
Tunajua agent wake ndo kakutuma kwa kuwa ni mfanyakazi wa wasafi ili watu wapige kelele
@mdachimdachi1517
@mdachimdachi1517 27 дней назад
Nidham nidhammmmmm
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 27 дней назад
Wachezaji wako wengi.
@yohanakayinga9279
@yohanakayinga9279 27 дней назад
Umbea2
@bakarsalum880
@bakarsalum880 27 дней назад
Mchezaj gn amezuiwaaaa
@YahayaKunga-le7mr
@YahayaKunga-le7mr 27 дней назад
Momo tatzo. Lk uyangaaaà umekujaaa hilo domo lak liwekweee ubupu ndo utanyamaza kjn hana nidhamu MPR bila nidham kutoboa ngumu
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 27 дней назад
@@YahayaKunga-le7mr Momo alikua Simba lialia ndugu yake alipo vutwa na yule mlevi mwenzie Manara ndio na yeye kabadilika wamekutana na Kitenge na hao wafukunyuku wengine uchambuzi wao umekua wakishabiki 2
@MariamMohamed-jt1qy
@MariamMohamed-jt1qy 19 дней назад
KiU​@@hassanabdala7383up
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 27 дней назад
Katika wachezaji wenye nidhamu job
@salymkingungo5229
@salymkingungo5229 26 дней назад
Katika wachezaji majeuri na roho mbaya ni DJob
@aberemanwer2939
@aberemanwer2939 27 дней назад
Kwani nani nani alimtuma asuse na nyie acheni unafiki acha avune alichokipanda
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 23 дня назад
Dickson Job
@moviekaa
@moviekaa 27 дней назад
Amna kocha mule.Bora Mgunda.
@user-bo3jd6ng5d
@user-bo3jd6ng5d 27 дней назад
Yule Morocco ndio mchawi pale
@user-gr6hz5oq2g
@user-gr6hz5oq2g 27 дней назад
Acha ujinga momo hana nidhamu hawezii kumpangia kocha mpira una misingi yake
@boscomalangalila
@boscomalangalila 27 дней назад
Moroko hafai kuwa kiongozi
@DonDaudi
@DonDaudi 22 дня назад
@@boscomalangalila tupa kule kocha Hana nidham job ananizam# huoni kwatim yakee! Angekua Hana nidham c. Msaidizi anapewaje pale yanga? Kazi kwenu vilaza
@happinessmwisse1152
@happinessmwisse1152 27 дней назад
Moroco mchawi anaendesha timu ya taifa kishabiki tu
@DonDaudi
@DonDaudi 27 дней назад
Asipo itwa tena aaa twendeni kwamama!
@salimmalaka256
@salimmalaka256 27 дней назад
YAMEKUWA HAYO 😂😂😂😂
@lucasbatano333
@lucasbatano333 27 дней назад
Dickson Job
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 27 дней назад
Nlimuona priva kapost sikuelewa, ila uyo jamaa ajitafakari maana vyeo si dhamana ila mapito tu 4sure, leo ni vyetu ila kesho ni someone
@salimmalaka256
@salimmalaka256 27 дней назад
UTOPOLO MACHOOKO NYIE
@daudkondo4069
@daudkondo4069 27 дней назад
Huyo kiongozi ni mpumbafu atajwe tuu, Taifa star si Mali yake au wadau wa soka wapige yowe kiongozi atoke madarakani, hafai hafai
@salimmalaka256
@salimmalaka256 27 дней назад
YAMEKUWA HAYO
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 27 дней назад
Media wa wanafiki imepoteza mvuto kabsa kwa uchambuzi wa kishabiki
@user-bo3jd6ng5d
@user-bo3jd6ng5d 27 дней назад
Ipi yeny mvuto kaka
@nswilahebronhans9550
@nswilahebronhans9550 27 дней назад
Jamani dhima ya kipengele husika si inajieleza unafiki unatoka wapi Sema fikra mgando zinakusumbua
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 27 дней назад
@@nswilahebronhans9550 fikira mgando labda zipo kwako mchezaji amekosea hana nidhani lazima awajibishwe wacheni kuleta unazi kwenye mswala ya kitaifa wasafi imekuwa media ya utopolo hilo lipo wazi haswa maulidi kitenge hakuna siku ataleta mada ya utopolo hata kama wamekosea saiv swala la Okrah ingekuwa ni Simba ungewackia mapovu yanavo watoka lkn lipo kwenye team yao pendwa mikia wameiweka nyuma
@kimoppa1240
@kimoppa1240 27 дней назад
Halafu redio zipo nyiiiingi mno za kusikiliza sijui binadamu hii fikra ya chuki inatokea wapi, kama kitu hakikufurahishi wewe usilazimishe wengine wakione kwa mtazamo wako huo pia, wewe zima Wasafi fm afu kasikilize redio zako nyingine zinazokufurahisha very Simple and Easy kuliko kuja hapa kuandika chuki kwa vitu ambavyo havina mlengo huo hasi! #MIYEYUSHO
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 27 дней назад
Sasa kakuambia nani usikilize 😂😂
@DonDaudi
@DonDaudi 27 дней назад
Jobu pale yanga sasahivi ndo captain msaidizii? Jinsi Gani anao uwezo mkubwa sana kwenye mpira wa Tanzania?huyo anaebana nafasi yamchezaji kama job Tim ya taifa? Aondoke tuu!? Hivi haoni mpaka mama anatoa motisha yakila goli linalo fungwa kwenye mechi za awali clab bingwa milioni 5? Imajni Yani ? Halafu unazuia .mchezaji kama Dickson job asicheze Tim ya taifa? WY? Aisee mama. Atadili nawewe fanya umuite mapema job Tim ya taifa#hao ndovijana walio iva kwenye mpira wa Tanzania kwasasa? Huogopiii?
@ZaituniNyenzi
@ZaituniNyenzi 27 дней назад
Na akitwa halafu asimpange Job asicheze aondoke yeye!Taifa linahitaji ushindi na tuna wachezaji wazuri atoke mtu sijui kutoka uswekeni huko anapinga serikali huyu.Akumbuke check ni kama nguo ya kuazima.!
@ZaituniNyenzi
@ZaituniNyenzi 27 дней назад
Cheo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 27 дней назад
MATOPOLO YANA MTETEA CHOOKO MWENZAO 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
Далее
HOUSE GIRL EP 01  | S3 | Love Story 💕💞
19:31
Просмотров 5 тыс.