Тёмный

ZARI amtolea POVU zito aliyekuwa rafiki yake NORMA, kisa ni maongezi haya na LASIZWE 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 3 года назад
Hapa pa kujifunza...Ukiwa na rafiki hata mmeshibana kiasi gani,muwe na mipaka ya story.Maana mwisho wa siku kitakachofuata ni aibu.
@stellah3844
@stellah3844 3 года назад
Zari anahasra na mondi na wema huku😂😂
@neemaruben5427
@neemaruben5427 3 года назад
Hahahahahahaha
@wisperfect5320
@wisperfect5320 3 года назад
😂😂
@fidianishimwe4035
@fidianishimwe4035 3 года назад
Tutaon meng
@saudazigaba2424
@saudazigaba2424 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 3 года назад
Unajidanganya
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 3 года назад
Noma naye ako na story ya zari😂😂😂
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 года назад
Zari anapenda ugomvi sana 😅
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 года назад
Zari ni chui mwenye ngozi ya kondoo eti hapendi drama????
@shikoshania953
@shikoshania953 3 года назад
😂😂😂😂
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 3 года назад
Me namuonya zar the boss wasouth wabaya wanaweza kukupiga lisasi kwa upuuzi tu atulie kabisa
@stephanieeunice8572
@stephanieeunice8572 3 года назад
Zari like to threaten people last time he was threatening diamond that if he dare say a lot he will expose diamond.
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 3 года назад
An East and central African stress woman ever,Zarina the boss lady,!!!!!!
@shikoshania953
@shikoshania953 3 года назад
True that's her weapon😂😂😂😂
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 3 года назад
Hasira ya wema na mondi y now?
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 3 года назад
Unajidanganya ana wstoto wawili kwa Mkndi nani zaidi wema au Zari hata kama wameachqna nani ata stand iwapo anything is happening?
@shikoshania953
@shikoshania953 3 года назад
Wema kiboko😂😂😂
@dianajohn3493
@dianajohn3493 3 года назад
Hakuna lolote .. Ngoja amkikishe mondi kwa wimbo utaona
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 3 года назад
Zari ana asira za Wema na mond 😀😀😀😀 zari Ali kuwa rafiki waka ribu na Akothe wa Kenya uka vunjika ivyo ivyo tu
@nellyflo9736
@nellyflo9736 3 года назад
When you see your friends.turning.back to.be your enemies..🙊dont.worry wamechoka Ku pretend.🏃🏃
@kiniyabh8646
@kiniyabh8646 3 года назад
Zari anapenda dream bado, mbona wasingemalizia kivyo huko bila kuleta kwenye Ig, sasa naelewa mbona Akothe alijitoa kwake mapema 😄
@sandraechiveraya8570
@sandraechiveraya8570 3 года назад
Sure she does not act like her age😏
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 3 года назад
Are you sure what are you talking about
@kiniyabh8646
@kiniyabh8646 3 года назад
@@ashuraomar4935 😄😄Yeah Akothe alijitoa mapema kabla aanze dream
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 года назад
Drama
@kiniyabh8646
@kiniyabh8646 3 года назад
@@damariszuckschwert9489 thanks for correction 😊
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 года назад
Hizo zote ni hasira za mond kusema amemis penzi la madam 😂 mond utatuulia huyu mtu muoe basi yaishe na siku ukioa mwanamke tofauti na yeye sahau kuwa na watoto South
@winfredkimeu519
@winfredkimeu519 3 года назад
Madam ndio nani
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 3 года назад
@@winfredkimeu519 hata mm simjui😂
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 года назад
@@khadijaabdullah6328 sepengaaaaaa wemaaaaaaaaaa
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 года назад
@@winfredkimeu519 wema sepetu
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 3 года назад
@@winfredkimeu519 kwani uongo
@chibahemedi7298
@chibahemedi7298 3 года назад
Zari ni drama queen. Alafu a napenda ungonvi saana. Zari ni snitch sana
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 3 года назад
Very very true
@dianajohn3493
@dianajohn3493 3 года назад
Uongo , mpaka umwingilie vinginevyo unachuki
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 3 года назад
Kwaiyo scandal za Cedric na lasizwe Ni Kweli??? Zari ana drama sana
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 года назад
Acha mvua inyeshe tujue panapovuja
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 3 года назад
Eti ma boss !
@Sandra39823
@Sandra39823 3 года назад
Hizo zote ni asira za diamond kukumbuka pezi la zamani, ameanza kuanikana ili watu waache kuongelea ile esseu ya diamond Naazaje, nilijua zari lazima afanye kisirani
@hojiliatisian7535
@hojiliatisian7535 2 года назад
Mbona hayo yametokea kabla ya wimbo wa daimond uajatoka
@kenyangal1869
@kenyangal1869 3 года назад
Watoane nguo sisi tunataka udaku 🤣
@darsinana2647
@darsinana2647 3 года назад
Huyu bbi nae atazeheka vibaa
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 3 года назад
Atazehe maragapi uyo bibi kize aa matatizo pole sana bibi kize zari
@millionsofreasons9806
@millionsofreasons9806 3 года назад
Zari mchonganishi sana! Hata alipofika kwenye maisha ya dai alimchonganisha na kumuachanisha na watu wengi tu! Mzee mbea huyu
@kiniyabh8646
@kiniyabh8646 3 года назад
Yeye aliwai date na, diamond kwa jili ya like na followers, amejisahau nyanya Rukia
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 3 года назад
Wema kaleta shida mjini Nassib usiseme unammic sepengaa utanyimwa kuona watoto tena shangazi anahahaaa huku.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 года назад
Makubwa haya ni bora kila mmoja anyamz tuu ashike hamsn zake kulik hay ukizingatia ni watu wazim
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 3 года назад
Zari kwa kuchamba ni noma
@janetahmed6948
@janetahmed6948 3 года назад
Hatr kichambo kama kichambo😀😀😀
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 года назад
Bibi kizee Zari linapenda umbea na ugomvi, hana kipaji chochote linapenda kujilazimisha urafiki kwa watu wenye vipaji vyao na fursa zao ili apate followers Instagram, Mzee mzima pumba kichwani
@omzahara5985
@omzahara5985 3 года назад
@@esthermutabuzi4582 🤣
@matumuhatibu4636
@matumuhatibu4636 3 года назад
Wivu punguza sana
@neemaruben5427
@neemaruben5427 3 года назад
Zari unapenda kunyenyekewa acha drama ww BB unapenda kuongelewa kwa sosho midia ......some time unaboamxuuuuuuuu
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 3 года назад
Did zari call social media to talk about her ?? Si watu wenyewe
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 kinywaji kimewekwa mkaa
@muhindikipanga4994
@muhindikipanga4994 3 года назад
zari ana mugopi lasizwe 🤣🤣🤣
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 3 года назад
It's shame imagine Zari Aki beef na lasizwe
@patienceboke8072
@patienceboke8072 3 года назад
Vile pia aliogopa Akothee anachezea wapole
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 года назад
Nice
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 3 года назад
Uyu Mama anataka ku jifanya kama Kimavi iko anatafuta followers kwako usimpe air time.
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 года назад
utarudisha Uganda bila gari
@foniyababy511
@foniyababy511 3 года назад
Huyu mama wa kiganda anapenda drama hv ungeturi na utu uzima wako mana hunaga hata la lama zaidi ya misifa tu
@ninaclaudia1990
@ninaclaudia1990 3 года назад
Ww ndo huna la mana mwana kumamayo mxiuuuuu, anatumika, anawatoto anaolisha hategemei mwanaume ww upo kwa hicho kibanda chaurithi wa bibi yako unatowa ujasiri wapi wa kumsema ?
@halimandinde2853
@halimandinde2853 3 года назад
Zari huyo rafiki mkiya wa fisi asikuzoee kuishi na watu kazi
@sarahorina2163
@sarahorina2163 3 года назад
Zari ni mnoma kwa kumuubua mondi na wema nampenda
@abdulkarimkadili6570
@abdulkarimkadili6570 3 года назад
hahahaaaaaa nomaaaaaaaaaa sana
@monicacyprian9137
@monicacyprian9137 3 года назад
Eeeh kumbe anachamba HV jaman
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
Ma Boss,classic people pia huwa wana muda wa kuchamba mitandaoni?nimeuliza tu si kwa ubaya maana nilijua huo muda hawana but wana muda wa kutafuta pesa na kuendeleza kipato walicho jaaliwa 🤔🤐
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 3 года назад
Zari mswahili sana yani
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 года назад
Hasira za mond iz
@ezeedi871
@ezeedi871 3 года назад
Mwanamke ni mwanamke tuu hata awe na pesa kiasi gani lazima awe na tabia za kike tuu kwaivo ni kawaida kwa wanawake kuchambana
@matumuhatibu4636
@matumuhatibu4636 3 года назад
Mbona Mo anashamba
@stelapius9604
@stelapius9604 3 года назад
@@ezeedi871 alichambn mo n mh kigwa sembuse zari😀😀😀
@ashiselosharon7012
@ashiselosharon7012 3 года назад
🤣🤣🤣patamu hapa
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 3 года назад
Wacha wavuane nguo ss tufaidi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rosemaryismaily001
@rosemaryismaily001 3 года назад
Nimekula block uwii sijui nimefanya nn😂😂
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 3 года назад
Zari si rafiki kabsaaaa
@emilymwiti2075
@emilymwiti2075 3 года назад
🙄🙄🙄zari ni moto
@suzukisimba9550
@suzukisimba9550 3 года назад
Duuuh,, hatareeee
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 3 года назад
Leo ndo nimejua kirefu cha smh
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 года назад
Duh
@fatumawakesho7056
@fatumawakesho7056 3 года назад
Mimi zari aliniblock
@khadijaabdallah933
@khadijaabdallah933 Год назад
Habari zake zimeisha huyu mtu mzima mwenzetu
@rehemahussein748
@rehemahussein748 3 года назад
Let the story begin....zari anapenda drama kaa!
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 года назад
Huyu Lasizwe ni mchicha mwiba au anajiweka hivyo tu?
@zaraally2295
@zaraally2295 3 года назад
Mchele live😓😓😓😓
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 года назад
Makubwa 😂😂
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Zari anapenda ugomvi nae
@leonardsamson105
@leonardsamson105 3 года назад
Kheeee 😂😂
@mapemapesa
@mapemapesa 3 года назад
Jinga huyu Zari
@yunyun799
@yunyun799 3 года назад
😂😂😂heeeee
@breezy9398
@breezy9398 3 года назад
🤓🤓🤓
@bridgetnajjuma6403
@bridgetnajjuma6403 3 года назад
Go find a better job
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 года назад
Makhosha ndo nn zari
@navokisembo
@navokisembo 3 года назад
Huyu Nima ana wivu wa nini wakati Zari alipendana na Cedrick? Jamani kuna marafiki wana wivu ukiwa kwenye mahusiano na mapenzi moto moto. Noma no noma kama jina lake. Fake friends
@amourdelicieuse2961
@amourdelicieuse2961 3 года назад
Mumuache Zari si mu bongo kusema sema bila kutokujua
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Mubongo😀
@khadijambuya794
@khadijambuya794 3 года назад
🤣🤣kimeuman
@ruu6592
@ruu6592 3 года назад
Watu wazima wanajifanya under18
@maryamm7765
@maryamm7765 3 года назад
😂😂😂😂
@mosamina7030
@mosamina7030 3 года назад
😂😂😂😂😂🙄🙄
@ben.breaker
@ben.breaker 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-cTi4vOt4Wys.html FAHYVANNY vs PAULA KAJALA 🔥🔥🐉
@OmanOman-fu8xy
@OmanOman-fu8xy 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@khalossalim3723
@khalossalim3723 3 года назад
Tukiano ana makasiriko ya wema huku 😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 года назад
👁👃🏼👁
@zarabati1750
@zarabati1750 3 года назад
Loh zari koboko
@elarifmohamed5681
@elarifmohamed5681 Год назад
😂😂😂😂
Далее
УГОСТИЛ БЕЛКУ МОРОЖЕНЫМ#cat #cats
00:14
Какой звук фальшивый?
00:32
Просмотров 610 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 544 тыс.
УГОСТИЛ БЕЛКУ МОРОЖЕНЫМ#cat #cats
00:14