Тёмный

Zari na Shakib hakuna ndoa, wapigana block Istagram, Diamond bado anapendwa na Boss Lady? 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 84   
@MarryDode
@MarryDode 19 дней назад
Ndugu wa Zar wenyew mbona kama wanampenda simba la masimba😂😂 33:00 very true
@toyikudratullah1466
@toyikudratullah1466 20 дней назад
From burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z 20 дней назад
Akikuzidi hela angalau uwe na elimu basi😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 15 дней назад
@@user-lq4cm4rq6z jaman😃😃😃😃
@evenabwire1860
@evenabwire1860 20 дней назад
No authority without responsibility
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 19 дней назад
You can say that again 💯
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 20 дней назад
si wenyewe tunakushangaa ulikuwa anasubiri nn pale;;;ushadharauliwa sepa;;;ata uyu mwenzio uku bongo nae anatamani leo kesho abwage,,ila ndo akifikiria msaada na mikataba anatulia mwenyewe..
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 19 дней назад
😂😂
@estherwanja5207
@estherwanja5207 17 дней назад
And you think zuu is stupid?for me i never saw anything bad diamond akiwa na zari.zari misbehave.so zuu haiwezi kasirika kwa kuwa diamond alijiheshimu adi walipokuwa wanacheza.so wewe ujinga yako peleka kwenu.
@mrishomintanga212
@mrishomintanga212 18 дней назад
For my side naitafsiri ni dharau, mshikaji afanye maamuzi ya kiume arudishe heshima km mwanaume ili atuwakirishe kwa wanaume wenye msimamo, kwang mimi mwanamke hata awe tirionea kwangu atabaki km mshauri tu, coz pesa takataka zote alizonazo ni za kwake yeye, isiwe chanzo cha dharau na kiburi, km ni mimi nafanya maamuzi ya kuchukua mwingine mwenye kufuata maelekezo yangu then napita kushoto, salute kwa wanaume wenye maamuzi ya kiume.
@MashaMbwana
@MashaMbwana 20 дней назад
Hichi kipindi kimenichekesha kweli yaani eti Zari anajitingisha maziwa mbele ya diamond😅😅😅
@filskischannel9737
@filskischannel9737 20 дней назад
😂😂😂
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 20 дней назад
Mmetishaa sanaaa 😂😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 20 дней назад
Lilikuwa suala la muda tu
@MashaMbwana
@MashaMbwana 20 дней назад
Nimegundua kuwa sns hamujaibariki ndoa ya Zari kabisaa😂😂😂
@toyikudratullah1466
@toyikudratullah1466 20 дней назад
Uyo bro n mimi pia uwe utakavyo ukiw cini ya mmulak yng nakupend nakueshimu ukilet zarau naku bushit.
@ree6082
@ree6082 20 дней назад
Esko anavomsikitikia shakib sasa😂😂😂😂
@KissaMwaibila-xp7io
@KissaMwaibila-xp7io 20 дней назад
Uyo Kaka sio mjinga kama mnavodhani mi nipo hapa
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 18 дней назад
@@KissaMwaibila-xp7io tuombe iwe hivo
@zahrachapema3353
@zahrachapema3353 20 дней назад
Yaan lazima kitu kitokee these people are not serious 😢
@MILK52899
@MILK52899 20 дней назад
Hapana kule Africa kusini ule jamaa ana nyanyaswa ashitaki nikibenteni maana aliulizwa analeta nini kwenye meza 😂😂😂😂 amwache atafute pesa yake tena amemzarau kabisa
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 20 дней назад
Swala kama hili watakao pata shida ni wakristo TU maana wao Shelia zao hawaachani mpaka kifo lakini kwa waisilamu mbona hili nirahisi mwanaume ndio anaoa nandio anaacha kama hamuwezani kwa upande wapili kwao nimtihani sana itabidi wavuniliane waendelee kunyanyasana mpaka kifo itabidi uvunilietu undelete kutombewa😂😂😂nahuu ndio ujinga wa wakristo 😂😂😂😂
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 20 дней назад
Na wewe umeona hapo umesema ya maana kabisa! Pumba nyingine kaeni nazo mioyoni mwenu jamani. Wakristo hapa wanaitwa wajinga eti kwa sababu hawaachani? Hii ni akili kweli? 😢😢 Kwanza " shelia " ni kitu gani? Na kama una maana ya sheria, basi wakristo wana taratibu pia chini ya sheria ya ndoa kuachana.Ila sio sifa kuachana wana ndoa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 20 дней назад
​@@Brunn-mh2bqndio kaongea ukweli huwezi ishi namtu ambae mmeshindwana kitabia kisa ndoa
@MsAggie5
@MsAggie5 20 дней назад
​@@chusseboywcb2808lakini wakristu sio wajinga
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 20 дней назад
@@chusseboywcb2808kabika ndugu
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 20 дней назад
Ni kweli ndugu umeongea ukweli mtupu
@Assamu_Officiel
@Assamu_Officiel 19 дней назад
SnS my favorite radio ❤
@sarastephano3409
@sarastephano3409 18 дней назад
zari atajiharibia mahusiano mengi Sana kwa ajili ya diamond hakuna mwanaume anaeweza kuvumilia hii tabia ya ukaribu na x
@chainbre275
@chainbre275 19 дней назад
Lol Chris i can feel your sorry for shakib😅😅😅
@MILK52899
@MILK52899 20 дней назад
Bible inasema mwanamu ako juu ya mwanamke ukiwa 50/50 maana hakuna mwanaume wote ni wanawake kingine anakuwa mnavunja amri ya Mungu
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 19 дней назад
Kabisaa
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z 20 дней назад
Ndoa ni wa kuowa wa Typ yako tu
@PalomaMshana
@PalomaMshana 19 дней назад
Yes chukua size yko😂
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 20 дней назад
Sema esco amefanana na mark angel xomed😅
@user-wi4nb7fg8v
@user-wi4nb7fg8v 14 дней назад
Nilikuwa nimekumiss wee😮
@Mama-A
@Mama-A 19 дней назад
Shakib atafute rika yake sasa. Mwanzo aende ajue kuoga
@AzzaDaudi
@AzzaDaudi 14 дней назад
Mahakama ya nini wewe ndio mahakama mwenyewe 😂😂
@user-wi4nb7fg8v
@user-wi4nb7fg8v 14 дней назад
Nilikumiss sana Osca ulikuwa wapi😅
@MILK52899
@MILK52899 20 дней назад
Kule south Africa wanatumia sheria za wingereza aende kushitaki maana ni mtandaoni alinyanyaswa ule Shakizz😂😂Lol 😂
@user-qb8fx9np5x
@user-qb8fx9np5x 19 дней назад
Hamna ndoa hapa
@KissaMwaibila-xp7io
@KissaMwaibila-xp7io 20 дней назад
Utopolo unaongea wewe Kaka,hana haki ya kuuliza kivipi
@josepheriah5977
@josepheriah5977 19 дней назад
Safi
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z 20 дней назад
Huko kutokuza kwenu ndo kunakufanyeni mnakufa mapema wanaume😂😂😂
@MILK52899
@MILK52899 20 дней назад
Inaonekana pale shakizz anapigwa anaburutwa masikio nyumbani maana ni mala pili ana buruzwa kabisa amwache ule mzee asiwe kipenteni amshitaki 😂😂😂😂
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 18 дней назад
Mwamba atefutepesa tu watakuja wenyewe
@nafuwswedi2465
@nafuwswedi2465 19 дней назад
😂😂😂😂ati kifua kinatikisika😁😁😁😁
@austinfoster4512
@austinfoster4512 20 дней назад
😂😂😂😂😂
@kulyafx-c9h
@kulyafx-c9h 16 дней назад
Sasa unyanyasaji gan hiv anaakili kweli yan upokwangu unaibia kuja kwangu na me ninaekuja kwangu nan anaitaji au mwenye wajibu wa kufungua kesi ila mnachekesha😂 mmekosa kontent wanangu ilibando ngoja nikaangalie clip za mwijaku na baba levo ktakuwa powa sana
@sabihasalim942
@sabihasalim942 20 дней назад
Ndio zetu za kislamu hakuna story za kugawanya Mali ya mwanamke uliompata nayo....jengine unaweza kuacha within 2days naunatoka empty handed.
@sabihasalim942
@sabihasalim942 20 дней назад
Ndoa*
@sabihasalim942
@sabihasalim942 20 дней назад
Mimi upande wangu tokea shakib ende Kwa mange for 1000 dollars pengine zari alimtowa thamani... Jambo jengine ingekwakuwa zari hajaolewa wasinge ruhusia kwenda Makkah.
@emmadora7848
@emmadora7848 19 дней назад
​@@sabihasalim942zari alioa yule kaka sio yule kaka kuumia zari ,sema ukiwa na pesa Kila kitu kinawezekana
@catherineshilima7576
@catherineshilima7576 20 дней назад
Ujinga mtupu
@shashauwase9745
@shashauwase9745 19 дней назад
😂😂😂😂😂😂
Далее