Mwalimu sauti yako na style yako ya ya kurudisha inafanana na mwalimu mmoja hv naitwa muddy commission sasa hv ni marehem alikuwa akifundisha ilala somo la physics dah jamaa alikuwa anajua physics utadhani alizaliwa nayo
@@nk-computertraining inategemea na matumizi kwa mimi sichezi game wala sifanyi graphic design, apps zangu ni za kawaida sana, na sipendelei kutumia windows kwa sababu huchukua sehemu kubwa ya software kwa sisi wenye pc za kiswahili Windows inatutesa