Тёмный

Zifahamu Faida za Ufuagaji wa Samaki Kwa Njia ya Kisasa 

Busokelo TV
Подписаться 44 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

#busokelotv #ufugajisamaki#samaki#ufugaji#
Kumekuwa na ongezekla watu wengi mijini na vijijini kuingia katika ufugaji wa samaki, Miradi hii imekuwa ikigharimu fedha nyingi katika uanzishwaji wake, Ili mfugaji aweze kuwa na ufugaji wenye tija, hana budi kujifunza ufugaji wa samaki kwa njia ya kisasa ambao hufanyika kwenye mabwawa ya kuchimbwa au visima na vifaa vingine vinavofanana na hivyo, vyenye uwezo wa kufugia samaki.
KWA MATANGAZO, WASILIANA NASI
Email: busokelotv@gmail.com
Simu: 0762684745 au 0674217445
Karibu sana

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@onegamba2029
@onegamba2029 Год назад
Good good 👍
@agnasswilliam
@agnasswilliam 2 месяца назад
Naomba nisaidie namba ako kwa mawasiliano nahitaji kua mfugaji wa samaki
@amosjose3104
@amosjose3104 Год назад
Naomba namba za wafugaji wa samaki
@aludokyando4630
@aludokyando4630 Год назад
Hogera na Mimi napenda kufuga samaki naomba msaada wa elimu
@burundgondrn8669
@burundgondrn8669 Год назад
Jambo nataka mnifundishe kufuga samaki asanteni niko hapa Bujumbura
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Год назад
Elimu kama hizi zinahitajika uwazi Sasa mnaficha manaulizwa maswali hamjibu
@BusokeloTV
@BusokeloTV Год назад
asante kwa kutembelea Busokelo tv tafadhari piga namba 0679795294
@laurianpancras4953
@laurianpancras4953 Год назад
Aye mabwawa unayo para samaki 100 nimta ngapi kwamola ngapi
Далее
KILIMO BORA : UFUGAJI WA NGURUWE
26:32
Просмотров 42 тыс.
UFUGAJI WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
17:57
Просмотров 3,5 тыс.
GADDAFI AWADH - MFUGAJI SAMAKI
10:31
Просмотров 82 тыс.
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Просмотров 11 тыс.