Тёмный

ZUCHU: KIFO CHA DIDA NIMAWAIDHA KWANGU | TUNAKUFA BILA KUAGANA | BINADAMU NI WAJEURI SANA 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 108   
@NaimaUssi
@NaimaUssi 4 часа назад
Zuchuu nkuombea sana kwa munguu uwache mzikii allah akufanyie weoes inshallah
@zayedkhalifatv9920
@zayedkhalifatv9920 10 часов назад
Yaaaaarab na wewe mungu akupe mwisho mwema tunakutakia kila la kheri Mungu atupe na sisi mwisho mwema yaarab atuhidi wote kwa ujumla Aaamin
@meislive5234
@meislive5234 8 часов назад
Beau paroles pour zuchu ❤🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵
@saumkassim4056
@saumkassim4056 5 часов назад
Allah tuongoze iwe ni funzo sote tumrudie Allah.
@SUHAIRASWEDIQRAMADHAN
@SUHAIRASWEDIQRAMADHAN 5 часов назад
Unavo Vaa uchi zuchi mtihani😢😢
@hajratiddy1427
@hajratiddy1427 6 часов назад
Allah akuongoze na ww ubadilike kupitia hili
@AdhmirSalum
@AdhmirSalum 7 часов назад
Kumbe unayajua. Basi endelea tu kukaa uchi.
@geovandavid92
@geovandavid92 10 часов назад
Mungu ni mungu tupendane.❤
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 9 часов назад
Allah akuongoze na ww na sie pia hakuna mkamilifu isipo kua muumba wetu
@saudazongera
@saudazongera 7 часов назад
Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema,,,,
@jangabauertv8288
@jangabauertv8288 8 часов назад
Ukiacha kuimba ukiacha kuvaa uchi ukiacha kuzin na mond hapo ndo utakuwa mawaidha yamekupata
@DenselTirop
@DenselTirop 7 часов назад
Wewe ya kwako nani. Anakwambia 😏😏natumai huyo mwanamke uko na Yeye umemuoa kihalali 😏😏
@AayshaAyash
@AayshaAyash 7 часов назад
Swadakta
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 6 часов назад
​@@DenselTirophivi huwa mnaumia mkiwa wapi🤔 zuchu akikumbushwa?mnampenda kweli?au ndo ilimuwe wengi?
@DenselTirop
@DenselTirop 6 часов назад
@@aairraahseif5648 unamkumbusha ni mtoto mdogo hajui Cha kufanya 😏yenu makubwa mnayafanya kisa tu nyinyi SI mastar Sasa ndo kukua washauri wa maisha ya watu,, aache kuimba akule kwenu ama 😏
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 6 часов назад
We endelea2 kuzini Nakuanika uchi wako mbele za wa2 mbwa wwq
@SadaKimanga
@SadaKimanga Час назад
Ndo ungeachana na muziki
@rajah9328
@rajah9328 Час назад
Mungu atuongoze sote kw uwezo wake Maulana Insha'AllAH sote ni wapita njia tu
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 8 часов назад
Acha muziki omba hosni khatima
@MonahAbdull
@MonahAbdull 6 часов назад
Kabisa kesho yuko jukwaani 😢😢😢
@fatmahamadkhator4202
@fatmahamadkhator4202 5 часов назад
Basi ndio uwache mziki na mavazi yasio na maadili. Pia uwe mwislamu mwema. Tabia zako urejirekebishe sana
@nancyg8664
@nancyg8664 5 часов назад
😂we tabia zako nzuri?????
@fatmahamadkhator4202
@fatmahamadkhator4202 5 часов назад
@@nancyg8664 hi mm ni mtoto wa kiislam nimetoka ktk mishipa ya kiislam so don't judge the world. Kama ww umeumia kutoa comments yangu pole.
@nancyg8664
@nancyg8664 4 часа назад
@@fatmahamadkhator4202 sasa mimi nawewe nani kamjudge mwenzake? maana nikiangalia comment yako naona kabisa wewe ndo umemjudge zuchu wetu na kumpa hitimisho la ushauri wa kujirekebisha Tabia as if unamjua sana. mimi nimekuuliza Tabia zako ni nzuri jibu lilikua ni moja ndio au hapana, nakushangaa mambo ya mishipa ya kiislam yamekujaje🤣🤣🤣 watu mnasiri aisee kumbe kuna mishipa mpk huku na hamsemi.
@nancyg8664
@nancyg8664 4 часа назад
@@fatmahamadkhator4202 🤣don't the world tena, nan akujaji sasa na mishipa iyo
@khamisroro4589
@khamisroro4589 2 часа назад
Irjigh ilaa Rabik radhiyatan mardhiyyaa 28 Fadkhuli fiyghibadiy 29 Wadkhuliy jannaty 30 Suratul fajir
@khamisroro4589
@khamisroro4589 2 часа назад
Sura ya 89 Aya ya 28,29,30.
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 9 часов назад
Poleni sana Wasafi!!!!
@chongerayassini978
@chongerayassini978 10 часов назад
Sawa sawa Fre.........n
@mariamirakoze7299
@mariamirakoze7299 7 часов назад
😮😮😮
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 часа назад
SALI KABLA HUJASWALIWA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@violetcarroll4930
@violetcarroll4930 8 часов назад
Kweli Kabisa 🙏🏿
@khatibsalum7820
@khatibsalum7820 8 часов назад
Acheni mziki.uo.fanyeni biashara nyengine eeeeh kwa mung hmn masihara jmn uko eeeeeh
@RehemaDiwani
@RehemaDiwani 4 часа назад
Nani aliwahi kwenda kwa Mungu
@esthermramba9395
@esthermramba9395 8 часов назад
Poleni wasafi
@IbrahimubakariIbrahimubakari
@IbrahimubakariIbrahimubakari 8 часов назад
Zuchu acha mziki hapa Duniani cyo kwetu
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz 8 часов назад
Ndiyo kazi yake,wewe unaweza usione na ukawa unadhambi
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp 8 часов назад
Kwan kabla ya mziki alkua aishi??​@@elizabethchabluma-zw5qz
@Jonathanabedinego
@Jonathanabedinego 7 часов назад
We Ala una SEMA NINI AFAZALI UNGE ACHA KUANDIKA TU
@DenselTirop
@DenselTirop 7 часов назад
Alafu umlishe ama 🤔
@LatifaCharles
@LatifaCharles 6 часов назад
@@DenselTiropko sisi tusiofanya mziki hatuli atulize wenge aache tu mziki
@abdallahhalifa5860
@abdallahhalifa5860 8 часов назад
Maneno Helwa Kabisa ela tufuatishe matendo mema km umkweli unayoyaongea unaamanisha
@hillarimtambo482
@hillarimtambo482 Час назад
💔💔💔💔💔
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 7 часов назад
Dada zuu umesema ukweli kabisa watu waache kusema wengine na wapendane
@NadhraNassor
@NadhraNassor 5 часов назад
Sio kupendana t na kuvaa uchi pia atambuwe s kupanda kweny steji t kuwa nusu uchi
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Час назад
Kumpendana kwenye kufanya maasi hakuitwi upendo. Watu wajifunze kupendana kwa ajili ya Allah/kuhimizana mazuri na kukatazana mabaya
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 4 часа назад
Zuhura wacha mziki rudi kwa mola wako hujui ziraili atakushukia ukiwa wapi
@meryamreally2768
@meryamreally2768 4 часа назад
Amen 🙏🙏😭😭😭
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 9 часов назад
Umesahau kusema pia tunakaa uchi!😊
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 9 часов назад
Unakichwa kizuri kweli????? Fala!!!
@ZakiaShidhani
@ZakiaShidhani 9 часов назад
Kubusiana bila ndoa na kuvaa uchi umesahau kusema.
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 8 часов назад
@@BarbaraPatience-qt9cc Nilijua tu kuna sheitwan litakuja kukoment ushubwada!Hivi kwann mnapenda kuingilia mambo ya Iman yetu nyie makafir!?
@AdelphineUWIMANA-f3z
@AdelphineUWIMANA-f3z 8 часов назад
​@BarbaraPatience-acha matusi hajasema uongo niukweli 😮waachane na umalaya bila ivo watakufa vibaya
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 8 часов назад
​@@AdelphineUWIMANA-f3zsaw pastor Mahanjan😂😂
@AlAthartv
@AlAthartv 58 минут назад
Kama ni KWELI acha MZIKI
@YusraynatAlly-mo7sq
@YusraynatAlly-mo7sq 32 минуты назад
ZUCHU elewa kwamba mziki kila ukizidi kusambaaa na zambi zinazid kuongezeka,,,,je mziki wako unaangaliwa na watu wangapi????? na je nguo unazovaaa ni heshima ambapo kila mwanamme na kila mwanamke kukuangalia ukiwa ktk mavaz hayo?????
@winnifridangahyoma9127
@winnifridangahyoma9127 4 часа назад
AMEN AMEN
@AminataBangura-pp3mo
@AminataBangura-pp3mo 2 часа назад
😢😢😢❤
@aitharkhamis4969
@aitharkhamis4969 8 часов назад
uyo hana lolote ukiiaha mwenzi huu tu kama kawaida kuvaa uchi
@DenselTirop
@DenselTirop 6 часов назад
@@aitharkhamis4969 wewe una Nini malaika mtakatifu mkamilifu usiye na dhambi , mitandaoni umefata Nini alafu Kwa page ya wasafi ama apa wanatoa mawaidha
@selemankishema5780
@selemankishema5780 7 часов назад
Hawa watoto balaa saana ngoja siku mbili zipite uone wanaanza kukaa uchi
@DenselTirop
@DenselTirop 6 часов назад
@@selemankishema5780 na wewe unawaangalia na kuwafuatilia kuona uchi huo mnagawana dhambi
@AzizaHamisi-o6z
@AzizaHamisi-o6z 7 часов назад
ACHA kukaa uchi miziki umehatibu jamii
@selemaniseif7767
@selemaniseif7767 2 часа назад
Unajua leo ayo ovyoo unapokaa uchi
@youtuberheart1648
@youtuberheart1648 2 часа назад
Na ajistiri pia bado mda anao😢
@stn4873
@stn4873 8 часов назад
NYOOOOOO.
@AayshaAyash
@AayshaAyash 7 часов назад
Umezungumza kamautayatimiza ramadhan pia hivyo hivyo mwezi ukiisha warengea mambo yako machafu kuvyaa uchi na kushikana china na mond pasipo ajakuoa lanathuallah
@NassorrajabJuma
@NassorrajabJuma 4 часа назад
Endeleen tu kuvaa uch nakuimba matus nakupoteza vijana mtakuja jua.
@HamadBashir-bs5wo
@HamadBashir-bs5wo 3 часа назад
Uache kuvaa uchi sasa
@jangabauertv8288
@jangabauertv8288 8 часов назад
Hana adabu mawaidha gani mawaidha kama muislamu unajua vitu gan vya kufanya vitu gan hatakiw kufany ila mawaidha bado unafanya
@mariamirakoze7299
@mariamirakoze7299 7 часов назад
Na yeye kasema mkamilifu ni Allah pekee, huwenda ndo toba yake usimhukumu
@DenselTirop
@DenselTirop 7 часов назад
Wewe nawe 😏😏
@kantai737
@kantai737 5 часов назад
SAWA MALAIKA WA ZAMU, MSHIKA FUNGUO YA PEPO, WEWE USHABASHIRIWA PEPO
@winnifridangahyoma9127
@winnifridangahyoma9127 4 часа назад
KWELI KABISA ZUCHU
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 2 часа назад
😮😢😢❤❤🤲🤲📿🇧🇮🇰🇪
@comm611
@comm611 4 часа назад
ndo njia. yasisi ote. poleni.sana
@YusraynatAlly-mo7sq
@YusraynatAlly-mo7sq 36 минут назад
mziki ni haram,,,,,acha tafuta kazi ya halali,,,,namuomba Allah (sw) akuongoe uingie ktk njia sahihi pmj na sisi coz hakun mkamilifu dunian,,,then fikiria baadhi ya waliokufa wanaomba wapewe nafas hata sekunde tuh waje waabudu lkn haiwezekan tena nafasi unayo badilika
@halimachande8451
@halimachande8451 8 часов назад
Endelea muvaa vichupi
@agbordorothy4901
@agbordorothy4901 7 часов назад
Did she tell you she was not wearing her underwear. You don't joke when someone is mourning 😢
Далее
ДИАНА в ТАНЦЕ #дистори
00:14
Просмотров 137 тыс.
COOKING UGALI & FISH - Stevo Simple Boy & Dem wa Fb
15:53
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52