Тёмный
MWALIMU ISAYA BENSON
MWALIMU ISAYA BENSON
MWALIMU ISAYA BENSON
Подписаться
ISAYA BENSON IS A TEACHER WHO HAVE BEEN TEACHING THE WORD OF GOD FOR SEVERAL YEARS. HE IS A SERVANT OF GOD WHO HAVE BEEN ANOINTED BY HIS SPIRITUAL FATHER H.E HON. DR. GEORDAVIE TO REVEAL THE MEANING AND THE TRUTH FROM THE BIBLE IN ORDER TO BRING THE REAL MEANING OF GOD FROM THE BIBLE.

CONTACT US +255764247363/+255787694242
Комментарии
@user-ni8wp2fu6v
@user-ni8wp2fu6v 3 часа назад
Hiyondiwo ukweli wa ki Biblia, ila kanuni ya ki Kristo iliyo hariwa na mafundisho ya uongo wa kiroma ime haribu mambo mengi ya ki jamii.
@ZawadiMtafya-jm8vz
@ZawadiMtafya-jm8vz 8 часов назад
Nakukubali mwalimu ila ngumu sana kumtoa mtu kwenye kitu anachoamini Ata kuku ukizoea kuwafungia ata siku ukiwaachia huru Bado watakimbilia ndani
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 8 часов назад
Ni,ni,ni,ni,ni.😂😂😂
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 12 часов назад
Raha sana
@acadatz
@acadatz 17 часов назад
Mwalimu naomba niruhusu nitungie wimbo kauli zako za awali zenye mtiririko wa vina... NAOMBA SANA MWALIMU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 BARAKA ZAKO MUHIMU
@naftalikairethia5654
@naftalikairethia5654 21 час назад
Mwalimu BWANA YESU ASIFIWE
@abedkisambwe5212
@abedkisambwe5212 21 час назад
Hatimae Leo nimekua wa kwanza
@salimamry9432
@salimamry9432 23 часа назад
Yaani mtoto wa Mungu kenda India kujifunza kwa watoto wa binaadam. Mitume wakifunzwa na Jabreel nami naamini Nabii Issa walimu wake ni Jabreel tu.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 День назад
Mbona mpaka saizi wanayachuku kwahiyo wamewaletea nini?
@MrBaraget
@MrBaraget День назад
Hata biblia ni uongo mtupu ni mbinu ya kudumaza akilizetu
@AltenKiswaga-zw9rf
@AltenKiswaga-zw9rf День назад
Nakukubali mwalim
@benmmurush
@benmmurush День назад
Fast one in the comments section 😂😂😂😂. Sisi tunangoja kuenda heaven
@ayoubmngarishaji6031
@ayoubmngarishaji6031 10 часов назад
Jaribu kuandika kizungu vizuri nawewe, kwani ungeandika tu kiswahili ungepungukiwa nn mpaka unaandika uozo huo😂😂😂😂😂
@autoroyaledubai
@autoroyaledubai День назад
Mwalim tunaomba somo la leviathan
@hosanaministryofallnations
@hosanaministryofallnations День назад
AMINA MWALIMU WA NENO LA MUNGU SWALI KWANI AGANO JIPYA LIMEANZIA KITABU KIPI NDANI YA BIBLIA?
@LosotwaMichael
@LosotwaMichael День назад
Kizazi cha kwanza nao pia waliumbwa kwa udongo?
@judithminja770
@judithminja770 2 дня назад
Wanatumia maneno ya Mungu katika biblia kukuingizeni chaka😢😢...watch out ndg zang
@nikitalucas2323
@nikitalucas2323 2 дня назад
Ni kweli kabisa maana mm kwetu mama yangu wazazi wake walitokea Ethiopia na baba yake baba yaani babu yang katokea Israel kwenye ukoo wa Benjamin.
@rehemawanjala-bu5oq
@rehemawanjala-bu5oq 2 дня назад
Mm cwezi kuamini hayo maana bibilia kila siku maandiko yanabadilishwa
@LosotwaMichael
@LosotwaMichael 2 дня назад
I have got you don't know the different between sacrifice and offering
@LosotwaMichael
@LosotwaMichael 2 дня назад
Haha na ikiwahana chakutoa asiombe ama
@LosotwaMichael
@LosotwaMichael 2 дня назад
Uzushi
@mwitamataiga4748
@mwitamataiga4748 2 дня назад
Mimi namini mungu yupo ila njia yakumfikia mungu ndio na hisi bado nikitendawili dini kalibu 1000 duniani nakila dini inakwambia ndio ipo sahihi
@MikaMika-ve1ip
@MikaMika-ve1ip 3 дня назад
Hivi wewe mafundisho hayo umetowa wapi?
@bachunyamgude
@bachunyamgude 3 дня назад
Uko vizuri. Ninakuelewa Mwalimu. Big up.
@josephinejames4590
@josephinejames4590 3 дня назад
Ninafuatilia historia ya Dunia sana...mwalimu uko sawa umesoma na umechimbua mambo sana,barikiwa sana
@bachunyamgude
@bachunyamgude 3 дня назад
Nakuelewa Mwalimu. Big up.
@user-gw4jj5nn2n
@user-gw4jj5nn2n 3 дня назад
Tuna simama vatikan itali
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 дня назад
Haya ni mahubiri ya ukweli❤
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on 3 дня назад
Unapo ambiwa toa namb kwa ajili ya mawasiliano toa ndugu yang watu wanahitaji huduma yako alafu unajifanya huon sms acha ukolofi mdogo wang
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 дня назад
Huyo dada mkalimani kweli anaifahamu kazi yake.Hongera sana🎉🎉🎉❤
@cassianyapesa5406
@cassianyapesa5406 3 дня назад
Sasa mwalimu kumbe adamu akuwa mtu wa kwanza kama kulikuwa na mwanaume mwingine aliyekwenda kuzini na mke wa kwanza adamu na huyo mwanaume
@samwelsimon6842
@samwelsimon6842 3 дня назад
Mwalimu naomba uongelee la mlokole kumiliki guest house na bar, je ni dhambi ?
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 дня назад
Nikweri kabisa mtumishi watu hawapendi kuambiwa ukweri walokole wengi hua wanaota huku wakitembea wachungaji wao wanawateka akili na kutegemea sadaka zao na blabla nyingi na kutishana hata waislam baazi ya mashekh wapo hivyo
@michaelmwaksole7244
@michaelmwaksole7244 3 дня назад
Akili za mtu mwenye akili za aliyechanganyikiwa( mwezi mchanga)
@DeusMbalamwezi
@DeusMbalamwezi 3 дня назад
Mafundisho ya wanyonyaji yametuasiri sana ! Naomba wambie watumishi wenzako wawe na mafundisho ya bibilia yanayo hamasisha utafutaji kuhusu uchumi wa waumini wao iri washirikishwe wakomborewe❤🎉
@MiriamMtende
@MiriamMtende 3 дня назад
Amina
@vitusnicodem9620
@vitusnicodem9620 3 дня назад
Wewe noma,bora niwe naweka bando nakusikiliza kila siku naamin kuna kitu nitagain na kitanisaidia kupanga life yangu.
@kwisa4899
@kwisa4899 3 дня назад
Translator yupo vizuri
@imankasagara9492
@imankasagara9492 3 дня назад
Lakini Mwl ukristo unauchukuliaje kwani mkristo ni aliyezaliwa na mkristo au anayeku😂bali misingi ya Kristo. Kuna tofauti kubwa kati ya Mkisto unayemsema na Mkristo ambaye ni mfuasi wa kristo
@imankasagara9492
@imankasagara9492 3 дня назад
Mwl katika majibu mengine kuna hoja za msingi ila kwa Jibu la Yesu amebainisha wazi kuwa tangu mwanzo Mungu alimwumba mke na mme na si mme na wake tafakari hilo hakuna mbadala.
@robertchikuni2635
@robertchikuni2635 3 дня назад
Heko, mtumishi umeeleza vizuri sana
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 4 дня назад
Ajenti
@ishaqally444
@ishaqally444 4 дня назад
Kulingana na hati-kunjo, Yesu aliacha Yerusalemu akiwa na umri wa miaka 13 na kuanza kuelekea Sindh, "akikusudia kujiboresha na kujikamilisha katika ufahamu wa kimungu na kusoma sheria za Buddha mkuu". Alivuka Punjab na kufika Puri Jagannath ambako alisoma Vedas chini ya makasisi wa Brahmin. Alitumia miaka sita katika Puri na Rajgirh, karibu na Nalanda, makao ya kale ya kujifunza Kihindu huko India. Kisha akaenda kwenye Milima ya Himalaya, na kukaa muda katika nyumba za watawa za Tibet, ambapo imani ya kibudha zilipo akisoma Ubuddha,jinsi ya kutibu kupitia mikono kwa lugha ya kiingereza inaitwa “Reiki healing technique” ambayo mpaka sasa maeneo ya Asia wanatumia elimu hiyo na imani ya Budhaa, na kupitia Uajemi, akarudi Yerusalemu akiwa na umri wa miaka 29.
@Ernestirene195
@Ernestirene195 4 дня назад
Utajiri unatokana na mfumo. Yupo maskini wa Tanzania kapelekwa marekani na Sasa ndani ya miaka 3 ananyumba 2 Tz na gari. Serikali ikitengeneza mfumo wa umasikini na asilimia kubwa ya watu wake wanakuwa masikini.
@LosotwaMichael
@LosotwaMichael 4 дня назад
Wafilisti na miungu Dagon ni sawa Lakini waisilamu wanaabudu allah . Rekebisha hapo
@LosotwaMichael
@LosotwaMichael 4 дня назад
Ningependa kujua lugha ambayo wakoloni Walizungumza na babu zetu lugha gani tukizingatia elimu ya wakati huo
@user-yl9sn2qq6d
@user-yl9sn2qq6d 4 дня назад
Nipenamba wasap uku malaw tunakukubali
@jaderkyser9389
@jaderkyser9389 4 дня назад
KICHWA CHA HABARI HAKISADIKI YALIYOMO. 😢
@adamstephanomollel8678
@adamstephanomollel8678 4 дня назад
Huyo haruni pia unayemzungumzia kuwa ndugu wa musa sio sawa kwa sababu ya kuishi kwa nyakati tofauti sana wakati wa Mariam huyu wa Quran ni miaka 600baada ya kristo wakati Musa na haruni ni kabla ya kristo