Тёмный

JE NI HALALI MTU KULIPA PESA ILI AOMBEWE? KIBIBLIA INASEMAJE? 

MWALIMU ISAYA BENSON
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 1,6 тыс.
50% 1

#specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.
ZABURI 119:130
Kufafanusha maneno yako kwatia nuru na kumfahamisha mjinga
ZABURI 119:11
Moyoni mwangu nimeliweka neno lako nisije nikakutenda dhambi

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@PatrickMusyoka123
@PatrickMusyoka123 Месяц назад
Asante mtumishi wa Mungu nimeokota kitu apo
@StivinSapi-eg7kr
@StivinSapi-eg7kr Месяц назад
Hongera sana mwl.Anayekupinga.naomba nitumie neno gumu,huyo ni mpumbavu wa neno la MUNGU.
@nurdinmvellah4032
@nurdinmvellah4032 Месяц назад
Nakuelewa Sana , Ila kila mtu anasoma biblia na kuijua , asomaye na afahamu.yote Yale ni ya kale ,Ila pindi yesu kristo kuja ndipo akatuamuru toeni Bure, .tazama ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya. Damu na mwili wa kristo ni sadaka kwa kila mwenye mwili. Pili mtu aende na kiasi alicho nacho kumtolea mungu, syo niuziwe miujiza kwa gharama aitakayo mtoa huduma huo ni uganga. Sikubaliani nawew kwa Hilo.
@ROSEMWANGAOFFICIAL
@ROSEMWANGAOFFICIAL Месяц назад
Mafundiaho mema saana saana hongera Mwalimu Isaya
@elishadodi8787
@elishadodi8787 Месяц назад
Wewe ni mwalimu wa uongo na siyo neno la Mungu. Tofautisha biashara wanazofanya hao wahuni na sadaka. Benson umesema unatoa mtazamo wako na siyo neno la Mungu.
@TheddyPetermartin
@TheddyPetermartin Месяц назад
Hii Dunia Ina mambo mengi tusaidie mungu wetu ndio uende kwa mtumishi laki Tano kweli hii ni biashara tu
@naftalikairethia5654
@naftalikairethia5654 Месяц назад
Mwalimu unasema ukweli kabixa
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Месяц назад
Milioni 40 kwani mungu anakula pesa namnakutananae wapi ili mumpe hizopesa au mnakula nynyi wenyewe kwaniaba yake nakunua v8 nakuendesha kwaniaba ya Mungu yani wakristo mtatuonyesha mambo Dunia hii
@MrNoah-gr7rq
@MrNoah-gr7rq Месяц назад
Mwalim isaya naomba siku moja uelezee historia ya wana wa anack na mfalme wao unju
@petermeliyoki5792
@petermeliyoki5792 Месяц назад
But kunao wanao sema bila laki tano hutamuona hiyo nayo ni haki kwa nabii kuitisha kiasi cha laki tano ndo akuombee,?
Далее
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC
00:19
Просмотров 2,6 млн
Prank Orchestra
00:10
Просмотров 852 тыс.
YESU KUMUITA MBWEHA MFALME JE ALIMTUKANA MATUSI
15:45
Просмотров 3,5 тыс.
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC
00:19
Просмотров 2,6 млн