Тёмный
J&R Mtita
J&R Mtita
J&R Mtita
Подписаться
J&R MTITA TV ni chombo cha habari cha mtandaoni, kimejikita kutoa taarifa mbalimbali za michezo na burudani kutokea nchini Tanzania

J&R MTITA TV ni chaneli ya mtandaoni inafanya kazi kwa weledi na kuzingatia maadili ya uwandishi wa habari pamoja na kufuata sheria za nchi.

Tafadhali subscribe kuwa mwanafamilia wa rafiki no 1 burudani na michezo
Комментарии
@saidmbarouk3553
@saidmbarouk3553 2 часа назад
wasenge tu hao
@LaurentSamweli-e4v
@LaurentSamweli-e4v 2 часа назад
Hivi kwanini Hawa wachambuzi wasiwe wanachukuliwa sheria wapo kwajili yakutupa taarifa sahihi inakuwaje wanasema watu wameshinda bila ya mahakama kusikiliza pande zote,wapewe onyo waheshimu uongozi wa watu
@simonmathias6474
@simonmathias6474 16 часов назад
Ahamed ally aliikashifu yanga kombe la shirikisho mamba kamng'hata
@simonmathias6474
@simonmathias6474 16 часов назад
Mchomi ukweli wako wa kimmpira watayakumbuka
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 16 часов назад
WACHEZAJI WAPYA WANAKATISHWA TAMAA NA WACHEZAJI WA ZAMANI NA VIONGOZI HAWANA "VISION"
@user-zx1vk9pr1w
@user-zx1vk9pr1w 17 часов назад
Hiyo na kaizer ni boooonge la mechi dadeeeq ! Aaaah kitawaaaaka
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 18 часов назад
Sita kweli bana
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 18 часов назад
Uchawi utawasaidia nn
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 18 часов назад
Uo ni ushamba makavu ya we umemshidwa mkopo chama ana mkataba ingekua unataka siungempa mkataba kengenyie
@OmaryHamisi-jm2mq
@OmaryHamisi-jm2mq 19 часов назад
Hongera manara kufunguriwa
@user-eg9jq5ny3n
@user-eg9jq5ny3n 20 часов назад
Chagamba bwegeeeeeee
@wamburajrtz
@wamburajrtz 23 часа назад
Sawa kama simba ndo anaigwa basi tusubir
@BibeLunangela
@BibeLunangela День назад
Kisugu Akili 😂😂😂
@user-yr4pv2vj7m
@user-yr4pv2vj7m День назад
Kwani sisi wabongo tuna kura kwako choko.wewe
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 День назад
Kwani Wanakula kwako?
@kaysischirwa6759
@kaysischirwa6759 День назад
Tff mmesikia?
@chng1990
@chng1990 День назад
Farid afae 11
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul День назад
Nyie wabongo fanyeni kazi acheni ujinga mda wotee simba yanga maisha hmna mnwapa watu utajir hmtk kazi kujadili upumbavu ndo mna mnakuwa wizi
@user-uu9uk1md3g
@user-uu9uk1md3g 8 часов назад
Nawewe kwanini unawafuatilia kafànye kazi
@godfreysimoni4270
@godfreysimoni4270 День назад
Magoli ya Simba alifunga michaeli vunja bei na kogoma.
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud День назад
🎉🎉🎉
@IssackleonardBakekela-g2i
@IssackleonardBakekela-g2i День назад
Makoro msimu haujaanza mshaanza kuogopa kikos Cha yanga mnataka kuroga polen sana ngoja tuone uchawi wenu sisi tuna mungu na ss ni Musa tuna fimbo ambayo inawaogopesha wachawi wote
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib День назад
Mpilasio uchawi kolo nadilikeni yanga uko kaama
@ByelaemmanuelByela
@ByelaemmanuelByela День назад
Simba wasilete timu tr 8
@lonesomekabora5547
@lonesomekabora5547 День назад
Khaa! Kuna watu na Viatu kwa kweli😂😂
@marcobulili4341
@marcobulili4341 День назад
Kolo mmefika mbali. Kama ni uchawi kolo mnajulikana duniani na faini mlipokea. Mpira si uchawi ni mawazo yenu mabovu. Mpira ni mazoezi, mifumo wachezaji wazuri na kocha mzuri, cyo uchawi, mtakamatika mchana kweupe kama bondeni. Sisi wananchi tutaomba mungu na kufanya mazoezi sana kwani kocha tunaye mzuri mno.
@MshomiN
@MshomiN День назад
Mfadhili wa yanga yusufu manji aliwekwa ndani ndo pale simba walipopata
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke 2 дня назад
Ye mwenyewe kasharogwa na aliemroga kafa hivyo atapata tabu sana 🤣
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 2 дня назад
Huyu kasoma memkwa
@kolosii4351
@kolosii4351 2 дня назад
Kwani msumbiji hakuna timu waganga wao wawasaidie??
@kolosii4351
@kolosii4351 2 дня назад
We mzee unaweza kuwa na wachezaji wazuri ila chemistry ikakataa. Na uzuri wamewachukua wakiwa mmewaacha.
@SaidZuber-yn1px
@SaidZuber-yn1px 2 дня назад
Yanga ni hatar xan
@jumannemagawa5095
@jumannemagawa5095 2 дня назад
Huyu mwehu, ajaribu kama hajaokota makopo yeye mwenyewe
@user-qi7px6nb8r
@user-qi7px6nb8r 2 дня назад
Kisugu ameishiwa sera hadi anakumbuka kwenda kuroga? Kutoka kwenye mpira hadi kwenda kuroga? Kisugu ni zuzu sana.
@Theopithmachali
@Theopithmachali 2 дня назад
Mmmmhhhh
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo 2 дня назад
Mimi nampa gamondi ushindi
@rosemaryluhwago
@rosemaryluhwago 2 дня назад
Mbona mda bado kusugu we karoge sisi tuna omba kwa mungu
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 2 дня назад
Mnamwaga mauchawi uwanjani na kuruka ukuta huko ndo kumuombea Mungu. Hivi unadhani mnayoyafanya watu hawayajui
@rosemaryluhwago
@rosemaryluhwago 21 час назад
@@zuhurajabiri3900 hee sisi hatuamini katika uchawi Sasa nendeni mkaloge muone Kama Kuna lolote litawapata wachezaji wetu Kuna mda tunawaigizia tu kweli nyie makolo alowapa jina la mbumbu hakukosea mnasajili wachezaji wa ligi daraja la pili afu mnaaza kusema watu wachawi makocha wasaidizi ndo makocha wakuu afu mnaaza kulaumu watu shauli zenu watu wakipiga kampeni watu walipe Ada za uana chama ilitim iwe nahela ya kusajili wachezaji wakubwa mnasema wanapiga kampeni za ccm haya na mwaka huu maji mta ita mama🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 2 дня назад
Yanga anacheza vizur kiukweli maana huwezi linganisha na timu zingine zinajipapatua tu
@noelmakere1381
@noelmakere1381 2 дня назад
Mpuuzi sana Hana nafasi kwenye tawi lake.. Kuroga kwani kaanza Leo.. Mpuuzi sana Kama anajiamini alete timu na uxhawi wao Nyaaau paka shume
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 2 дня назад
Unabisha Nini wewe Utopolo wanga hata Mayele katoe kauli
@rosemaryluhwago
@rosemaryluhwago 20 часов назад
@@zuhurajabiri3900 Sasa mayele si chizi mwezenu yule nae mtu yule tumempa jina anajikuta kontawa ona Sasa huko aloko hata jina Hana
@browntv1119
@browntv1119 2 дня назад
Hawa ndiyo wakukamata hawa
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 2 дня назад
Hakamatwi mtu hapa Ubaya Ubelwa tu mwaka huu
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo 2 дня назад
Matusi sio tamaduni zetu watanzania
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 дня назад
kwa vyovyote vile hilo Tamasha mmeiga kwa simba na ukikataa ni ubishi wako Tuu
@user-nm2jq7xo5f
@user-nm2jq7xo5f 2 дня назад
Jamani matusi hayananasi ustaarabu siolazima uendeshule
@kolosii4351
@kolosii4351 2 дня назад
Haya TFF wamesikia timu yao inayatangaza haya hadharani??
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 2 дня назад
Nyie mbona mnaruka ukuta hadharani Mwaka huu Ubaya Ubwela tu.
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 2 дня назад
YANGA INATENGENEZA MPIRA WA KISASA DUNIANI. NINYI MMEZOEA MIPIRA YA KIENYEJI ETI NA UCHAWI UMO! LAKINI SISI YANGA UCHAWI WETU NI PSYCHOLOGICAL BRAIN ATTACK.
@user-nm2jq7xo5f
@user-nm2jq7xo5f 2 дня назад
Sawa kabisa duniaimetoka huko
@erickthabiti7714
@erickthabiti7714 2 дня назад
Unatisha saana Bugati
@user-qw7zq2re6l
@user-qw7zq2re6l 2 дня назад
Wewe ndio unapenda sifa
@BensonAswile
@BensonAswile 2 дня назад
Sio wanapenda sifa wanamcheza vizuri kuliko timu zingine.
@SadyPatison
@SadyPatison 2 дня назад
Sio kwamba wanapenda sifa yanga wanajua
@patridabernard9148
@patridabernard9148 2 дня назад
Kwan nyie mwatakaje kuhusu huyo Baleke
@user-kr2qr8vx1x
@user-kr2qr8vx1x 2 дня назад
Mungu atujarie uzima baba na kuombeana..na tukifanikiwa kuwa hai tumwombe mungu akufungulie Kwa uwezo wake..uwepo ukishilikiana na mdogo wako hari kamwe bila iyana Kila binadam anamazaifu na kusameheeana na mungu akawawrzeshe kuchapa kazi Kwa pamoja..muwanyamazishe midomo visokoro kwinyo wanao subili itakuwaje badara ya kuangalia tim Yao wanateseka na yanga ya rais..sijui wanaumia wakiwa wapi..kama nakuomba manara na mdogo wako Hali kamwe...watu watakufa Kwa midomo yenu na tambo zenu..wasije wakuwazika..yanga tamu jamani