Тёмный
No video :(

UBAYA UBWELA!! KISUGU ATOA TAMKO HADHARANI KUIROGA YANGA IPOTEANE |AKWERWA NA CHAMA, PACOME ,AZIZ KI 

J&R Mtita
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 2,1 тыс.
50% 1

#livestreaming #jobe #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #mamelodi #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #alahly #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #okrah #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva #karabaka #diamondplatnumz #mwijaku #moloko #dullamakabila #taifastars stars #crbelouizdad
The Official RU-vid Channel Account J&R Mtita From Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA)
Booking : jrmtitatv@gmail.com
Contact : +255 747 384 250

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@Theopithmachali
@Theopithmachali Месяц назад
Mmmmhhhh
@IssackleonardBakekela-g2i
@IssackleonardBakekela-g2i Месяц назад
Makoro msimu haujaanza mshaanza kuogopa kikos Cha yanga mnataka kuroga polen sana ngoja tuone uchawi wenu sisi tuna mungu na ss ni Musa tuna fimbo ambayo inawaogopesha wachawi wote
@marcobulili4341
@marcobulili4341 Месяц назад
Kolo mmefika mbali. Kama ni uchawi kolo mnajulikana duniani na faini mlipokea. Mpira si uchawi ni mawazo yenu mabovu. Mpira ni mazoezi, mifumo wachezaji wazuri na kocha mzuri, cyo uchawi, mtakamatika mchana kweupe kama bondeni. Sisi wananchi tutaomba mungu na kufanya mazoezi sana kwani kocha tunaye mzuri mno.
@user-qi7px6nb8r
@user-qi7px6nb8r Месяц назад
Kisugu ameishiwa sera hadi anakumbuka kwenda kuroga? Kutoka kwenye mpira hadi kwenda kuroga? Kisugu ni zuzu sana.
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke Месяц назад
Ye mwenyewe kasharogwa na aliemroga kafa hivyo atapata tabu sana 🤣
@noelmakere1381
@noelmakere1381 Месяц назад
Mpuuzi sana Hana nafasi kwenye tawi lake.. Kuroga kwani kaanza Leo.. Mpuuzi sana Kama anajiamini alete timu na uxhawi wao Nyaaau paka shume
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 Месяц назад
Unabisha Nini wewe Utopolo wanga hata Mayele katoe kauli
@rosemaryluhwago
@rosemaryluhwago Месяц назад
@@zuhurajabiri3900 Sasa mayele si chizi mwezenu yule nae mtu yule tumempa jina anajikuta kontawa ona Sasa huko aloko hata jina Hana
@rosemaryluhwago
@rosemaryluhwago Месяц назад
Mbona mda bado kusugu we karoge sisi tuna omba kwa mungu
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 Месяц назад
Mnamwaga mauchawi uwanjani na kuruka ukuta huko ndo kumuombea Mungu. Hivi unadhani mnayoyafanya watu hawayajui
@rosemaryluhwago
@rosemaryluhwago Месяц назад
@@zuhurajabiri3900 hee sisi hatuamini katika uchawi Sasa nendeni mkaloge muone Kama Kuna lolote litawapata wachezaji wetu Kuna mda tunawaigizia tu kweli nyie makolo alowapa jina la mbumbu hakukosea mnasajili wachezaji wa ligi daraja la pili afu mnaaza kusema watu wachawi makocha wasaidizi ndo makocha wakuu afu mnaaza kulaumu watu shauli zenu watu wakipiga kampeni watu walipe Ada za uana chama ilitim iwe nahela ya kusajili wachezaji wakubwa mnasema wanapiga kampeni za ccm haya na mwaka huu maji mta ita mama🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jumannemagawa5095
@jumannemagawa5095 Месяц назад
Huyu mwehu, ajaribu kama hajaokota makopo yeye mwenyewe
@browntv1119
@browntv1119 Месяц назад
Hawa ndiyo wakukamata hawa
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 Месяц назад
Hakamatwi mtu hapa Ubaya Ubelwa tu mwaka huu
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Месяц назад
Huyu kasoma memkwa
@kaysischirwa6759
@kaysischirwa6759 Месяц назад
Tff mmesikia?
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Haya TFF wamesikia timu yao inayatangaza haya hadharani??
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 Месяц назад
Nyie mbona mnaruka ukuta hadharani Mwaka huu Ubaya Ubwela tu.
Далее
Can You Bend This Bar?
01:00
Просмотров 3,9 млн
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 25 млн
Wife habit 😂 #shorts
00:16
Просмотров 61 млн