Тёмный
IPINDA ONLINE TV
IPINDA ONLINE TV
IPINDA ONLINE TV
Подписаться
This channel consist Of Entertainment ,news and different programs about society, Reaction and normal story telling video where explain the details with commentary.
Комментарии
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 2 часа назад
Kumbe inauma kwa Samia kutawala Tanganyika musiumie maana huku Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Mzanzibar mwenyewe wote ni kutoka Tanganyika mbona Wazanzibar hawasemi lolote nyinyi Samia amewaumiza hata bado mitano tena kwa Mama Samia
@user-hf4ol9hn9y
@user-hf4ol9hn9y 3 часа назад
Hapo ni laana kwel
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 14 часов назад
Poleni sana makamanda tuko pamoja
@lothanathanael2286
@lothanathanael2286 15 часов назад
Point
@NELSONBS.NYAMANGA
@NELSONBS.NYAMANGA 17 часов назад
📣
@frankngajilo7137
@frankngajilo7137 23 часа назад
Sasa kiingereza cha nini
@bernadkihiyo
@bernadkihiyo День назад
🤪🤪🤪🤪
@bernadkihiyo
@bernadkihiyo День назад
Mama acha dharau we unanyumba ya ghorofa
@bernadkihiyo
@bernadkihiyo День назад
We mama wacha majungu hiyo saa yako ni gram ngapi wacha majungu ww
@bernadkihiyo
@bernadkihiyo День назад
Wacha majungu ww
@emanuelkisanga3429
@emanuelkisanga3429 День назад
Daah
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz День назад
Sana wanatuonea hata hatuelewi hawanaga kazi
@Petergasaya
@Petergasaya День назад
Hii ni haki ya binadamu inachukuliwa kinguvu mpaka inafikia mahala mwenye haki anapitishwa sehemu ngumu 😢
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz День назад
Tanzania utazania niababazao nyie mtuache watanzani
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz День назад
Tanzania shida polis matatizo polis wanasababisha vulugu
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz День назад
Hamjiamini kwanini jamani shida nini njoo lamadi musaidie kunamsimba kesho wanazika wananchi lamadi waliouwawa viajabu sana nchihi
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz День назад
Masikali sikuzenu zipo pembeni mnawatongoza kenge nyinyi
@user-yw7ud9th2l
@user-yw7ud9th2l День назад
Hakuna msada ccm hooye mkipewa kanga mnashangiria hiindio ccm bana watoto waibiwa watu watekwa ukisema unaambiwa ndarama za utekaji
@SudyTupa1
@SudyTupa1 День назад
Askar wengi sio waadilifu
@joejosca7594
@joejosca7594 День назад
ina tia huruma jamani kaka pole sanaa😔
@JohnWangare
@JohnWangare День назад
Daa inauma
@user-ug9mt5cl1s
@user-ug9mt5cl1s День назад
Daa pole sana
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 День назад
Grammer English but sababu tuu kuongea kingereza Grammer you will hear is not a tanzania because has aguimemt with gavment official
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 День назад
Chadema national cherman freeman weesblow to tanzania lteligince department on display names who arrested tanzania people and hide cicret place without pass through police hand chadema reject such move and anounce on pablic it is the ccm leadership drop this high tension between chadema and ccm rulling part is about brakfire tension between police lteligince under ccm and chadema voice high tension WICh tanzania people won't silence on this lmotion wich chadema deeply consern tanzania lteligince vary lmbarasing to tanzania pablic chadema disided refuel on pablic concern ccm use lteligince abiusing power crush opposition
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 День назад
Hao wametumwa kazi hawawezi kukiuka msiwasumbue kwa maneno machafu huwezi kukosa kutii amri ya mkubwa wako
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 День назад
Hata mkiingia nyie pia wezi hamna kitu hapo Siasa mchezo mchafu
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu День назад
Yote hayo Yuko kimya
@HamisiNguche
@HamisiNguche День назад
Askari hawezi kukwepa dhsmbi hata waswali au wasali vipi wanajisumbua bureeeeeee
@juliasmusanga9069
@juliasmusanga9069 2 дня назад
Mh shimiwa lema sisi kama wanangorongoro atulali kwa amani juu ya jambo hilo kwa xaxa tunaililia mwenyezi mungu pamoja na watetezi wa inchi yetu ya tanzania kwa ujumla tunaunguwa wamasai😭😭😭😭😭😭😭😭
@user-pp1cq9op5y
@user-pp1cq9op5y 2 дня назад
Viongozi wetu toeni kauli mbona mupo kimya sana wanachama wetu wanatekwa viongozi mumepoa sana toeni kauli
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 2 дня назад
Simiu kazi
@LaizarKilaye
@LaizarKilaye 2 дня назад
Haaaaa wajinga ni wa ccm
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 дня назад
Simiyu wameweza Kawa nn nyinyi daresalama mmeshindwa kulianzisha mpaka wapatikane na hapo daresalama ndio pazuri simiyu wameweza kurusha mawe mpaka kimeleweka kwa nn mshindwe hapo daresalama wamasai wameweza kwa nn nyinyi daresalama mshindwe
@mongogwelaanthony6867
@mongogwelaanthony6867 2 дня назад
Mwenyekiti wetu freeman mbowe ni mti wenye matunda na ni nguzo ya chadema, wamseme vibaya watanzania tunamheshimu mbowe kwa maisha ya sadaka kwa taifa letu, amefungwa kwa ajili ya taifa letu amefilisiwa kwa ajili ya watanzania. Tumpuuze msigwa
@mongogwelaanthony6867
@mongogwelaanthony6867 2 дня назад
Sina tatizo na kuhama kwa msigwa ni haki yake ila pumba anazoongea baada ya kutoka nina thibitisha hana akili, aige south afrika froyd shivambu amehama eff amehamia mk party bila kumtukana malema,
@Gsamir694
@Gsamir694 3 дня назад
Safi Sana
@SisteryMagwaza-pi2yk
@SisteryMagwaza-pi2yk 3 дня назад
Polen chadema weng wanaakil sana ndo maana mnaandamwa na ccm
@BikoStedi
@BikoStedi 3 дня назад
Jamani jamani daaa!
@JohnShigela-j3s
@JohnShigela-j3s 3 дня назад
Dah! Kwa kweli maisha ni mlima Penye Nia Pana njia
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 3 дня назад
Kuna shida nyingi watu wameomba mbaka wamebakia kumuachia mungu lakini wao wanazitumia vibaya hakika allah anaona
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 3 дня назад
Ndio tabia yao ccm najeshi lake la kiccm atakwenye kampeni zao wanqlaliana natabia zao mbaya ziraaniwe na Allah
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 3 дня назад
Kwani hapo ni wapi
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 дня назад
Tanzania ni kitu cha kawaida kwao police ndio wanasachi wanawake siyo kitu kigeni….. wanafanya zaidi ya hayo.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 дня назад
😂😂😂 Wanamwambia huyo Baba ni mweusi kama mkaa na wao wenyewe weusiiiiiii jamani.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 дня назад
😂😂😂 Wanamwambia huyo Baba ni mweusi kama mkaa na wao wenyewe weusiiiiiii jamani.
@JaphetMwandilawa-js2hh
@JaphetMwandilawa-js2hh 3 дня назад
Achautani wewe hakuna mtu amesinzia hapo na muona mtu aliye zama kiroho, People's power
@user-ep2cm5xo3k
@user-ep2cm5xo3k 4 дня назад
Pia ushauri Wangu kwa Serikali ,Polisi waliohusika na uhalifu huu wahukumiwe kunyongwa paka kufa hawasitaili kuishi.
@user-ep2cm5xo3k
@user-ep2cm5xo3k 4 дня назад
Pole Mama.Nimegundua kwa hiki kilichoonekana Mbeya Nchi aipo salama,Taifa tumuombe Mungu Ili alijalie Taifa letu kuwa salama.
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 4 дня назад
That's is pains
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 4 дня назад
Huyu mwanachama anapata wapi uthubutu wa kusinzia kwenye mambo nyeti kama haya? Mwamsheni bhana! 😄😄