Тёмный

"WEWE BABA UNA ROHO NYEUSI KAMA MKAA' INASIKITISHA SANA UNYANYASAJI WA WANAWAKE " MWENYEKITI CHADEMA 

IPINDA ONLINE TV
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 58 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 471   
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 2 месяца назад
Kamanda upo vizuri! Wewe ni mwanamke shupavu! Mungu awe nawe!
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 месяца назад
Ahsante mama
@kilianjulius9882
@kilianjulius9882 2 месяца назад
Poleni sana mama zetu na dada zetu Mungu atawalipa,, ONE DAY YES
@MartinAloisMosha-ff8rb
@MartinAloisMosha-ff8rb 2 месяца назад
Poleni sana. Mama msikate tamaa.Mapambano bado
@rithaurassa
@rithaurassa 2 месяца назад
POLENI sana makamanda wa chadema
@rithaurassa
@rithaurassa 2 месяца назад
UKWELI nimependa ila ukweli unauma sana aibu Kwa police na serekali.
@rebmanwillbard7464
@rebmanwillbard7464 2 месяца назад
Chadema, kwa issue ya Mbeya, rpc na viongozi wengine wastakiwe km wao kwakutumia vyeo vyao vibaya. Shida ni kesi ngedere unampelekea nyani,hapo hakuna haki
@rebmanwillbard7464
@rebmanwillbard7464 2 месяца назад
Pole sana dada zetu na kaka na mamazetu, ipo silu
@SangaMahanji
@SangaMahanji 2 месяца назад
Polen jaman pole sana .hii ndio ccm .kweri ccm haina uwezo wa kushindana na chadema .chadema iko juu
@albertkamala6843
@albertkamala6843 2 месяца назад
Naam Mwenyekiti...siku haiko mbali! Freedom is coming, soon!
@DaudKitugi
@DaudKitugi Месяц назад
@@albertkamala6843 mwenyekiti basi inatosha jamani wameshaskia😭😭😭😭😭😭😭
@TeklaNkwaju
@TeklaNkwaju 2 месяца назад
Poleni sana. Mkombozi gharama yake ni kubwa. God is at work.
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 месяца назад
Pole Sana yani hata hiyo ccm niwezi namasikali vibaka yanitunaongozwa namajambazi.
@jassonbwemero8118
@jassonbwemero8118 2 месяца назад
Poleni sana, Mungu ni wetu sote ipo siku atasimamia wamtumainio na kuwarudisha wenye kiburi mikono mitupu.
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 2 месяца назад
Asilimia kubwa ya viingozi wa ccm na maaskari wa Tanzania 🇹🇿 ni wezi hili tusipepese macho.
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 2 месяца назад
Safi sana dada iko siku Mungu anaona yote haya 😭😭😭
@starspreandprimaryschools3075
@starspreandprimaryschools3075 2 месяца назад
Yes, mama umeongea, Mungu atashughulika na waovu, watanyamazishwa na Mungu mwenyewe.
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 2 месяца назад
Dada ameongea kwaisia sana paka nimelia
@EdnaMbowe
@EdnaMbowe 2 месяца назад
@@MuhojaMalicho Hujalia mwenyewe
@kaguripenina63
@kaguripenina63 2 месяца назад
Inaumiza sana daar
@DominicMashambo
@DominicMashambo 2 месяца назад
Poleni sana 🙏 dah Mungu abariki Kila hatua ya mikono Yako
@kagombaEnok
@kagombaEnok 2 месяца назад
CCM haifai kabisa safi sana kiongozi nyie ndo viongozi tunaowataka
@VadestoMgohele
@VadestoMgohele 2 месяца назад
Dada angu uko vizuri nimekupenda bule kamanda tuendelee mapambano pasina kukata tamaa wala kuzimia mioyo yetu Mungu yupo nasi na anasikia kilio chetu
@danielayubu1930
@danielayubu1930 Месяц назад
Mama asante Kwa speech nzur hawazezi kufanya uchaguzi wa haki hawatuwezi Sisi wengine tulisha Acha hata piga Kura kwajir ya ujinga unaoendelea kwenye hii nchi Ila poa Tu ipo siku
@BITEBOKHALID
@BITEBOKHALID 2 месяца назад
Tafsiri ya Neno Polisi ni mbwa
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 2 месяца назад
Amina mungu huinua wanyonge ,time will tell
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 2 месяца назад
Dada poleni ila hata sisi wananchi tushawachoka ccm na vibaraka wake
@rwezimulastephen3713
@rwezimulastephen3713 2 месяца назад
Poleni sana mama umeongea kwa uchungu kweli kweli.
@jellyyatta7597
@jellyyatta7597 2 месяца назад
Duuuh huyu mama wa moto aise 😂
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 2 месяца назад
Asante sana Mzalendo mwenzangu. Mungu akubariki Mama.
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 2 месяца назад
Sitapenda wanangu wawe police wa Tanzania, maana ni aibu imekua kama ni ajila ya laana kabisa 😮😮😮😮.
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 2 месяца назад
Aibu,Aibu,kwa serikali ya Mama Samia.
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 2 месяца назад
Pole sana mungu yupo ipo siku atawalipa tunaomba mungu atutetee Tz
@JhonsonCharo
@JhonsonCharo 2 месяца назад
Pole sana dada na Mama zetu kwa kudhalilishwa na polisi vijana na kukanyagwa poleni sana, ni aibu na pia wamemdhalilisha zaidi Sana Mama Daktari Samia Suluhu Hassan mpenda Amani Kwa Watanzania wote
@fidesndunguru8605
@fidesndunguru8605 2 месяца назад
Mungu akubarik sana
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 месяца назад
Mashaaalah victory swebe we n jembe tunata wa dada kama weye 7000000 hp Tz mashaaalah swebe,
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 месяца назад
Kwa hiyo wanatumika polisi kutoka Zanzibar kuja kufanya mateso kwa wananchi wa Tanganyika bara! Mungu atawajibu hao mbwa koko wa kizimkazi!
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 2 месяца назад
Walikuwa na Mpango wa Kuua, Ila Watakufa kwanza Wao.
@PapaaEric
@PapaaEric 2 месяца назад
Good ❤❤✌️✌️ Milele
@MzeenickTajir
@MzeenickTajir 2 месяца назад
There is power of God to you
@lucasmunyo8000
@lucasmunyo8000 2 месяца назад
Pole sana mama mzalendo wa inchi
@generosennko8343
@generosennko8343 2 месяца назад
Uuuwwwwiii !!!!! Siamini!! Aibu, Aibu, ni Aaibuu. Hii sio tanzania tunayoijua. Sio, sio, siyooo
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 месяца назад
Watu wa Zanzibar ndio wanaijuwa vizuri Tanzania maana kila miaka mitano wanauliwa vibaya watoto, vijana na wanawake kuliko mlofanyiwa nyiye kwa siku moja au tatu bado hamuwajuwi wa Tanzania - CCM waulizeni Zanzibar. Magufuli kafanya mabaya sana Zanzibar.
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Месяц назад
Hao mapolisi ni wanyanyasaji Hapo Raisi Hapo Raisi kimyaaa mungu. Kubwa daah Tanzania Amani Imetoweka kabisa
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Месяц назад
​@@awatifalghanim1106ww kwahiyo mnaishi kwa kisasi si ndio
@MasungaNekwa
@MasungaNekwa 2 месяца назад
Ahsante sana mama Ndiyo walivyo mwigulu alibeba watu kwa malori wasisikilize mkutano wa Lisu kule Iramba
@MzeenickTajir
@MzeenickTajir 2 месяца назад
There is power of God to your
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 месяца назад
Dr Tulia unakazi sana Kwa tendo hili
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 месяца назад
Kibaka wee kwani tulia hapa anahusikaje
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 месяца назад
Tulia kakosea nini hapo na anahusika nini na hizo kesi zao
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 2 месяца назад
@@elizabethmassi7327 ni mmoja wa wezi wa kura walioleta bunge la mchongo na spika wa mchongo ccm wote majizi na watekaji
@frankcharles3980
@frankcharles3980 2 месяца назад
​@@Aminmwansile-we8vnPUMBAVU NYOKO WEWE KICHWA HASARA
@frankcharles3980
@frankcharles3980 2 месяца назад
​@@elizabethmassi7327PUMBAVU NYOKO WEWE
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 2 месяца назад
Tulia mpuuzi sana
@philipongenzatv
@philipongenzatv 2 месяца назад
Hyu awadhi pelekeni mahakamni shetani hyu
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 2 месяца назад
Mzanzibari huyo ndio roho zao walivyo... Na mama Yao...
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 2 месяца назад
Kwanza nianze na Polisi maskini Maisha yao yanatia huruma Kota hamna , zikiwepo sasa ni zaidi ya Choo Ukiacha rushwa mnhekufa njaa Serikali mnajidharirisha sana Mnatumia gharama kubwa kukandamiza watu wenu kwa kodi zao kweli Hizo hela si mngepeleka kwenye mahitaji watu wangewaelewa Bora mwendazake alikuwa anabana lkn maisha tuliyaona jamani 😢
@prismilammbando3761
@prismilammbando3761 2 месяца назад
Mama wewe ni Kamanda na nusu🥰😍😘
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 2 месяца назад
Mwenye hatia anahofu siku zote ccm wanahofu 2019 / 20 / 20 waliiba mchakato wote wa uchaguzi sasa ni Houston tupuu
@luckyhardson18
@luckyhardson18 2 месяца назад
God bless Tanzania.
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 2 месяца назад
Awadh Juma, Awadh Juma, Awadh Juma. Fikiria sana laana ya mama huyu.
@sisterlbloodofjesus4084
@sisterlbloodofjesus4084 2 месяца назад
Poleni sana dada yetu mwenye hekima kutoka kwa Mungu mwenyewe, naomba mtuunganishe Watanzania wenye mapenzi mema tuingie kwenye maombi ya mfungo wa siku saba kisha kwa imani zetu tutoe sadaka tumlilie Mungu juu ya Taifa letu Hakika hatanyanaza
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 2 месяца назад
Poleni sana chadema Mungu
@Nyanda506
@Nyanda506 2 месяца назад
Mafunzo ya polisi nikutesa raia wema jamani ..😢😢
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 месяца назад
Police force😢😢😢
@AfwilileNisaidie
@AfwilileNisaidie 2 месяца назад
Poleni sana wana chadema CCM wajitafakari polisi wajitafakari pia mimi nawaasa viongozi vijana wa CCM waache kutumia ubabe kejeri hakuna aujuae kesho yake
@JohnNyarara
@JohnNyarara 2 месяца назад
Mambo Huwa yanaanz mdogo mdogo hivi lkn ikifika hatua Wananchi wamechoka madhara yeke Huwa ni makubwa sn sn katika nchi
@Mosesndahani
@Mosesndahani 2 месяца назад
Nami naungana na wewe mama kuwalaani kabisa. Imeniuma sana.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 месяца назад
Mikoa yote,Nchi nzima wananchi ni kilio tupu kwa mamlaka na dola kisa mbunge teule wa mamlaka-Tulia Akson, Nani atatufuta machozi haya zaidi ya serikali😢 inayoyanyamazia?!. Watapewa nguvu ya kutenda uovu huu kwa taifa mpaka lini?
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 месяца назад
Amina,Amina,Amina,Amina Amina,Amina,Aminaaaaaa! Umemaliza dada mwanamke shupavu, na Mungu atafanya.
@WhiteMgeni
@WhiteMgeni 2 месяца назад
Poleni Sanaa ndugu zetu hiii ndio Tanzania nchi huru
@santykimaro4711
@santykimaro4711 2 месяца назад
Very very sad indeed. 😢 Why all this?😢😢
@godfreymelkiady5406
@godfreymelkiady5406 2 месяца назад
poleni sana chadema..Mungu atawajibu na mapigo makali kwa kumfanya mwanadamu kuwa kinga yake na kumuacha Mungu
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 2 месяца назад
Hawaelewi shida zao maana wengi wao ni form failures walioingizwa ktk Hilo jeshi kwa njia zisizo halali. Hivyo Havana Weledi wowote katika kazi waliyoajiriwa kufanya
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 месяца назад
KAMA MNA AKILI SAWA MSIKILIZENI HUYU MAMA KWA MAKINI SANA AIBU GANI HIZII WÀNANCHI WANATESWA
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 месяца назад
Mungu akutunze maana nimekupenda bure mwanamke jasiri.
@MagdalenaMagere
@MagdalenaMagere 2 месяца назад
Ukweli mtupu. Poleni sana.
@jumamario-vr1mw
@jumamario-vr1mw 2 месяца назад
Kweli mama umeongea ukweli
@mapendomeela7166
@mapendomeela7166 2 месяца назад
Mungu aliye juu atatenda .miujiza tuzidi ukomba mungu
@aminieljohn5475
@aminieljohn5475 2 месяца назад
...upofu umetamalaki....hawawezi kusoma maandishi ukutani.....MENEMENE TEKELI NA PERESI...
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 месяца назад
Hugo ndio ukweli mama yangu tatizo wanamwogopa Jembe Sugu Kwa akili ya bicho kitulia chao
@johnndimbo5082
@johnndimbo5082 2 месяца назад
Raisi wetu anasema anaingia sana mitandaoni nadhani na hii ataiona, Mungu isaidie Tanzania.
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 2 месяца назад
Ukweli ccm bila police haiwezi kuchuwana nachademaa kwa kula
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 2 месяца назад
Inauma sana mama acha mungu atatenda iko siku
@JasinthaAlex
@JasinthaAlex 2 месяца назад
Tangu rais Magufuri atangulie mbele ya haki wa Tz tupo kama watoto yatima ambao hawana baba wala mama,tunajua mtoto akibaki na mama anakuwa mikono salama lakn kwetu HATUNA MAMA,Mungu atusaidie🙏
@SelemaniZuberi-e8x
@SelemaniZuberi-e8x 2 месяца назад
Mama poleni sana
@omaryissa1821
@omaryissa1821 2 месяца назад
Huyu mama yupo sawa good
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew 2 месяца назад
Tulia aksoni ndio aliandaa hilo jambo kupigwa wanachama wa chadema ila ipo siku mwenyezi Mungu atasimama na wananchi sisi wanyonge!.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 месяца назад
Hii ya magari kupeleka wanachadema had Dare salaam huku Hospital,tunadaiwa,hella ya diesel, Asante v swebe, Asante hii show,karai la kujengea police hii c y chadema hd wa jukuu wataendelea Mfalume DAUDI atasimama Asante swebe,
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 2 месяца назад
Mmh umeongea kwauchungu sana mama mungu atasikia kilio chako amen
@MatoboGachori
@MatoboGachori 2 месяца назад
Pole sana dada yangu mungu atalipa
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 месяца назад
Police ni sehemu salama km watu wanepoteza vitu vyao hao ni vibaka sio police ngoja tuongee kazi ya police kimataifa na kitaifa kukamatwa na vitu kupotea mikononi mwa police tunawezaje kusema ni police ni vibaka kwa nguo za police wezi sjo police embu tuangalie nchi km Kenya Zambia Malawi Botswana Namibia sauafrics Zimbabwe jinsi police wanavyofanya kazi Hawa sio police vibaka ktk nguo za kipolice tusiite police sababu police ni sehemu salama hao ni vibaka kwa nguo za kipolice
@MohdSuleiman-fw2un
@MohdSuleiman-fw2un 2 месяца назад
Mungu mungu ibarik Tanzania tujalie tuwe na aman ya kudumu ewe mungu ibarik Tanzania Tanzania ni yetu sote 🤲🤲🤲
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 месяца назад
Hawa wanaojiita walinZi wa raia kumbe ni walinZi wa ccm ipo siku watakuta tumevuta Ile ya njombe kama magufuli alivyosema
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 2 месяца назад
Aisee poleni sana
@siliviamushi4119
@siliviamushi4119 2 месяца назад
Poleni sanaa dada zanzu
@RamadhanHussein-t5k
@RamadhanHussein-t5k 2 месяца назад
Daima mwenyezi mungu husimama na wanao teteha haki na ukwell ipo siku malipo ni hapahapa hakuna atae kufa bila kuripa Kwa ubaya alio ufanya CHadema pipoziiiiiii
@ProsperMsemwa-g8n
@ProsperMsemwa-g8n 2 месяца назад
Pole sana
@LameckMbele
@LameckMbele 2 месяца назад
poleni MUNGU atawavusha tuliwatoa wakoloni weupe sasa zamu ya wakoloni website
@frankmushendwas37
@frankmushendwas37 2 месяца назад
Nyumba za zao hata mbwa wangu wanakaa kwenye nyumba nzuri heri mbwa wangu wanaakili kuliko hao wajinga
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 месяца назад
Pole dada ni uchungu mwingi,udharilishwaji mkubwa .
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 2 месяца назад
Poleni sana hi mbaya sana
@janemwaipopo
@janemwaipopo 2 месяца назад
Mungu yupo Yote hayo Mungu Anaona Na Mungu Atashughulika Kwa sababu Unyama uliofanyika Mungu hapendi Ipo siku Hawataamini
@PrivaAgust
@PrivaAgust 2 месяца назад
Pole Sana Mama.
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 2 месяца назад
Mama Subiri, Shetani Atawachukua Tu
@HusnaKassi
@HusnaKassi Месяц назад
Daaaaah inaskitisha sana😢😢😢😢
@fredimtaze9982
@fredimtaze9982 2 месяца назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿mi nasema one day mungu atajibu tu
@TeresiaBayo
@TeresiaBayo 2 месяца назад
Poleni sana Dada yangu, viongozi wetu tulionao hawana hata fikra mbadala ni sifuri kabisa akiambiwa kitu kabla ya kuitikia na kutafakari kama ni sahihi na haki kutenda?hiyo tunasema ni buldness Obedience bila kutumia akili ya kuzaliwana bila kujiongeza.
@CleverGalaton-tz
@CleverGalaton-tz 2 месяца назад
Hili tukio halijaashiria amani Wala Uhuru katika Nchi Yetu One Day Yes
@HezroniJonh
@HezroniJonh 2 месяца назад
Mama kweli ww ni kiongozi shupavu
@EdwardElikunda
@EdwardElikunda 2 месяца назад
Freedom for all, peace and love, hajawai kutokea kipindi cha baba wa taifa
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g 2 месяца назад
Tulia alichukua madaraka ya Sugu kwa Nguvu hafai,hao maaskari nao wapigwe shoti mpaka wafe ,askari tunaishi nao ,wala hawajielewi.
@judithkweka8953
@judithkweka8953 2 месяца назад
Yupo Mungu msemaji wa mwisho kwenye hii Nchi tumechoka Mungu sema sasa yatosha
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 месяца назад
😂😂😂 Wanamwambia huyo Baba ni mweusi kama mkaa na wao wenyewe weusiiiiiii jamani.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 месяца назад
Awadh Haji na jopo lake wanastahiri kushitakiwa na Mungu ndiye atatoa hukumu ya haki,Ameni.
@SamweliMtaresi
@SamweliMtaresi 2 месяца назад
Ipo siku Mwenyezi Mungu atanyoosha mkono wake, 😭😭😭😭😭 inatia uchungu sana
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 2 месяца назад
Dah Yani imeniuma sana kwa unyanyasaji huu.
@RashidMohamed-rv2hm
@RashidMohamed-rv2hm 2 месяца назад
hawa sio Polisi majambazi wenye leseni
@VictorBugobola
@VictorBugobola 2 месяца назад
😂😂et majambaz wenye lesen😂😂😂 hahah
@josephmasenga3517
@josephmasenga3517 2 месяца назад
Tulia hujiamini kwa sugu. Yaani Sugu ni tishio kwa tulia.
Далее
Top U.S. & World Headlines - October 23, 2024
13:41
Просмотров 157 тыс.
МЭЙБИ БЭЙБИ - Hit Em Up (DISS)
02:48
Просмотров 336 тыс.
Top U.S. & World Headlines - October 24, 2024
11:55
Просмотров 121 тыс.
Top U.S. & World Headlines - October 22, 2024
11:20
Просмотров 145 тыс.
🅻🅸🆅🅴 :  MBOWE ANAZUNGUMZA  MUDA HUU....
1:22:12