Тёмный
Fauz Production
Fauz Production
Fauz Production
Подписаться
Assalamu aleykum warahmatuallahi wabarakatuh. Hii ni channel yetu itakao kukuletea matukio/Hafla mbali mbali kote nchini.

MAWAIDHA
ADHKAR
RUQYA
HAPA NDIPO TUTAKAPOKULETEA TWAOMBA SUBSCRIBE ILI USIPITWE NA VIDEO MPYA
HUU NDIO USALAFI.
1:11
2 месяца назад
Комментарии
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 11 часов назад
Mimi jana nimemuota Baba yangu mzazi Allah ampe Kauli Thabeet ❤
@VenusMakbel
@VenusMakbel 11 часов назад
HASBUNALLAH WANI'MAL WAKIIL
@Ummubanaat-gd9wp
@Ummubanaat-gd9wp 13 часов назад
Shukran Sheikh kwa ilmu
@LatifaSalumu-o2g
@LatifaSalumu-o2g День назад
Allahuma amiyn
@LatifaSalumu-o2g
@LatifaSalumu-o2g День назад
Allahuma amiyn
@hamisiabeid8613
@hamisiabeid8613 День назад
Kwani me niulize ukiomba Dua baada ya swala unakua umekufuru
@ravascodealmeida4573
@ravascodealmeida4573 День назад
Subhanallah nmemuota bibiangu kipenzi usiku wa kuamkia leo n asubui napatana n video hii...Allah awarehemu maiti zetu🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@SADABEJA
@SADABEJA День назад
Shukran ashshekh.ALLAH atupe mwsho mwema sote inshllah
@samirahmed5891
@samirahmed5891 2 дня назад
I very often dream about my dad many times i can't even count, he passed away back in 2017
@goldenashtv5136
@goldenashtv5136 2 дня назад
Maa shaa Allah Ya Rabb
@aminahassani-jh5rp
@aminahassani-jh5rp 2 дня назад
Kwa mtazamo wangu ndoto nyingi ni za shetani ila hatujui ya mungu zaidi
@mohamedmustafa2656
@mohamedmustafa2656 3 дня назад
Subuhanallah
@AdamAli-mh4bk
@AdamAli-mh4bk 3 дня назад
Maalim tunakuelewa ni hasadi tu za baadhi ya tanganyika
@DonTwaha
@DonTwaha 3 дня назад
Je kama uliwahi kumuota mzazi wako aliefariki kwa mda wa siku moja inaweza kuleta maana
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 3 дня назад
Ameen ductur ww ni salafi wa kweli kabisa tukiacha wale mafezuli wa kijadida wanao kubeza ilmu yako ipo mbali na hawasikii kabisa wanapoteza mda wao bure kutuma rudud zisizo za kiilimu.
@MwanaidKiluwa
@MwanaidKiluwa 3 дня назад
Allahu atupe mwisho mwema inshaallah
@yasirshee3152
@yasirshee3152 4 дня назад
Darsa nzuri sanaa ila mumeikata sanaa wekeni ndefu tuelimike
@FardosaSarmalah
@FardosaSarmalah 4 дня назад
Naomba utuandikie hio dua ya Mtume SAW
@hadiyamohamed594
@hadiyamohamed594 День назад
Allahumma Rabba Jibril wa Maika'il wa Israfil; Fatirus-samawati wal-ard, 'alim al-ghaybi wash-shahadah, anta tahkumu bayna 'ibadika fima kanu fihi yakhtalifun, Allahumma ihdini limakktulifa fihi min al-haqq innaka tahdi man tasha'ila siratin mustaqim
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Allah Akubariki dr wetu, Na allah akukinge na madhara ya mahasid wanapokuhusud ,
@ayoubkhamicmzume7970
@ayoubkhamicmzume7970 4 дня назад
Allah akupe umri wenye heri uzidi kutuzindua na cc tulokua hatuna elimu nasi Allah atupe wasaa na moyo wakuisoma elimu ya kisheria
@ayoubkhamicmzume7970
@ayoubkhamicmzume7970 4 дня назад
Innalillah wainna ilayh rajiun Allah atuhifadhi😢
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 4 дня назад
Allahuma ghafilahu waliwalidaiyya wa arhamahumaa kama rabbayan swighar🤲allahuma ghafil lilmuslimin walmuslimat wal muuminina wal muuminat al ahyaa minhum l amuat birahmatika ya arhama rahimeen.🤲
@SalumKeya
@SalumKeya 5 дней назад
❤❤❤
@abuusuhayl7830
@abuusuhayl7830 5 дней назад
Ambae anajua naweza pata wapi kofia kama Ya Duktur anijuze
@WardaWarda-gi2wn
@WardaWarda-gi2wn 5 дней назад
Masha Allah, Jazakallahul khayr ❤
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 5 дней назад
Nasaha imefika kwa alie na elimu atafahamu na alie ghurika bas atazid kughurika Allah akulipe kheri kwa nasaha zako hizi japo na ww watakuchapa t maana umezungumza ukweli usio pingika
@abuJamal15
@abuJamal15 5 дней назад
Huu ndio mtindo uliopo hizi karne zetu. Swadakta ndugu kwa kuweka hii clip
@SheikhTaymiyyah
@SheikhTaymiyyah 5 дней назад
MASHALLAH IMEFIKA HIYOO
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 5 дней назад
Kwali kabsaa sheikh
@user-ur8ir5qz5z
@user-ur8ir5qz5z 6 дней назад
Sio hivyo. Ndugu zangu ktk imani. Maana ya aya hiyo. Ni baadhi ya nafsi atazilipa malipo yake,baada ya kufa kwake. Kabla ya cku ya kiama. (Waliola) yani walio kufa. Nafsi na roho vitu viwili tofauti.
@AbdiNdayishimiye
@AbdiNdayishimiye 7 дней назад
Shukrani scheikh wetu
@chafimmatuidipogbacatorze5217
@chafimmatuidipogbacatorze5217 7 дней назад
Allah tujaliye mwisho mwema inshallah rabbih lá minnah
@bakarimwangazy9126
@bakarimwangazy9126 7 дней назад
Swadakta shekh wetu Allah akuhifadhi..
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 8 дней назад
Yaraby tunakuomba utupe mwisho mwema utukinge na adhabu za kabri na utukinge na adhabu ya moto utufanyie wepesi kwenye swala zetu inshallah
@MatcoSalo-rf2qj
@MatcoSalo-rf2qj 8 дней назад
Subhaanah Allah Allah atunusuru na atuongoze
@selemankishema5780
@selemankishema5780 9 дней назад
Tatizo wafundishaji tunakuja na misimamo ambayo kwa wasiosoma ni mitihani kwani nikuulize sheikh hana ruhusa mtu kuongeza dua baada ya dua sahihi unayofundishwa ifuate? Mie nafikiri hebu tuwe na utaalam zaidi katika kufundisha matokeo kama hayo yanaweza kusaidia wasioelewa waone hawabaguliwi kwani baadae watafuata haki tu inshallah lakini ikiwa tutafundisha kwa kulazimisha watu misimamamo ambayo inafinywa uelewa zaidi tutakawia saana jamaa
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 9 дней назад
Barakallahu fiyk yaa Shaikh Islam Muhammad
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 9 дней назад
Shekh tunakupenda kwaajili ya Allah daawa yako ni ya salafi wa kweli,Allah akupe moyo wa thabiti ww na sisi, kisha una subra kubwa na ilmu kubwa ulonayo huna kibri kama kina kasimu mafuta hata kwa kiwango chako cha kiilmu na Hekma pia hawakupati kabisa kila siku anaelazimisha umempuuza ni vzr kama watu ndo hurka yao kusema watu kila siku ambao hawana hata tatizo kweli upole wako na Hekma yako nimejuwa ww kweli msomi na yule rais wa majadida mropokaji tuuuh.
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 8 дней назад
Usalafy wa kweli wa kujuzisha kuchukua Elim kwa shetan au! Acha kuwabeza mashekh wengine bila sabab za msingi wakat unajua hata sheikh wako ana madhaifu mengi...!!! Muache Sheikh wetu awe mropokaji ila ndo tunayemuelewa na kuelewa Da'awah yake ya kuwapiga vita watu wa bida'a na sio kuwakumbatia na kujuzisha kuchukua Elim kwao...!!! Sisi Sheikh wako hatumkubal asije akatupoteza!
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 8 дней назад
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x bidaah hazipigwi vita hivyo nyi majadida zindukeni mkaona na wasokubali mienendo yenu muwaite watu wa bidaa wakati vitabu vya wanazuoni havisemi hivyo ,bidaa ni wajibu kukemewa lakini so kwa kila mtu ndo mnamvamia kisa hayupo katika kuunga mkono hilo chama chenu mnawaita watu majahli kumbe ni ndo jahli no 1 kutoelewa maneno ya wanazuoni kuhusu bidaa na watu wa bidaah shk islamu ibn temiya kaeleza vizr kupitia maneno ya shk ahmad bin an mbal kuhusianaa na vikundi vya bidaa kumegawanyika katika sehemu 3 na bidaa za kukufurisha bidaa za ufasiki na bidaa ndogo ndogo na ambao hustahiki kukaa nao kuwasalimia na kuwakata ni hawa wenye bidaa mukafira,bidaa zenye kukufurisha ndo hutakiwi kumsalimia wala kuitikia salamu yake na kumuhama inatakiwa na kumchukia,so mizani haiwi sawa kati ya mwenye bidaa kufru na bidaa ndogo ndogo, tena shkh kaeleza makundi ya watu wa bidaa kufru kataja khawariji,mutazila, jamia na rafidwa kati yao hawa bidaa zao zimewatoa katika uislamu hawi sawa mtu anae omba duwa ya pamoja baada ya swala na mwenye bidaa mukafira, sasa hapa docto islamu kwenye bidaa ipi yupo hapa? Amezusha nini kwenye dini??mpk mumuite hzby mtu wa bidaa huyo kasimu mafuta anasema wenzie ye ni mahasumin? Ana mikosa kibao anakosea nani anamuita mtu wa bidaa acheni kibri na jeuri kuona mmeongoka peke yenu,Allah ndo dini yake man hajji ni alikuja nayo mtume so yenu nanyi mtashtakiwa mbele ya allah kama wengine nani kujitia umekamilika ni dalill ya kibri na kibri ni sifa ya Allah pekee itaqi llah mmemzulumu doctor na mnafata matamanio ya shk lenu na ghuruu
@SalumKeya
@SalumKeya 10 дней назад
Allah akupe subira dr islam shukran kwa darsa nzuri
@SalumKeya
@SalumKeya 10 дней назад
Wallah Allah na mtume wake SAW wanatupenda san tujitahidi kufanya ibada na kumswalia mtume SAW.Shukran Dr islam Kwa darsa nzuri Allah akupe subira uzidi kutuelimisha
@biashamatano5982
@biashamatano5982 10 дней назад
Yaa Hafidh, tunaomba Hifadh yako, ya Wazazi wetu, na vizazi vyetu. Yaa Rabbi.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 10 дней назад
Hata mnazozianzisha??!SUBHANAH LLAH...!!?
@user-yb3qd2ye2h
@user-yb3qd2ye2h 10 дней назад
Alhamdulillah twafaidika sana ila ningeomba kama itakuwa sawa iwe kwa ajili ya Allah nikimaanisha muondowe advertisment kwa hizi darsa shukrani.
@halifasaidi117
@halifasaidi117 11 дней назад
Mwenyezi mungu atujalie hesabu iliyo nyepesi
@anwarsaid2493
@anwarsaid2493 11 дней назад
Amiin
@shakiraissa2517
@shakiraissa2517 12 дней назад
Naomba tafsiri yake ina maanisha nini sababi mm nimeota.
@SaideAhmed-ym8sq
@SaideAhmed-ym8sq 13 дней назад
Twaomba full quran ya sheikh muhammad. Mashallah tabarakallah
@SaideAhmed-ym8sq
@SaideAhmed-ym8sq 13 дней назад
Allahuma barik
@SaideAhmed-ym8sq
@SaideAhmed-ym8sq 13 дней назад
Mashallah tabarakallah. Masjid tudor . I miss this
@SheikhTaymiyyah
@SheikhTaymiyyah 13 дней назад
MASHALLAH
@user-wc3bz4gi1o
@user-wc3bz4gi1o 13 дней назад
🤲🤲🤲🤲