Тёмный
No video :(

MJADALA WA SIKU YA ARAFA UMEISHA BAADA YA KUTOLEWA HOJA NZITO//SHEIKH MSELEM BIN ALI 

Fauz Production
Подписаться 24 тыс.
Просмотров 54 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 306   
@muhidinally3753
@muhidinally3753 2 месяца назад
Sheikh Mselem Ali Allah akuweke tupate faida ya dini ya Allah. You are very eloquent. Hakika hili halina ubishi. Yaani kwa mtazamo wa watu wengine ina maana mwaka mmoja kuna sehemu una siku nyingi na sehemu nyingine una siku chache very impossible. Turejee kwenye Quran miezi 12 imewekwa ili tupate ufahamu wa tareikh, matukio na tuongozwe kwenye ibadat za msimu. Tunakushukuru Sheikh. Allah akupe jazaa
@braqutourssafaris4672
@braqutourssafaris4672 2 месяца назад
Sasa Kwan Saudia anaangilia mwez au wana kalenda yao?tayr Wana ijua idy had ya elfu 2030 kisha halafu kat yenu nyie na wakina ibn baz na ibn taimia Bora ni wap yaan wao Wana sema Kila watu Wana muandamo wao ila nyie Ndio mpinge.
@kombohassan480
@kombohassan480 2 месяца назад
Huyu sheikh ni chemchem ya elimu Allah atuwekee tufaidike na elimu Allah alomjaalia.
@abdulbandari1551
@abdulbandari1551 2 месяца назад
Wanakataa technology na swala wanatumia saa..
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 месяца назад
Huyu sheikh ni genius sio lavel ya mashekh wapenda Dunia ,Basi shekh utakuta mwakani hawa hawa wanaanza kubishana Hilo Hilo tena ,wekeni kwenye vitabu na app maalumu ambazo mtu akiuliza mwambie NENDA karejee kitabu flani au app
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 2 месяца назад
Tofauti ya shehe huy na wengin ni kwamba wengin hawana geography kichwan
@Abdullatifkilupy-tn6ii
@Abdullatifkilupy-tn6ii 2 месяца назад
😂Asante sana. Ni hakika usemalo
@SaidMasoud-cs8kp
@SaidMasoud-cs8kp 2 месяца назад
Shekh mselem kwa hoja ya mwezi hawamuwezi kwa sababu yeye mashallah methodologies 🤲🤲🤲🤲allah amzidishie
@saidsoudamiri4054
@saidsoudamiri4054 2 месяца назад
mambo ya kisheria ni dalili na sio akili yako binafsi. Dunia hatuwezi kuwa na terehe moja hiyo geography ya wapi na level gani? Shekhe kasoma geography level ipi ? University au form four. Acheni kuona watu hawana akili na akili mnazo nyinyi tu. Basi tuseme maswahaba wote walikosea kufunga Arafa na kufunga Ramadhani.
@TuhabarishaneTv
@TuhabarishaneTv 2 месяца назад
Wew unaijua hyo geography au unababaika2 mana geography form one tena mada ya pili2 the solar system ndio inaeleza mambo hayo kapitie na wew
@fatmaZakiya
@fatmaZakiya 2 месяца назад
Allah akupe umri mrefu sheikh uzidi kutuelimisha, amiin
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 2 месяца назад
Amiin yaarabal aalamiin
@chiamamy8167
@chiamamy8167 2 месяца назад
Amiin
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 2 месяца назад
Nimefurahi sana kwa bayana yako sheikh kuhusu siku ya arafa
@khamismussa6258
@khamismussa6258 2 месяца назад
Masha Allah, ipo haja masheikh wasome elimu za kidunia pia
@SaidshariffShariff
@SaidshariffShariff 2 месяца назад
Masha-Allah ndugu zangu tuketi chini tusome zaidi. Shukran sheikh Msellem
@Allyrumhy-ji2vo
@Allyrumhy-ji2vo 2 месяца назад
اللهم علمنا ما لا نفهم،،وفهمنا ما علمتنا،،،بارك الله فيك.
@user-ih5vr6lf3f
@user-ih5vr6lf3f 2 месяца назад
JAZAAKALLAH KHEIR SHEIKH ……clear and concise
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 2 месяца назад
Shekhe mselem fundi ALLAH akuhifadhi
@anwarabdallah7095
@anwarabdallah7095 2 месяца назад
MashaAllah shk mselem uko vizuri.
@abdulhamidisiraja4930
@abdulhamidisiraja4930 Месяц назад
Mashaallah, shukran shekh msselem allah akulipe
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 2 месяца назад
Sheikh wewe unajitahidi kuweka sawa, lakini wengine wanafanya fitina kuufitini ukweli. Allah akuzidishie u fasaha.
@user-sj5zj8nc2y
@user-sj5zj8nc2y 2 месяца назад
ما شاء الله تبارك الرحمن رب يحفظك يا شيخنا ويطيل عمرك في طاعته ويرزقك حسن الختام
@mwajumaabdallah1087
@mwajumaabdallah1087 2 месяца назад
Nampenda sana kwaajil ya Allah hyu shekh jmn,nataman angekuw ht mjomba wangu
@Aamadu-vc2vv
@Aamadu-vc2vv Месяц назад
Maashaa Allah inapendeza sana Allah akufanyie wepes ktk kueneza ukwell katika dini yetu
@ZamilHussein
@ZamilHussein 2 месяца назад
Mashaallah Jazaakaallahu khayr. Allah akhfadhi Shekhe wetu tunakupenda sana KwA ajili ya Allah
@riyadhalamukenya9557
@riyadhalamukenya9557 2 месяца назад
( ذَٰلِكَ فَضْلُ اللَّهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَاللَّهُ ذُو الْفَضْلِ الْعَظِيمِ ) الجمعة (4) Al-Jumu'a Hiyo ni fadhila ya Mwenyezi Mungu anayo mpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kubwa.
@ismailfarah3463
@ismailfarah3463 2 месяца назад
MashaAllah Tabarakalah barakalafikum!!!
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 2 месяца назад
Baarakallaahu Fykum.. 🎉🎉🎉
@KhalfanJuma-lm4je
@KhalfanJuma-lm4je 2 месяца назад
Allah akubarik shekh mselem nadhani asofahamu kapata faida
@TalibKombo
@TalibKombo Месяц назад
Allwah akupe maisha marefu tuzidi kufaifika inshaallwah
@salummbarouk4216
@salummbarouk4216 2 месяца назад
Mashallah waliokuteuwa kuwa bingwa wa tafsiri qur an Africa mashariki walipatia mashallah Allah akuhifadhi
@SARAHKATAGIRA
@SARAHKATAGIRA 2 месяца назад
Shekhe uko vzr sn Allah akulipe usiwe kama amir Farid au shekhe faridi anatpotsha
@user-un2je2uc9j
@user-un2je2uc9j 2 месяца назад
Jambo la kuhuzunisha zaidi ,ni kwamba kuna mtu atasikiliza haya na bado atapinga. Allah atuongoze insha-allah sote.
@AhmedSaid-hg5uj
@AhmedSaid-hg5uj 2 месяца назад
Allahu Akbar allahu Akbar allahu Akbar
@abdisalim7900
@abdisalim7900 2 месяца назад
Sote hatuwezi kuwa wahanga wa Saudia,ambao mmeshaamua hvyo endeleeni kufuata mkondo
@user-jp8lf7dy5z
@user-jp8lf7dy5z 2 месяца назад
Weye muhanga wawapi? mn ndounafahamishwa ila ndohayo una yako tu basi ila uelewa ndohuo
@user-ic2cb9gm2j
@user-ic2cb9gm2j 2 месяца назад
Allah akuzidishie umri uzidi kutuelimishaa jazzakallahu kheri
@takdirmahmoud
@takdirmahmoud 2 месяца назад
Mashallah,, Sheikh Msselem mm nakuelewa sanaaa,, uko fasaha sana,, Allah akuzidishie kheir
@OmarSaid-nt2xd
@OmarSaid-nt2xd 2 месяца назад
Mwenye masikio nasikiee
@FahmiAl-mauly
@FahmiAl-mauly Месяц назад
Allah ampe umri mrefu tupate faida zaidi inshaAllh
@SelemaneArabeArabe-wd8fb
@SelemaneArabeArabe-wd8fb 2 месяца назад
Asipo mwelewa check nselemo ntu uyo ni kiziwi.
@khairatkheir7776
@khairatkheir7776 2 месяца назад
Jazzakallah kheir sheikh
@allyabubakari5940
@allyabubakari5940 2 месяца назад
Masha allah sheikh allah akuifadhi
@mustymasoud5214
@mustymasoud5214 2 месяца назад
Apo kwenye Lailatul qadir.. maelzo yake. Kma hujaelew bas huez elew tena. Allah akubark sheikh wetu.
@user-un2je2uc9j
@user-un2je2uc9j 2 месяца назад
Nimefurahi sana , bayana itaendelea kuwepo kwasababu Allah anayaona yote haya. Masha-allah
@ramadhanichampunga9304
@ramadhanichampunga9304 2 месяца назад
Lailatul-qadr haiwezi kutumwa tofauti ,kwa hoja ya mfano huu aliotoa , lailatul-qadr ni siri ya Allah kama ikitokea kwa tareh 23 basi wengine itakuwa tareh 22 na wengine tareh 21,
@AliChwaya
@AliChwaya 2 месяца назад
Mimi na kalendar ya dunia iliyoandaliwa mpaka mwisho wa dunia ilhal hatujafika tena bas umeniokoa sana sheikh mselem
@husseintaib2307
@husseintaib2307 2 месяца назад
Uniformity si hoja hapa. Inakuwaje killa mwaka mwezi unaonekana Saudia pekee, na sisi huku nchi zote Afrika ya Mashariki tunashindwa kuuona. Mtume SAW angekuwepo, tusingepata mgawanyo huu, kwa sababu tungelikua tukifuata Muandamo wa uhakika sio bandia.
@mwaminihassanhassan922
@mwaminihassanhassan922 Месяц назад
Mgawanyo ulikua tangia enzi za mtume s.a.w na nisehemu ya kujifunza
@user-vc3fo8el1h
@user-vc3fo8el1h 2 месяца назад
Mjadala haujamaliza na wala haumalizi, jambo la kuzingatia ni kufuata haki na ndipo unapopatikana ujira kutoka kwa ALLAAH. Tunamuomaba Allaah atuongoze katika haki anyoiridhia.
@KhayratMansour
@KhayratMansour 2 месяца назад
Maashaa Allaah, mwenye moyo wa ufahamu na afahamu .
@user-ug8hc4yh5k
@user-ug8hc4yh5k 2 месяца назад
Shukran sana sheikh wetu
@ABDULLATIFHAJIALI
@ABDULLATIFHAJIALI 2 месяца назад
maashaallah mungu akuhifadhi ila tuelimiahe kidini zaidii
@abdulazizshadau8082
@abdulazizshadau8082 2 месяца назад
Mashallah
@allyjuma9669
@allyjuma9669 2 месяца назад
Mashaallah
@ZamilHussein
@ZamilHussein 2 месяца назад
Mashaallah Jazaakaallahu khayr
@hassani-dj3pt
@hassani-dj3pt 2 месяца назад
Mashaallah sheikh wetu mselem Allah akuhifadhi
@KhamisJuma-mu4rm
@KhamisJuma-mu4rm 2 месяца назад
Nlikua nawafuata mashekhe wa kisufi kwenye hizi funga lakini tutakomana hapa inshaa a llah
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 2 месяца назад
Soma kwanza ndo muhimu sio kufuatafuata tu
@MaulidFadhil-qi2dh
@MaulidFadhil-qi2dh 2 месяца назад
dah! sijui km umenielewa vizuri? bin alliy uko sawa allah akuhifadhi maalim
@muhammadiabassi656
@muhammadiabassi656 2 месяца назад
ماشاء الله انت تمام الله يبارك فيك
@munirajuma1270
@munirajuma1270 2 месяца назад
Sina la kusema zaidi. Allah akulipe Kila la kheri
@JumaHamad-pe7he
@JumaHamad-pe7he 2 месяца назад
MaashaaAllah
@AthumanFamau
@AthumanFamau 2 месяца назад
Allah atuifadhi sherk Kwa elmu unayoitoa mashaallah
@allymusira2153
@allymusira2153 2 месяца назад
Allah akulipe kila la kheri sheikh msellem ally
@Mohamed-oo8qj
@Mohamed-oo8qj 2 месяца назад
Mashallah allha azid kukuweka nawat waeukimike
@MrJuma-in5io
@MrJuma-in5io 2 месяца назад
MashaAllah
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r 2 месяца назад
Baaraka llahu fik
@OthmanJuma-nw5km
@OthmanJuma-nw5km 2 месяца назад
Allaah akuzidishie kheri
@binseif2216
@binseif2216 2 месяца назад
Shida mawahaby mpka saudia awatangazie lkn ukionekana kenya au uganda hawawezi kufunga wala kula eid mpka wawasikie wa saudia
@lmdos4382
@lmdos4382 Месяц назад
ndipo hoja yako ilipioshia hapa?
@user-ox2iu7rm7e
@user-ox2iu7rm7e 2 месяца назад
Asalam alaikum shehk nakupenda kwa ajili tá alha na nakuelewa sana unapi tafsir kitabu sua alha wewe ni nfassa
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 месяца назад
Allah akupe afya na na aendelee kukupa msimamo
@allykhalfan9513
@allykhalfan9513 2 месяца назад
شكرً يا شيخ ومعلمنا بفتوى المتميز برك الله فيك
@user-wk5ju8kd3u
@user-wk5ju8kd3u 2 месяца назад
Masha Allah
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui 2 месяца назад
Huijui Dunia vizuli shekhe Allah akuongezee ufahamu
@SaeedMohammad-sw7jq
@SaeedMohammad-sw7jq 2 месяца назад
Tuelezee wewe sheikh
@SaidMasoud-cs8kp
@SaidMasoud-cs8kp 2 месяца назад
Mtu methodology alafu unasema hajuwi dunia unawenge ya ni huyu nishekhe alafu methodology alafu unasmea hajuwi dunia 😂😂😂😂
@user-un2je2uc9j
@user-un2je2uc9j 2 месяца назад
Geography haidanganyi rejelea kwa Qur'an
@yasinsuleiman2402
@yasinsuleiman2402 2 месяца назад
Allah akujaze kheri nyingi sana
@masoud7486
@masoud7486 2 месяца назад
Mimi na swali je uislam una myaka 1445 je katika myaka 1000 wakislamu walijuwa vipi kama ni arafa . Ao eid kwa wale hawa kuwepo makkah
@seifabdi9248
@seifabdi9248 2 месяца назад
Na Mimi ni swali, mwaka 1000 uliopita waislamu walikuwa Wanapanda kwenye minara wakiadhini na sasa mnatumia speaker 🔊 ni mini imebadilika? Miaka 1000 usafiri kwenda Makaa ulikuwa mnatumia ngamia kwa mamiezi kufika na miaka 1000 baadaye unasafiri pia kwa kutumia ndege ✈️mini imebadilika. Saa hizi miaka 1000 baadaye mawasiliano iko mkononi mwako kokote dunia I ukitaka kuona na kujua habari yoyote unaipata kupitia simu 📱 yako kwa sekundi chache, je unaweza kulinganisha na miaka 1000 uliopita? Uislamu inafungamana na mwendo na wakati uliopo. Na vipi Mambo yatakavyo kuwapo miaka 1000 ijayo wakati Mimi na wewe hatutakuwapo duniani?
@yahfatmudswiddiq2271
@yahfatmudswiddiq2271 2 месяца назад
shekh shekh shekh baarakalhahu fyika
@HalimaFarahnuru-nj1ei
@HalimaFarahnuru-nj1ei 2 месяца назад
Huyu shekhe yupo vizuri sana waislam tunakwama wapi kwa nini tusifuate tarehe za kiislam
@shahamzanda5857
@shahamzanda5857 2 месяца назад
Shida ni bado hatujaulewa usuhuba baina ya Allah na Mtume wake. yaani sisi hujitia umma wa Rasulullah s.a.w kwa muonekano tu ila hatumtaki Mtume wa Allah. mambo yako wazi tunajadiliana kila mwaka, watu hawaswali, wake zetu, watoto wetu, mama zetu, baba zetu, dada na kaka zetu marafiki zetu kibao hawaswali sisi tunajadili kile tunachokijua kila mwaka.
@abdulbandari1551
@abdulbandari1551 2 месяца назад
New year for example
@MvuoniJuma
@MvuoniJuma 2 месяца назад
Nashukuru shehe kwa taaluma hiyo masshhallh
@habiybothman3286
@habiybothman3286 2 месяца назад
Sijamuelewa bhdo kwa maana tarehe ya uislam inabadilika baada ya maghrib je hapo pakoje kwa Dunia kufata tarehe moja
@jamilabadru8087
@jamilabadru8087 2 месяца назад
Mashaalh
@suleimanali6939
@suleimanali6939 2 месяца назад
SASA SHEKH MSELEM TAREHE ZA KIKAFIRI WANAFUATA KALEDA
@HusseinPaula
@HusseinPaula 2 месяца назад
Ushahidi wa kalenda upo maana tarehe ya idi na arafa ili tangazwa hata kabla ya muandamo wa dhulhijjah
@IssaJuma-rk5qb
@IssaJuma-rk5qb 2 месяца назад
Mungu ampe maisha marefu
@muhammadiabassi656
@muhammadiabassi656 2 месяца назад
حفظك الله ورعاك
@elallymoussa2980
@elallymoussa2980 2 месяца назад
Mpk sasa mwaka 2024 mtu kama hajaelewa masuala Haya sifkirii km ataelewa tena zaidi ya kubishana tu . Ahsante sheikh msellem kwa Elimu ya ziada najua yashaelezwa Haya ila wafuasi ni kawaida kuyaanzisha upya na kuona mijadala inaendelea.
@latifahali8228
@latifahali8228 2 месяца назад
Masha Allah sheikh umesema ukweli
@MawazoPembe
@MawazoPembe 2 месяца назад
Mwenyezimungu akuifadhi sheee
@user-qe5ky6kp1c
@user-qe5ky6kp1c 2 месяца назад
Allah AKULIPE KILA LA KHEIR
@HassanVuai-zz4ew
@HassanVuai-zz4ew 2 месяца назад
Kuna jambo huyu Sheikh akafanye utafiti zaidi. Pamoja na kwamba kagusa kidogo kuhusu "Matwalii' lakini bado hajafahamu vizuri. Pamoja na kwamba sisi na Saudia tupo katika" time zone" lakini matwalii' tofauti. Sisi tunapokuwa ni msimu wa joto kali (kiangazi), wao wanakuwa katika baridi kali (kipupwe). Ili uelewe somo hili kwa vizuri itakubidi ujuwe tabia (characteristic) za masaa ya mchana na usiku katika miongo hii miwili. Hili ndio jambo hata hao mashekhe linawashinda kulifafanua kwa uwazi.
@AsiaMariam-tk8lk
@AsiaMariam-tk8lk 2 месяца назад
Mashallah upo vizury sana
@salummbarouk4216
@salummbarouk4216 2 месяца назад
Kabisa hii chemchem Allah amuifadhi
@RamadhanRamadhan-cx3tj
@RamadhanRamadhan-cx3tj 2 месяца назад
Allah bless Mselem
@ibrahimirakoze86
@ibrahimirakoze86 2 месяца назад
Kwa kweli majibu yak sheikh yanaelewek saaana Allah atuelimishe pale ambapo tutakapoanguka
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j 2 месяца назад
Allah akbar
@latifahali8228
@latifahali8228 2 месяца назад
Bora umesema mana siku zote hao nasheik wetu lzm wawe na eid yao. Saiv dunia kila mtu anakuwa mjuwaji na kupotesha watu tu
@kassimkassu8802
@kassimkassu8802 2 месяца назад
Mimi nahisi hili jambo halihitaji kuzozana shekh mbarouk awesu amelitolea ufafanuzi na ushahid wa kutosha wa hadithi mbalimbali Pia ni vyema kila mmoja amuheshimu mwenziwe katika swala la arafa Mwisho kabisa Allah yeye ndo mjuzi zaid,wala Allah hahitaji chochote kwa viumbe wake,kwahio mambo ya kubaguana na kugombana hayana mana kwa sasa.
@AbdallaJabal-jj1sm
@AbdallaJabal-jj1sm 2 месяца назад
Sawa shekhe nisawa kabisa but suudia hawaaminiki mara nyingi Wana fwata mpangilio wa serikali yao hata kama mwezi hakuonekana, hadaa zimekuwa nyingi, hiyo ndio shida
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 2 месяца назад
Kwhyo saudia inaongozwa kikafiri
@selemanidihanuka2903
@selemanidihanuka2903 2 месяца назад
Serikali ya nchi yako haikupangii wewe dini yako
@lmdos4382
@lmdos4382 Месяц назад
kwahiyo inayoaminika serikali ya CCM?
@fadhilyassin5772
@fadhilyassin5772 2 месяца назад
Allah akuhifadhi sheikh yaan umeongea fact na ina make sence kabisaaa
@Abuurayyan-rg2lj
@Abuurayyan-rg2lj 2 месяца назад
Allah amuongoze katika haki
@saidkhatib9146
@saidkhatib9146 2 месяца назад
Allah akulipe ujumbe umefika
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 2 месяца назад
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 2 месяца назад
Kwanye swala la calendar sheikh huku tunafata calendar kwali maana ivi nakwambia hadi ramadhani ya kwaka kesho tayari ipo na skukuu yake.na huku ndio maana hawawez wengine kula wengine kufunga hio ni sawa na huko ikiwa mishahara yote itatolewa trh 28 basi wote watapokea siku sawa kutokana na calendar yao.
@khamiisathmaan4362
@khamiisathmaan4362 2 месяца назад
We muislam wataka ufatilie mwezi sio kufuata calendar kwani huyo alieweka calendar alishauriana na Mungu kuwa miezi yote itafuata calendar sawa hapo ndo muislamu anakosa kujifahamu
@MuhammadAbdalla-pq1bz
@MuhammadAbdalla-pq1bz 2 месяца назад
mashallah maneno mazuri lkn....pia kuna hadith ya qurayb.,.هكذا أمرنا رسول الله ...hiyo nayo tutaiweka wapi twaomba faida zaidi
@iddihamisiharuna8261
@iddihamisiharuna8261 2 месяца назад
TANZANIA BAKWATA WAMESHAWEKEWA KALENDA KUA CKUKUKUU YA EID EL ADHA NI TAREHE 17 JUNE ( WALIWEKEWA TANGU MWAKA UNAANZA) JUMATATU, HADI CKUKUKUU ZA MWAKA KESHO TAYARI ZIPO, INGIA MWENYE KALENDA ANGALIA UTAONA. ALLAH ATUONGOZE
@binseif2216
@binseif2216 2 месяца назад
MBONA OMAN NA nchi zingne trh 17???
@MshamHemed
@MshamHemed 2 месяца назад
maashaAllah
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 2 месяца назад
Shekhe kwani hija mtume alifaradhishiwa mwaka gani na je kabla ya hija mtume alikua hafungi swaum ya arafa na je kma alikua afunga alikua atumia kigezo gani?
@KombHaji-dr5pd
@KombHaji-dr5pd 2 месяца назад
mashekhe hawa niwaongo san hawana uadilif kwaza wambieni watu kuwa saudia hutangaza mwezi kwa mujibu wa kalenda wanayo iyita wenyewe um qura hili hawalisemi nikinyume na sun za Mtume muhammad s.a.w manraiba bisunati fahuwa mini
@mwaminihassanhassan922
@mwaminihassanhassan922 Месяц назад
Elewa kwanza
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 месяца назад
Mashekhe kazi kufuga madevu hamjui muongelee nini na kwawakatigani kadhia Gaza ndo namba moja sasa unaongelea ubishani wa Arafa kila mwaka tushazoea waislamu tuna uelewa na mambo ya mwe'i
@ghostreaper9486
@ghostreaper9486 2 месяца назад
Endeleza tu Uwahhabi kwa Kondoo majahala wala usijali
Далее
SHEKH: MSELEM BIN ALY MAISHA YA MOTONI
18:06
Просмотров 35 тыс.
FAIDA YA KUTAWADHA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
14:16
Просмотров 16 тыс.