Binafsi nimefurahishwa sana na mipango ya mashindano hayo, ila pia mjitahidi next time uwanja(running tracks) umwagiwe maji kupunguza vumbi kuepusha ajali na hofu kwa kutoonana
Ila makonda mungu amueke ila jamani natamani nimuone mueshimiwa makonda nimshike mkono tuuu naomba sijawahi kupenda viongozi hapa Tanzania kama magufuli na makonda mungu ajalie nionane nae