Тёмный

MZEE ALIE BANDIKA PICHA YA RC MAKONDA KWENYE GARI LAKE - AMUOMBA AENDELEE KUPIGA VIONGOZI SPANA 

kiswahili Tv
Подписаться 94 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@johnmajondokitulla
@johnmajondokitulla 2 месяца назад
Makonda ❤❤❤chapa KAZI kaka
@kassimmhina6892
@kassimmhina6892 2 месяца назад
Mungu aendelee kumpa ufahamu ufahamu(uncle Almas umenena kweli)
@mercyzakariah
@mercyzakariah 2 месяца назад
Jembe letu rais ajae makonda anatosha kua rais ajae makonda oeeee Samia oeeeeee
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 2 месяца назад
Awe waziri hv ndo vizuri ili asaidie wengi
@veronicamalomele7494
@veronicamalomele7494 2 месяца назад
Mwacheni, aitengeneze ARUSHA. Na kutengeneza mahali kama ARUSHA sio miezi kadhaa,anahitaji mda mrefu kuiweka mahali pake. Mama yetu aliangalie jambo hilo kwa jicho latatu, maana hakuna mtu aliye wahi kusubutu, lakini yeye ameamua kuhatarisha maisha yake. Na ana lugha ya kueleweka kwa Wananchi.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 месяца назад
Well done baba achana na HAKI ZA WACHUMIA TUMBO
@SteveAriba
@SteveAriba 2 месяца назад
Umeongea ukwl waoga dili ndiyo wanammaindi big gap
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 2 месяца назад
Rais Samia mrudishe makonda Dar bana
@josephwilliam4727
@josephwilliam4727 2 месяца назад
Safi sana
@aguumoppao15
@aguumoppao15 2 месяца назад
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@AlmasOmary-k6m
@AlmasOmary-k6m 2 месяца назад
Katiba.tulio.nayo.unaifahamu.au.unaongea.waulize.wakenya
@SteveAriba
@SteveAriba 2 месяца назад
Katiba mpya ndiyo mm tunataka wachapa Kaz kama Paulo Makonda hata mm namkubali sana piga k
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 2 месяца назад
Ustadh Alimas
@obaidothmanalbulushi9196
@obaidothmanalbulushi9196 2 месяца назад
Je? katiba hii unaifahamu au ndiyo umbulula tu
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 2 месяца назад
MAKONDA YUKO WAPI
@deohank5995
@deohank5995 2 месяца назад
Ikimpendeza Mungu Makonda toa tamko tupate KATIBA mpya hapo ndipo utkapofanikiwa kuiona Tanganyika na Tanzania unayoitamani wewe
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 2 месяца назад
Mimi nimebandika chumbani kwangu
@khamisomarkhamis
@khamisomarkhamis 2 месяца назад
god
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 месяца назад
❤❤❤😅
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 2 месяца назад
Kama vilee ni chawa mkongwe
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 2 месяца назад
mweeeeeee wee babu hata ce TANGA tunamtaka makonda..sasa mbona wasema aache ARUSHA mpaka astaafu jmn na.ce tunamtaka
@bilid4128
@bilid4128 2 месяца назад
Nyelele ?
@Nick16697
@Nick16697 2 месяца назад
Nyelele ndio nn?
@japhetringo7688
@japhetringo7688 2 месяца назад
We chawaaaa tu kama una la msinqi onqelea katiba mpya
Далее