Тёмный
Sibuka Gospel Hits
Sibuka Gospel Hits
Sibuka Gospel Hits
Подписаться
Gospel Hits-Jessica Bm
0:26
10 лет назад
Zilizotamba
9:00
10 лет назад
PROMO  GHITS APRIL 3 2014
3:01
10 лет назад
Комментарии
@rosekilawe786
@rosekilawe786 4 дня назад
Mungu akuonye Mtumishi hakuna baya litasimama kwako Mungu ana😮 macho tofauti na haya yakwetu ameniponya na mtoto wangu akuponye Ameeeen.
@izhyoomwakisambwe759
@izhyoomwakisambwe759 23 дня назад
Pole sana maama yangu kwa ajali MUNGU akuponye mana anaweza ponya bila ata sindano ya kudunga dactar mkuu akuponye maama
@lucynyambu9392
@lucynyambu9392 24 дня назад
Pole sana dadangu may God protect you
@Bisanswashabani
@Bisanswashabani 27 дней назад
Pôle Sana mutu wa Mungu
@CharlineNamegabe
@CharlineNamegabe 28 дней назад
Pole sana maman
@user-zk6kl3rw5m
@user-zk6kl3rw5m 29 дней назад
Pole sana
@LightnessMtaita
@LightnessMtaita Месяц назад
Polemtumishi utapona kwa jina la yesu
@OSCARJaz-xh6nb
@OSCARJaz-xh6nb Месяц назад
🎉🎉hawakuwezi tuko nyuma yako dada zaidi Mimi Oscar jazz.toka congo🎉🎉🎉
@DeboraMsigala
@DeboraMsigala Месяц назад
Pole sana Mtumishi wa Mungu!Huwa nabarikiwa sana kwanyimbo zako!umeshinda!
@andreamndeme1539
@andreamndeme1539 Месяц назад
NAOMBA NAMBA ZAKOO PLZ
@dnnikeza2563
@dnnikeza2563 Месяц назад
Pôle sana dada mungu azidi kukulinnda tunakupenda
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 Месяц назад
Mungu akuponye ndugu yangu pole sana
@GidionSilwimba-vp5qg
@GidionSilwimba-vp5qg Месяц назад
Bronaomba namba zako
@kanumbididier-pr7sz
@kanumbididier-pr7sz 2 месяца назад
Que dieu te protège maman
@Yonamwashitete
@Yonamwashitete 2 месяца назад
Bola umenifungua moyo
@Yonamwashitete
@Yonamwashitete 2 месяца назад
Tunakutegemea
@ELIZAMSOLO
@ELIZAMSOLO 2 месяца назад
Pole dadayetu MUNGU akupe maisha marefu tunakuhitaji saaaana wanaokunenea mabaya habari ziwafikie kuwa hauna mkataba na mauti kwasasa
@lucymarawa864
@lucymarawa864 3 месяца назад
Mungu akutunze naakuvushe ili uwashangeze waulimwengu nauwe mfano duniani
@salomeihilika497
@salomeihilika497 3 месяца назад
Pole sana mtumishi wa BWANA
@marcelineKabamba
@marcelineKabamba 3 месяца назад
Bahati bukuku mungu akusaidiye sasa😢😢😢
@SliviaNamataka
@SliviaNamataka 3 месяца назад
Pale sana sukuru mugu wako kuzuia life Yako thank God sana .
@user-zr8ow8cp6b
@user-zr8ow8cp6b 3 месяца назад
Mungu aendelee kukupigania nakupenda ssana!
@bahatimbilinyi7871
@bahatimbilinyi7871 4 месяца назад
Mungu azidi kukuponya🙏🙏🙏
@joyceagota9615
@joyceagota9615 4 месяца назад
🙆🙆🙆Pole sana Mum,poleni, quick recover
@RafaelMollel
@RafaelMollel 4 месяца назад
Mungu ako na Jambo na wew mama mungu akulinde na tunaamini utapona Kwa damu ya yesu ❤❤❤❤❤
@ElizabethNdunguru-cn4rm
@ElizabethNdunguru-cn4rm 4 месяца назад
Duuuh pole sana mungu akutue nguvu
@msafirimfyagichi5942
@msafirimfyagichi5942 4 месяца назад
Pole
@NoelaImani-pw9uw
@NoelaImani-pw9uw 4 месяца назад
Pôle Sana dada letu bahati mungu wa mbinguni sio ndogo atakupognesha ndani ya umivuu na atakupognesha
@user-ti3fm4pe6w
@user-ti3fm4pe6w 4 месяца назад
Asante Mungu kwaku tucungiya muimbaji weyu mkubwa mu Afrique bahati Bukuku Mungu aendele kuku cunga kabisa sana
@AnnCharles-mq9xl
@AnnCharles-mq9xl 3 месяца назад
😍😪✊🌟✊😘🙏🙏👌 🥳12:32 😘❤️❤️
@DidierIlunga-df7ej
@DidierIlunga-df7ej 4 месяца назад
Basi mungu ashukuriwe kabisa kwa kumisikiya tena muibadji muzuri 'upona katoka adjari kubwa tuna muobeya kabisa mungu akujunge Pia akupone
@JamesLupokela
@JamesLupokela 3 месяца назад
Mungu atakuponya
@yusteraureus8803
@yusteraureus8803 4 месяца назад
Pole sana mtumishi wa mungu mpendwa wangu mungu akuponye
@user-kp1xi8xi2e
@user-kp1xi8xi2e 4 месяца назад
Pole sana dada yangu bokuku chakwasa inatakiwa tumwogope sana mungu wa mbinguni
@rizikisilau9501
@rizikisilau9501 4 месяца назад
Mungu akuponye
@happynesspaul-sk6mg
@happynesspaul-sk6mg 4 месяца назад
Pole Sana dada angu mungu akutie nguvu upone uludi kwenyealiyako ya kawaida mungu nimwema utapona 8:16
@jacksonbasenile-nu8bf
@jacksonbasenile-nu8bf 4 месяца назад
Pole Sana mungu mwema
@estermalembwamalembwa1936
@estermalembwamalembwa1936 4 месяца назад
Pole sana mtumishi wa mungu kwa hiyo ajali uliopata mungu atakusaidia hicho ni kipimo Cha Imani Yako tu usiwe nawasiwasi
@user-ii9qx9ii5p
@user-ii9qx9ii5p 4 месяца назад
Mungu wetu ni mungu wa neema pole mama yangu bahati kipenzi changu mungu amekupigania Kwa mengi ivyo yupo pamoja na wewe uchawi autakaa mikononi mwako wala mwilini mwako Mika 5:12
@PriscaShilunga
@PriscaShilunga 4 месяца назад
Pole Sana dada Nina imani mungu atakutia nguvu
@user-bh2bx3kk4u
@user-bh2bx3kk4u 4 месяца назад
Pole.mwanamke.mwenzangu
@OmbaMwanauti
@OmbaMwanauti 4 месяца назад
Musani wetu pole sana
@niyiesther6571
@niyiesther6571 4 месяца назад
Ameeen. Pole saana mama BAHATI BUKUKU
@NASIMIYU-mamacounty
@NASIMIYU-mamacounty 4 месяца назад
Nauliza ako ama asha aga nimeona kwa mitandao wakisema anazikwa kesho nikweli
@user-kk5uh7by3v
@user-kk5uh7by3v 4 месяца назад
Mungu ni mwema kila wakati mungu anaendelea kukupigania akuzidishie maisha marefu mama
@user-wu5xn9tm7p
@user-wu5xn9tm7p 4 месяца назад
Pole mama. Mungu ni mwema wakati wote. Shetani. Kapigwa na kafezeshwa tuzidi kumuomba mungu maana yeye ndie mtetezi wetu
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 4 месяца назад
Mwanangu akupe hekima busara we ni shindi sugar wa yesu nakupenda sana mwanangu pia nashukuru Mungu kwa uzima unao leo kusikia ukiwa hai ubarikiwe naishi marekani Mungu awe nawe mwanangu
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 4 месяца назад
Pole mwanangu Mungu akusaidie akupe nguvu na siku nyingi duniani
@OzonMwangosi
@OzonMwangosi 4 месяца назад
Mungu ni mwema siku zote dada bahat pole sana dadangu mungu amekupigania upo Salam jina lake libarikiwe sana
@KyunguFidel
@KyunguFidel 4 месяца назад
Mama pole sana
@KyunguFidel
@KyunguFidel 4 месяца назад
Pole sana mama yangu
@user-ok9qg1gm8k
@user-ok9qg1gm8k 4 месяца назад
Huyu mungu unae mtumikia hawezi kuaibisha mamaangu lazima madui wakae kimyia
@johnkasuga3290
@johnkasuga3290 4 месяца назад
Pole Sana Bahati Bukuku kwa ajali hiyo,Mungu atakuponya,,!!!