Тёмный

Sibuka Gospel Hits-Bahati Bukuku(Ajali) 

Sibuka Gospel Hits
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 892 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 авг 2014

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 526   
@ELIZAMSOLO
@ELIZAMSOLO Месяц назад
Pole dadayetu MUNGU akupe maisha marefu tunakuhitaji saaaana wanaokunenea mabaya habari ziwafikie kuwa hauna mkataba na mauti kwasasa
@DeboraMsigala
@DeboraMsigala 18 дней назад
Pole sana Mtumishi wa Mungu!Huwa nabarikiwa sana kwanyimbo zako!umeshinda!
@OSCARJaz-xh6nb
@OSCARJaz-xh6nb 16 дней назад
🎉🎉hawakuwezi tuko nyuma yako dada zaidi Mimi Oscar jazz.toka congo🎉🎉🎉
@RafaelMollel
@RafaelMollel 3 месяца назад
Mungu ako na Jambo na wew mama mungu akulinde na tunaamini utapona Kwa damu ya yesu ❤❤❤❤❤
@user-ti3fm4pe6w
@user-ti3fm4pe6w 3 месяца назад
Asante Mungu kwaku tucungiya muimbaji weyu mkubwa mu Afrique bahati Bukuku Mungu aendele kuku cunga kabisa sana
@AnnCharles-mq9xl
@AnnCharles-mq9xl 2 месяца назад
😍😪✊🌟✊😘🙏🙏👌 🥳12:32 😘❤️❤️
@user-kk5uh7by3v
@user-kk5uh7by3v 3 месяца назад
Mungu ni mwema kila wakati mungu anaendelea kukupigania akuzidishie maisha marefu mama
@OzonMwangosi
@OzonMwangosi 3 месяца назад
Mungu ni mwema siku zote dada bahat pole sana dadangu mungu amekupigania upo Salam jina lake libarikiwe sana
@niyiesther6571
@niyiesther6571 3 месяца назад
Ameeen. Pole saana mama BAHATI BUKUKU
@user-wu5xn9tm7p
@user-wu5xn9tm7p 3 месяца назад
Pole mama. Mungu ni mwema wakati wote. Shetani. Kapigwa na kafezeshwa tuzidi kumuomba mungu maana yeye ndie mtetezi wetu
@user-zr8ow8cp6b
@user-zr8ow8cp6b 2 месяца назад
Mungu aendelee kukupigania nakupenda ssana!
@LightnessMtaita
@LightnessMtaita 2 дня назад
Polemtumishi utapona kwa jina la yesu
@salomeihilika497
@salomeihilika497 2 месяца назад
Pole sana mtumishi wa BWANA
@madeleinebasabakye5708
@madeleinebasabakye5708 Год назад
Pôle mama mupendwaaaaaa. MUNGU wetu akulinde
@dnnikeza2563
@dnnikeza2563 23 дня назад
Pôle sana dada mungu azidi kukulinnda tunakupenda
@SliviaNamataka
@SliviaNamataka 2 месяца назад
Pale sana sukuru mugu wako kuzuia life Yako thank God sana .
@bahatimbilinyi7871
@bahatimbilinyi7871 3 месяца назад
Mungu azidi kukuponya🙏🙏🙏
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 25 дней назад
Mungu akuponye ndugu yangu pole sana
@rachelkihaka6720
@rachelkihaka6720 5 лет назад
Pole sana dada angu Mungu ni mwema sana hadi hapo ulipofika ni Kwa neema tu na yeye ndiye mlinzi wa maisha yako akupiganie na asikuache katika kipindi hichi kigumu kwako Amen
@yessebaraka4010
@yessebaraka4010 Год назад
Pole sana dada acha mwenyezi Mungu akuonyesha kwa jina la yesu kristo ya Nazareth
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 3 месяца назад
Mwanangu akupe hekima busara we ni shindi sugar wa yesu nakupenda sana mwanangu pia nashukuru Mungu kwa uzima unao leo kusikia ukiwa hai ubarikiwe naishi marekani Mungu awe nawe mwanangu
@wakolisarah683
@wakolisarah683 5 лет назад
Pole sana mama,shetani hana aibu ata.God loves you more...na bado utaishi in jesus name.
@melvinniceanyango2919
@melvinniceanyango2919 2 года назад
Nilisikia vibaya mno kusikia kua amefariki bahati nilichoka moyoni kua nimemloteza mwimbaji wagu mzuri nazipenda nyimbo zake ninapo zimba nasikia furaha mungu akuogeze siku baada ya siku
@estermalembwamalembwa1936
@estermalembwamalembwa1936 3 месяца назад
Pole sana mtumishi wa mungu kwa hiyo ajali uliopata mungu atakusaidia hicho ni kipimo Cha Imani Yako tu usiwe nawasiwasi
@user-dp9ym1pn7g
@user-dp9ym1pn7g 4 месяца назад
Dada hiliswala limenishituka sana pole sana mungu yupo atakupa afya jema km. Ni w2 mungu atakurali mti wamatund utapingwa mawe dada utapo naujumbe utaupepe Rushal wa mungu
@laodikiajafarikisinda
@laodikiajafarikisinda 5 месяцев назад
Pole mamangu mungu atakusaidia utapona na utaishi miaka mingi shetani hana nafasi ktk jina la yesu
@ellymwakapyanila9274
@ellymwakapyanila9274 Год назад
Mungu akuinue mtumishi, Mungu wetu ni mponyaji.
@alhandroraj8009
@alhandroraj8009 4 года назад
Yesu kristo mwana wa Mungu jamani!!! pole mtumishi wa mungu jamani pole sana. Mungu akiwa nawe hakuna kushindwa. Utapona kwa wezo wa Mungu. Twakupenda sana twakuombea na utapona Amen
@marcelineKabamba
@marcelineKabamba 2 месяца назад
Bahati bukuku mungu akusaidiye sasa😢😢😢
@NoelaImani-pw9uw
@NoelaImani-pw9uw 3 месяца назад
Pôle Sana dada letu bahati mungu wa mbinguni sio ndogo atakupognesha ndani ya umivuu na atakupognesha
@colethamwinyi7107
@colethamwinyi7107 Год назад
Pole sana ! MUNGU mwema dada uko salama🙏
@dianashabani9131
@dianashabani9131 4 года назад
Pole sana dadaangu mungu yuko upande wako
@LovenessMdoe
@LovenessMdoe 4 месяца назад
Pole sana mama yangu umenipa moyo
@happynesspaul-sk6mg
@happynesspaul-sk6mg 3 месяца назад
Pole Sana dada angu mungu akutie nguvu upone uludi kwenyealiyako ya kawaida mungu nimwema utapona 8:16
@user-jr1tr6fs3c
@user-jr1tr6fs3c 6 месяцев назад
Pole sana dada yangu kipenzi, Yani kabisa Mungu ni Mungu kabisa Ku waokowa, ungali nakazi mingi yakumutumikiya.ila sifa zimurudi saana. Natamani hâta Siku moja nikupigiye muziki kwani mimi ni mwana mziki nikiwa mkongomani na Sasa naishi apa yuganda
@Donasian-ry9kh
@Donasian-ry9kh 4 месяца назад
Pole sana mama mungu atakuponya amina
@agathamusei1820
@agathamusei1820 4 года назад
Pole sana dada,mungu azidi kukupigani,nimejifunza mengi kutokana na majaribu yako shukuru mungu unatumika na mungu ili wengi wajie Amen kenya
@user-ii9qx9ii5p
@user-ii9qx9ii5p 3 месяца назад
Mungu wetu ni mungu wa neema pole mama yangu bahati kipenzi changu mungu amekupigania Kwa mengi ivyo yupo pamoja na wewe uchawi autakaa mikononi mwako wala mwilini mwako Mika 5:12
@abdojjjabdoll2074
@abdojjjabdoll2074 4 года назад
Shetani ashidwe na majaribu zake,,,,MUNGU ni mwaminifu akupe uzima tele akuponye dada wetu BAHATI BUKUKU AMINA
@lucychami5017
@lucychami5017 4 года назад
Pole mwaya dogo Bahati Bukuku. Mungu Mwenyezi unayemtumikia tangu utoto wako ATAKULINDA, KUKUKINGA NA KUBARIKI KAZI YA MIKONO YAKO. UPONE MAPEMA MWAYA.
@ezekieldeus6022
@ezekieldeus6022 Год назад
Mungu, akuponye kwa kwa haraka,iliuendelee kumtumikia hapa Duniani. Kabura ulimwisho haujafika.
@MusafiriIssa
@MusafiriIssa 4 месяца назад
KWAKWELI mungu HAWEZI kubali huyu dada âge 'kupitiuya zi ametenda kwa hiyi duniya
@ElizabethNdunguru-cn4rm
@ElizabethNdunguru-cn4rm 3 месяца назад
Duuuh pole sana mungu akutue nguvu
@user-kp1xi8xi2e
@user-kp1xi8xi2e 3 месяца назад
Pole sana dada yangu bokuku chakwasa inatakiwa tumwogope sana mungu wa mbinguni
@aminaamouri6326
@aminaamouri6326 2 года назад
Je bénis l'éternel pour sa protection divine envers sa servante Bahati bukuku c'est ne pas seulement que le tanzanien qui ont prié pour notre maman Bahati bukuku il y a aussi les congolais de la République Démocratique du Congo
@user-bh2bx3kk4u
@user-bh2bx3kk4u 3 месяца назад
Pole.mwanamke.mwenzangu
@fatmahbinti8797
@fatmahbinti8797 8 лет назад
pole sana kwa ajali shetna ana mamlaka katika maish yako twashukuru mungu uko mzima dada mungu bado yuakupend wacha tumsifu mungu
@richardotieno9873
@richardotieno9873 7 лет назад
Pole xn mtumixi wa Mungu
@noraharbogast5864
@noraharbogast5864 4 года назад
Pole Sana Dada angu Bahati Bukuku Mungu yupo na atawapa haki yao wanaozusha uvumi mbaya hivyo nawaambia hautakufa bali utaishi ili uyasimulie matendo makuu ya Bwana
@fredrickotieno8693
@fredrickotieno8693 6 лет назад
Maulana yupo simama tu kwa neno moja yakwamba kwakujeruhiwa kwake tumeponya nawe pokea katika jina la kristo Yesu.
@johnkasuga3290
@johnkasuga3290 3 месяца назад
Pole Sana Bahati Bukuku kwa ajali hiyo,Mungu atakuponya,,!!!
@zaburonimeshacki5917
@zaburonimeshacki5917 Год назад
Pole sana asante yesu kwa kukuokoa na roho ya mauti ameeen
@alphonceshayo7332
@alphonceshayo7332 5 лет назад
Mungu akuponye na awaponye wote kwa damu yake takatifu. Kuwa na moyo mkuu. Mnaoota vifo kwa watu muwe makini ila tujue kifo ni njia yetu sote mavumbini tumeumbwa na kwayo tutarudi. Na tamka afya njema nnyote. Amen
@pricillahmwangi6171
@pricillahmwangi6171 5 лет назад
Nafurahia sana kuona kujua kwamba no uongo tu wanaosema kwamba umetuaga.Mungu akuponye na usimame tens na kutembea.You are significant to many.
@shebyzedony5020
@shebyzedony5020 5 лет назад
pricillah mwangi r
@florymulboy5957
@florymulboy5957 2 года назад
My sister I love so much you will live in the name of jesus christ from DRC
@dorothymushira9084
@dorothymushira9084 4 года назад
Mungu akuponye bubuku
@jescamdanga4581
@jescamdanga4581 5 лет назад
Mungu ni mwema kwa wampendao atazid kukupigania! Mung akuponye mama ang.
@tedybernad3828
@tedybernad3828 4 года назад
Pole dada bahat
@neemarumas3754
@neemarumas3754 9 лет назад
Mungu ni mwema sana Bahati uponyaji wa haraka uwe kwako sasa! kweli tunahitaji huduma yako!!! amen!
@wennyramdan7820
@wennyramdan7820 8 лет назад
pole mama japo nikitambo lkn mungu akuonekanie kila upande
@susanmwalili5910
@susanmwalili5910 5 лет назад
Mungu yuko upande wako pokea uponyaji kwa jina la yesu Bahati Bukuku.
@lovenessmwagama6201
@lovenessmwagama6201 4 года назад
mungu nimwema huonimtihani tuuuuuuuu hutakufa bali utaishi mpendwaaaaaaaaaa!!!!
@roselinebanda2976
@roselinebanda2976 4 года назад
Pole sana mungu akurinde upone
@dougdjum3737
@dougdjum3737 9 лет назад
dada maombi umeombewa dunia nzima sio kwa wa tanzania peke yao mimi ni mcongomani na mmefata magazeti zako usiku na mchana Mungu akujalie mema na maisha marefu na hekma nyingi tena mama asante
@mektridapetro2613
@mektridapetro2613 Год назад
Pole sana mtumishi mwamini mungu wambinguni alali asinzii atakuponya
@DayanaMallya
@DayanaMallya 3 месяца назад
Mungu akupe kibali mbinguni akupe hekalu ukaendelea kumwa budi mbinguni wala usiache kumsifu hata mbinguni imba
@simonmdune9066
@simonmdune9066 4 года назад
Poleni saana mama bahati bukuku nakupenda saanaa akii.pia kiswahili chako kitamu zaidi aisee
@magrethclement7243
@magrethclement7243 4 года назад
Dada Bahati umepona na Yesu aendelee kukuganga kila mahali " Mimi nimeamua kutengeneza na Mungu wangu" uko vzr dada.
@lucymarawa864
@lucymarawa864 Месяц назад
Mungu akutunze naakuvushe ili uwashangeze waulimwengu nauwe mfano duniani
@nirmaladavid8861
@nirmaladavid8861 6 лет назад
Pole sana mtumishi tunajua kawaida shetani hapendezewi kamwe kuona mwanadamu akiwa na furaha pole
@tumainsanga1906
@tumainsanga1906 Год назад
Pole sana dada Bahati Mungu azidi kukutetea tunakuombea
@kisanyafrancis6290
@kisanyafrancis6290 4 года назад
Mama sasa Bwana akikuponya,hudumia Bwana zaidi kwa roho na kweli,zikumbuke enzi za mwanzo ulipoanza injili haswa katika wimbo Mapito na pia Majaribu.Mama yangu mimi nakutakia afueni na nakupenda.Ila kumbuka ulikotoka.
@ericknsekela9165
@ericknsekela9165 4 года назад
Pole mama MUMGU nikwema atakusimamia. Amen
@emmyjohn3970
@emmyjohn3970 5 лет назад
God is able..hutakufa Bali utaishi nawe utasimulia matendo makuu ya Mungu.NAKUPENDA
@sankaresiato4002
@sankaresiato4002 5 лет назад
Pole mungu anakupenda sana ...zidi kumtumikia tunakupenda Dada
@johnkariuki-ff6md
@johnkariuki-ff6md Год назад
Pole sana dada mungu amekuponya amini mungu uko sawa kabisa?
@amanimapendo5119
@amanimapendo5119 3 месяца назад
Pole Dada yetu .
@laini120
@laini120 9 лет назад
I love you Bahati. Nashukuru Mungu wetu amekulinda
@anisethkimario8019
@anisethkimario8019 4 года назад
Kufa ufe ww unaye tangaza mama wa aman amekufa mam yangu Dada yang bahat bukuku pole xan kwa ajal mwenyez mung akapate kukuponya ktk jina la yexu amin
@kizamlm1961
@kizamlm1961 3 месяца назад
Pole sana mama bahati bukuku
@evalinemjema-ry9dm
@evalinemjema-ry9dm Год назад
Umeimba vizuri sana , Mungu azidishe kipaji chako , ipa pole kwa ajali mbaya sana . Lakini Bwana Ni mwema
@wesowesoweso8935
@wesowesoweso8935 9 лет назад
Oh my God!!!! Mama mama yangu mama machozi yananitoka Mungu aliyeziumba mbingu na nchi anajuwa hadi kilindi cha moyo wa mtu akuinue mama akuweke juu juu juu zaidi so as we great testfy and great gradefy the groly of God through my mum bahati.amen.Mourine in saudia.
@atuganilerafael599
@atuganilerafael599 5 лет назад
Pole dada bahati.tunaamini Mungu amekuponya mpaka ulipo fika hapo.
@DidierIlunga-df7ej
@DidierIlunga-df7ej 3 месяца назад
Basi mungu ashukuriwe kabisa kwa kumisikiya tena muibadji muzuri 'upona katoka adjari kubwa tuna muobeya kabisa mungu akujunge Pia akupone
@JamesLupokela
@JamesLupokela 2 месяца назад
Mungu atakuponya
@richardpatrick1747
@richardpatrick1747 5 лет назад
Dada Mungu Anakupenda sana zidi kumtumikia kwa uwaminifu wote
@yusteraureus8803
@yusteraureus8803 3 месяца назад
Pole sana mtumishi wa mungu mpendwa wangu mungu akuponye
@jacksonbasenile-nu8bf
@jacksonbasenile-nu8bf 3 месяца назад
Pole Sana mungu mwema
@zawadijuma5479
@zawadijuma5479 5 лет назад
Ameen Dada mungu yuko pamoja na wewe shetani amemeza wembe ameen
@pambacom4196
@pambacom4196 5 лет назад
Bahati bukuku mungu akuzidishiemaisha malefu yukopamojanawe
@happyrichard534
@happyrichard534 4 года назад
mungu yupo pamoja naww
@user-kl3xe7kr2m
@user-kl3xe7kr2m 3 месяца назад
Mungu akutie nguvu akuponye kwajina la yesu
@marthalazaro9720
@marthalazaro9720 4 года назад
Mungu akuponye haraka dear urejee kwenye kiwango kingine.
@tinamuta8019
@tinamuta8019 5 лет назад
Pole sana na Mungu akutie nguvu na akuepushe na mabaya
@matridaezra6801
@matridaezra6801 5 лет назад
Pole Mamangu watapigana nawe lakini hawatakushinda Bwana yu pamoja na Wewe.
@meddyakimana4104
@meddyakimana4104 9 лет назад
Pole sana Bukuku wetu Mungu apewe sana sifa zake kwa kukulinda tunafulahi sana kusikia umuzima.
@samuelmisiani3722
@samuelmisiani3722 4 года назад
Sorry mammy utapona hamini mungu atakuponya
@NiyonzimaElyse-uj8th
@NiyonzimaElyse-uj8th Год назад
Pore ndugu mugu nimwaminifu❤
@anglehope8534
@anglehope8534 5 лет назад
Shetani Hana nafasi kwa maisha yako mama
@ezechielnzisabira7188
@ezechielnzisabira7188 4 года назад
Tunakupenda Bukuku usikue nakitu kibaya
@malipojules8993
@malipojules8993 4 года назад
Mungu akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu, nikusema mungu yupamoja nawewe mama
@akimomonhimodo7522
@akimomonhimodo7522 4 года назад
Pore mama mungu akuponye
@lightnesssanka1928
@lightnesssanka1928 4 года назад
Nakupenda dada Mungu ukuongeze heri na miaka mingi
@presseg.6362
@presseg.6362 5 лет назад
Ulinzi wa mungu uu juu yako, mungu akutie nguvu
@joysimventures2242
@joysimventures2242 Год назад
Wah pole sana, Glory be to God that he protected you Ingekua mbaya sana. Drivers Kimdly dont drink and drive
@EsterBernardoVumo
@EsterBernardoVumo Год назад
Mungu Akuponye
@carolinecaroline1539
@carolinecaroline1539 Год назад
Bumzika kwa amani mungu ailaze roho yako mahali mpema mbinguni
@agnessahia415
@agnessahia415 5 лет назад
Mungu akupe uponyaji Dada Bukuku Damu ya Yesu ikufike nakugusa kila sehemu iliyo umia
@PriscaShilunga
@PriscaShilunga 3 месяца назад
Pole Sana dada Nina imani mungu atakutia nguvu
@user-bk1jb3fx2q
@user-bk1jb3fx2q 4 месяца назад
Pole sana dada angu
@rodakahemele2300
@rodakahemele2300 7 лет назад
Ashukuriwe Mungu wa mbingun kwa kutetea Mtumishi wake!!
@AliAli-ez8nu
@AliAli-ez8nu 5 лет назад
Pole sana dadangu mungu uko pamoja na ww,i wish you quick recovery mum
@lucyshirima402
@lucyshirima402 5 лет назад
Pole Dada bahat jmn mungu ni mkubwa mungu asidi kukupingania ila wanahabar akili zao wanasijua wenyewe sijui kwann wanatoa tarifa za uwongo kwenye mtandao mkubwa km huu dah mungu you pamoja nawe my sister