Тёмный
Asadiqmedia
Asadiqmedia
Asadiqmedia
Подписаться
Asadiqmedia ni chaneli ya kiislamu yenye lengo la kusambaza Uislamu Asili wa nyumba tukufu ya Mtume (saww) chini ya Uongozi wa Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge Kiongozi na Mlezi mkuu wa utumishi na huduma zitolewazo na Hawza Imam Swadiq (as)
KHUTBA YA IJUMAA 23/ 8 /2024
44:18
День назад
JE MTUME ALISUJUDU JUU YA NINI...?
4:35
14 дней назад
JE INAFAA KUMSWALIA MNAFIKI
3:39
21 день назад
Комментарии
@barakamkekena488
@barakamkekena488 День назад
Huu ni msiba lkn si shangai sna
@razackndeze-pv5bm
@razackndeze-pv5bm 2 дня назад
Allahuma swali ala Muhammad wa aali Muhammad
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 дня назад
Mmekuja na gia ya msiba wa mtume ili mfiche uchafu wenu wa misiba ya kishirikina ya husein na hassana? Na leo naona umetofautisha baina ya ushia na uislam muogope mungu sheikh haya maisha ya kupita huo ufadhili wa hao jamaa hautokusaidia kesho
@razackndeze-pv5bm
@razackndeze-pv5bm 4 дня назад
Allahuma swali ala Muhammad wa aali Muhammad
@user-kt4kk4cs5s
@user-kt4kk4cs5s 4 дня назад
Sisi ni waja wa Mungu na kwake tutarejea
@user-bl7ji7dk6x
@user-bl7ji7dk6x 4 дня назад
Innalillah wainna ilayh rajiun 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@AnaSalafi-f9d
@AnaSalafi-f9d 5 дней назад
Je, ni kipi cha muhimu zaidi kwa ar-Raafidhah Shia, Karbala au Al Kaaba iliyo Makkah ? Maana twasikia muna al kaaba yenu ndani ya misikiti wa al hussein huko Mwambie jalala athibitisha na hilo maana video tumeshaziona zimejaa mitandaoni mbona hapo hasimami ulimwengu walione alkaaba lenu?
@abiabi9353
@abiabi9353 4 дня назад
Maswali kama haya ni dalili tosta ya ujahili wa mawahabi na akili zao fupi
@AnaSalafi-f9d
@AnaSalafi-f9d 4 дня назад
@@abiabi9353Mungekua na akili Mungetengeneza al kaaba Karbala Fitina itatokea hapo.Fitina itatokea hapo, ndiko kutakozuka pembe ya shaytwaan .
@2PACKAbeid-cn6hk
@2PACKAbeid-cn6hk 5 дней назад
Cheki abaa mustwafa anavyo shangaa😁😁
@razackndeze-pv5bm
@razackndeze-pv5bm 5 дней назад
Allahuma swali ala Muhammad wa aali Muhammad
@mehboobkarmali5211
@mehboobkarmali5211 6 дней назад
Mashallah God bless you Amen
@mehboobkarmali5211
@mehboobkarmali5211 6 дней назад
Mashallah
@selemankishema5780
@selemankishema5780 6 дней назад
Natizama nyuma yenu nabaki nashuku mungu ya upumbavu huu mpaka maarabu bado yamo 😂😂😂
@abiabi9353
@abiabi9353 6 дней назад
Wewe wahabi chizi kweli.yani kumzungumzia shahidi Muslim bin Akili ni upumbavu? Amakweli mawahabi wamelaaniwa ndiyo maana hawana fahamu hata kidogo
@RamadhaniAlly-mi2dg
@RamadhaniAlly-mi2dg 6 дней назад
ulitaka atembelewe ibin wahaab
@ahmedsagaff8546
@ahmedsagaff8546 7 дней назад
JE, MNAYAFANYA HAYO? MMEKAA HAPO KIGOGO NA VILEMBA VYENU KAMA MARUHUBANI WASIOJITAMBUA. KAZI YENU KUENDEKEZA UZINZI UNAOITWA MUTA'A.
@abuhsanono4392
@abuhsanono4392 7 дней назад
Naona kwenye account yako kulthum ndo mzinzi wako jitambue hana vigezo mke wa kislam kumbe wemwwnyewe mzinzi
@LuqmanKawela-qf8ny
@LuqmanKawela-qf8ny 7 дней назад
A.aleykum shekhe mi ni shia,ni mfuasi wa imam mahdi,shida yangu ni kwamba natamani kuoa lakini kipato Sina naomba msaada wako shekhe, inshallah.
@ellyndaprincess3235
@ellyndaprincess3235 7 дней назад
Dini za wahindi zitakuuwa wewe kweli ni jalala
@AhmedAslam-ip8mu
@AhmedAslam-ip8mu 7 дней назад
unajua unachoongea??😂 huna elimu ww nan kakwambia ushia ni dini ya wahindi???
@AhmedAslam-ip8mu
@AhmedAslam-ip8mu 7 дней назад
jua nini maana ya ushia kwnz wapo dunia nzm hawa wahindi wenyw ushia wameufata tu
@musakibwana4596
@musakibwana4596 7 дней назад
Subhaanallah
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 7 дней назад
Maashallah ❤❤❤❤
@abuayman8184
@abuayman8184 7 дней назад
عمائم على بهائم
@HasaniAbdallah
@HasaniAbdallah 7 дней назад
جزاكم الله خيرا
@abuusuhayl7830
@abuusuhayl7830 8 дней назад
Njaa zinawasumbua ...shia golooo
@jumannesaid5400
@jumannesaid5400 8 дней назад
Kaiyo mashia si waislamu?
@AhmadWande
@AhmadWande 8 дней назад
Kwahyo masuni nao sio waislam??
@selemankishema5780
@selemankishema5780 8 дней назад
Hakuna utukufu wa mji wa Iraq mahala popote nikama uko kigoma au popote duniani tofauti na Maka na madina na msikiti wa aqsa acheni kupotosha watu mtakujwa ulizwa siku ya kiama na hayo mafundisho yenu ya uwongo
@abiabi9353
@abiabi9353 8 дней назад
Wewe ni Jahili tu wakiwahabi kama kasuku huna ujualo.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 8 дней назад
@@abiabi9353 ndugu yangu mie nafahamu hawa jamaa ni waislam kama wanavodai na wala mie siwezi wanyima kibali cha uislam yupo mwenye dini na anawaona wenyewe lakini mafundisho yao hayana dalili kabisa ktk uislam ni upotofu mtupu usisikume tu kusema mawahabi ndugu yangu hii dini ilivamiwa na majambazi wengi mie nikupe kitu kimoja tu ufikirie kwanini mafundisho yao yanashughulika saana na vitu ambavyo muislam hatoulizwa kesho siku ya kiama? Hebu jiulize wala usifanye tu kulaumu
@AhmadWande
@AhmadWande 8 дней назад
Ha ha ha muwahab unateseka ukiwa wapi???Sasa kama uwapendi watu wa nyumba ya bwana mtume Muhammad s.a.w bs kaa kmya muwahab
@RamadhaniAlly-mi2dg
@RamadhaniAlly-mi2dg 8 дней назад
ufahamu yako ndio umeishia hapo so usipayukwe
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 9 дней назад
Jalala km mwijaku na dogo magari 😅
@MalikiHuseni-f8d
@MalikiHuseni-f8d 9 дней назад
Achauongoww xhia nasunniwapinawapi
@homeboyvr8184
@homeboyvr8184 9 дней назад
Hawa watu wanashida sana mashia daha
@abdulkarimmavuo645
@abdulkarimmavuo645 9 дней назад
Jalala maskini pesa ya majoos imemuhadaa .Njaa mbaya. Jalala Yuko kazi😂
@KudraTimbako
@KudraTimbako 9 дней назад
UKISOMA KOMENTI UTAGUNDUA MAWAHABI WENGI HAWATUMII AKILI YAANI UNAZUNGUMZWA MADA YA USAHAFU ILA WANAJIBU MAMBO MENGINE TOFAUTI NA MADA MFUNO MWINGINE ANASEMA MNATUKANA MASWAHABA
@mohammedhussein9202
@mohammedhussein9202 9 дней назад
Labyka ya Mohammed saw... Labyka ya Ali... Labyka ya Hassan wa hussein
@mansourkombo587
@mansourkombo587 9 дней назад
Lanatullh
@mansourkombo587
@mansourkombo587 9 дней назад
Makafri mung awachome nyote
@mansourkombo587
@mansourkombo587 9 дней назад
Mungu awalani mashia wotee mashia ukafiri wenu umepita mipaka Zaid ya wkristo
@muslimqueen5314
@muslimqueen5314 9 дней назад
Umeongea point hakika nakupa like
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 9 дней назад
Mishia mijongo
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 9 дней назад
Mishia mijongo
@abiabi9353
@abiabi9353 9 дней назад
@@iddijumaali7192 mawahabi hawajui kujibu kwa. Ufasaha wanachojua ni kurusha vistari vya mipasho tu
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 9 дней назад
Ila c kwa ubaya hayo mnayofundisha Yana faida n mnafaa kuzingatia kifo cha mtume salallahu alayhi wasalaam ambaye ndo kiigizo chema kwetu n kifo cha hussein kinafundisho gani kwa waislamu 👏👏👏👏
@RamadhaniAlly-mi2dg
@RamadhaniAlly-mi2dg 9 дней назад
mashia hawaachi kumkumbuka mtume s.w.a. katika mazazi yake pamoja na kifo chake, huenda ulikua haujui au haukufuatilia , pia mashia hawaishii kwa hussein pekee bali kwa kizazi cha nyumba ya mtume kwa pamoja, wameonyesha mshikamano wao juu ya kila hali walio pitia nyumba ya mtume pamoja na mtume s.w.a. juu ya furaha pamoja na huzuni, na kuufuata mwenendo wa mtume s.w.a. pamoja na kizazi chake kama alivyo tuamrisha mungu na mtume akatusisitizia juu ya kushikamana na QURAAN pamoja na KIZAZI CHAKE .sasa ukiongea hivyo unatoka kwenye misingi ya imani ,kabda haujaongea kaa umsome HUSSEN kisha usome na tukio zima la QARBALAA .kisha utafaham kwanin HUSSEIN??
@abiabi9353
@abiabi9353 9 дней назад
@@hassanWanjiku wewe kwasababu ni wahabi ni vigumu kujua faida yakuzungumzia kifo cha Imam Husein. Labda nikupe faida kidogo. 1.Tukimzungumza Husein tunamzungumza kiongozi wa vijana wa peponi na kwanini yeye awe kiongozi peponi. 2.pia tumzungumza swahaba ambaye Quran imemsafisha na kwanini Quran imemsafisha. 3. Tunamzungumza mmoja wa ma imamu wa kiislam ambao mtume aliwabashiria. 4.Tunapata fursa yakumzunguza dhalim yazid ibn muawiya na uovu wa banu umaiya dhidi ya uislam. 5.Tunamzungumza mjukuu wa mtume aliye dhulumiwa na huku watu wanaojidai waislam wakiangalia bila kumsaidia. 7.na mengine mengi zaidi ya hayo
@abiabi9353
@abiabi9353 9 дней назад
Mashallah sheikh umetufafanulia vizuri sana. Hii ndiyo faida kuwafanya Ahlulbayt kuwa chimbuko lako la elimu na maarifa. Na pia inaonyesha hasana yakuwafanya watu wengine majahili kuwa ndiyo chimbuko lako la elimu na maarifa.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 9 дней назад
Hyo miswahili imetoa mimacho hapo na njaa zao zimewingiza kwenye ukafiri wa ushia sasa hapo kalbala ndio makkah yenu mashia ama acheni kuendekeza tumbo matumbo yenu hayatatosheka mpaka yatatoshelezwa na mchanga wa kwenye makaburi yenu
@abiabi9353
@abiabi9353 9 дней назад
Shukran sheikh kwa elimu kubwa unayotupa
@Claudius-sm4rg
@Claudius-sm4rg 9 дней назад
Hahaha Mashia ni zaidi ya iblis kwa uongo. Swali dogo tu kwa wanahistoria wenzangu. Ety Imaam Ally alikuwa na mtoto mmoja wa kike? Ummu Kuluthum bnt Ally mnaogopa kumtaja sababu imaam Ally alimuozesha Nduguye Omar ibn Hattab ambaye ni adui wenu tangu ameangamiza ngome yenu ya waabudu moto FURSI
@sheikhfadhilaljahdhamy6751
@sheikhfadhilaljahdhamy6751 9 дней назад
كتاب المناقب عن رسول الله صلى الله عليه وسلم باب فَضْلِ الْحَسَنِ وَالْحُسَيْنِ ابْنَىْ عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ رضى الله عنهم حَدَّثَنَا نَصْرُ بْنُ عَلِيٍّ الْجَهْضَمِيُّ، قَالَ حَدَّثَنَا عَلِيُّ بْنُ جَعْفَرِ بْنِ مُحَمَّدِ بْنِ عَلِيٍّ، قَالَ أَخْبَرَنِي أَخِي، مُوسَى بْنُ جَعْفَرِ بْنِ مُحَمَّدٍ عَنْ أَبِيهِ، جَعْفَرِ بْنِ مُحَمَّدٍ عَنْ أَبِيهِ، مُحَمَّدِ بْنِ عَلِيٍّ عَنْ أَبِيهِ، عَلِيِّ بْنِ الْحُسَيْنِ عَنْ أَبِيهِ، عَنْ جَدِّهِ، عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم أَخَذَ بِيَدِ حَسَنٍ وَحُسَيْنٍ فَقَالَ ‏ "‏ مَنْ أَحَبَّنِي وَأَحَبَّ هَذَيْنِ وَأَبَاهُمَا وَأُمَّهُمَا كَانَ مَعِي فِي دَرَجَتِي يَوْمَ الْقِيَامَةِ ‏"‏ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ غَرِيبٌ لاَ نَعْرِفُهُ مِنْ حَدِيثِ جَعْفَرِ بْنِ مُحَمَّدٍ إِلاَّ مِنْ هَذَا الْوَجْهِ ‏.‏ Narrated 'Ali bin Husain: from his father, from his grandfather, 'Ali bin Abi Talib: "The Prophet (ﷺ) took Hasan and Husain by the hand and said: 'Whoever loves me and loves these two, and their father and mother, he shall be with me in my level on the Day of Judgement." Kutoka kwa Ali ibn al-Husayn, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa babu yake, Ali ibn Abi Talib, kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu, rehema na baraka ziwe juu yake, alichukua mikono ya Hasan na Husayn na akasema, "Yeyote anayenipenda na kuwapenda hawa wawili na baba yao na mama yao atakuwa pamoja nami katika cheo changu Siku ya Kiyama." Reference: Jami` at-Tirmidhi 3733 In-book reference: Book 49, Hadith 130 English translation: Vol. 1, Book 46, Hadith 3733 كتاب المقدمة عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ ‏ "‏ مَنْ أَحَبَّ الْحَسَنَ وَالْحُسَيْنَ فَقَدْ أَحَبَّنِي وَمَنْ أَبْغَضَهُمَا فَقَدْ أَبْغَضَنِي ‏"‏ ‏.‏ It was narrated that Abu Hurairah said: "The Messenger of Allah said: 'Whoever loves Hasan and Husain, loves me; and whoever hates them, hates me.'" "Kutoka kwa Abu Hurairah, amesema: Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) amesema: "Yeyote anayewapenda Hassan na Hussein, basi amenipenda mimi, na yeyote anayewachukia, basi amenichukia mimi." Reference: Sunan Ibn Majah 143 In-book reference: Introduction, Hadith 143 English translation: Vol. 1, Book 1, Hadith 143
@AbuSaeed-pz2kb
@AbuSaeed-pz2kb 9 дней назад
Umar na uthman pia waliuwawa na wako peponi
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 9 дней назад
Bado wanamsiba, na aliekufa wao walikua hata hawajulikani lakin mpk leo kuna matanga
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 9 дней назад
wanaipenda ardhi ya balaa kwel alipouawa unayempenda itaipenda nakuitukuza hiyo sehemu au mnafurahia kif cha huseini kimyakimya
@IphoneIphone-p8b
@IphoneIphone-p8b 9 дней назад
Mashia golo😂😂😂
@ALLYMOHAMMED-ge2cs
@ALLYMOHAMMED-ge2cs 9 дней назад
Muongo mkubwa wewe na riwaya zenu za uongo,kama uislam ulianza kupigwa vita baada ya kufa Mtume sasa hao kina Abuu Jahal wakifanya nn wakati Mtume?
@rajabharun7231
@rajabharun7231 10 дней назад
Mashia ni mbwa wa motoni vilemba vikubwa lakin hamna kitu
@vinny.morales
@vinny.morales 10 дней назад
Sawa mungu
@hakambashe8421
@hakambashe8421 10 дней назад
Ndo Dawa hii unafanya. ?!
@Ochuminho
@Ochuminho 8 дней назад
@@vinny.morales nashindwa kukuelewa kwamba wewe ni mshia au sio mwislam
@AhmadWande
@AhmadWande 10 дней назад
Labaika ya hussein
@idrisskaira2316
@idrisskaira2316 10 дней назад
Njaa tu. Hamna kingine ma shia awa
@vinny.morales
@vinny.morales 10 дней назад
Endelea kuabudu jiwe la Makka
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 10 дней назад
Karbala ndio maka ya makafiri wa kishia
@vinny.morales
@vinny.morales 10 дней назад
Haina tofauti na kule Makka mnapoenda kubusu jiwe
@abuufarha6562
@abuufarha6562 9 дней назад
Hapo kwa sasa panafanaa naule mlango wa jahannamu.
@AnaSalafi-f9d
@AnaSalafi-f9d 10 дней назад
Kwanini Sayyidna Ali Hakufuta Jina la Mtume Muhammad Raoul Allaah kwenye sulhu hudeibiyah na kupelekea Mtume mwenyewe kufuta hilo jina ama kwa Sayyidna Ali ni halali lakini kwa Sayyidna Omar ni unafik ?
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 10 дней назад
حقا ....هذا أرض كرب وبلاء. حتي الآن ما زالت تخرج الكرب والبلاء والكارثة من الشيعة