Тёмный

HII NDIO QUR'AN YA MASHIA.. NA NDIO WANAOUFUATA. 

Asadiqmedia
Подписаться 73 тыс.
Просмотров 1,5 тыс.
50% 1

Subscribe to our channel on the following link
www.youtube.co...
#asadiqmedia

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@NganziSalimu
@NganziSalimu 29 дней назад
Allah akuhifadhi Maulana
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 28 дней назад
Shekh Maulana umesema kweli
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 25 дней назад
WAFUASI WA ABDULLAH IBN SABAAI MYAHUDI
@HamadHamduni
@HamadHamduni 29 дней назад
Haiwezekani kushikamana na kamba ya Allah na mashia, kushikamana na kamba ya Allah na mashia ni kumuasi Allah na mtume s.a.w.
@SuleimaniSalum-pg9th
@SuleimaniSalum-pg9th 28 дней назад
Mashia ni makafiri sawa na mayahudi na hiyo ni dini Yao ila wanatafuta njia tu za kuwachukua wale wasio elimi
@ABDULNASIRSHAIBU
@ABDULNASIRSHAIBU 28 дней назад
Shida watu hawataki kusoma lkn hakuna dhehebu sahih na mashia.
@Users2523
@Users2523 29 дней назад
Mimi ni msuni ila mashia ni waislam kama sisi. Tena mashia huenda ni bora zaidi katika kuutetea uislam zama hizi. Dunia inajua na watu wanajua hilo. Utofauti wetu mdogo usitutenganishe.
@mfalmekima5318
@mfalmekima5318 29 дней назад
Acha kuongea usichokijua shia si waislam hayo maneno alitamka mwenyewe huyo jalala na video zake zipo alisema hasa kua shiabsio uislam ni dini kama zilivyo dini nyengine tu na ukumbuke hiyo ni dini yao wa irani wan itakadi zao tofauti na uislamu usiingie mkenge
@Users2523
@Users2523 29 дней назад
@@mfalmekima5318 Shia ni dhehebu kama madhehebu mengine ya kiislam. Hayo mengine ni ya kwako. Wangekuwa si waislam wasinge kwenda hija na umra.
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 28 дней назад
Wacha wajinga wa gombane ila Kwa mtu Ambae anataka elimu basi hupenda kujuwa madhehebu nyengine zinasemaje ❤
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 28 дней назад
Tatizo huwajui mashia. Mashia wanatumia taqiya, yaani wanaficha uhalisia wao
@mansourkombo587
@mansourkombo587 27 дней назад
Astafrullh ujuw dini
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 25 дней назад
MNASEMAJE KUHUSU ABUBAKAR ,MAMA AISHA NA WENGINEO KTK MASWAHABA NA MNASEMAJE KUHUSU AYA YA MWISHO YA SURATUL FAT HI
@mfalmekima5318
@mfalmekima5318 29 дней назад
Nyie wanafiki tu jalala ulishasema mwenyewe shia ni dini kama dini nyengine sio dhehebu
@imranjuma1197
@imranjuma1197 27 дней назад
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 29 дней назад
MASHIA ndio viumbe waongo kumshinda IBLIS anayosema mbele ya watu maawamu ni hawana msahaafu,wala hawatukani MASWAHABA!! Fungua vitabu vilivyoandikwa na masheikh wao utakutana na MITUSI ya kutisha!!
@abiabi9353
@abiabi9353 29 дней назад
Mawahabi ni vichwa mchunga hamna issue zaidi ya propaganda
@AbdulhalimZubeir
@AbdulhalimZubeir Месяц назад
Je yafaa kuchuchumaa unapokosa rakaa ya faradhi
@user-ug8hc4yh5k
@user-ug8hc4yh5k 29 дней назад
Wewe jalala achana na taquiya Wanazoni wa Kishia walisibisha Mmemuwa kiongozi wa hamas nyinyi mashia
@KudraTimbako
@KudraTimbako 18 дней назад
UKISOMA KOMENTI UTAGUNDUA MAWAHABI WENGI HAWATUMII AKILI YAANI UNAZUNGUMZWA MADA YA USAHAFU ILA WANAJIBU MAMBO MENGINE TOFAUTI NA MADA MFUNO MWINGINE ANASEMA MNATUKANA MASWAHABA
@Ochuminho
@Ochuminho 27 дней назад
Ipo hivi, Jalala huna kauli ktk madhebu ya kishia, ikiwa mkubwa ktk kundi lenu la kishia kasema wewe nane ukatae... Ni sawa na msunni mwenye madhebu ya kifiqih mfn shaafih... Aseme kitu kuhus madhebu yake ambacho kinaenda tofaut na madhehebu.... Kwahiv wewe maneno yako hayana mashiko n hata ukiyakataa kama unavyokataa.
@mrafm7285
@mrafm7285 29 дней назад
Sasa mbona mnatukana masahaba wa mtume
@shafikakrabi8490
@shafikakrabi8490 29 дней назад
Lakini mbona munaitwa mashia
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 29 дней назад
Mm sunni ila hawa shia wananyoosha maneno sana
@HamadHamduni
@HamadHamduni 29 дней назад
Ni kawaida ya watu waongo kupanga maneno
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 29 дней назад
Hakuna Msuni atakae Sema Mfano wa maneno yako Ila Mashia ni Waongo zaidi ya Shetani
@UsalafiniKWETU01
@UsalafiniKWETU01 29 дней назад
Sunni gani wa hivyo
@HamadHamduni
@HamadHamduni 29 дней назад
@@UsalafiniKWETU01 huyo kama ni msuni basi huenda haujui usuni ni nini na ushia ni Nini!
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 28 дней назад
Huwajui mashia ndio maana unasema hivyo. Mashia wanatumia taqiya yaani wanaficha uhalisia wao
@HanafiZayumba
@HanafiZayumba Месяц назад
Shia ni wanyoosha mambo mawahabi ndio wanao bomoa uisilamu kwa kujitenga vikundi na Allah kasema msifarakiane mshikamane katika kamba yake pasipo hivyo mtawaingiza maadui mawahabi wameleta mfarakano wanasababisha waisilam wanapigwa
@AbuumuussaaAttanzaaniy
@AbuumuussaaAttanzaaniy Месяц назад
Huwajui mashia wewe wasome mashia na usome qur aan
@NganziSalimu
@NganziSalimu 29 дней назад
Atawasomaje wakati mnakatazwa hata kuwakurubia mashia au hata kukaribia vitabu vyao? Au inatosha kuwasikiliza wanaosema mashia ni makafiri ndiko kuwasoma huko?
@abiabi9353
@abiabi9353 29 дней назад
​@@AbuumuussaaAttanzaaniymawahabi ni vichwa mchunga hawana uwezo wakuthibitisha chochote.kazi yao ni fitna tu
@HamadHamduni
@HamadHamduni 29 дней назад
Kama mashia mmeshindwa kuiamini quran na suna vp mtauamini upotofu na ukafiri uliomo kwenye vitabu vyenu??! Kwa sababu upotofu na ukafiri uliomo kwenye vitabu vya kishia sio rahisi kuuamini kwa kuambiwa hadi ujisomee mwenyewe. Acheni kudanganywa na hao wanazuoni wenu wa kishia, tafuteni vitabu vya kishia msome mjionee wenyewe uvundo uliomo humo, acheni kudai mawahabi wanawafitini mashia dhidi ya waislaamu, Mimi sio muwahabi lakini nawapenda Sana hao mnaowaita mawahabi,kwasababu wao wanafanya uislaamu kwa mujibu wa Quran na suna.
@AbuumuussaaAttanzaaniy
@AbuumuussaaAttanzaaniy 29 дней назад
@@abiabi9353 hivi ndugu nyie mnajaribu kuwasifia watu WENYE kuwa tukana maswahaba na wanamtukana mama Aisha abuu bakri Umar na wengine vipi wawe wanyoosha mambo NDO mana nasema wasomeni mashia na msome qur aan
@HamadHamduni
@HamadHamduni Месяц назад
Jalala ni muongo alopindukia
@jumamaulid3577
@jumamaulid3577 Месяц назад
Uongo wake upi sasa apo kama upo uo msahafu na unaujua uonyeshe maneno hatusikilizi tunatka ushahid fitna za mawahabi hatuzitak
@abiabi9353
@abiabi9353 29 дней назад
Mawahabi ni vichwa mchunga tu hawana issue kazi yao ni propaganda na kutenganisha waislam
@HamadHamduni
@HamadHamduni 29 дней назад
@@abiabi9353 na wanasema mashia katika vitabu vyao kua, katika Quran Kuna suura inaitwa suuratul-wilaaya,ambayo inaanza hivi; (enyi mlio amini Zi aminini nuru mbili,. Mashia wanadai kwamba othman bin afaan r.a. aliifuta Aya hiyo. Angalia kitabu kinaitwa (faslu-khitwaab fii tahrif kitaab rabbul-arbaab) Cha An-nuur Attwabrasy, ukurasa 18. Huo ukafiri umo kwenye vitabu vya kishia, kwahiyo msiwalaumu na kuwatukana wanao waita mashia ni makafiri, isipokua walaumuni na muwalaani wanazuoni wa kishia wanao andika hizo habari potofu na kufuru.
@tibaasiligreatmoment8850
@tibaasiligreatmoment8850 29 дней назад
أصلكم أنتم معاشر الرافضة التقية وقد قال أحد علمائكم عن التقية :قال التقية ديني وديني آبائي لا دين لمن لا تقية له
@abiabi9353
@abiabi9353 29 дней назад
Taqiya ndiyo nini
@HamadHamduni
@HamadHamduni 29 дней назад
Kafiri mkubwa jalala,unadanganya watu, acha takiya
@HamadHamduni
@HamadHamduni 29 дней назад
Iran Hana usupa pawa,acha kuwapumbaza watu.
@HamadHamduni
@HamadHamduni 29 дней назад
Malu'un
@HamadHamduni
@HamadHamduni 29 дней назад
​@@abiabi9353taqiya ni kusema au kufanya kinyume na unavyo itakidi kwa lengo la kujiondolea madhara au kulinda karama yako. Sehemu kubwa ya dini ya kishia ni taqiya, Wala hana dini asie kua na taqiyya, kwa mfano ukimuuliza jalala mbele ya uma wa waislaamu kuhusu tuhuma ya mashia kuwatumu wake wa mtume s.a.w. mama Aisha r.a. na mama hafisa r.a. kua walikua ni wazinifu, jalala atakaa katakata nakudai mashia hawasemi hivyo, lakini akiwa kwenye majilisi za kishia na hao mabosi wake wakihindi ndo atawalaani na kuwakufurisha maswahaba r.a. na wake wa mtume s.a.w.. hiyo ndo taqiya. Mwanazuoni wa kishia akikwambia maji ya bahari Yana chumvi usimuamini kabla huja yaonja, kwasababu ni mabingwa no1 wa uongo duniani. Msidanganywe na ndege anaesoma Quran vizuri Kisha akimaliza anaenda kula kinyesi.. enyi ndugu zangu waislaamu ambao hamjaingia kwenye ushia nawanasihini msihadaike na kuingia kwenye ushia kwa kuvutiwa na misaada wanayoitoa, kwasababu hiyo misaada wanayo itoa ni mipango na mikakati maalumu ya kuwatoa kwenye uislaamu, tusi iuze dini ya Allah kwa ajiri ya dunia, tuinusuru dini ya Allah Ili Allah atunusuru kama alivyo ahidi, Bora tufe na dhiki lakini msimamo wetu uwe ni Quran na suna, kuliko tuwe matirionia lakini mashia.. ya Allah tuweke mbali na mashia na utufiishe tukiwa waislaamu wenye ikhlaasi.
Далее
HII NDIO SAYANSI YA QUR ANI TUKUFU SHEKHE NASSORO BACHU
11:14
MASWALI YA BANDAUA NI UPI UMUHIMU YA YESU KWA M/MUNGU
38:06
NA HII NDIYO MIUJIZA YA QUR AN - SHK OTHMAN MAALIM
1:11:35