Тёмный
The Galaxy Pro
The Galaxy Pro
The Galaxy Pro
Подписаться
Contact : +255(0) 712 052014 /+255(0) 757 872 244
Email : makurugodian@gmail.com
HESHIMA KWA MSALABA - MTUNZI:  A.S MASOKOLA
7:57
5 месяцев назад
KABILA LANGU - MTUNZI:  Fr  G.F KAYETTA
6:06
5 месяцев назад
EE BWANA UNIHUKUMU   MTUNZI: JOHN G'AMBILA
5:29
5 месяцев назад
FURAHINI EE YERUSALEMU  MTUNZI: S.  FLORIAN
4:06
6 месяцев назад
ULIMI WANGU  MTUNZI:  NICHOLAUS  CHILEMBA
5:49
6 месяцев назад
KRISTO NI YULEYULE   ANSBERT NGURUMO
4:24
9 месяцев назад
ASANTE MAMA WA YESU -  MTUNZI:  P. F MWARABU
6:01
10 месяцев назад
MPENI BWANA UTUKUFU  - MTUNZI: SHANEL KOMBA
4:06
10 месяцев назад
Комментарии
@DaudiNogela
@DaudiNogela 17 часов назад
Hongereni sana wapendwa,Mungu wa mbinguni azidi kuwabariki
@NasraHamis-ey2ff
@NasraHamis-ey2ff День назад
Huu wimbo unanifaliji sana na kuamin kuwa mungu ndiye mwamba wa maisha yanguu
@Allyprince-m3c
@Allyprince-m3c День назад
Mungu awabariki wote
@briankaruku1816
@briankaruku1816 День назад
Are they siblings
@martensnshimi3613
@martensnshimi3613 День назад
Ooh Mtukanji na waimbaji Yesu tunaejivunia awazidishie vipaji na si tuzidi kufarijiwa na nyimbo zakumtukuza Mungu
@Dr.Yuda_Romanus_Mahenge
@Dr.Yuda_Romanus_Mahenge День назад
sauti nzuri .... mavazi mazuri ....mnahubiri vizuri .... galax pro nzuri.... GOD BLESS YOU ''MSIKENGEUKE AISEEE''
@Apolo2002
@Apolo2002 2 дня назад
Congrats a lot asee
@Apolo2002
@Apolo2002 2 дня назад
Dah Vert sensitive song Congrats❤
@monicakimario2910
@monicakimario2910 2 дня назад
Mungu akubariki mno Isack kwa hiki kipaji alichokupa
@monicakimario2910
@monicakimario2910 2 дня назад
Mwenyezi Mungu ni Baba yetu hata katika madhaifu yetu. Tu kweli wa thamani machoni pake
@alpharichmond5760
@alpharichmond5760 2 дня назад
I love yoo songs even yoo sweetie voice inspring me enough❤🎉
@LucinaLeonce
@LucinaLeonce 2 дня назад
Mko vizr sana, Mungu awabariki waimbaji
@KojoAntwi-g6t
@KojoAntwi-g6t 2 дня назад
Translate this song in English for me
@janemwangi605
@janemwangi605 2 дня назад
Kweri wanakwaya wetu kwa mungu wetu tunathamani. Mungu awambaliki kupita kwa HUO wimbo una badili watu wengi sana. ASANTENI.
@MankaMushi-ic6pl
@MankaMushi-ic6pl 3 дня назад
Kila ukisikiliza wimbo huu unakua na furaha sn
@NgoyiRaphael
@NgoyiRaphael 3 дня назад
Ongereni kwaya mungu baba yetu Awa bariki
@JovithaAugustino-s9l
@JovithaAugustino-s9l 4 дня назад
Kinanda kimechezwa unyama sana honger san marco
@AtanasJohn-w1g
@AtanasJohn-w1g 4 дня назад
Mungú awé ñàwe kàtíka ßàfàrí yakó wító hóñgela kúimba çhristíàny ñgimba Mr ñgimba yàßín àñalínga ßaña kúwa ña wéwé ßóma saña❤❤❤❤
@YungaYunga-gi5kt
@YungaYunga-gi5kt 4 дня назад
Hongera kwa sauti nzury dada despina ❤
@germanusmtono6352
@germanusmtono6352 4 дня назад
Bikira Maria mama yetu, utuombee kwa mwanao
@guygerardmaindo3202
@guygerardmaindo3202 5 дней назад
Que Dieu vous bénisse mes frères et sœurs pour le service que vous êtes entrain de faire pour la Gloire de son Nom 🎉❤ Depuis Kinshasa Congo
@raurentkanjemartha
@raurentkanjemartha 5 дней назад
Unahdamani
@lydiabitwale4617
@lydiabitwale4617 5 дней назад
Mungu usikie maombi yangu maana unajua changamoto ninazopitia.
@MaryMitei
@MaryMitei 6 дней назад
Mungu awasidishie Kwa kuubiri injili kupitia Kwa wimbo❤
@MaryMitei
@MaryMitei 6 дней назад
I am blessed with the song❤
@DennisDara-i4i
@DennisDara-i4i 6 дней назад
Ukweli munajua sifa na hukuu mungu awape maana nyimbo zenu nikali na pia zinagusa maisha ya wasikilizaji nawaombea mungu awajalie neema na baraka mnapo litangaza jina lake kwa njia ya kuinjilisha
@DennisDara-i4i
@DennisDara-i4i 6 дней назад
Huu ndio wimbo unanipa nguvu kwa maana unamafundisho ya kutosha
@VeronicaMgwilanga
@VeronicaMgwilanga 6 дней назад
Najisikia laha sana ninapo sikilinza nyimbo nzuri sana🎉
@KASHUMBAAUDAX-nm7kw
@KASHUMBAAUDAX-nm7kw 7 дней назад
Hellow....kwema??? Samahan huu wimbo naweza kuupata kwa maandishi????
@pillykisinza
@pillykisinza 7 дней назад
vishindo vya wakoma
@CharlesKazeze
@CharlesKazeze 7 дней назад
Kama huna nyumbo za Despina kwenye kabati lako la nyimbo za kumsifu Mungu pole sana
@user-fo9cn6kx1s
@user-fo9cn6kx1s 7 дней назад
hongereni sana nabarikiwa sna
@mathiassuswa9173
@mathiassuswa9173 8 дней назад
Patiu ni mmoja👍👍
@StaminiBandi-s2o
@StaminiBandi-s2o 8 дней назад
Hongereni sana,mmeimba vizuri mno,huwa sichoki kuwasikiliza.Mungu azidi kutukuzwa,Bukuku zidi kuing'alisha lgogwe yetu.
@johackimmbeyale90
@johackimmbeyale90 9 дней назад
Despina ni mmoja tu hongereni sana wanakwaya kwa nyimbo yenye ujumbe ujumbe mnzuri
@mussakasela5562
@mussakasela5562 10 дней назад
Happy Sunday
@wandawawycliffe4138
@wandawawycliffe4138 10 дней назад
🙏🙏
@MuToto-g8b
@MuToto-g8b 11 дней назад
Mbalikiwe
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 11 дней назад
Wimbo wenu ni mziri isipokuwa mavazi yenu siyo mwafaka kwa uimbaji wa nyimbo za injili.
@immaculatewanjala6996
@immaculatewanjala6996 11 дней назад
Tazama,Mungu ndiye anayenipigania ❤
@ERICKSONBAGAKA
@ERICKSONBAGAKA 12 дней назад
Kazi Safi👏👏👏.mziki unatuliza roho kweli
@GodfreyMtenga-s4c
@GodfreyMtenga-s4c 12 дней назад
You have done very good
@HappyGoodluck-v3p
@HappyGoodluck-v3p 12 дней назад
Mungu awalinde mwendelee kueneza injili ya mungu
@AssensiaHappy
@AssensiaHappy 12 дней назад
Nzur sana dada
@ElizabethBeny
@ElizabethBeny 12 дней назад
Dada despina natamani kuimba na ww uninoe niwe kama ww jmn
@ElizabethBeny
@ElizabethBeny 12 дней назад
Catholic forever
@SabinaManonga
@SabinaManonga 13 дней назад
Despina hukoseagi
@tempochoir
@tempochoir 13 дней назад
Nice one 👏👏👏
@allyabdul7569
@allyabdul7569 13 дней назад
Uko vzr maduka unafanya kaz nzr by Daniel kazungu usagara
@mariabalige7132
@mariabalige7132 14 дней назад
Maria Balige Mungu asifiwe