Nafarijika kuona vijana wanaanza kutambua thamani na umuhimu wa kuenzi Muziki Mtakatifu Katoliki Tanzania Tapo la Kimapokeo. Organist huyu anafuata nyao za wazee wake hapa St Maurus Kurasini. Amefanya kazi ambayo imenikonga sana na kunipelekea kutoa maoni yangu.
Wazee wetu akina kayetta hata huko waliko watakuwa wanafarijika sana nyimbo zao zitaishi milele yote waimbaji mbalikiwe sana mpiga kinanda umenibariki sana