Тёмный
Chomoza Tv
Chomoza Tv
Chomoza Tv
Подписаться
KUKIELEWA KIZAZI Z. PASTOR FRED MSUNGU
31:34
4 часа назад
NIPATIE HAKI ADUI YANGU. BISHOP JOHN
11:30
4 часа назад
IMANI NA UMUHIMU WAKE. PROPHET JOSHUA BM
18:13
7 часов назад
SHERIA YA NGUVU. PASTOR FRED MSUNGU
15:47
21 час назад
USIOGOPE. NABII DKT. OLIVA
7:57
21 час назад
USIKATE TAMAA. NABII DKT. OLIVA
9:13
День назад
NEEMA NA NGUVU. PASTOR FRED MSUNGU
15:05
14 дней назад
Комментарии
@joycekajivo915
@joycekajivo915 3 часа назад
Hongera team Chomoza kwa kipindi chenye kuelimisha jamii njia sahihi ya maisha
@nobertjeradi6772
@nobertjeradi6772 13 часов назад
Wisdom
@user-nc6ve6be4u
@user-nc6ve6be4u День назад
Amina,najifunza
@Thomas-mt1oz
@Thomas-mt1oz День назад
Doctor Ubarikiwe sanaa2
@giftwieland6322
@giftwieland6322 День назад
Nampenda doctors mungu amtunze
@giftwieland6322
@giftwieland6322 День назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@MiracletestimonyofGodinJesusna
Mungu kwanza ibada hii imenisaidia sana kusimama kiimani ,nimebadilika nakuwa mpya,nahofu kutenda dhambi hata kama sionekani hakika sifa na utukufu kwa Mungu Baba wa Mbinguni katika Jina la Yesu.Mungu azidi kuibariki Huduma hii ifike katika mataifa yote, Mungu ambavyo amenigusa mimi basi nimaombi yangu akawaguse na wengine.
@BijetiFredinand
@BijetiFredinand 2 дня назад
Ubarikiwe mpendwa
@pendomwaiteleke1636
@pendomwaiteleke1636 2 дня назад
Team Chomoza tunaomba muandae semina ya kukutana live na DR ELLIE na sisi tuchangie tukiwa tunaonana, tunawaomba sana jamani
@kelvintety
@kelvintety 2 дня назад
Nashukuru Kwa masomo team chomoza
@MawazoMamy-eu9bl
@MawazoMamy-eu9bl 2 дня назад
Amena
@ianazori6510
@ianazori6510 2 дня назад
Amen Amen
@Coachsamwel
@Coachsamwel 2 дня назад
Nampenda sana Dr Elly na wabeba maono wa kipindi hiki..nafaidikaga sana
@user-lz6kh7xj2v
@user-lz6kh7xj2v 2 дня назад
2024😢
@agathaservas7805
@agathaservas7805 2 дня назад
sisi watazamaji wa youtube Tunaomba msihide baadhi ya masomo (private)tunashindwa kufungua na tunapenda sana kujifunza tunapitwa tusipoona ata nusu somo.tafadhali tunaomba.
@silverman6930
@silverman6930 2 дня назад
Wow what an excellent lesson . Thanks all 🇬🇧🙏🙏
@user-tu8se3oo7u
@user-tu8se3oo7u 3 дня назад
🙏
@kevinmtei1457
@kevinmtei1457 3 дня назад
Thank you Dr and team chomoza.
@hamidafundi-pw1gw
@hamidafundi-pw1gw 3 дня назад
Wazazi wanakosa mawasiliano thabiti na watoto wao. Baba na na mama kukinzana mbele ya watoto haifai.Wazazi kosoaeneni mkiwa wawili. Watoto wajifunze kuwakubali wazazi vile walivyo. Ukimzaa mtoto anakutambuwa wewe kwa nasaba uliyompa, hakuna jitihada ili akutambuwe. Mtoto anatakiwa awasogelee wazazi wake. Hakuna jambo kubwa sana unaloweza kumfanyia mtoto wako zaidi ya kumzaa . Mzazi hupaswi kufanya jitihada zozote ili mtoto akutambuwe Nimejifunza asante Chomoza, pongezi Dr Ellie. ❤❤❤❤🎉
@NadyaJuma
@NadyaJuma 3 дня назад
Jamani nimefurahi sana umenifunza mwenyezi mungu anifanyie wepesi niwe kimya niwe na amani moyoni mwangu
@bushimani1544
@bushimani1544 3 дня назад
GD dokita
@saidaegwaga1978
@saidaegwaga1978 3 дня назад
Amina,ashukuriwe Mungu baba anaetupa neema ya kujifunza, msamaha na namna ya na kuratibu mambo🙏🙏
@user-cr6px2wk6x
@user-cr6px2wk6x 3 дня назад
Somo zuri Asante chomoza Mungu awa bariki sana🙏
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 3 дня назад
Umenifanya nisijifunze kwa mwingine
@JosephatKinemo
@JosephatKinemo 3 дня назад
Anko jimmy, nahitaji vitabu vya Dr eli, naomb unisaidie jinc y kuvipata, niko wilaya y Serengeti mkoa wa mara
@user-md8zj5om3x
@user-md8zj5om3x 3 дня назад
✍✍✍
@saramwaigomole7112
@saramwaigomole7112 3 дня назад
love is life and life is love thank you Dr Ely
@DorethMselem
@DorethMselem 3 дня назад
Tunawacheki kwa upendo wa dhati tafadhal baba tunaomba uandae mkutano tuje tukutane tule tunywe tucheke tuonane macho kwa macho mi napenda hivyo tutachangia baba
@WilliamMaziku-l9c
@WilliamMaziku-l9c 3 дня назад
Kweli dorethmselem
@rehemabakari4150
@rehemabakari4150 3 дня назад
Zitoe bhana
@rehemabakari4150
@rehemabakari4150 3 дня назад
Umerudi na ndevuu kaka Jimmy 😅😅
@rehemabakari4150
@rehemabakari4150 3 дня назад
Wow I was waiting for it ❤❤❤ thank you so much
@user-yo5km5kx5h
@user-yo5km5kx5h 3 дня назад
Efatha church ❤❤ Nikweli kabisa
@bethajonas4814
@bethajonas4814 4 дня назад
amina mtume
@gadyjohn3815
@gadyjohn3815 4 дня назад
Brother Jimmy, kwa jina naitwa Gady, ni mchungaji ambaye nimeanza huduma, nabarikiwa sana na dr Ellie, nina sadaka yangu ndogo nilitaka nimfikishie, lakini pia nina ombi, nahitaji mawasiliano nae kama inawezekana.
@nobertjeradi6772
@nobertjeradi6772 4 дня назад
🙏
@bethajonas4814
@bethajonas4814 4 дня назад
amina mtume mungu wa mbingungu akulinde uendelee kutufundisha mafundisho ya mungu ubarikiwe sana
@JacksonKabelege
@JacksonKabelege 4 дня назад
Naitwa Jackson kabelege naomba unitabilie maisha yang
@rehemabakari4150
@rehemabakari4150 5 дней назад
Asante
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 5 дней назад
Ahsante sana
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 5 дней назад
Ahsant
@JaneMkinga
@JaneMkinga 5 дней назад
Ameeen🎉
@JaneMkinga
@JaneMkinga 5 дней назад
Ameen!! Baba yetu tupe nondo tusimame katika neno tujue kweli ituweke huru
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 5 дней назад
😅
@Fahilarashid
@Fahilarashid 6 дней назад
Yani Mtumishi Mungu akubariki sana yani mpaka sitaki mahubiri yaishe kbs
@jumannejisena3117
@jumannejisena3117 7 дней назад
❤❤❤
@hamidafundi-pw1gw
@hamidafundi-pw1gw 7 дней назад
Kuwa kiongozi ni usikivu mahiri kutoka ndani. Majaribio ni kwa mambo siyo kwa maisha. Kuwa kiongozi si kwa siasa tu .Uongozi ni baba,mama,mwana. Wanaofaulu ni wanaosikiliza. Umakini unatembea na usikivu. Siku ni moja tu ,majina tofauti. Ondoa (what's next) .MWENYEZIMUNGU tu ndiye ajuaye kinachofuata katika maisha yetu. Kukiri ndiyo kuhisi na kuishi kwetu.Usikivu ni kila kitu. Nimejifunza ❤❤❤🎉Asante Chomoza pongezi Dr Ellie.
@user-fg4jn9ms5n
@user-fg4jn9ms5n 8 дней назад
From Kenya 🇰🇪 we need you baba
@JohnDaud-n2y
@JohnDaud-n2y 8 дней назад
Naomba kuonana na Dr bro Jimmy tafadhali.
@abdirahmanmahamudmuhumedka6713
@abdirahmanmahamudmuhumedka6713 8 дней назад
😂😂😂😂 hakuna Kama hananja
@sun-by1xb
@sun-by1xb 8 дней назад
❤❤❤