Тёмный

"Mawazo" Sehemu Ya 64 Thoughts Dr Elie VD Waminia 

Chomoza Tv
Подписаться 216 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
RU-vid : www.youtube.com...
#ChomozaTv#2024
🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 Месяц назад
😍😍 Kiswahili...luga tamu sana....Docta , Aksanti sana kwa mafundisho ! Merci beaucoup...
@hamidafundi-pw1gw
@hamidafundi-pw1gw Месяц назад
Usikivu ni kusikiliza. Umakini ni kusikiliza hulenga kuelewa maana mwanafunzi anasikiliza.Maono yanajengwa na sauti kwa kuona na kusikiliza.Maamuzi sahihi hutokana na KUSIKILIZA ili kuishi maisha bora.Utulivu ni USIKIVU. Kusikiliza ,hisia kusikiliza sauti, kusikiliza picha za watu wengine. Usipokuwa makini kwa hisia,picha na sauti zisipomatch utapoteza usikivu. Hivyo vitatu ni muhimu kupendana. Nimejifunza. Asante Chomoza, pongezi Dr Ellie
@yamungummungulo633
@yamungummungulo633 Месяц назад
Dr ukimaliza somo la mawazo utufundishe kuhusu siku za mwisho kwa mujibu wa kitabu cha Daniel na ufunuo kam ikikupendeza
@shantalismailhassan9878
@shantalismailhassan9878 Месяц назад
Bonge la somo dr. Asante na ubarikiwe sana.
@user-cr6px2wk6x
@user-cr6px2wk6x Месяц назад
Kwakweli chomoza mbarikiwe sana 🙏🙏🙏
@WilliamMaziku-l9c
@WilliamMaziku-l9c Месяц назад
Asante Dr kwa somo hili.
@aishavogelmann5021
@aishavogelmann5021 Месяц назад
Shukran sana mubarikiwe mpaka mushangae
@doriskyaruzi7509
@doriskyaruzi7509 Месяц назад
Mmh hakika unenusaidia
@WilliamMaziku-l9c
@WilliamMaziku-l9c Месяц назад
Asante Dr.
@CharlesKagama
@CharlesKagama Месяц назад
Nice
@ShabaniKarimu
@ShabaniKarimu Месяц назад
Napona sanaa
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 10 дней назад
❤❤❤❤❤❤
@AFYAKWAWOTE-jp5eh
@AFYAKWAWOTE-jp5eh Месяц назад
Your the best,, Mwalimu wangu wa faida ya leo na kesho yangu,, ubarikiwe sana pamoja na timu yako.
@kevinmtei1457
@kevinmtei1457 Месяц назад
🙏
@wazirimfilinge2610
@wazirimfilinge2610 Месяц назад
Wow Chomoza
@DorethMselem
@DorethMselem Месяц назад
😊
@joycekajivo915
@joycekajivo915 Месяц назад
Be blessed team chomoza
@marrykundya5629
@marrykundya5629 Месяц назад
Jimy dk 5 ulizoongeza nzito sana,uwe unaongeza hivohvo,Asante Dr
@Backbencher-h2d
@Backbencher-h2d Месяц назад
uyo awe ananyamaza tusikilize kwa makini 😮😢
@hamidafundi-pw1gw
@hamidafundi-pw1gw Месяц назад
Umeona eeh, kweli kabisa.
@ZachariaAlex
@ZachariaAlex Месяц назад
Sina hasara kila nimsikilizapo docka
@happystevemaganga1873
@happystevemaganga1873 Месяц назад
Sauti haitulii kuna mvumo unasikika
@mfungobryceson5530
@mfungobryceson5530 Месяц назад
aongezewe muda
@user-tu8se3oo7u
@user-tu8se3oo7u Месяц назад
🙏
Далее
"Mawazo" Sehemu Ya 69 Thoughts Dr Elie VD Waminia
41:14
"Mawazo" Sehemu Ya 65 Thoughts Dr Elie VD Waminia
37:22
"Mawazo" Sehemu Ya 62 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
28:46
"Mawazo" Sehemu Ya 60 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
31:57
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
"Mawazo" Sehemu Ya 10  (Thoughts) Dr Elie VD.Waminian
35:04
Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.
32:46