Тёмный
Qurani na Sunnah TV
Qurani na Sunnah TV
Qurani na Sunnah TV
Подписаться
IBADA YA KUCHINJA UDH HIYA
29:44
4 года назад
DUA YA MSAFIRI
0:54
4 года назад
Комментарии
@abdulikhamis
@abdulikhamis Месяц назад
Jazakallah khair
@user-nl1ou9ow2l
@user-nl1ou9ow2l Месяц назад
Shekhe,akiacha uhizbiya,hali yake ya mwanzo itarejea.hivyo answar Sunnah ni hizbi na yeye shekhe ni hizbi.hivyo sijaona kama unautofauti nao.
@azizaj776
@azizaj776 2 месяца назад
Hakuna tafauti kati ya Dawaa Salafia na Dawaa Answari Sunna WOTE Ramona na WOTE wafuasi wa IBNU TIMMIYA NA MOHAMMED ABU WAHABI ambao WOTE ni FINARIY JAHANAM - AMEEN 🤲🤲🤲🤲
@ObAH
@ObAH Месяц назад
Ittaqillah akhy
@MteleShadia-lc6gi
@MteleShadia-lc6gi 11 месяцев назад
Hawaaa mashekh wengne wakjing kbsaa,,sasaa mtuu ataachaje kumsklza nurdin kishik
@MteleShadia-lc6gi
@MteleShadia-lc6gi 11 месяцев назад
Wee mpumbavu snaa ,,kwann tusimsklze mtaaalam nurdin kishik ambaye anampendaa Kila mtuu
@shabanimbiaji
@shabanimbiaji 11 месяцев назад
Subhannallah!!!!!
@shabanimbiaji
@shabanimbiaji 11 месяцев назад
Wewe una nia mbaya na dini mche ALLAH!!!!
@user-ti6tn7bs9q
@user-ti6tn7bs9q 11 месяцев назад
Unajua huyu qassim mafuta Manchester uyuu
@FatinaYahay-yi5rn
@FatinaYahay-yi5rn Год назад
Mashaallah ❤❤❤
@user-vg6gp3bz1f
@user-vg6gp3bz1f Год назад
Mtutoleye karaha Nyie masalafi ni madajjal Allah atukinge na shari zenu😂
@katore1982
@katore1982 Год назад
Assalamualaikum warahmtullah wabaraqthu
@user-qy3br1xc5m
@user-qy3br1xc5m Год назад
Hahahahah mawahabi wanapigana raddi wenyewe kwa wenyewee alafu ndio munawaamini na munawasikiliza na kufuata maneno yao
@umuuhafswa9414
@umuuhafswa9414 Год назад
Ma shaa Allah harakAllah fiyk sheikh wetu Allah akuifadhi Allahuma Amiyn
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Год назад
Bado kidogo kuwafanya watu wafunge hadi kufa kama mwenzakooo wa kenya😅😅😅😅😅
@awadhgugu317
@awadhgugu317 Год назад
Allah awajaalie upendo na kuelekezana kwa njia ya Allah mashekhe wetu
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Год назад
ALLAH amrehemu shekh wetu Nasoro bachu ametuachia mashine Muhammad bachu kiboko each majadida na msufi na wenzao mashia na vikundi vingine
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Год назад
Ww ni kama mnyamaa haramu ngurue mbwa kasimu mafuta
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Год назад
Qasimu ww uache watu wabidaah umseme mtu wa suuna mwenzako
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Naskiliza wote We nani huna haki ya kunipangia nani nimsikilize
@kijakazimussa2060
@kijakazimussa2060 Год назад
Kwel
@allykalaile-ek3zg
@allykalaile-ek3zg Год назад
mashaallah allah amhifadhi shekh kassim mafuta hifdhahu llah
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Год назад
ALLAH amuongoze jadidah lakupepea Qasimu mafuta yataa kwa uongo wake ..na amswamehe kwa chuki zake ALLAHUMA Amini
@ameirchum-qw5yv
@ameirchum-qw5yv Год назад
Acheni kuz0zana nyinyi elekezaneni tu
@ybyb8657
@ybyb8657 Год назад
Dah pole kwa huyo mkewe aolewa na dereva wake wa matatu ndomana mie nasema siku zote wanawake sio watu 😎
@hudhaimaissa3151
@hudhaimaissa3151 Год назад
Jazaakallah khayran
@hudhaimaissa3151
@hudhaimaissa3151 Год назад
Jazaakallah khayran
@batulialmass8914
@batulialmass8914 Год назад
Masha Allah
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Год назад
Ukweli kuhusu Qaasim mafuta na watu wake.👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-83R_95FQpl8.html
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Год назад
Sheikh kishk anafaa sn tutamsikiliza sana mbona yuko vzr ma sha allah
@aboumuqbil2529
@aboumuqbil2529 Год назад
Kwani wewe unaonaje mtu kamkoseya allah na kapoteza umma wa watu ivi yeye akifanya Toba bila hawa kujuwa toba yake itamsaidiyaje na ilihali kosa alilolifanya umma wa watu wanalifanya Kwa sababu yake yeye
@Abutwaibah001
@Abutwaibah001 Год назад
Hata huyu mafuta hafai kuskizwa kwa sababu kichwa cha saratani kwa jina la usalafy.
@awadhmchaki6567
@awadhmchaki6567 Год назад
Sheikh Abdallah Humeid MaashaAllah umesema kweli kabisa mahizbi woote yatawauma sana ukielewa HAQ ni Raha Alhamdulillah
@awadhgugu317
@awadhgugu317 Год назад
Hapa sio mambo ya kuoneshana au mtu kuwauma hiio itakua chuki na fitna hapa tunaelekezana kwa ajili ya,Allah. Elewa ivo ndugu
@hclever7731
@hclever7731 Год назад
𝐁𝐚𝐝𝐚𝐥𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐚𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐞𝐦𝐞𝐚 𝐦𝐚𝐨𝐯𝐮 𝐞𝐭 𝐮𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐞𝐦𝐞𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐡𝐞𝐤𝐡 𝐰𝐞𝐧𝐳𝐢𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨 𝐚𝐦𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐦𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐚𝐭𝐚𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐨𝐯𝐮,,, 𝐓𝐚𝐭𝐢𝐳𝐨 𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐣𝐢𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐭𝐮,,,, 𝐊𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐨𝐯𝐮 𝐦𝐚𝐧𝐠𝐚𝐩𝐢 𝐡𝐮𝐤𝐨,,, 𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐮𝐬𝐢𝐚𝐧𝐳𝐞 𝐤𝐮𝐤𝐚𝐭𝐚𝐳𝐚 𝐝𝐚𝐝𝐚 𝐩𝐨𝐚 𝐡𝐮𝐤𝐨,, 𝐦𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐚,, 𝐧𝐲𝐢𝐦𝐛𝐨,, 𝐔𝐧𝐚𝐩𝐢𝐠𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐡𝐞𝐤𝐡 𝐰𝐞𝐧𝐳𝐢𝐨,,, 𝐀𝐂𝐇𝐄𝐍𝐈 𝐊𝐔𝐏𝐎𝐓𝐄𝐙𝐀 𝐔𝐌𝐌𝐀,, 𝐖𝐚𝐭𝐮 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐡𝐚𝐦𝐮𝐭𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐞𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐨𝐲𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 Год назад
Funga kinya wewe mafuta kwa kuwadanganya ummah Aifayi muislamu kushirikiana na makafiri dhidi ya mwislamu Soma vitabu vya Sheikh Muhammad ibn Abdul Wahab rahimahullah
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Acheni kuzitakasa nafsi mtakaseni ALLAH SUBHANAHU WATAALA Peķee .Tuache Daawa za kibishoo tufanye Daawa kiucha za kiùchaMungu.
@allybakarykombo6785
@allybakarykombo6785 Год назад
aya inayosema shikamaneni na kamba ya mwenyezi mungu wala msifarikiane iko wapi, hamna shida nayo
@abuuaminah5655
@abuuaminah5655 2 года назад
Usalafiya ni project ya mayahudi.
@East_Africa_120
@East_Africa_120 Год назад
Ulikuepo nao hao mayahud wakati wanaandaa iyo project au unaleta habari za kila wa kala
@mwanju3981
@mwanju3981 5 месяцев назад
Ukiona muslamu anaungana mmarekani ni myahidi wa wazi wazi...marekani iko kwa aajili ya mayahudi ​@@East_Africa_120
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 2 года назад
Jazaaka llahu khairan yaa shaikhana
@mohamedmnango3660
@mohamedmnango3660 2 года назад
Ninyi mnalingania watu katika utalafy na si usalafi hamuwezi kupangia watu shekh wa kumsikiliza
@wajawemaonlineTV
@wajawemaonlineTV 2 года назад
UNYA NYA SAJI UNAO FANYWA NA WASHIA KWA MABINTI WA KIISLAM KWA KUFARADHISHA NDO.... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-uAvRvzTyImY.html *MZUNGU MZAJI SHEIKH ABDUL RAUF AL MUNAAWIY*
@ramaally9250
@ramaally9250 2 года назад
shukran
@ramaally9250
@ramaally9250 2 года назад
yaani unatwambia ndio hivo hivo
@ramaally9250
@ramaally9250 2 года назад
kweli ahsaa
@mgombaabdallahhassan8497
@mgombaabdallahhassan8497 2 года назад
Asallamu a'alaykum akhi alhamdullalah shekh Allah akuhifadhi ila nauliza ivi sunna ya baadiya na kabriya zinafaa kuswaliwa nyummbani kwa sisi wanaume?
@datuutigo2772
@datuutigo2772 2 года назад
Asslm alykum waislam sote nindugu Sasa kwann tunagombn kwamamb yadin Kam cc waislam tunafanya hiv jee watu wadin nyengin watapata nguvu kweli yakuja kwenye sini yahaki yakiislam
@mussamakalani694
@mussamakalani694 2 года назад
Shekhe Usha kosea uisilaam umeelekeza jinsi ya kuelimishana so kuzalilishana na kujiona wewe bola mala ngapi ameongea maneno mazul uliyatangaza mtandaon umesubili ateleze up no unafki na husda rejea kwa Allah Mana unamchukiza allah
@uledihassan6065
@uledihassan6065 2 года назад
Huyu sheikh ni mtu wa kupuuzwa ni jahili katika majahili
@abubakarabdurahman7415
@abubakarabdurahman7415 2 года назад
Assalaam alykum!! Mimi napenda kuchukua nafasi ya kumnasihi huyu ndugu yangu aliendika comment mwanzo kabisa kua sheikh abul fadhli ni shaykhul islaam!! Haya maneno ni ya ghuluu yaan kuchupa mipaka kwa kassimu mafuta huyu ni sheikh na anajitihada ya kulingania daawa km walivo masheikh wetu wabora wengine km sheikh wetu mlezi sheikh mujahid na wengine!! Lkn hana manzila ya kuitwa eti ni sheikhul islaam
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Mche MOLA wako. Yeye ni binadam na anakosea kama wakoseavyo wengine. Kuna mambo mengi atakiwa kuzingatia. Attarghib wattarhiib. Ajirekebishe kwa ajili ya ALLAH SUBHANAHU WATAALA.
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Год назад
Amekosea nini?
@tarish001
@tarish001 2 года назад
Mola amhifadhi Sheikh ul Islam Abuu Fadhl Mafuta.
@abuuaminah5655
@abuuaminah5655 Год назад
Mafuta Ni Sheikh Islam ama Ni Zee la Mipasho,🤣🤣🤣
@Menino938
@Menino938 Год назад
Usifanye ghuluwu sheikh kassim anamchangu mkubwa lkn usimpeleke uko
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Год назад
Kwaiyo sio muislamu?
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 2 года назад
Sheikh Kila mtu tutamsikiliza sababu sisi wenyewe tunayetu kwaiyo tutamsikiliza Kila mtu Ila tutamfuata mtume.Muhamadi (S. A .W).Kama tunawasikiliza Wana siasa itakuwa masheikh .Lazima tuwasikilize .Ata wewe tunakusikiliza ijapokuwa hatukufati .Mbora wetu mcha Mungu tu.Na sifa za wacha Mungu zinajulikana .Kwa machoyangu kibaka kapola sm asubuhi walikuwa wawili kwenye bodaboda kwa bahati mbaya yule mdada aliyopolwa kibegi kamng'ang'ania yule kibaka raia wakawai kapigika alitoa shahada mbaka anakata roho .Kimanga magengeni. Tusisemane vibaya sote tuombe mwisho mwema .Kundi la watu unaowavutia kwako watakusaidia Nini kaburini .Tunaitaji lugha kwa ajili ya kuswali tu .hizo nyingine mbwembwe.kwa ajili ya kujionesha msomi.Mbona watu watabrii wanatusomea hadithi kwa kiswahili tunawaelewa vizuri Sana . Hacheni Ayo Mambo mnajizalilisha wanaosikiliza Ni wengi .Msifiche sura toeni sura zenu .ili tuwajue Pengine makafiri mliosoma uislam mnaamua kuwaaribia waislamu .
@ekishaschool163
@ekishaschool163 2 года назад
Baaraka llaahu fiyka wajazaaka llaahu khayraa