Тёмный

Ni ipi tofauti kati ya salafiya na Answari sunnah:Sheikh Kassimu Mafuta-Allah amuhifadhi 

Qurani na Sunnah TV
Подписаться 1,9 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 июн 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Acheni kuzitakasa nafsi mtakaseni ALLAH SUBHANAHU WATAALA Peķee .Tuache Daawa za kibishoo tufanye Daawa kiucha za kiùchaMungu.
@tarish001
@tarish001 2 года назад
Mola amhifadhi Sheikh ul Islam Abuu Fadhl Mafuta.
@abuuaminah5655
@abuuaminah5655 Год назад
Mafuta Ni Sheikh Islam ama Ni Zee la Mipasho,🤣🤣🤣
@Menino938
@Menino938 Год назад
Usifanye ghuluwu sheikh kassim anamchangu mkubwa lkn usimpeleke uko
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Год назад
Kwaiyo sio muislamu?
@allykalaile-ek3zg
@allykalaile-ek3zg Год назад
mashaallah allah amhifadhi shekh kassim mafuta hifdhahu llah
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 10 месяцев назад
ALLAH amuongoze jadidah lakupepea Qasimu mafuta yataa kwa uongo wake ..na amswamehe kwa chuki zake ALLAHUMA Amini
@abubakarabdurahman7415
@abubakarabdurahman7415 2 года назад
Assalaam alykum!! Mimi napenda kuchukua nafasi ya kumnasihi huyu ndugu yangu aliendika comment mwanzo kabisa kua sheikh abul fadhli ni shaykhul islaam!! Haya maneno ni ya ghuluu yaan kuchupa mipaka kwa kassimu mafuta huyu ni sheikh na anajitihada ya kulingania daawa km walivo masheikh wetu wabora wengine km sheikh wetu mlezi sheikh mujahid na wengine!! Lkn hana manzila ya kuitwa eti ni sheikhul islaam
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Mche MOLA wako. Yeye ni binadam na anakosea kama wakoseavyo wengine. Kuna mambo mengi atakiwa kuzingatia. Attarghib wattarhiib. Ajirekebishe kwa ajili ya ALLAH SUBHANAHU WATAALA.
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Год назад
Amekosea nini?
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 Год назад
Funga kinya wewe mafuta kwa kuwadanganya ummah Aifayi muislamu kushirikiana na makafiri dhidi ya mwislamu Soma vitabu vya Sheikh Muhammad ibn Abdul Wahab rahimahullah
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Год назад
Ukweli kuhusu Qaasim mafuta na watu wake.👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-83R_95FQpl8.html
@azizaj776
@azizaj776 16 дней назад
Hakuna tafauti kati ya Dawaa Salafia na Dawaa Answari Sunna WOTE Ramona na WOTE wafuasi wa IBNU TIMMIYA NA MOHAMMED ABU WAHABI ambao WOTE ni FINARIY JAHANAM - AMEEN 🤲🤲🤲🤲
@user-nl1ou9ow2l
@user-nl1ou9ow2l 6 дней назад
Shekhe,akiacha uhizbiya,hali yake ya mwanzo itarejea.hivyo answar Sunnah ni hizbi na yeye shekhe ni hizbi.hivyo sijaona kama unautofauti nao.
@kassimualli1600
@kassimualli1600 2 года назад
Nyie wavuruga dini mbona mnaficha sura zenu washenzi wakubwa nyie
@abjalinajuma6942
@abjalinajuma6942 2 года назад
Kwa misingi ya manhaj picha ni haramu
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u Год назад
Na yako tutumie kaka.
@jumanasoro8903
@jumanasoro8903 2 года назад
Huna kitu wewe
@abuuaminah5655
@abuuaminah5655 Год назад
Usalafiya ni project ya mayahudi.
@East_Africa_120
@East_Africa_120 Год назад
Ulikuepo nao hao mayahud wakati wanaandaa iyo project au unaleta habari za kila wa kala
@mwanju3981
@mwanju3981 3 месяца назад
Ukiona muslamu anaungana mmarekani ni myahidi wa wazi wazi...marekani iko kwa aajili ya mayahudi ​@@East_Africa_120
@wajawemaonlineTv
@wajawemaonlineTv Год назад
UNYA NYA SAJI UNAO FANYWA NA WASHIA KWA MABINTI WA KIISLAM KWA KUFARADHISHA NDO.... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-uAvRvzTyImY.html *MZUNGU MZAJI SHEIKH ABDUL RAUF AL MUNAAWIY*
@muhammadmochenje1409
@muhammadmochenje1409 2 года назад
Shkh kassim mafuta hivi na kutetea saudi Arabia 🇸🇦 kutaka msaada kwa wamarekani 🇺🇸,kumpiga Sadam hussein mbona hiyo Saudi Arabia 🇸🇦 haitaki msaada 🇺🇸 kuwasaidia wapalestina,ambao hawa wapalestina wanadhulumiwa na Israeli 🇮🇱?hata useme nini Saudi Arabia 🇸🇦 na baadhi ya wafalme wao ni vibaraka vya mwamerika hilo liko wazi.
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 года назад
Wewe ushafanya Nini tuone Kama mfano? Pili kipi ni Bora kibla ya Kwanza au al Kaaba?,
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 года назад
Marekani wanashirikiana na Saudia kwenye Nini?, 1. Diyni?(Daawa) 2. Biashara 3. Security 4. All of the above?
@abuuaminah5655
@abuuaminah5655 Год назад
Salafiy nii project ya mayahudi. Kafiri au asieswali kwao Hana tatizo,lakini shida Yao ni kwa waumini wa kiislamu. Usalafi ni kuvuruga waislamu na uislamu.
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u Год назад
@@abuuaminah5655 chunga unachokisema kaka, sababu aya na hadith ndio twawasikia wakisema! Ikiwa jambo huna ilmu nalo bora kuliwacha tu, sababu ukiulizwa siku ya kiama ulieleze hilo kwa ushahidi wallahi huna hoja ila chuki tu ulizobeba.
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Год назад
Uzuri wa uislamu ni kuachana na yasiyokuhusu
Далее
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58
АРЕХ ПОЙМАЛ БЕЛКУ ОТ ИГРЫ ВП
15:01
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
03:26
Просмотров 30 млн
How to Measure ANY Cliffs Height with a Rock
00:46
Tofauti ya Masalafi na Answar Sunna wa Tanzania @rifqtz
27:19
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58