Тёмный
AGALUS  TV
AGALUS  TV
AGALUS TV
Подписаться
Hello 👋
Welcome to my channel . This channel for sharing some of ideas about Agricultural and poultry issues.
FAIDA ZA TULA TULA/NDULELE KWA KUKU
4:22
14 дней назад
AINA 7 ZA MAJANI ANAYOKULA NGURUWE
5:44
2 месяца назад
FAIDA ZA KUKATA MENO NGURUWE 🔥
0:57
4 месяца назад
HUDUMA KWENYE MAHARAGE SIKU 30 ZA MWANZO
4:35
4 месяца назад
BRUDA BORA/CHUMBA CHA VIFARANGA
4:24
5 месяцев назад
Комментарии
@MwamvitaShabani-cn4tv
@MwamvitaShabani-cn4tv 4 часа назад
Asante kwa mafunzo naomba mnielekeze
@ZacariasMussaAmisse
@ZacariasMussaAmisse 11 часов назад
High I am far away but I am and galaus how about kunyonyoan a mabawadawa asili ipi help
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 часов назад
You mean lost in feathers or
@MarystellaMhalule
@MarystellaMhalule 13 часов назад
Nashukuru kwa elimu Yako mchaichai ninao lakini nilikuwa sijui kama ni dawa ya kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 13 часов назад
Anza sasa kutumia
@rahmahussein3452
@rahmahussein3452 16 часов назад
Asante shukran
@AGALUSTV
@AGALUSTV 16 часов назад
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
@rahmahussein3452
@rahmahussein3452 16 часов назад
Kuku wangu wanatoa minyoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 13 часов назад
Tumia majani ya mpapai au kanunue dawa za minyoo
@MwajumaKindogoya
@MwajumaKindogoya 17 часов назад
Naomba unitumie video hiyo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 16 часов назад
Ipi ndugu
@MwajumaKindogoya
@MwajumaKindogoya 17 часов назад
Naomba unitumie video hiyo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 13 часов назад
Ipi ndugu
@MwajumaKindogoya
@MwajumaKindogoya 17 часов назад
Asante kwasomo naomba nitumie video
@AGALUSTV
@AGALUSTV 16 часов назад
Video ya kuhusu ugonjwa gani apo
@IdaRweyasiza
@IdaRweyasiza 18 часов назад
Asante sana ubarikiwe.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 16 часов назад
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 18 часов назад
Kuku akiwa sawa anafaa kutoa kinyeshi gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 16 часов назад
Angalia vizuri video hii ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-0d1oBjYEfLA.html
@AthumaniMalukuta
@AthumaniMalukuta День назад
Mimi ninavifalanga.wa.mwezi..mmojawanamafua.kuhala..natumia.dawa..gani? 5:12
@AGALUSTV
@AGALUSTV 19 часов назад
Apo ni dawa za mafua . Zipo nyingi sana tembelea duka la mifugo watakupatia waliyonayo. Usijali watapona pia zingatia hewa safi bandani
@faudhiaamour1914
@faudhiaamour1914 День назад
Habari juzi niliwapa pumba vifaranga wangu wa wiki 2 na nusu lkn sasa mpk kufika ivi leo nmeona wanapata uvimbe maeneo ya macho yao pia wamejongea sana nini shida
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Uo uvimbe upo vp? Fuatilia video hii uone aina mbali mbali za matatizo ya macho na dawa zakeru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-V_OsGbOnjgA.html
@CollinsAgoi-e3y
@CollinsAgoi-e3y День назад
Nimeshukuru sana kwa mawaiza yako ningependa kujua kama kuku wangu ni wanyonge na wanavimba jicho moja ama yote mawili shida anaweza kua nini naomba usaidizi
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Angalia hii video ina magonjwa mbali ktk macho na dawa zake ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-V_OsGbOnjgA.html
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 День назад
Kuku wangu wanatoa kinÿeshi nyeupe nakikiwa majimaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Wape dawa ya trisumuilsyne
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 День назад
Kinyesi kieupe kiko sawa ama nkimbaya
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Ni hali ya kuumwa
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 День назад
Kuku kutoa kinyeshi za white sida ninini
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Ni kwa kuku WA umri gani
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 День назад
@@AGALUSTV miezi mbili
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 День назад
@@AGALUSTV miezi mbili
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
@martinkaranja9265 wape dawa kama trisumuilsyne
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
@martinkaranja9265 wape dawa kama vile trisumuilsyne
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 День назад
Naweza wapea hii dawa ya mimea nikiwa nimewapea dawa za duka za kinderi
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Wik Moja ipite Toka dawa Moja na nyingine
@Bénigne-k4x
@Bénigne-k4x День назад
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 День назад
Kuku wangu wako na miezi mbili naweza wanyima chakula ya usiku
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Ndio unaweza ila hakikisha unawapa kiasi sahihi mida ya mchana
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 День назад
Kuhara kwa kuku kinyesi majimaji sida ni nini
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Rangi gani
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 День назад
@@AGALUSTV rangi ya white
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 День назад
@@AGALUSTV rangi ya white
@mosesemmanuel7751
@mosesemmanuel7751 День назад
Je nikuku Ain site au
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Ndio aina zote
@TrinityAnyasime-wg4rl
@TrinityAnyasime-wg4rl 2 дня назад
Naomba kuuliza kaka jinsi ya kufunga mche katika mambo au vijiti
@AGALUSTV
@AGALUSTV День назад
Sawa sawa ila waweza ona kupitia video hii ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-DzhLF5dFuGA.html
@josephinendunge7741
@josephinendunge7741 2 дня назад
Bata huatamia siku gapy?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
28
@DorinaGanshonga
@DorinaGanshonga 2 дня назад
Habari hiyo molasisi inauza dukani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Ndio baadhi ya maduka wanayo
@jofreypius4806
@jofreypius4806 2 дня назад
Naomba faida yake
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Faida za majivu kwa kuku ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-7d92wPNocxM.html
@jofreypius4806
@jofreypius4806 2 дня назад
Nakufatilia sn hp
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Tupo pamoja sana ndugu
@jofreypius4806
@jofreypius4806 2 дня назад
Km unna goup la wasp naomba niwepo mm
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Sawa sawa ndugu
@jofreypius4806
@jofreypius4806 2 дня назад
Naomba kujua kitu kuotka kwenu mayai unaweka wap na kwa muda ngan
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Kwenye trey au box , ni kwa wiki 2
@jofreypius4806
@jofreypius4806 2 дня назад
@@AGALUSTV asante mn mm nilikuwa naambie siku 7 tu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
@jofreypius4806 okay
@Grace-og9wl
@Grace-og9wl 2 дня назад
Okay
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Pamoja sana ndugu
@mariamjaphary9365
@mariamjaphary9365 2 дня назад
Kwhy lita 10 naweka vijiko vya chakula 10?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Yes ni wastani uo
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 2 дня назад
Kuku wangu wanaenda kumaliza miezi mbili nasikuwa nimemaliza kuwapa vaccination nilikuwa nimewapea vaccination tatu nikam aisha moja wakagojeka nikawapa tyrodoxy arafu nikawapa za monyoo nauliza kama naweza wapea hiyo vaccination hiyo ya mwisho mwisho
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Unaweza ila hakikisha Wana afya njema
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 2 дня назад
@@AGALUSTV asaante kwa hayo masomo daktari
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
@martinkaranja9265 tupo pamoja sana ndugu tuendelee kufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 2 дня назад
Kuku wangu niliwapea vaccination tatu yakwanza Newcastle ya pili nguboro yatatu Newcastle sasa ya mwisho wakagojka nikawapea tyrodxy arafu nikaona wako na minyoo nikawapea dawa nweza wapea vaccination yenye imembaki ya ngumboro
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Wana umri gani
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 2 дня назад
@@AGALUSTV wanaenda kumaliza miezi mbili sasa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
@martinkaranja9265 unaweza endelea kuwapa . Ila Hadi wawe na afya njema
@DainesSambeke
@DainesSambeke 2 дня назад
Habari asante kwa masomo mazuri vifaranga wangu wanashusha mbawa naomba nisaidie tafadhali nifanyaje
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Apo kanunue dawa ktk duka la mifugo watakaa sawa.
@LilianKiswaga
@LilianKiswaga 2 дня назад
Yaan natamani sana kufanya hiki kilimo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Karibu sana ndugu ktk Kilimo Cha mahindi
@BahatiSamweli-w2w
@BahatiSamweli-w2w 2 дня назад
Naukungu tunatumia aina gan
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Dawa za ukungu ndugu zipo
@yosefbanaba
@yosefbanaba 2 дня назад
(1)nataka kujiunga na group la wafugaji wa bata (2) Ili bata wangu atage sana nimpe chakula ili atage sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Ni mchanyiko WA CHAKULA kama Cha kuku
@filipinadaud885
@filipinadaud885 3 дня назад
KAMA ITAPENDEZA TUONYESHE MFANO WA BANDA LILOZIBWA TAFADHALI
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Angalia vizuri video hii ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-gIbmcUrrb6A.html
@filipinadaud885
@filipinadaud885 3 дня назад
SAMAHANI HAPO UMESEMA BANDA LIWE LIMEZIBWA KABISA,SASA KAMA UNATUMIA MKAA HEWA ITATOKAJE NJE? PIA WANASEMA VIFARANGA VINAHITAJI HEWA NA MWANGA SASA UKIZIBA MOJA KWA MOJA ITAKUAJE KWA VIFARANGA VYS AONA YEYOTE?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Ona mifano ya Banda la vifaranga ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-gIbmcUrrb6A.html
@filipinadaud885
@filipinadaud885 2 дня назад
MBONA MAELEZOI YAKO, YAKO TOFAUTI NA MABANDA? ULIYOONYESHA? MANANDA YAKO WAZI HUKU UMEELEZA YAZIBWE TUFUATE LIPI SASA?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
@filipinadaud885 pole Sana ndugu. Kwa ufupi , Banda hutegemea na hali ya mazingira husika. Kuna sehem Kuna joto Kali apo mabanda yatakua wazi, na zile sehem zenye barid angalau upande 1 uzibwe, Pia. Hutegemea umri WA kuku wako , kwa vifaranga ni tofaut na kuku wakubwa
@MollelTheuri
@MollelTheuri 3 дня назад
Ww unapatikan wap
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Tulisha jibu hili
@MollelTheuri
@MollelTheuri 3 дня назад
Nikita hiyo mbeg
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Utapata tu . Ishu ni eneo ulilopo kama uwezekano WA kutumiwa
@DenisMwakifuna
@DenisMwakifuna 3 дня назад
Asante kwaelimu uliyo tupatia kilograms 100 kiasi Gani pumba madin na protin
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Fuatilia video hii itakusaidia ni formula ya chakula Cha nguruwe ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ktstkGFm2Ik.html
@barakasimoni
@barakasimoni 3 дня назад
Nitumie video ya mkaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Faida za mkaa kwa kuku ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-H9x3tDQ2rqY.html
@rahmahussein3452
@rahmahussein3452 3 дня назад
Kuku wangu wanahara rangi ya kijivu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 дня назад
Wape dawa ya trisumuilsyne
@filipinadaud885
@filipinadaud885 4 дня назад
nina kuku 100 hapo watakula kilo ngapi.? pia uchangaji umenishinda msaada tafadhali. kwa nini wafugwe kwa siku 45 badala ya ck 28?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 дня назад
Sehemu zenye barid ao kuku wanachelewa kdogo
@ChausikuMahinda
@ChausikuMahinda 4 дня назад
Ni muda gani wakupanda maharage au naomba namba
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 дня назад
Mvua zinapoenda kuishia, lakini kama unamwagilia ni muda wowote ata kiangaz
@ramadhanntandu994
@ramadhanntandu994 4 дня назад
Asante san kak
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 дня назад
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii
@PhilipoMbalamwezi
@PhilipoMbalamwezi 4 дня назад
Sehemu ya joto kali kuku wanafugika?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 дня назад
Joto ndio zuri sana kwa ukuaji WA kuku
@NanzalaRose-kd4ft
@NanzalaRose-kd4ft 4 дня назад
Nyeupe dawa nikani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 дня назад
Okay
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 4 дня назад
Awezana kuwapa kuku binzari manjano?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 дня назад
Muhimu sana binzari. Video ni hii ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-cSkoCebfEcU.html
@DoriceDaniel-f3h
@DoriceDaniel-f3h 4 дня назад
Naombeni darasa lirudiwe
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 дня назад
Sawa sawa ndugu