Тёмный

JINSI YA KULISHA BROILER/How to feed broiler chickens? 

AGALUS  TV
Подписаться 91 тыс.
Просмотров 1,5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@MwambeneMaseke
@MwambeneMaseke 5 месяцев назад
Shukran sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿
@PaschalMagubo
@PaschalMagubo 5 месяцев назад
Ubarikiwe sana!
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Amina ndugu nawe pia iwe heri kwako
@KADALAtv255
@KADALAtv255 5 месяцев назад
Get you sir Ag tv
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Be blessed 🙌 too
@KADALAtv255
@KADALAtv255 5 месяцев назад
@@AGALUSTV 🙏🙏🥰🥰
@farajasallah2338
@farajasallah2338 5 месяцев назад
Daaa Leo umenichanganyia sana, maana Mimi nawapa stata wiki mbili, glowa wiki mbili, wakifika mwezi wanaingia sokoni, tusaidie kwa kina
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Upo sahihi kabisa. Apo lengo la video ni jinsi ya kuhama chakula kimoja kwenda kingine Anza kubadili kdogo kdogo.
@johncharles5906
@johncharles5906 5 месяцев назад
⁠@@AGALUSTV embu na mie nieleweshe vizuri Boss hii fomula unaanza siku ya kwanza vifaranga walivyoingia bandani ama ni ile wiki ya kuanza kuwabadilishia chakula
@filipinadaud885
@filipinadaud885 4 дня назад
nina kuku 100 hapo watakula kilo ngapi.? pia uchangaji umenishinda msaada tafadhali. kwa nini wafugwe kwa siku 45 badala ya ck 28?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 дня назад
Sehemu zenye barid ao kuku wanachelewa kdogo
@zahrakidunda5572
@zahrakidunda5572 3 месяца назад
Nko na kuku 600 nawapate kwa siku kilo ngap na pia kwa kuku hao natakiwa kununua starter ngap na jua grower ni nying hapo ktk starter ngap
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 месяца назад
Utegemea na umri wao
@marylongway6127
@marylongway6127 4 месяца назад
Nadhani ni bora kutoa vipimo vya chakula kumrahisiahia mfugaji uelewa wa haraka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 месяца назад
Sawa ndugu
@jacklineswai3731
@jacklineswai3731 5 месяцев назад
Naomba msaada kwa saso
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Sawa ndugu tutaandaa video yake✍️🙏🏿
@JenipherLocla
@JenipherLocla Месяц назад
Ninakuku 100 broilers wanatakiwa kula kiasi gani kwa siku?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Месяц назад
Kwa broiler 1 atakiwi kuzid kg 4 Hadi kuuzwa ili awe kg 2 .kwa ufupi broiler tuna walisha kwa tu ila wasizid izo kg lengo ni kibiashara tupate kg nyingi kwa mudafupi
@jamillahkajembe5198
@jamillahkajembe5198 4 месяца назад
Nina kuku 500 nawapa kiasi gani? and how to change food from starter to grower
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 месяца назад
Kila kuku asizid kg 4 maisha yake yote kwa izo siku 35 AU 28 ili awe na kg kwa iyo hakikisha kiasi, icho unaki maintain.
@RatifaAbdallah-rb2fr
@RatifaAbdallah-rb2fr 5 месяцев назад
Habari nina kuku mia mbili na hamsini nitawapa kilo ngapi?za chakula na ndio nawaleta kesho nianze na dawa gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Kama ni pure broiler fast maturity yaani wale wa siku 35/42, Mara nyingi uwa hatuwapimii. Ila hakikisha kila kuku chakula chake kisisizidi kg 4 yaani yangu KIFARANGA hadi kuuzwa
@shebbyelphonce8514
@shebbyelphonce8514 5 месяцев назад
Naomba msaada kwa growers mmoja kwa siku anapaswa kula gram ngapi ?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Kuku Aina gani ndugu
@PaschalMagubo
@PaschalMagubo 5 месяцев назад
Naomba kufahamu jinsi ya kulea vifaranga broiler siku ya 1- kuuza, dawa na chanjo.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Sawa tutaleta video yake
@PaschalMagubo
@PaschalMagubo 5 месяцев назад
@@AGALUSTV ok
@rehemakimonga2773
@rehemakimonga2773 5 месяцев назад
Formula hii yaweza tumika kwa chotara?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Hapana ni broiler tu. Ngoja tutaandaa na video ya chotara
@BisheniKasangandgo
@BisheniKasangandgo 5 месяцев назад
Kwa kuku; 44.wanawezakula kilo ngapi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Broiler ndugu hatuwapimii. Ila hakikisha kw siku 35/42 wasile Zaid ya kg 4 kwa kila mmoja.
@BisheniKasangandgo
@BisheniKasangandgo 5 месяцев назад
Maelekezo kwajili yatiba Nike?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Sawa ndugu
@BisheniKasangandgo
@BisheniKasangandgo 5 месяцев назад
Nakuna yakuchanganyachakula yakuku wamayayi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 месяцев назад
Sawa ndugu
@festinamwandete6636
@festinamwandete6636 Месяц назад
Nina vifaranga 250 nilishe mifuko mingapi na huku kwetu njombe ni baridi
@AGALUSTV
@AGALUSTV Месяц назад
Kwenye barid ndugu broiler ni hasara
@jamlickmuthaura1676
@jamlickmuthaura1676 2 месяца назад
Niko an broiler 46 watakula kiasi gani kwa siku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 месяца назад
Broiler ndugu anatakiwa ale chakula kisizidi Kg 4 maisha yake yote ya mwez mzima, ili kuhakikisha ukuaji mzuri SI vizuri sana kuwapimia broiler chakula . Ila kama wanakua vizur hakikisha chakula chao hakizidi gram 4000 Ni sawa na Kg 4 apa ni kwa siku zote 28 ili afikie kg 2 ya uzito wake
Далее
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 4,1 млн
Исповедь / Мася
2:47:10
Просмотров 183 тыс.
Changamoto za magonjwa ya kuku na namna ya kuzuia
10:18
PART 2: JINSI YA KUTENGENEZA GROWER MASH
8:03
Просмотров 4,1 тыс.
Bajeti na faida ya kufuga broiler 200
11:19
Просмотров 19 тыс.
SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA.
28:07
Просмотров 24 тыс.
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 4,1 млн