Kweny waimbaji kuna utofauti Kati ya Singers na Performers. The Voice sio tu singers ni performers. Ukiweza kuimba unakua singer muimbaji. Lakini art au ubunifu wa kuweza kuimba na kuconnect na audience ndo performance. Uwe unapenda au haupendi Muziki wao. The voice wanajua vema namna ya kuconnect na audience vizur sana 👏🏾👏🏾 God bless these people!
Mzee Gideon anavutia kumsikiliza kila akiperform. Anafeel Muziki kwa namna ya juu sana kiasi kwamba na sisi audience tunapata feeling ya uwepo wa Muziki. Ni mtunzi mzuri sana pia. God bless This Man 🙏🏾