Hiyo nchi ni Congo 🇨🇩, " wana inchi wana lala Mika na raisi ana lala mika, wote mwizi wana mjua, ila wanaogopa Ku mshika" Vraiment rien que la vérité, courage mon artiste préféré .
Wakenya wote tujumuike apa..... hii session ya new Gen Z revolution... this song should be one of our anthems as we seek for accountability in our governance
Kwa mujibu wa huu wimbo, Kijana wa humu ni mwizi , Maana ameiba fedha Kwa kijana aliyekuwa anatoa Kwa wakala( hatujui naye alikuwa na shida ipi) kuhalalisha jambo baya Kwa shida zako ni jambo baya hta iweje..na wizi si lazima uibe mara nyingi!!, Huyu hapaswi kuonewa huruma, Maana aliyeibiwa angempeleka mahakan ,asingepata MUDA wa kumuuguza mama wake Kwa kidogo akipatacho!!! ATUNUSURU MUNGU NA ATYFUMBUE KUJUA HALALI NA HARAMU
nilikuwa nataka nifanye ngoma moja na kiba ila sasa nimeghaili maana huyu mwamba anaimba hadi anakera wananchi wasije wakajua ni wimbo wake yani kiba ukimshirikisha anaimba mpaka mwenye wimbo anaonekana ameshirikishwa