Me Nko Bachelor Ila Huwa Najifunza Sana Hasa Kupitia Mapishi Yako Unayoyaelekeza Leo Nimepika Chegele Kwa Staili Yako Hakika Nimepatia, Asante sana Kwa Maelekezo Yako❤❤
Sasa shoga upishi huo na makucha ya kubandika vipi? Maana kawaida hygiene muhimu kwenye mapishi kawaida kucha zikiwa ndefu zinabeba uchafu, hoteli za kimataifa huruhusiwi kuwa na kucha ndefu, hio sio sawa kabisaaaa shoga yangu.