Тёмный

Jinsi ya kupika Dagaa wa Mwanza za Karanga.... S01E26 

B's Magic Kitchen
Подписаться 58 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@mwitamwita6257
@mwitamwita6257 5 месяцев назад
Nimeipenda hiyo
@bukelebengelela
@bukelebengelela 3 года назад
Naomba upike mchicha. Usio ivaa sana
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 4 года назад
Mashaallah mapishi mazuri sana
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Asante sana my dear👏🏾❤ karibu tena mpz wangu.
@phillipowino979
@phillipowino979 3 года назад
Asantee Dada kwenye upishi bora yaku vutia!!!
@MsBupe
@MsBupe 3 года назад
Asante sana na wewe kwa support yako🙏🏾
@beatricekamamaa209
@beatricekamamaa209 4 года назад
Asante kwa hili pisha mama. Zinaonekana tamuuu balaaa.
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Sanaa my dear, nakushukuru na wewe kwa support👏🏾❤
@EuncJohn
@EuncJohn 8 месяцев назад
😊ahsnt, dada lkn naomba kuuliza ivi kwann unafunika?
@Izoldia
@Izoldia 3 года назад
What is best to accompany this with ? Rice or Ugali
@MsBupe
@MsBupe 3 года назад
I like it more with rice, thank you for your support🙏🏾❤
@leehhams5393
@leehhams5393 3 года назад
Hello dear. Nilipika ile mboga ya majani ya karanga ilitoka vzur sna nashukur sna nmejifunza
@MsBupe
@MsBupe 3 года назад
Hongera sana my dear, nashukuru kwa support yako🙏🏾❤
@rosieamani446
@rosieamani446 5 лет назад
Ahsante kwa Recipe
@MsBupe
@MsBupe 5 лет назад
Karibu dear 👏, pia nakukaribisha uangalie na zingine mumy. Naomba pia usubscribe na kubonyeza kengele.
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 4 года назад
Ni mm amina kutoka Kenya
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Asante sana Amina wangu👏🏾❤
@bukelebengelela
@bukelebengelela 3 года назад
Ahsante
@MsBupe
@MsBupe 3 года назад
Asante na wewe kwa support yako🙏🏾
@makaaya_3449
@makaaya_3449 4 года назад
wao hili nitajaribu mama
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Sawa my dear😊, kila la kheri.... Kama hujasubscribe bado nakukaribisha usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
@witnesssbahati3787
@witnesssbahati3787 3 года назад
Naomba nijib dada nataka Nam nijaribu Sasa iv
@MsBupe
@MsBupe 3 года назад
Sorry mumy, wakati mwingine nakuwa busy na kazi zangu kwa hiyo comment zenu sizijibu kwa wakati. Nashukuru kwa support yako🙏🏾❤
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 года назад
Dada eeeh kamuda kamepita sijakusikia..Haha umeniblock!!! Anyway aisee kweli nakuomba utufundishe kupika WALI MAUA.. Yaani naupenda kinoma Dada
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Sijakublock jamani, wali maua nilishafanya ni kati ya video za kwanza kwanza.
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 года назад
@@MsBupe haha sawasawa Dada. Itabidi niitafute. Napenda sana kuijua
@serahnamayani5012
@serahnamayani5012 4 года назад
Asante !
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Karibu dear! Naomba usubscribe na kubonyeza kengele mumy pia naomba unifollow insta @bmagickitchen.... Asante sana kwa kuangalia na pia nakukaribisha kuangalia na zingine dear👏
@ashaathuman3894
@ashaathuman3894 4 года назад
Wawoooioo
@sunilchampaneri3208
@sunilchampaneri3208 4 года назад
Safi sana dada.
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Asante sana, pia nashukuru kwa kuangalia. Naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen. Karibu uangalie na zingine, asante sana.👏
@sunilchampaneri3208
@sunilchampaneri3208 4 года назад
@@MsBupe - Poa dada, nime subscribe. :-)
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
@@sunilchampaneri3208 asante sana👏
@assakuguru3057
@assakuguru3057 4 года назад
Mbuzi wamenoga.
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Asante sana👏
@joshuakaminyoge4954
@joshuakaminyoge4954 4 года назад
Thanks 🙏
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
You're welcome.
@akiraaudreille6043
@akiraaudreille6043 3 года назад
Tomat za tz hazina rangi nyekundu kama za hapa kwetu BURUNDI ilasamahan napenda pej yako
@MsBupe
@MsBupe 3 года назад
Nashukuru sana, karibu tena dear🙏🏾❤
@fallymetoo191
@fallymetoo191 4 года назад
Saante magic
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Karibu sana.
@naizarmwansasu8211
@naizarmwansasu8211 4 года назад
Sorry mumy kali powder ndo nn?
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Mchanganyiko wa viungo kama binzari ya manjano, pilipili, giligilani ya unga, binzari nyembamba, tangawizi ya unga nadhani kuna vingine zaidi. Naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana.
@fedhyful
@fedhyful 4 года назад
curry powder!
@zukraomary5096
@zukraomary5096 4 года назад
Ukieda dukani sema simba mbili ndio inaitwa hivo
@emmanueltugara9633
@emmanueltugara9633 4 года назад
Kama mmi ni mvivu wa kupiga kitchen yako iko wapi nike kula ugali siku .. ili sotojo linaumiza sana mida hii
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
😂😂😂 hatariii.
@julianasabrere6198
@julianasabrere6198 4 года назад
Naweza kupika pishi hilo kwa kutumia dagaa kigoma?
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Unaweza my dear, asante kwa kuangalia na ninakukaribisha usubscribe na kubonyeza kengele pia unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
@julianasabrere6198
@julianasabrere6198 4 года назад
@@MsBupe nimesha subscribe kitambo mno dia, shukran
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
@@julianasabrere6198 asante sana❤❤❤
@glorymushi2577
@glorymushi2577 4 года назад
hiyo ya kusagia nyanya naweza kuipata kwa shingap dada
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Kwa Tz sijui my dear, jaribu kuangalia maduka ya vyombo. Asante kwa kuangalia my👏🏾❤
@witnesssbahati3787
@witnesssbahati3787 3 года назад
Bado sijaerewa hop unapo weka unga wa karanga unaweka ya kwenye Kobo au wanavyo tengeneza wanaweka kwenye paketi au
@MsBupe
@MsBupe 3 года назад
Yoyote tu ni sawa, nashukuru kwa support yako🙏🏾❤
@linasanga8464
@linasanga8464 4 года назад
Umepata wapi chumvi ya kirusi hio😂
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Urusi😂
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
Kwangu mimi dagaa siweki viungo viiiingi , -Dagaa -Nyanya , -Kitunguu . -Chumvi -Ndimu / Limao -Karanga ( optional ) N Ukiweka viungo vingii unapoteza harufu yake ya asili .
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Sawa.
@sunilchampaneri3208
@sunilchampaneri3208 4 года назад
Labda unaweza ku tumia hapo - Nina ishi hapo United Kingdom.
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Siku hizi kusafirisha dagaa ni ngumu mpaka kibali😞
@sunilchampaneri3208
@sunilchampaneri3208 4 года назад
Labda nita jaribu to tengeneza siku moja. Lakini hapo ni tabu ku pata Dagaa
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Sawa sawa, siku ukiwapata pika na wewe uenjoy.
@lightnessjustus2792
@lightnessjustus2792 4 года назад
0688313960 dagaa wazuri wakubwa bila mchanga
@lightnessjustus2792
@lightnessjustus2792 4 года назад
0688313960 dagaa wazuri wakubwa bila mchanga
@fedhyful
@fedhyful 4 года назад
hizi dagaa za Mwanza tofauti na za kenya ama hizi zimeshatengezwa tayari
@MsBupe
@MsBupe 4 года назад
Sijui kama ni tofauti na za Kenya au lah, hizi nimezitoa vichwa na kuziosha vizuri.
Далее
UGALI + DAGAA WA KUKAANGA + BAMIA LA KUKOROGA(MLENDA)
11:58
What’s your height?🩷🙀💚
00:59
Просмотров 3,8 млн
Rosti ya dagaa wa Mwanza
10:56
Просмотров 126 тыс.
JINSI YA KUPIKA #KASHATA ZA KARANGA
9:33
Просмотров 6 тыс.
Jinsi ya Kupika Dagaa wa Nazi..... S01E49
8:22
Просмотров 90 тыс.
Rosti la Dagaa
8:14
Просмотров 30 тыс.
JINSI YA KUPIKA DAGAA TAMU NA VIAZI MVIRINGO
7:32
Просмотров 221 тыс.
KUPIKA DAGAA LA KARANGA// OMENAA WITH PEANUT
4:28
Просмотров 21 тыс.
Cake ya vipimo vya nusu #neemashaaban #msukuma
9:40
Просмотров 62 тыс.
JINSI YA KUPIKA MAINI YA N'GOMBE MALAINI - KISWAHILI
9:25