Тёмный
 قناة الحق منصور
 قناة الحق منصور
قناة الحق منصور
Подписаться
الحق ما قال الله و قال رسوله و قال صحابة
Комментарии
@as-salafy354
@as-salafy354 12 часов назад
Tena hata masalafy wanaojitambua hawawezi kukujibu we unabandika sufuria ya pure kwenye majivu unategemea lichemke ati unafanya difai kwa muhamad imamu loooh umechelewa tafuta njia nyingine ya kutafitia umaarufi
@ayubahmed9490
@ayubahmed9490 11 часов назад
ww unaejibu nikatika salafy wanaojitambua au wasiojitambua? maana umemjibu Abu zaghar
@ibnsalim3
@ibnsalim3 17 минут назад
Ww unawazaa umaarufu tuu, unadhani umaarufu huja tuu Allah ndio humpa umaarufu amtakae, nyy mukiongea vibaya kuhusu mwanachuoni huyu ambaye apewa udhuru na WANAWACHUONI wakubwa km sheikh fauzan na n.k na bila shaka yy anastaki udhuru nyy hmtki km kwmb nyy na huyo sheikh wenu na hao masheikh wenu wa kiswaafiqa ni wanawachuoni wa kutegemewa ktk dawa'a hii, heee ukweli utabaki kuwa ni ukweli nyy pigeni kelele na mwiteni sheikh Muhammad Al imamu majina yote lkn haimdhuru mwenye nyumba kelele za mlango na maji ya moto hayaunguzi paaa
@as-salafy354
@as-salafy354 12 часов назад
Hapo m ndio nimekuona mjinga kwenye kumtetea muhammad imamu
@ibnsalim3
@ibnsalim3 10 минут назад
Ww ndio mjinga usiojijua kwn sio yy sheikh abuu Zaghar aliyemtetea Bali WANAWACHUONI wingi saaana na sio WANAWACHUONI tuu Bali WANAWACHUONI wakubwaa sawa ukimuacha sheikh rabii na sheikh Abdullah jabir waliobakiwa wote wamempa udhuru hebu agalia mitandaoni zimejaa na wanawachuoni wa yaman wote wamempa udhuruu nyy ni nani mukatae na kwa Elimu Gani na kwa nafasi gn mulionayo ktk dawa'a hii mpk mutoe kauli, acheni nyy munajidhalilisha wenye wenu na munajidhihirisha usawaafiq wenuu
@as-salafy354
@as-salafy354 12 часов назад
Sasa mtu alie tahadharishwa na maaulama ww ni nani au unani ambacho unawez kumtakasa nacho muhammad imam
@ibnsalim3
@ibnsalim3 7 минут назад
Rekebisha kauli Yako, sema hivi sheikh Muhammad Al imamu ametaharishwaa na sheikh rabii na sheikh Abdullah Al bukhari tuu, achne talbisi zenu etii maulamaa !!!, Hebu tutajini maulamaa watano tuu waliomtahadharishaa ?? Acheni kuwadanganya masalafy waambieni ukwelii
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 15 часов назад
Shekh abuu zaghar Allah akuhifadh piga raddi kwa hao mahadadiya waliomdhulumu shekh wetu shekh abuu muawiya rahimahullah pamoja na shekh muhamed imamu hafidwahullah
@mengihashimu1081
@mengihashimu1081 3 часа назад
Akhy mche Allah, mahadadiyah Una wajua? Km unawajua watolee tarjama Yao na sifa zao kama walivyo elezwa na wana wachuoni
@HassanMrisho-j2i
@HassanMrisho-j2i 16 часов назад
Allah akulipe shekh Abuu zagar usirudinyuma kutufahamisha haki
@ayubahmed9490
@ayubahmed9490 11 часов назад
Abu Zaghar tumeelewa vizuri endelea kuwanyoosha
@NuryaMusa
@NuryaMusa 16 часов назад
Naaam moto unawawakia akina. Uraska
@AbulqassimAshirazy-yd7th
@AbulqassimAshirazy-yd7th 20 часов назад
💢والله إن السلفية منهم بريئة💢 💢WALLAAHI (NAAPA KWA ALLAH), HAKIKA USALAF UKO MBALI KUTOKAMANA NA WAO (HAKIKA WAO WAKO MBALI NA USALAF NA USALAF UKO MBALI NA WAO)💢 هذا الاجتماع في مسجد الشيخ الوصابي بالحديدة. Mkusanyiko huu (ulifanyika) ndani ya msikiti wa Sheikh Al-Waswaabiyy ktk mji wa Al-Hudaydah (nchini Yemen). المتكلم الأول هو صالح العويري، أحد أتباع محمد الريمي (الإمام) ، انظر ماذا يقول!!. Mzungumzaji wa kwanza anaitwa Swaaleh Al-Uwayriyy nimmoja wa wafuasi wa Muhammad Arraymiyy (Al-Imaam) tazama na zingatia (sana) anasema nini!!. وتأمل: - زيارة رسمية معلن عنها! Na zingatia: -Ziyaarah rasmi (maalum) akiitangaza ziyaarah hiyo! - يحضرها كبار الحوثة الزنادقة! -Wamehudhuria Ziyaarah hiyo wakubwa wa mahuuthi zanaadiqah (watu warongo wapotevu wachafu wanafiki Makafiri)! - وفي أشهر مساجد السلفيين في الحديدة -مسجد الشيخ الوصابي بحضور طلابه ونوابه في المركز- ، -Ndani ya misikiti yenye kufahamika zaidi ya Masalaf ktk mji wa Al-Hudaydah msikiti wa Sheikh Al-Waswaabiyy na wamehudhuria wanafunzi wake na wasaidizi washeikh (Al-Waswaabiyy) ndani ya markaz yake, ويظهر في المقطع صورة فاضل الوصابي (نائب الشيخ الوصابي)! Na unaonyeshwa ktk kipande cha video sura ya Faadhwil Al-Waswaabiyy (kiongozi msaidizi wa Sheikh Al-Waswaabiyy)! - يبلغونهم سلام عبد الملك الحوثي! - ويسلمونهم هدايا باسمه! -Wanawafikishia wao salaam za AbdilMaalik Al-Huuthiyy (mshia)! -na wanawapa wao zawadi kwajina lake! - ويؤكدون على الأخوة والترابط بينهم!! -Na wanatilia msisitizo juu ya kudumisha undugu na (kuendelea) kuungana kati yao!! - توقيت هذه الزيارة اليوم في ظل هذه الظروف والمرحلة العصيبة! -Kwaziyaarah hii ya leo ktk muda huu maalum ktk kivuli hiki cha wakati wa matatizo na kipindi kigumu! لا شك أن هذا تكرار لتجسيد مبدأ التعايش والإخاء مع الروافض الحوثيين أعداء الله. Hapana shaka kwamba huu nimuendelezo wakutolea maelezo msingi wa kuishi kwa makubaliano ya kuunga undugu (kuishi kwa amani kati yetu na kuweka mbali tafauti zetu za kidini na madhehebu zetu) pamoja na rawaafidhwi mahuuthi (mashia) maadui wa ALLAH. فلو لم يكن من هذه المواقف وأمثالها إلا إظهار الموافقة للروافض، Basi lau kusingekuwa na misimamo hii (misimamo ya watu wa sunnah kuhusu mashia) na mfano wake isipokuwa ilikuwa (Muhammad Al-Imaam na wafuasi wake) nikudhihirisha kuwakubali mashia (moja kwa moja), والتخذيل عن قتالهم وتكفيرهم ، وتدمير حواجز عداوتهم ؛ لكفى بها موالاة ومناصرة لهم! Na wangewacha kuwapiga vita na kuwauwa wao na kuwakufurisha wao na kuangamiza vigingi vya maadui zao; hakika ingetosha kwayo kuwapenda mashia na kuwahami na kuwanusuru wao, ولتنبه لأمر مهم، وهو: أن العهود والمواثيق إنما يرجع إليها عند الشدائد والمضائق، Na zinduka kwajambo hili muhimu, nalo nikwamba ahadi na makubaliano hakika sivinginevyo yanarejea kwenye wakati wa shida na matatizo mbalimbali, وأمثلة هذا كثيرة من حال هؤلاء، Na mifano juu ya hili nimingi sana kutokamana na hali ya watu hawa, فكلما اشتد الأمر على الحوثيين ؛ Basi kila jambo linapokuwa kubwa na zito juu ya mashia; جاءوا لحلفائهم يؤكدون معهم التمسك بالعهد والميثاق الذي بينهم وهو ما تضمنه بنود الوثيقة من التعايش والإخاء والتناصر والترابط. Watakuja na watu wao wenye kuwa pamoja na wao ktk mambo ya furaha na huzuni wanasisitiza pamoja na wao kushikamana na ahadi na makubaliano ambayo wamekubaliana kati yao (Muhammad Al-Imaam na mashia) nayo nimambo ambayo yamefungamana na kuwa kitu kimoja na kutokwenda kinyume na wathiiqah (makubaliano aliyoyafanya Muhammad Al-Imaam na mashia) kutokamana na kuishi kwa kuweka mbali tafauti zetu zakidini na madhehebu na kuunga undugu wetu na kunusuriana na kushikamana nakuwa kitu kimoja. هذه بعض ثمار وثيقة التعايش والإخاء ، والدعوة السلمية ، Haya mibaadhi ya matunda (mabaya na machungu hayaliki) ya makubaliano ya kuwa kitu kimoja na mashia na kuweka kando tafauti zakidini na madhehebu na kuunga undugu na kufanya Da'awah ya kuwa pamoja ya kuacha kupigana vita (kuacha kuwarradi mashia na kuwakufurisha mashia)!, وتغليب جانب اللين والهدوء تحت مسمى الحكمة والمحافظة على الدعوة ، Nakutanguliza maswaaalihi (manufaa) kwakufanya Da'awah ya ulaini na utulivu chini ya kinachoitwa hekima na kuhifadhi Da'awah, وأن دعوتنا سلمية وأهل السنة سلميون! Nakwamba Da'awah yetu nikuweka mbali tafauti zakidini na madhehebu nakuwa kitu kimoja na watu wa sunnah sasa nisil'miyyuuna (wenye kufanya Da'awah ya kuwaweka watu pamoja na kuwacha tafauti za dini na madhehebu)!, ثم التهوين من خطر الروافض وتأكيد ذلك وتكراره بأساليب عديدة! Kisha kufanya wepesi na kupunguza kutokamana na kuwasababishia khatari na maangamivu rawaafidhwi (mashia) na kutilia mkazo jambo hilo na kulirudia (kuwaambia watu wa sunnah kuwacha kuwaradi na kuwakufurisha mashia) kwa kutumia njia tafautitafauti (mbalimbali)! ووالله إن السلفية منهم بريئة وإنهم منها برءاؤا، Wallaahi (naapa kwa ALLAH) hakika Usalaf uko mbali na wao (Muhammad Al-Imaam na wafuasi wake) na hakika wao wako mbali na Usalaf, مهما أكثروا من الانتساب إليها ، Iwe itakavyokuwa (wakati wowote) watakapokithirisha wao kutokamana na kujinasibisha kwenye Usalaf (hata wakisema mara kwa mara Muhammad Al-Imaam na wafuasi wake kwamba wao nimasalaf basi Usalaf hauwatambui na wako mbali na Usalaf), فكما لم ينتفع السرورية بانتسابهم للسلفية فلن ينتفع هؤلاء ، Kama vile hayakuwanufaisha Assuruuriyyah madai yao ya kujinasibisha ktk Usalaf basi hayatowanufaisha madai yao watu hawa (Muhammad Al-Imaam na wafuasi wake), فإن السلفية منهج وعقيدة يقوم عليها الولاء والبراء والحب والبغض. Basi miongoni mwa misingi ya Usalaf nikufuata mwenendo (wa waja wema waliotangulia) na Aqeedah (yasawasawa) inasimama juu yake Al-Walaau na Al-Baraau na kupenda kwaajili ya ALLAH na kuchukia kwaajili ya ALLAH. فلم يبق مع هؤلاء إلا الاسم والشكل ، Basi haikubaki pamoja na watu hawa (Muhammad Al-Imaam na wanaomfuata yeye ktk kukubali kuishi na maisha na kuwacha tafauti zakidini na kuunga undugu na wao) isikupokuwa jina tu na umbile (Muhammad Al-Imaam na wafuasi wake wamebaki majina tu na sura na maumbile hawana Manhaj yasawa ktk Uislamu), ما لم يتوبوا توبة نصوحا بأن يعلنوا براءتهم من هذا المنهج الخطير ، Muda wakuwa hawakutubu toba ya kweli kwa kudhihirisha na kutangaza waziwazi kujitenga na kuwa mbali wao na mashia kutokamana na mwenendo huu wa khatari, وينضموا إلى أهل السنة في البراءة من الروافض وإظهار عداوتهم وتكفيرهم ، Nawakusanjike Na waungane na watu wa sunnah (Masalaf) ktk kujitenga na kuwa mbali na mashia na kudhihirisha uadui wa wazi kwa mashia na kuwakufurisha mashia, والتحريض على قتالهم ، Nakuhimiza watu juu ya kupambana na kuwauwa mashia, وبأن يعيدوا النظر في منهج التربية والدعوة الذي حقيقته التمييع، Nakurejesha wao mtazamo ktk mwenendo wa malezi (yakisalaf) na Da'awah ambayo sura yake uhakika wake (kinyume na hivyo) niuharibifu na kubadilisha malezi ya kisalaf na Da'awah Salafiyyah, والانسلاخ من المنهج السلفي الذي كان عليه الشيخ مقبل -رحمه الله- والذي اشتهر بالتميز والبراءة من أهل البدع. Nakupinga nakujivua kutokamana na Manhajissalaf ambayo alikuwa nao juu yake Sheikh Muq'bil -ALLAH amrehemu- mwenendo ambao ulitangaa na kuwa mashuhuri kwa kupatikana upambanuzi na kujiweka mbali na watu wazushi ktk dini. نعوذ بالله من هذه الفتن ومن أهلها ، Tunajilinda kwa ALLAH kutokamana na fitina hizi na watu wake, ونحمد الله الذي عافانا منها ، Natunamsifu ALLAH kwa sifa njema ambaye ametupa afya na ametuhifadhi na ametuchunga sisi kutokamana na fitina hizo, بفضله سبحانه ثم بتوجيهات كبار علمائنا جزاهم الله خير الجزاء. Kwafadhila zake ALLAH utakasifu niwake Pekee kisha maelekezo ya Wanawachuoni wetu wakubwa ALLAH awalipe kheri wao na malipo bora zaidi. كتبه: أحمد بن سليمان بادخن ٩ رمضان ١٤٤١ هجري . Imeandikwa hii na: Sheikh Ahmad bin Sulaymaan Baadukhun
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj День назад
Allah akurehemu
@kijakazimussa2060
@kijakazimussa2060 День назад
Allah akirehem
@ibnsalim3
@ibnsalim3 День назад
Akirehemuu ndio nn??
@MohamedSalim-cm9ih
@MohamedSalim-cm9ih День назад
Amiin
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 День назад
Allah akurehemu shekh hasan
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 День назад
Watagawanyika mmoja baada ya mwengine kwa kila aloshiriki kumtenga huyu shekh Dhambi hiii lazima iwatafune hapa hapa duniani
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 День назад
Shekh hassan alipata hasad ya kielimu Yaani mashekh wenzake walimfanyia hasad Na hasad mbaya saaana
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 День назад
Mambo yanazihirika sasa Na hakika umma unazidi kufahamu dhulma na uwadui alofanyiiwa ndugu yetu muislamu uyu
@allymtito8117
@allymtito8117 День назад
Allaah amrehemu shekhe abu mu3wiya
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot День назад
Allaah amrahamu Shekh Abuu Mu'aawiyah
@OmarAbdalla-ug5yg
@OmarAbdalla-ug5yg День назад
اللهم آمين
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot День назад
Allaah akuraham Shekh
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 3 дня назад
Rahimahullah rahmatan wasiaa shekh wetuu abuu muawiyaaa
@SaidIssa-tq3yv
@SaidIssa-tq3yv 3 дня назад
Ikisha radi itakuja mvua Hamna kazi ya kufanya ila kutia fisadi na kueneza fitna katika uislamu kama alivofanya Muawiyah bin abisufyan na mwanawe yazid bin Muawiyah bin abisufyan.
@ibnsalim3
@ibnsalim3 3 дня назад
Ss kwa mfano hapo mupige Raddi Gani na yote ni ya ukweli wenye wao wanafahamu na wanayakiini walioyafanya hayakuwa sahihi ndio wamenyamaza kimnyaa na wataendelea kunyamaaza kwasbb hakki pekee ndio Huwa juu batwili siku zote Huwa chini
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 дня назад
kwann Ukimkosoa Mafuta bas wafuad wake wote wanakushambulıa hali yakuwa umemradd alpokosea kwan Mafuta nı nanı ??
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 4 дня назад
Allah akuhifadh ostadh abuu zaghar kwa kubainisha haqq na usalafi wa kweliy
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 4 дня назад
Huyu akhiiy alionekana mapema sana sana juu, yaa uelewa wakee na himma katika ssunnah ni ndugu Abuu Zagar
@abuuawadhassalafy1594
@abuuawadhassalafy1594 4 дня назад
@@HassanHamad-rf9tq himma ama uzuz uliomjaa maana huyu hua hata aelewi anaongea nn heri huyo aliekufa ana afadhali kuliko huyu ndio mtupu kabisa
@ibnsalim3
@ibnsalim3 3 дня назад
Ww ndio zuzu Mana mpk shv umechini ya kutawaliwa na sheikh qassimu mafuta ww huna hakki ya kumpinga Wala kumkosoa na yyt atakae fanya hivyo atafanya km alivyofanyiwa sheikh abuu Zaghar na sheikh abuu mua3wiya, pindi walipoiona hakki wakaifuata na kukaa mbali ya batwili zao basi walimkata na kumtahadharisha km sheikh qassimu ni mwanaume kweli ktk Elimu bc kwann hawakukaa na sheikh abuu mua3wiya kufanya mjadawa wa kielimu, au kwnn hakuweza kujibu Raddi za sheikh abuu mua3wiya hata moja kwnn, utafahamu Elimu sio kwa kujidai tuu, na usalafy sio kwa kujidai Bali ni kwa dawa'a kwa kwa kumfuata njia ya wale Wema waliotangulia ktk kuheshimu heshima za watu na karamaa zao
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 3 дня назад
@@abuuawadhassalafy1594 mahadadiya hamna jipya kwa hio huyo shekh wenu akikosea asikosoleweeee Zaid yenu ni kuleta mipasho na ushabiki
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 3 дня назад
@@ibnsalim3 swadaqta kabisaa akhiy qassimu tatizo lake anapenda ukubwa Sana na amegombana na mashekh weng wa kisalaf kwa kujiona yeye ndio anajuwa kila kituuu
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 4 дня назад
Sasa babu yenu barahiyani sindo kaziyake kubidaisha ulamaa au mshasau tutajie shekh wetu alie bidaisha ulamaa 😂😂
@ibnsalim3
@ibnsalim3 4 дня назад
Barahiyani ni mtu wa Bid'aa na ss tuko mbali yeye na yeye yupo mbali na ss
@abuuawadhassalafy1594
@abuuawadhassalafy1594 4 дня назад
@@ibnsalim3 mbna mashekhe zenu na wanao watetea nyny wanamtetea na hamuaambii kitu
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 4 дня назад
Shekh wenu kumbe ndiyo maaan munawaabudu. Akina Qasimu mafuta 😂😂😂😂 muangalie. Msifikie. Level za masuffiy 😅😅😅
@abuuawadhassalafy1594
@abuuawadhassalafy1594 4 дня назад
@@abbaspaziaog2188 ndo nakuambia mahizbi hamujipati ajibu swali Wacha kukimbia mambo yakuabudu yamekujaje kama si ujaahil huo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 4 дня назад
@@abuuawadhassalafy1594 kijana nyie munawafuata. Mashekh zenu acha upuuzi wa fikrah dogo. Kifaranga wa mafuta
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 4 дня назад
😂bila shaka masarafi wakwl wakianza kuwakibu mtakimbia sana mtalia zaid ya haya maana hajajibiwa lkn mwalia sana poleni sna😊
@ibnsalim3
@ibnsalim3 4 дня назад
Ww unawajua masalafy wa kweli ? Acha ujingaa, km tukikuwekeni kwenye mezani ya masalafy nyy munasifa Gani inayofanana na masalafy nyy masalafy jina tuu Manhaji yenu ni ya kihadaadiy
@mengihashimu1081
@mengihashimu1081 4 дня назад
​@@ibnsalim3mche Allah akhy ukisema masalaf jina Una maana gani?
@ibnsalim3
@ibnsalim3 4 дня назад
@@mengihashimu1081 Nina maana ya kwamba masalafy huamiliana na watu khususani masalafy weziwao kwa upolee baina yao, hupeana naswaha wanapokosena na hawaekeani mafundo na nogwaa na hupendeana kheri na kusitiriana kwa makosa na kasoro zao km binaadamu mfano hebu angalia WANAWACHUONI namna gani huamiliana na wale wenye kukhalifu husikii mukatwaa Bali hukutana nae na kunasihii miakaa km alivyonasihiwa Yahya alhajurii na wengine waliopinda tn kwa Siri na kwa maneno mazuri mpk walioona huyuu ameshaichangilia nafsi yake upotevi ndio walipo mtahadharisha na kukataa na kumtoaa ktk daaira ya ahalu Sunnah wal jamaa, hapo ndio utajua tafauti yetu ss, mfn sheikh wetu abuu Mu'awiya pindi ilipotokea fitna ya Yemeni vp sheikh qassimu amepita njia zote zinazotakiwa kbla ya kumtahadharisha na kumtengaa, hv mtu awe amechangua kupotea awe tayri kuzungumza na wenziwe ktk dawa'a ili kuondoa utata na kufarikisha watu ktk dawa'a ss hapo ndio hupatiakana sifa miongoni Mwa sifa za kihadadiy
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 4 дня назад
​@@ibnsalim3 yani mimi ushauri wangu ili haya magomvi yaishe basi masheikh wakutane kisiri wanasihiane na wasuluhishe na sio kunasihiana kweny mitandao....hapa sizan kama tutafika!!!......Ndo mana wanazuon kama ulivyosema wananasihiana wao kwa wao kwa njia ya siri kwanza.....!!!
@abuuawadhassalafy1594
@abuuawadhassalafy1594 4 дня назад
Wacha kuongeza ubonzo huyo Muhammad Ali imaam amenasihiwa mara ngapi bila kukatwa na Muhammad bin Hadi pia mara ngapi wamenasihiwa na waliosema wakae mbali na hao wa wili ni nani si ni ulamaa au kweni nyny shk rabii na shkh ubeid si ulamaa na sisi na nyny vita yetu si yakibinafsi kama mnavopambia watu ss na nyny tunapigania dini mumeenda kinyume na nasaha za ulamaa juu ya hao watu wawili na mukaamua kufanya taasub ​@@ibnsalim3
@user-dp8xb3vj6g
@user-dp8xb3vj6g 5 дней назад
Nyie bhana mnakuwa kama wasenge kiukweli mtu ashakufa aombewe duwa kaziyenu kuebuwa hisia tu za watu au ndo mnatafuta Sababu watu wamseme maiti ili mzidi kusema acheni ujinga tu kwani uyo muawia so alikikuwa anampa darsa yake asimamie Abuu Umeir mbona anamwita mjinga Abuu Umeir sasa ndo nini acha ujinga bhana endelea na ubaharia wako bhana usitafute huruma za watu Muawia nae kamdhulumu vingi Abuu Umeir Abul Fadhil Na wengine tele tu .
@ibnsalim3
@ibnsalim3 5 дней назад
Matusi ndio hoja ya watu waliofisika kielimu na km ww ndio salafy bc matusi sio tabia za kisalafy km unahoja leta kielimu au km Kuna sehemu panekosewa rekebisha kielimu ukianza kutukana hakuna mtu Ambae hawezi kumtukana mtu ila tunajizuia na kuwapa watu heshima ht km wamekhalifu na kukosea nenda kasome tn misingi ya ahalu Sunnah na ikisha uwe na abadu ww kijana
@AbuubarmackJuma
@AbuubarmackJuma 5 дней назад
Tunayajua mengi kuhusu Abuu Muawiya tukiyasema tutamuongezea mzigo wa madhambi tuu huko aliko ... tuseme tuu Allaah amsamehe
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 5 дней назад
ALLAH akuongoze kijana na atuongoze soote maaan waoongea matope kiijjana
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 дней назад
Wewe na nani?
@ibnsalim3
@ibnsalim3 5 дней назад
@@AbuubarmackJuma Naam munayajua kwssb yy sio maasumu sw km vile tunavyoyajuu mengi ya sheikh qassimu mafuta, ni vyema kila mtu amsitiri nduguyee naa amuombee kheiri na hivyo ndio tunavyotakiwa waisilamu kusiriana na kusameheyana na kufamishana kwa hekima na adabu na kuhufadhiana karamat zenu, mm namuomba Allah aunganishe ummah huo na awaunganisha ahalu Sunnah na aaondoe magovi na chuki zetu na ss masalafy tuwe mapenzi BAINA yetu na kuilingania Sunnah ya Mtume wetu na tuonanane nae Allah tukiwa tumeridhiwa
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 4 дня назад
Sisi pia tunayajuwa mengi yaliyojificha kwa hizbu mafuta wa pongwe
@hassanhamid4359
@hassanhamid4359 3 дня назад
Yaseme yabainishwe
@AbuubarmackJuma
@AbuubarmackJuma 5 дней назад
Mimi ninachokiona wajinga bado ni wengi katika dini na watu wengi hufuata matamanio kumtetea Abuu muawiya na kumponda Abul fadhli tena bila ya ushahidi ni kufuata matamanio ...watu wamche Allaah
@ibnsalim3
@ibnsalim3 4 дня назад
Ktk hao wajinga ww ni moja wao, ss hatumtetei Sheikh Abuu mua3wiya Bali tunatetea hakki ambayo aliyokuwa nayoo na Wala hatumpondi sheikh qassimu Bali tuyaponda ile dhulma aliyoifanya kwa ndugu zake na kukataa sulhu na kusema uongo na kumzulia sheikh abuu Mua3wiya pasi na hakki Wala kisisi wa kufuatilia mambo na Wala pia ya Kuongea na sheikh abuu Mu3wiya na kumpa nasaha, na mm namnasihi sheikh wetu mpendwa Sheikh Qassimu ingawa mm ni mdogo kielimu na kimarifa na kiumri pia kuwa arekebishe hii dawa'aa na aunganishe wanasunnah na ache kuwa yy ndio sabb ya Farka na mtafaruku ktk dawa'aa, ksbb ww ni sw na baba kwetu na ss ni km wanawe hivyo atumie upole na hekma huirejesha dawa'a hii ya hakii km ivyokuwa hapo mwanzo
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 4 дня назад
Miongoni mwa wajinga ni wewee unaonekana unafuata ushabiki na shekh wako akisema hicho wewee unafuata hata kama anakosea wewee bado upo tuuuu unamuunga
@hassanhamid4359
@hassanhamid4359 3 дня назад
Hii nidini usinune kutolewa makosa shekh wako yule kasimu mafuta nibina Adam asijezani hana dhambi wala hakuna mkamilifu mkamilifu ni Allah tu
@hassanhamid4359
@hassanhamid4359 3 дня назад
Sawa baraka llah fikum
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or 5 дней назад
Sasa myinyi mlishindwa kusubiri mkawa mnahangaika mara mko bukhari namatabligh mara pamoja na mohammed bachu mara mko nabarhayan sasa mlikua hamjui mshikewapi ndio mkadondoka
@ibnsalim3
@ibnsalim3 5 дней назад
Huna hoja hapaa ndio Mana unaleta talbisi ss tunaongelea hili ww unaongelea jengine
@hassanhamid4359
@hassanhamid4359 3 дня назад
Huyu ana mapenzi yashetani hangalii haki labda kasimu maasum
@AbuuSumayyah-rh7oi
@AbuuSumayyah-rh7oi 5 дней назад
Hawa watumaji wa hizi bayaani feki huwenda ikawa wana magonjwa sugu ambayo kwasasa hali ilipofikia huwenda wakawa wenda wazimu hasaa
@ibnsalim3
@ibnsalim3 5 дней назад
Mwenda wazimu ni ww Ambae. Unaefanya dini yako ni sheikh qassimu mafuta na Mtume wako ni yy, moyoni kwako Kuna kufuli na machoni mwako Kuna upofu huwezi kuona hakki hata km ipo mbele yako kwasbb ya sumu iliyoenea ktk moyo wako
@AbuuSumayyah-rh7oi
@AbuuSumayyah-rh7oi 5 дней назад
@@ibnsalim3 hayo maneno yko yanabainisha ukweli wa kile nilicho kiongelea hapo kabla kwani huenda ikawa ww hadi sasa unaimani ya utume kuwa unaendelea maana using usingeli jaalia kuwa kuna watu wanaitadiki utume kwa kasim mafuta au tusibitishie hilo kama lipo na kama hujasibitisha basi hutatoka katka yale maradhi niliyo yasema
@ibnsalim3
@ibnsalim3 5 дней назад
@@AbuuSumayyah-rh7oi ndugu yangu Allah akuongoze ww na mm, hebu jaribu kuyarejea majibu yangu na utayafahamu vzr, Mimi sikujema sheikh wetu Sheikh qassimu ni mtumee sawa lkn Hindi munamfanyaa na kumfuata kila alisemalo sawa ni sahihi au laa bila nyy wanafunzi kulichunguza vzr hunalifuataa kma kwamba yy ni maasumu hakosei kwn Mtume pekee yake ndio anayo darja hiyo ya kusikilizwa na kutiiwa kwa kila akisemacho na anachokiambrishaa sw kwhy sheikh qassim hawezi KUFIKIA hicho cheo kwasbb ni mitume tuu, na hivyo hivyo sheikh wetu mbora sheikh abuu Mua3wiya Allah amrehemu sio km hna makosa anayo, sw kwhy nyy wanafunzi munamtetea sheikh kassimu ht km yy ndio aliyekosea na kumfuata ktk kosa lake
@allymtito8117
@allymtito8117 5 дней назад
Allaah amrehemu shekhe abu mu3waiya
@ibnsalim3
@ibnsalim3 4 дня назад
Amin
@allywaziry6419
@allywaziry6419 5 дней назад
Mimi binafsi sioni Sawa kueneza haya baada ya sheikh abuu muawiya kuwa hatukonae, tuiwache hii fitna sasa, tuinyamazie kama walivyonyamaza baadhi ya masheikh, nawausia ndugu mnaotuma ktk Chanel hii, Al akhy Allah amrehem anafawaid nyingi mnoo mtutumie, na sio fitna
@ibnsalim3
@ibnsalim3 5 дней назад
Ahsante akhuy kwa ushauri wako mzr sanaa, tumeituma hii video lengo ni KUBAINISHA HAKKI tuu kwasbb Kuna watu wanamsema vibaya sheikh na kudai madai mengi mabaya hivyo imetumwa ili watu wajue juhudi aliyoifanya sheikh kuwafanya masalafy wote wawe pamoja na washirikiae ktk dawa'a na watu wafaidike na Elimu lkn pale walipo msema vibaya sheikh nikaamua kuitumaa hii ili watu wanaotafuta kheiri na kuijua HAKKI ipo wapi ndipo nikaitumaa hii lkn sikua na haja kuiwekaa humuu
@AbuuFudhwayl
@AbuuFudhwayl 4 дня назад
@@ibnsalim3 Al Akh Allah akubariki, hizi bayaani na mihaadhara zatakikana hasa kuwekwa kwani zisipowekwa watu wanaokusudia shari na kumsema vibaya sheikh abuu muawiya hawapo kimya walimsema akiwa hai na hadi sasa ameshatangulia mbele za Allah bado wanamsema. Hivuo mim nashauri ziwekwe ili masalafi wazidi kubainikiwa. Tujikumbushe kauli ya imamu Ahmad Allah amrahemu alipomjibu Muhammad bin Bandaar baada ya kumuambia إني ليشتد علي أن أقول: فلان ضعيف، فلان كذاب، فقال إذا سكت أنت، وسكت أنا فمتى يعرف الجاهل الصحيح من السقيم؟
@AbuuFudhwayl
@AbuuFudhwayl 4 дня назад
@@ibnsalim3 Ungeliutuma pia ule muhadhara wa siku ya jana yake. hizi ruduud na baiyyan ni muhimu mno. Allah akubariki.
@ibnsalim3
@ibnsalim3 3 дня назад
@@AbuuFudhwayl ahsante akhuy inshaa Allah tupo pamoja na kw hkika tutajutahidi kuziweka ili mwenye kutaka hakki wabainikiwe na wale wasio itaka wakatae BAADA ya kufikiwa na hakki hiyo
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 5 дней назад
Kumbe abuu umeir ni mtu mbaya sana dahhh Kamdhulumu sana shekh abuu muawiya Lakini na yy atakatwa kama alivowakata wenziwe
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 5 дней назад
Kasima mafua hataki kukaliwa juuu Ndo maana majadida wote wamepiga mkia chini
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 5 дней назад
@@pavillioncry5241 Usimdhanie Shari sasa! Kwani Mafuta ana uongoz wowote mpaka asitake kukaliwa juu?
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 5 дней назад
@@pavillioncry5241 ... Halafu hyo kadhia ya Jadeedah kaeni na shekh wenu Barahiyani mumwambie ataraajui kwa kuwanasibisha wanachuoni na hizbu salafy... Dawatusalafiyyah imejengwa katika misingi ya kuwaheshim na kuwahifadhi wanachuon!....Na nimeona darsa zake za 2007 huko,bado msimamo wake ni huohuo kuwa waasisi wa salafiya Jadeedah ni maulamaa akina rabii.....Hii sio katika Ahlusunnah wal jamaa
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 5 дней назад
Naaam namimi nimebainikiwa hivyo Akhy wala hujamdhulia. Uongo
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 4 дня назад
Hilo ni ukwel qassimu ni mtu ambae anapenda ukubwa na kibri anacho
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 4 дня назад
@@abbaspaziaog2188 huwez kujua yaliyofichikana katika nafsi ya mtu
@user-km5zc8zp8x
@user-km5zc8zp8x 5 дней назад
Sulhu ya vp?kwani qadhia ni qadhia binafsi au ni qadhia za kimanhaji?
@allymtito8117
@allymtito8117 5 дней назад
Ungesikiliza vzr akhiy
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 5 дней назад
ALLAH AWAONGOZE MASHEIKH WA KISALAFY YAISHE MAGOMV YENU !!!
@ibnsalim3
@ibnsalim3 5 дней назад
Amin
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 5 дней назад
​@@ibnsalim3 yaani hapa ni kumuomba Allah tu Mana huwa najiuliza kwann Mashekh wa kisalafy wasikae wakayamalza? Sema ile Fitnah ya Morogoro Alhamdulillah iliisha....bado hii sasa! Allah atie Nusra kwakwel
@ibnsalim3
@ibnsalim3 5 дней назад
@@ABUUBAAZNYUNGU km utaisikiliza hii audio mpk MWISHO utafahamu jubu la suali lako sheikh tyr ameshalijibuu
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 5 дней назад
@@ibnsalim3 Nshaisikiliza! Ni kumuomba tu ALLAH atie Nusra katika hili na awape ujasiri wa kusuluhisha haya magomvi kwa ajili yake In shaa Allah!
@ibnsalim3
@ibnsalim3 5 дней назад
@@ABUUBAAZNYUNGU amin
@user-pi4mv4vd5k
@user-pi4mv4vd5k 5 дней назад
Allah awaongoze na sisi
@user-pi4mv4vd5k
@user-pi4mv4vd5k 5 дней назад
sheikh abu mu'awiyah Allah amrehem na amsameh mi nilimzingatia salafy lakin alipomtetea dr islam sikushuku tena na uhizbi wenu
@ibnsalim3
@ibnsalim3 5 дней назад
Ww usiendeshwee na mtazamo usiofungama na Elimu NDANI yake
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 День назад
Chizi we kasome kwanza
@user-pi4mv4vd5k
@user-pi4mv4vd5k День назад
@@pavillioncry5241 saw mweshimiwa
@user-pi4mv4vd5k
@user-pi4mv4vd5k День назад
@@ibnsalim3 nashukur kwa ushauri wako ila mambo hayapo kama unavodhania akhy
@user-pi4mv4vd5k
@user-pi4mv4vd5k День назад
@@pavillioncry5241 anhaa saw ila chizi huwa anatibiwa kabla ya kusoma chunga sana ulimi wako
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 5 дней назад
Maashaa Allaah, Elimu ikiwepo mahala hua haifichiki. Maongezi haya sio maongezi ya mtu mjinga asiejua kitu, bali ni maongezi ya mtu ambae anaonesha yuko vizuri sana ktk maarifa. Allaah amrahamu Shekh Abuu Mu'aawiyah, na awatie huruma ndugu zetu walio mkata mtu ambae laiti watu wangejitambua basi wange faidika mambo mengi sana, kiasi ambacho mambo hayo nisehemu chache ambazo unaweza kuyapata
@IssaKabelwa-zs2ct
@IssaKabelwa-zs2ct 7 дней назад
Aamiin
@ibnayub2374
@ibnayub2374 7 дней назад
Wasemaji Maa shaa Allah wameibuka kwa kasi sana baada ya sheikh kufariki Allah awape Nguvu ya kusomesha kama walivyo onyesha Nguvu ya kumtetea sheikh, Lakn pia mm mpka sasa Sijaelewa nn haya yote yanajiri sabab sheikh Ana yakwakwe aliyo fanya na kuyadhihirisha mpaka yakatokea haya, Lakn pia vijana tuache jazba kama una masikio sikiliza ukiwa na shaka uliza masheikh walio kuwepo maneno tupu hayana faida. Elimu changa itabaki changa tu. Watu tusomen haya makelele hayana faida.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 дней назад
Nkamuulize shekh kwanini magadid hawataki sulhu na abu mu'awiya?
@ibnayub2374
@ibnayub2374 5 дней назад
@@hafidhwajina6718 yaan kusema sulhu na sheikh Abu muawiya ilikua sio rahis kutokea sababu alikua anawatetea wanao tukana wanachuoni 😔 kama hujafatilia hii Mada Tangu mwanzo hutaelewa na nakushaur achana na jazba fatilia uhakika wa Manhaj aliyo kua analingania sheikh Allah amrehem na Manhaj anayo lingania sheikh Abul fadhil Allah amhifadh, Manhaj hii haihitaji jazba wala hamasa za kijinga.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 дней назад
Haya si makelele na faida inapatikana,ikiwa i'lmu inakufanya umhzbshe mtu bila sababu sasa i'lmu yakusaidiani?
@ibnayub2374
@ibnayub2374 5 дней назад
@@hafidhwajina6718 Akhy wacha jazba Kaa chini kwa walimu upate elimu kwanza na ushabiki uwache, na siku zote ukweli hautafutwi kwa kusikiliza upande mmoja Hz chuki juu ya sheikh Qasim zilianzia mbali Sema wew yaonyesha umeanza kuziona baada ya sheikh Abu muawiya kurudi Tz, fatilia kuanzia mwanzo wa mzozo wacha kupakia juu juu utakosea sana.
@salafnungwi5723
@salafnungwi5723 7 дней назад
Washindwa hata kufanya الجمع kati ya النصوص za kisheria. Ungalikaa kimya ungaliweka heshima yako na elimu yako ndg uliyokuwa nayo
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 дней назад
Asiseme ujadida wenu ndo aheshimike?
@salafnungwi5723
@salafnungwi5723 7 дней назад
Abuu Zaqar upo salama lakini au msiba umekufazaisha kiasi ambacho huelewi waongea nini!!! Au ndio wataka kuchukuwa kilemba cha Sheikh!!!
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 дней назад
Haijuzu?
@AishaAbdala-o6b
@AishaAbdala-o6b 7 дней назад
Allah amrehemu kipenzi chetuh abuu mua'wiyyah
@user-mu9nl3vv4b
@user-mu9nl3vv4b 8 дней назад
MAFUTA YAMESHAMWAGIKA LIMEBAKI DEBE TUPU TUPU
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 8 дней назад
Ewe Allaah tuna kuomba umrahamu na umpe Pepo ya Firdaus Shekh Abuu Mu'aawiyah. Kwa hakika ndugu zetu masalafy wame mdhulumu Shekh Abuu Mu'aawiyah na wamekosea kosa kubwa sana kwa hiki walicho kifanya kwake. Na bayana hizi wasipo kua makini na wakawa wakweli Mashaayikh wa kisalafy zitashuka hadhi zao kwa hao wanafunzi wao, na mbele ya Allaah watakua na dhima kubwa sana, lkn pia ktk historia kitahifadhiwa kitendo hiki na watakuja kulaaniwa sana kwa kitendo hiki, na wataonekana waongo, na thiqa ya watu juu yao itaondoka. Nasaha zangu Mashaayikh wa kisalafy kwenye jambo hili wamekosea sana tena sana, na hakuna anaeweza kujinasua na kosa hili, na wame asisi tabia moja mbaya sana, ambayo ubaya wa tabia hii lazima urejee na uje uwatafune Mashaayikh wote wa kisalafy walio shiriki ktk kuiasisi tabia mbaya hii. Nayo ni hii tabia ya kuwakata na kuwasema vibaya Mashaayikh na Madu'aat wa Haqqi, Madu'aat na Mashaayikh wa Sunnah na Tawheed. Masalafy nyote mulioshiriki na kulisaport kosa hili na dhulma hii, njooni mbele za watu na mutubie. Hii ndio nasaha yangu kwenu. Ijumaa, 05-07-2024. +255781331332
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 8 дней назад
Sheikh abuu umaiyyah Allah amrehemu hakika huyu alikuwa kigogo Allah alimpa elimu na ameichukua elimu kwa ku.mchukuwa mja wake huyuuuu
@babanusayba3600
@babanusayba3600 9 дней назад
Haya ndio madhara ya vijana wakurupukaji kujifungafunga katika qauli za wanavyuoni ambazo hazielewi
@ibnsalim3
@ibnsalim3 7 дней назад
Ss km ww unazielewa basi tuambie achaa dharau hizoo hata huikubali HAKKI hii basi leta hoja na sio MANENO ya kurushrushaa
@abusalmadangaadam708
@abusalmadangaadam708 9 дней назад
Wapo walifrahia kifo cha sheikh ndio maana sheikh HARUNA ras anakemea
@abuusuhayli
@abuusuhayli 9 дней назад
yaani huyu haruna raasiy kichwa chake kibovu sana, siku za karibuni alikuwa singida tunamuon na watu weny mrengo wa hizbut tahriir
@farajithabiti8359
@farajithabiti8359 9 дней назад
Kwani kuna sheikh ambaye alipishana marhum amemzungumza marehemu vibaya?? Mbona maneno kama yamefungwafungwa
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 9 дней назад
Wapo hao wachupa mipaka ,wamemsema kiasi cha Ukhbithi wao walio kuwa nao mpak wanasema hakuna kwnda kuhudhuria mazishi yake , ShubhanaaAllah
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 9 дней назад
​@@AbAlhuraaswatu gan hao? Wabainishwe
@AbuuSaad-ut4fd
@AbuuSaad-ut4fd 9 дней назад
Abuu nuaymi ameeleza watu hao na Abuu zagari ameeleza pia kwa kunukuu yale yaliyoruswa kwenye magroup ya hao wlengwa . Fatilia humu humu audio zimo utajua kinachoendeleaa. Allah amrehemu Abuu Muawiya.​@@ABUUBAAZNYUNGU
@SwafaNabahan
@SwafaNabahan 10 дней назад
Mbona Maneno ya wengi ktk wazungumzaji hapa wanazungumza Maneno wanayo yazungumza Mahizbi wakibarahiyaniyyah na wanaharakati au Mlengo wenu ni mmoja?.