Тёмный
SIMAMIA TV
SIMAMIA TV
SIMAMIA TV
Подписаться
SimamiaTv is to educate, inform, and entertain. Our business is to become a positive pillar of societies that we serve as well as serving a positive influencer to those that follow our show. Subscribe below and continue following us.

Also, download our app from your cell phone in the paly store, search for SimamiaTV and visit our website at www.Simamia.com
BALAA LA SAIDA KAROLI NGARA
7:42
14 дней назад
SHOLO MWAMBA AWACHEZESHA SINGELI NGARA
6:34
14 дней назад
Комментарии
@Aida-w8i
@Aida-w8i Час назад
❤❤
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 часа назад
Napendaga Sana kukusikiliza mzee wa upako
@vickynyakio7346
@vickynyakio7346 2 дня назад
So beautiful ❤
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 3 дня назад
Nafkiri anpokuja mtu kukamwatwa lazima waoneshe vitambulisho au wananchi wawavamie
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 4 дня назад
Vijana Wachangamkie Fursa
@msjtv8760
@msjtv8760 4 дня назад
Thanks 🎉🎉🎉
@ElasmaFaustin
@ElasmaFaustin 5 дней назад
Woooow Mungu Akupe Nguvu Ticha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 6 дней назад
Sasa imefka wakanti wa kuamka watz tuonge vikari hukatiri huu nyama umezid tz sasaiv imekuwa sio nchi ya Haman kama inavyo semekana imekuwa nchi ya matukio na vita IPO chin kwa chin mungu atusaidye kwa kweri
@sebatz-c1r
@sebatz-c1r 6 дней назад
1998 lakini hatuendelei kwa nn?
@miriammgalula1403
@miriammgalula1403 7 дней назад
Naomba no ya simu
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 11 дней назад
Watanganyika jiepusheni; Rais Samia, siyo Rais wa Rais halali wa serikali ya bara. Wazanzibar wamejitoa kwa mambo yooote ya Muungano, tuna haja gani mali zetu kuendelea kuliwa na Wazanzibar kwa kivuli cha muungano.
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 11 дней назад
Mwana CCM nguli aliniambia sisi tupo sababu tunakula, japo kwa hali iliyopo hatupendi kwa ubadhirifu wa mali zetu unaofanywa na Samia na kuzipeleka Zanzibar.
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 11 дней назад
Samia ni Rais wa mkopo, hv ameagiza polisi kufanya uovu huo na Awadh Mzanzibar kumulinda abaki madarakani kulinda nini? Km rasilimali zetu ameuza?
@kungulesh
@kungulesh 11 дней назад
Huyu Mzee ni tapeli sana. Anavyoongea kinyonge, utadhani ni kweli vile. Jaribu kujaa kwenye mfumo wake, UTAJUTA!
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 12 дней назад
UMEKATA TICKETI ILI UKIMBIE BAADA YA METCHI
@ManirakizaallyAlly
@ManirakizaallyAlly 12 дней назад
Babwire
@FabianJuma-q8s
@FabianJuma-q8s 12 дней назад
Ila kwa kuw nimsemaj, bc ye aongeetu! Ila uwanjan Leo kwake hapatakalika! Kamer man Kaz kwen
@FabianJuma-q8s
@FabianJuma-q8s 12 дней назад
Yaan huy mrugaruga, ataenda kwako kwa miguu, tim haitambeba
@RashidiAhmad-ow5fb
@RashidiAhmad-ow5fb 12 дней назад
Mbona anapenda sana Historia
@ErickShukran
@ErickShukran 12 дней назад
Haenezi nimpunguwani wa hakili
@daudimchileg307
@daudimchileg307 12 дней назад
Yanga mnatakiwa kuwasifia hapo munge weza lakin ivo, mmewachikonoa 5G zinaweza kuwa
@AbdulkarimKigarawa
@AbdulkarimKigarawa 12 дней назад
Jamaa anaweza
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 12 дней назад
Nmeskia vibaya au erasto nyoni
@abdillahmchia8557
@abdillahmchia8557 12 дней назад
WANANCHI tukutane hapa baada ya dk 90 tuna kikao na huyu poti
@user-bl4th3cf7k
@user-bl4th3cf7k 12 дней назад
Ushauri wangu kwenu wapinzani wote, kama mgetaka angalau kubahatisha kumfunga Yanga, basi bora mumsifie vizuri Yanga au bora muwe kimya kabisa, Lakini hii midomo yenu hii, aaah! Yanga ataendelea kuwa nyoosha mpaka mseme poo! 😂😂😂 YANGA BINGWA!🎉
@augustinemainde
@augustinemainde 12 дней назад
Nafikiri Hana akili timamu
@AidoJamunjira
@AidoJamunjira 12 дней назад
Wee ongeatu😂😂😂😂😂
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 12 дней назад
😂😂😂😂jamaaa anafurahisha sana kiukweli
@SHIJADAVIS
@SHIJADAVIS 12 дней назад
Inawezekana kwa mdomo na Maneno pia.
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k 12 дней назад
Bakisha maneno
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 12 дней назад
huyuuuuuu atakimbiaaa leooo mapemaaa tu naee huyuuu piaa ni nguchiluuuu tu😂😂😂
@user-vh5on8fz8f
@user-vh5on8fz8f 12 дней назад
Inawezekana kwan yanga nani
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 12 дней назад
Yanga baba lao. Inatisha kama njaa
@user-um2oj3tw1z
@user-um2oj3tw1z 12 дней назад
Yanga ni nani we uogop
@MazikuCliford
@MazikuCliford 12 дней назад
Hamonaiz sesema malude
@Ngosha_waMukaya1
@Ngosha_waMukaya1 19 дней назад
Aisee
@samsondawson6982
@samsondawson6982 22 дня назад
Huyu jamaa utasema hana kidevu
@morrisabdon7881
@morrisabdon7881 23 дня назад
Ongea facts, dont comment like an idiot. Final APR kapoteza kwa taabu/ bahati mbaya tu. Red arrows alipenya nusu final kwa ticket ya best looser. Alikula 5 kwa El Hilal, ila APR kamtoa El Hilal. Shame to a respectable person to talk like a class two kid. 😂
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 23 дня назад
Jamaa Walijichanganya Kuvaa Nyekundu Kipidi Chamwazo Sisi Tulikuwa Mazowezi ila Walipo Vaa Nyekundu Walijiharibia Sisi Tunakusasi Na Nyekundu...Na Waliona Walijuta Kuvaa Nyekundu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 23 дня назад
Huo ni unazi huwezi kupata wote wakawa Wazuri shida ni Mapenzi yako kwa vyura Mabeto Fc
@kassidpandu866
@kassidpandu866 23 дня назад
wewe ni Mh lakini hujitambui na Heshima yako inapotea kwa u yanga wako
@user-yc4tn2eg1h
@user-yc4tn2eg1h 23 дня назад
Ss watanzania dar,yanga ya mwaka jana kulikuwa na joyce lomalisa ,sasa kipi cha kushangaza mchezaji kuitwa deboraa,acheni unafiki jamani
@user-om6ny2vk8g
@user-om6ny2vk8g 23 дня назад
Wewe nimjinga
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 24 дня назад
Hiyo tume ni ya fici usiitegemee kabisa
@OfficialeugennyPro6130
@OfficialeugennyPro6130 25 дней назад
Leo J 2
@checkchannel3876
@checkchannel3876 25 дней назад
Ndiyo, "kesho ni siku ya kuwaonyesha Watanzania namna ya kufanya shughuli"! Yah! "Ubaya unamwisho"! Halafu "Yanga bingwa"! Makamu nakuelewa sana. Hao waandishi pia wanajua, walikuwa wanataka tu kusikia unasemaje!
@shafiimohamedi311
@shafiimohamedi311 25 дней назад
Safi San waulize habari za makolo zanini sasa
@germainmukandamamauridi3112
@germainmukandamamauridi3112 27 дней назад
Na ahsante sana kwa technics hizo za upandaji toka kwa mtaalam wa Ngara Avo Garden. Keep up the great work guys
@germainmukandamamauridi3112
@germainmukandamamauridi3112 27 дней назад
Jambo kwenu na hongera sana kwaSIMAMIA tv pamoja na Ngara Avo Garden kwa kazi nzuri yakuelimisha watu kupitia kilimo cha parachichi. Mimi ni Mkongomani naishi Johannesburg ila nafuatilia kwakaribu sana kilimo cha avo uko ngarakwa mda wakutosha. Mbunge wenu ndiye aliyekua mtu wa kwanza kupata shauku yakufuatilia kilimo ichi. Basi ongereni sana na mnamo siku zijazo labda ninaweza itaji izo mbegu zenu nakuzipileka kwetu kivu ya kusini inchini Congo. Ahsanteni
@RevocatusFelician-g3w
@RevocatusFelician-g3w 28 дней назад
wakola tata
@harshkirit6780
@harshkirit6780 28 дней назад
Hizo t-sheti za vitenge sijui zulia.
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 28 дней назад
Kumbe utopolo inasupu
@innomsangi5321
@innomsangi5321 28 дней назад
Waandishi wa habari jaribuni kuwa-professional acheni kuwa makanjanja….Kichwa cha habari kinasema vingine na mzungumzaji anaongea vingine. Kwa hali hii RU-vid channel yenu itachukuwa mda sana kukua kwa sababu za stories za kutungatunga!!!